No video

Dr. Chris Mauki: Mbinu 5 za kuiteka akili ya mpenzi wako. Part 2

  Рет қаралды 149,656

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Kila mmoja anatamani sana kupendwa zaidi na mpenzi wake, ila wengi tunakosea sehemu na kujikuta ule ukaribu unapotea. Je unajua unaitekaje akili na moyo wake kwa upya? Nifuatilie nikusaidie #DrChrisMauki# Mbinu5 #AkiliYaMpenzi

Пікірлер: 166
@hansonie1553
@hansonie1553 2 жыл бұрын
1, Mthibitishie unavyompenda..... 2, Mthibitishie unavyomhitaji 3, Mpe muda wako 4, Random kisses 5, Epuka uongo
@trizashanelly
@trizashanelly 4 ай бұрын
Yes true mm ulifanya haya yote nitakulea Kaa yai❤😂
@maryamsylivester8662
@maryamsylivester8662 2 жыл бұрын
Asante sana sana Mungu Akubariki sana🙌🙌 but siku moja ulete na mbinu za kuiteka akili, Moyo ya Mpenzi wako Aliye mbali na hamna uwezekano wa kukutana mara kwa mara
@winnifridanicas3093
@winnifridanicas3093 2 жыл бұрын
🤝🤝
@theoneartist6327
@theoneartist6327 Жыл бұрын
Tupeane changamoto unazokutana nazo Kwa mpenzi wako aliyepo mbali
@princessdickson6900
@princessdickson6900 Жыл бұрын
@@theoneartist6327 mimi jaman yupo mbali sana tatizo unaweza kuta yupo online lakini huelewi anachofanya ukipiga voice ukakuta anazima data ghafla ila unakuta anakuambia nakupenda love sasa sielewag
@janethamos
@janethamos Жыл бұрын
Nikweli
@fatianasibu5923
@fatianasibu5923 3 ай бұрын
​@@princessdickson6900ninayopitia kwa sasa
@kimathshabani7925
@kimathshabani7925 2 жыл бұрын
Dr ndoa nyingi zinavunjika kwa vitu vidogo sana ikiwemo yakwangu, wengine hata uwafanyie hawajali chochote. Mungu saidia sasa hivi ndoa ni vita kila siku km Sudan. Asante kwa somo
@assiahassan2671
@assiahassan2671 2 жыл бұрын
pole sana ndgu Mungu akusaidie
@fatmanassormohd8071
@fatmanassormohd8071 2 жыл бұрын
Tukae wote duh
@shamsiarashid4015
@shamsiarashid4015 Жыл бұрын
Unamtanguliza mungu kisha mbinu zifate
@bakarijmdimi510
@bakarijmdimi510 Жыл бұрын
@@assiahassan2671 a good night at
@bakarijmdimi510
@bakarijmdimi510 Жыл бұрын
a
@glorytv9374
@glorytv9374 2 жыл бұрын
Nashukuru Sana Sana masomo yako yamenibadilisha Sana Sana kwenye ndoa yangu nimekuwa tofauti Sana siku hizi baada ya kusikiliza Sana
@worshiperely1484
@worshiperely1484 5 ай бұрын
Mr. Mauki your lessons are very strong and good... Pls can you do it in English language also?? Coz mhh some of our partners they don't hear Swahili so they miss this good things... Your providing.
@InnocentKibodya
@InnocentKibodya Күн бұрын
Da nashukulu Kwa somo na Kwa kutukumbusha mana wanaume wengi tunajisahau sana.. 🎉🎉
@ashurasaidi3038
@ashurasaidi3038 2 жыл бұрын
Yaan dr sijawahi kujutia kutazama video zako asante sana dr mauki
@NasraNasraiddy-cl6qp
@NasraNasraiddy-cl6qp 7 ай бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri, Allah akulinde
@ummkolthumkoalthum3271
@ummkolthumkoalthum3271 2 жыл бұрын
Unajua hadi unajua sanaa👌🏾
@reginaogiro4845
@reginaogiro4845 2 жыл бұрын
Mie ata sijui lini nimeambiwa
@HabariHalisi
@HabariHalisi 15 күн бұрын
Nitalifanyiaa kaziiii teacher
@user-sn2lr8bl2c
@user-sn2lr8bl2c 11 ай бұрын
Haki mungu akubariki tena xna.kwa mafundisho yko nabarikiwa.nakutakia jioni njema
@eliakalipesa9608
@eliakalipesa9608 Жыл бұрын
Amen ubarikiwe, naomba siku moja ulete somo la kuuteka moyo wa mpenzi wako aliye mbali na wewe
@nassorsuleiman1072
@nassorsuleiman1072 Жыл бұрын
Hapa tupo wengi😢😢
@monieaidan6372
@monieaidan6372 2 жыл бұрын
Ahsante dr kwa somo zuri mungu akubariki sana
@abbasabbas5440
@abbasabbas5440 2 жыл бұрын
Doctor nakukubali sana ... Ww ni zaidi ya fundiiii....👊 Big up sana. Ww ndie unaeniweka hapa mjini...
@zabibumgambo7867
@zabibumgambo7867 2 жыл бұрын
Mashaallah somo zuri
@iluminatadissa2663
@iluminatadissa2663 Жыл бұрын
Uko vizuri sana mungu akupe afya njema na miaka mingi ya kuishi
@rhodasaid3262
@rhodasaid3262 2 жыл бұрын
Asante Dr. Nakuelewa sana may God bless u , uzidi kupanda viwango vya juu!!
@SamwelMagege
@SamwelMagege Жыл бұрын
Dr Chrs ni Zaid ya mwalimu 🙏❤️
@TerrynorahShibia
@TerrynorahShibia Жыл бұрын
😢😢😢😢I wish wanaume wote wangekuwa wanasikia haya mafunzo na watilie manani😭😭😭😭, kwa kweli umenifunguwa macho,mm mwenyewe nina mapenzi ila sijai kutana na mwanaume wa kunionyesha mapenzi kama haya 😭😭😭😭 Mungu kupitia kwa haya mafunzo nikutanishe na mtu mwaminifu kwangu
@user-hy1mu2xl9h
@user-hy1mu2xl9h 10 ай бұрын
Vp
@richardkayumbo2885
@richardkayumbo2885 Жыл бұрын
Somo zuri sana nimeongeza maarifa juu ya kulinda penzi la mpenzi wangu.
@jetitahkarimi
@jetitahkarimi 19 күн бұрын
Correct 💯
@TrizahBhoke
@TrizahBhoke 9 ай бұрын
Amen 🙏 God bless you
@user-yb6lv8rs3o
@user-yb6lv8rs3o 6 ай бұрын
We cm we ni jiniaz kiukwer good teacher ❤❤❤
@damianandrew3074
@damianandrew3074 2 жыл бұрын
Katika nchi hiii wapo watu ambao waga wananipa furaha kuwepo Tanzania moja Ni wewe,Joel nanauka na pastor David mbaga nawapenda sana
@elizabethmwaka2921
@elizabethmwaka2921 Жыл бұрын
Kumbe tuko wengi Hawa watu nawakubali
@esterwerema2626
@esterwerema2626 Жыл бұрын
Mimi pia
@naimat8470
@naimat8470 Жыл бұрын
Asant sana nimekuelewa sana mungu akubariki ❤
@esthermichael3221
@esthermichael3221 2 жыл бұрын
Ahsante na Mungu akubariki Dr Chris
@purityrehema543
@purityrehema543 2 жыл бұрын
Asante sana mungu akubariki
@mtotowakiume3215
@mtotowakiume3215 2 жыл бұрын
Thanks
@user-hf3iz7uh1h
@user-hf3iz7uh1h 3 ай бұрын
Asante kwa masomo mazur me mpz wangu anapenda sana kunidanganya mfn naweza kumpgia cm nakumuulza uko wap akanijibu nipo kazn na wakat huo kumbe hayupo kazn yupo kwake! Au anaweza kunipgia cm my nmetoka kidg na nkienda kwake namkuta amekaa anaangalia Tv vip hapo kipi nifanye awe mkweli kiukwel sipendi uongo bac tu.
@shakylahamad8326
@shakylahamad8326 2 жыл бұрын
THANKS, DR
@user-xu5bj5gp6m
@user-xu5bj5gp6m 5 ай бұрын
God bless mwalimu wangu
@user-sj4oe1lg3u
@user-sj4oe1lg3u 3 ай бұрын
Kabisa icho ndo kilinifanya nikimbie ndoa Yani kunawanaume awapo romantik kabisa na awanaga muda na wake zao
@user-pd5ss9gd1m
@user-pd5ss9gd1m 11 ай бұрын
Asante Dr nimepata funzo muhimu sana
@julithabrighton5722
@julithabrighton5722 Жыл бұрын
Kweli tupu, endapo wahusika wangesikia na kuyafanyia kazi wangekua sehemu nzuri sana. Be blessed much more.
@karembo4955
@karembo4955 Жыл бұрын
💯💯💯ila wengine hawaelewi makosa na nakubadili mwenendo
@Barnabaholenabwake-dj5fu
@Barnabaholenabwake-dj5fu 2 ай бұрын
Asante kwakunifunza sin
@furahatarimo1095
@furahatarimo1095 Жыл бұрын
Asante sana umenifunza mengi sana mungu akubariki
@user-ou4vd7nk8q
@user-ou4vd7nk8q 3 ай бұрын
Yesu anakupenda
@DeboraUrassa
@DeboraUrassa 10 ай бұрын
god bless you man of god,nakukubali sana, 🎉
@FaridaMousa-xy2rk
@FaridaMousa-xy2rk 24 күн бұрын
Asante
@dafetty4935
@dafetty4935 Жыл бұрын
Asante sana
@sakiikassim308
@sakiikassim308 2 жыл бұрын
Asant sana
@elikanamgaya
@elikanamgaya Жыл бұрын
Mungu akubariki uzidishe elimu
@carolinekwakala7439
@carolinekwakala7439 Жыл бұрын
Hapo kwenye uongo umesema ukweli Dr Mungu akubariki
@happyshagi3169
@happyshagi3169 2 жыл бұрын
Som nzr kwel asant
@safiakhamisyanga7639
@safiakhamisyanga7639 Жыл бұрын
Asante kwa somo zuri
@FrancisMbilinyi
@FrancisMbilinyi 3 ай бұрын
good
@fatimahants1526
@fatimahants1526 2 жыл бұрын
Ahsante kwa nasaha nzuri
@mwijagejoseph1675
@mwijagejoseph1675 11 ай бұрын
Yaani uko vizuri sana
@husnangapu502
@husnangapu502 2 жыл бұрын
Umenifurahisha ulivyosema kwmb wanawake huwa wanasahau km wanapendwa
@twillahbenaiah2879
@twillahbenaiah2879 2 жыл бұрын
Me mwenyewe nmecheka 😄kumbe IPO hvo
@monieaidan6372
@monieaidan6372 2 жыл бұрын
Ahsante dr kwa somo zuri mungu akubariki sana
@eminemtzdmp552
@eminemtzdmp552 Жыл бұрын
Inashangaza
@Esthermwalimu7732
@Esthermwalimu7732 Жыл бұрын
😀😀
@zainabmussa3521
@zainabmussa3521 Жыл бұрын
Uyu ni Mimi kabisa uwa nasahau nataka kusikia ili nakupenda
@Mona-by5sx
@Mona-by5sx 2 жыл бұрын
Mashallah ❤
@piusundisputed
@piusundisputed 2 жыл бұрын
Kwa matatizo yngu ya psychology, relationship, huw schoki kukusikiliza ,you always kill!!
@YohanaMwamatenge
@YohanaMwamatenge 3 ай бұрын
Thank you
@upendomgallah2169
@upendomgallah2169 2 жыл бұрын
Thank u
@user-ov4ug8fl1f
@user-ov4ug8fl1f 11 ай бұрын
Shukran kak yangu ❤❤
@aishtan2745
@aishtan2745 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah
@AishaOman-qz7tn
@AishaOman-qz7tn Жыл бұрын
Nakuelewa sana
@user-gu2iv5ce5m
@user-gu2iv5ce5m 7 ай бұрын
Asant kwa mafunzo yako mazur❤
@EsterBilia
@EsterBilia 2 ай бұрын
Amen
@lucynelsonmungure1719
@lucynelsonmungure1719 2 жыл бұрын
Kuna maneno yamenigusa Sana sana
@alanagama9213
@alanagama9213 2 жыл бұрын
Asante mno
@allyomary2271
@allyomary2271 Ай бұрын
vizri nimejifunza kitu
@JoelBashengezi
@JoelBashengezi 3 ай бұрын
Vraiment mafundisho yako nisha ipenda sana
@jeijeinestory5977
@jeijeinestory5977 Жыл бұрын
Nakushukulu Sana ,
@user-iq5me8bu8s
@user-iq5me8bu8s 11 ай бұрын
❤❤ pamoja sana
@kaachonjo263
@kaachonjo263 Жыл бұрын
Nimesoma kitu.kuna tofauti ya kupenda na kuhitaji.
@user-ou4vd7nk8q
@user-ou4vd7nk8q 3 ай бұрын
Yesu ni yote katika yote
@juliethmosha3848
@juliethmosha3848 Жыл бұрын
Mda wa makombo🥲🥲 unaongea ukwel haswaaaa ila kisingizio maisha magumu🙌😀😀
@elizabethathuman8180
@elizabethathuman8180 2 ай бұрын
Sasa wangu simu mda wote, akshtuka usingizini simu, akiamka yeye na simu, usiku simu, anatembea njian simu kwenye gari ni simu mpaka na mimi nimeanza kujaribu kuwa busy na simu lakn nashindwa kabisa😢
@SwaumuAmili-tp5go
@SwaumuAmili-tp5go 15 күн бұрын
😢😢😢ndo mtihani wngu pia
@giftmndeme6415
@giftmndeme6415 2 жыл бұрын
Nakuelewa sana counsellor
@victorjkt8770
@victorjkt8770 2 жыл бұрын
dr mimi nina mdada ananipenda lakin hatak tuwe na mahusiano hizi mbinu zitafanya kazi?
@gabriellafaith6128
@gabriellafaith6128 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@fatumanassir3085
@fatumanassir3085 2 жыл бұрын
Asante sana,nimejifunza kitu
@YonaKaminyoge-or3xi
@YonaKaminyoge-or3xi 8 ай бұрын
Daaaaaah mimi nipo mbali naye nikimpigia simu huwa nataman tuongee sana lakin utakuta ananiambia kunamuvi natak niangalie visingizio ving mala nimechok san 😢😢😢ila wanawake
@neemamsanga253
@neemamsanga253 5 ай бұрын
pole kaka,,,mchunguze kwanza.
@mrsaysa5404
@mrsaysa5404 2 жыл бұрын
Dr Chrismauk nna kitu naomba unisaidie pls
@user-sy9kw6th8k
@user-sy9kw6th8k Жыл бұрын
Ni kweli❤
@akimanaasiya4654
@akimanaasiya4654 Жыл бұрын
Asnt 🙏
@theohassan6534
@theohassan6534 2 жыл бұрын
Dr m Hadi nimesahau lini niliambiwa napendwa Yan mwanaume hayupo romantic kabisa Yani ukiona cm yake kun ishu ya muhimu lkn now ya happy hata sms ya kuuliza umekula mkewangu hamna😒😒😒.........lkn mahitaji ya ndani anatekeleza vzr.
@fatmasultan5234
@fatmasultan5234 Жыл бұрын
Ndio walivo
@kizazijeur7518
@kizazijeur7518 2 жыл бұрын
Asant san dr
@bupejimmy8329
@bupejimmy8329 Жыл бұрын
My father 💪💪
@ViolethYoungson-iu8sz
@ViolethYoungson-iu8sz Жыл бұрын
Nashukuru kwa somo lako me nipo kwenye uhusiano lakini mwenzangu hata nikimtumia sms ajibu nikimpigia apokei cm anakuja kujibu badae na anakuwa busy sana hanipi mda wake nikiamka asubuhi namtumia text ikifika usiku namtumia lakini yeye simuelewi na kuna siku nikamwambia na shida na yeye akanipigia sim nikuuliza kuna shida gani akanambia hata nambia kuna vitu nyumbani kwao vinamsumbua naomba unisaidie
@meggarcute116
@meggarcute116 2 жыл бұрын
🥰🥰
@faustinimathayo6566
@faustinimathayo6566 4 ай бұрын
nimependa ulivyo sema kwa kuna wakati inabidi umsaplai mpenzi wako co kila kitu adi useme wengine atuwez
@user-vb4fe4bo2x
@user-vb4fe4bo2x Жыл бұрын
Wanaume waiz ujana umewatawala hata nyumban hatuwaoni sasa hayo mahaba utayaonyesha sangapi ukiwambia wnadai wanawza maisha hawataki mapenzi
@user-fh7fx1dq2u
@user-fh7fx1dq2u 6 ай бұрын
Hili somo limenigusa
@maryandrew5204
@maryandrew5204 2 жыл бұрын
Mtumishi mi jee nivibaya kumpa zawadi mpenzi wangu wakiume
@alfanimwambuga887
@alfanimwambuga887 2 жыл бұрын
Iko fiti
@user-rs9kg2fg8s
@user-rs9kg2fg8s 6 ай бұрын
Mwanamke unaweza kusema nakupena ila mwanaume hajibu kwani ni?
@RamlaSajili-qu6ge
@RamlaSajili-qu6ge Жыл бұрын
Hii imeniumiz jaman me mpenz Wang han md namm hataa😞🥲
@realmantz967
@realmantz967 Жыл бұрын
Bro we nijinis
@user-kr8iz5kf2b
@user-kr8iz5kf2b 4 ай бұрын
Long distance relationship tusaidike vip
@user-ps5ht4xi8h
@user-ps5ht4xi8h 11 ай бұрын
Masomo mazuri ila wanaume wengine kila unavo wafanyia sivo mtu kama huyo anavunja moyo😮
@VanessaMinja-c9m
@VanessaMinja-c9m Ай бұрын
Dr sorry kama mpenz wako ukimtumia text za mahaba areplay kama unavyotaka lakini anakujal anakupgia sm naomba nisaidie uyu mwanume anakupenda au
@graceamran326
@graceamran326 Жыл бұрын
Nilimuulza ivo akasema kunakoendelea atakata tamaa kwani mpaka nikakufata sinilikupenda kwayo now nimekaa kimy
@rashidikipangu9514
@rashidikipangu9514 9 күн бұрын
KUNAWENGINE UKIWATIBITISHIYA KWAMBA UNAWAPENDA NAAWATA JALI
@zuu9022
@zuu9022 Жыл бұрын
Na yote ayo utamuonyesha lkn km hataki hugs km yko na mtu km rafkiri ..ama km yko na marafiki umpigie haezi kukuongelesha Hadi awe pekeake..Sasa uyo nae anamapenzi ama nkukudanganya tu
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 5 ай бұрын
Wanaume Hawasemi
@JoelBashengezi
@JoelBashengezi 3 ай бұрын
Na Kama hakupendi uta juwaje
@leticiamwamwaja1866
@leticiamwamwaja1866 7 ай бұрын
Sasa wew la unamwambia mara Kwa mara yeye hasemi
@DicksonSarakikya-jr5pf
@DicksonSarakikya-jr5pf Жыл бұрын
Nlikua nauliza iv kama unampenda mpenz wako unaweza ukamuwaza nae ndoakawa anakuwaza muda huo
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
Dr. Chris Mauki:  Mambo 5 ya wanawake yanayo waudhi wanaume
10:15
Chris Mauki
Рет қаралды 243 М.
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 46 МЛН
Unveiling my winning secret to defeating Maxim!😎| Free Fire Official
00:14
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 8 МЛН
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН
Dr.Chris Mauki: Maneno haya 6 yatakufanya upendwe Zaidi.
8:11
Chris Mauki
Рет қаралды 411 М.
Je unaweza kujisimamia | Elias Mwinuka
6:38
Elias Mwinuka
Рет қаралды 416
DALILI 4 UNALAZIMISHA MAHUSIANO💔  #lizamedia #Lizbethsimon
10:22
Dr. Chris Mauki: Mbinu 5 za kuiteka akili ya mpenzi wako. Part 1
7:31
Dalili Za Mwanaume Anaekupenda Kwa Dhati
6:19
Topten Tv
Рет қаралды 328 М.
SIFA TATU (3) ZA MKE | DEO SUKAMBI
1:03:07
Deo Sukambi
Рет қаралды 140 М.
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 46 МЛН