Dr. Chris Mauki: Mambo 5 ya kufahamu unapokuwa kwenye mgogoro na mpenzi wako

  Рет қаралды 5,795

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Ili kuzuia migogoro yenu kwenye mahusiano na ndoa isiwaletee athari kubwa, haya hapa mambo 5 muhimu sana ya kuyafahamu#DrChrisMauki#Mgogoro#DrChrisMauki#Mpenzi

Пікірлер: 22
@joelbrown9022
@joelbrown9022 2 жыл бұрын
Doctor chriss kuna namna unatufikisha sehem aisee nataman kua kama wewe one love doctor
@sholastikaHenjewele-rh4gw
@sholastikaHenjewele-rh4gw 3 ай бұрын
Una tofauti Sana na mpenz wako Msilikilizaji Jielewe Tamaza mambo kwa upande wake pia Fahamu kuwa hata ww unakosea
@jellynesssemu9406
@jellynesssemu9406 2 жыл бұрын
Shukran sana Dr. Kwa somo zur sana Mungu akubaliki. Akupe maisha marefu ww na familia yako
@careencharles1344
@careencharles1344 2 жыл бұрын
Mungu akutunze zaidi mwalimu kazi yako ni njema Sana
@Irenenassir-ft6if
@Irenenassir-ft6if 11 ай бұрын
Leo nimejifunza kitu...mungu akubariki
@rashidmdaki8934
@rashidmdaki8934 2 жыл бұрын
Tunajifunza vingi dr mungu akubarki...
@witnessmakasi777
@witnessmakasi777 Жыл бұрын
Mungu akubariki. Sana unatufundisha mengi mazuli Mungu akubariki
@monicampokwa441
@monicampokwa441 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa kabisa.
@gffghgfdd9004
@gffghgfdd9004 2 жыл бұрын
Asante🙌🙌🙌🙌🙌
@tulakagine3405
@tulakagine3405 2 жыл бұрын
Nimeokota kitu, Asante saana
@dancansaka5004
@dancansaka5004 2 жыл бұрын
Thanks
@magrethboniphas1137
@magrethboniphas1137 2 жыл бұрын
Dah! Asante sana doctor yaan nlkua na Hal mbaya but baada ya kukusikiliza nimejikuta napata na usingizi 🙏🙏
@mnanaoportunity3472
@mnanaoportunity3472 2 жыл бұрын
Pole mungu akutie nguvu
@magrethboniphas1137
@magrethboniphas1137 2 жыл бұрын
@@mnanaoportunity3472 Amina🙏
@purityrehema543
@purityrehema543 2 жыл бұрын
Asante kw somo lako Dr
@eliudtete6404
@eliudtete6404 2 жыл бұрын
Shukrani sana dokta,Somo lako zuri,naomba namba yako ya Whatsapp,tafadhar.
@hammytototundu9292
@hammytototundu9292 2 жыл бұрын
Good things
@user-wn2zx4kd2r
@user-wn2zx4kd2r 9 ай бұрын
Atamm nipo kwenye mgongoro ila nimejitahidi kuomba msamaha ila amenipa mtihani ambao haupo kwenye uwezo wangu napia wamekuwa pamoja namke wangu je nifanyaje
@claramrosso2566
@claramrosso2566 Жыл бұрын
Pole na kazi dor. samahani naomba namba yako
@salimzumamangale9843
@salimzumamangale9843 2 жыл бұрын
Nzuri sana kwakweli Dr thanks
@christinachazy8644
@christinachazy8644 Жыл бұрын
Dr Kuna wakati unajua kitu unamuliza mpz wako anakataaa kabic hiii inaumiza San inapelekea mim kuwa na hasira
@reginaogiro4845
@reginaogiro4845 2 жыл бұрын
Vitabu vyako ni shingp
Dr. Chris Mauki: Aina 4 za wapenzi katika migogoro
8:47
Chris Mauki
Рет қаралды 3,3 М.
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 32 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 2 Серия
31:45
Inter Production
Рет қаралды 962 М.
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 8 МЛН
Sababu hizi ndizo humfanya mwanamke kuchepuka - Dr Chris Mauki.
10:48
Jinsi ya kuwekeza shilingi Laki moja
6:07
Happy Msale
Рет қаралды 1,8 М.
Dr Chris Mauki : Utajuaje kama mpenzi wako sio mwaminifu?
9:10
Chris Mauki
Рет қаралды 14 М.
Dr. Chris Mauki: Faida 4 za migogoro kwenye mahusiano na ndoa
8:37
Dr. Chris Mauki: Sababu 5 kwanini mnagombana hovyo
11:45
Chris Mauki
Рет қаралды 127 М.
VITU 4 VINAVYOJENGA MAHUSIANO - JOEL NANAUKA
4:57
Joel Nanauka
Рет қаралды 19 М.
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 32 МЛН