Dr. Chris Mauki: Mbinu Sita Ili Uweze Kupendwa Na Mwanaume Aliye Bora Zaidi

  Рет қаралды 26,778

Chris Mauki

Chris Mauki

Күн бұрын

Kila binti anatamani sana kuolewa na mwanaume aliye bora na sio bora mwanaume. Swali ni kwamba mbona wengi wanaangukia pua? Mbona wengi wanajikuta wanajuta baada ya kuingia kwenye mahusiano mabovu kabisa? Hizi hapa mbinu 6 za kukusaidia kuweza kupendwa na mwanaume aliye bora. Nifuatilie. #DrChrisMauki #Mbinu#MumeBora

Пікірлер: 60
@hawazuberi5912
@hawazuberi5912 Жыл бұрын
Mimi napenda vile unafundisha ukiwa unaonekan live na body language na vile unavotoa mifano very touchable
@severinamsuya5963
@severinamsuya5963 Жыл бұрын
Unafundisha vzr sana ht sie wenye ndoa za 30yrs+ tunanufaika sana tunafuata ili tuzeeke vzr na waume zetu👍blessed🙏
@danielmuniko7303
@danielmuniko7303 Жыл бұрын
Asante Dr. Cris, Nahitahi kuongea nawe mambo mengine zaidi
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Жыл бұрын
Kweli sasa nimepona zamani sikua navyo vyote hivi Sasa ninavyo vyote hakika masimo yako yamenichonga mnooo,,,,,,,, nimemrushia na rafiki yangu wakike naye yatamfaa sana, wow!! Asante Sana Mauki wa Miriam
@KabijSaib
@KabijSaib Жыл бұрын
Suala la kutokumganda mwanamme,,,,,umenifunza,bora kumuacha huru,,,hamna haja yakugandaganda,,,hiii nzuri sana,
@joycehaule9717
@joycehaule9717 Жыл бұрын
Yes wanaume hawapendi kugandwa
@marymbusa9146
@marymbusa9146 Жыл бұрын
Shukruni sana nimejifunza mambo mengi kutoka kwako hongera.
@DayannaKiuta
@DayannaKiuta 11 ай бұрын
Asante baba angu mi nampenz. Ananitafta akijisikia ila kanambia ataniowa. Ko nashindwa kumuamini
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 Жыл бұрын
Shukran san mungu akubariki zaidi na zaidi
@gladnessthomas6363
@gladnessthomas6363 Жыл бұрын
Dr Chris asanteee kwa somo zuri hivi kama mtu unakuwa muwaz kwake kwamba unataman kufanya biashara flan naomba sapoti yako halaf yy akakukatisha tamaa na kukwambia hutaweza ufanyaje!? La pili yy sio muwazi hataki hata ujue mambo yake na ukimuomba upate mda nae wa kuzungumza anakwambia hataki vikao akirudi nyumban ni kula na kulala hata mda wa kujadili maendeleo ya familia yetu hamna, mda mwingi akirudi anaingia tiktok anaangalia ww utalala utamuacha na ukijaribu kumwambia ukirudi nyumban nipe na mm mda na ww anakuwa mkali hivi unafanyaje hapo🙏
@tumainsanga1906
@tumainsanga1906 Жыл бұрын
Asante Kwa mafundisho,Yametubadirisha.
@TrizahBhoke
@TrizahBhoke 11 ай бұрын
Dr Chris ubarikiwe sana 🙏
@rithamlacha5403
@rithamlacha5403 Жыл бұрын
Asante kwa somo zuri ila natamani ningekuona unavyoelezea yaani naelewa zaidi
@bondenatieno2488
@bondenatieno2488 Жыл бұрын
Asante sana kwa mafundisho
@OmanOman-p4t
@OmanOman-p4t 20 сағат бұрын
Jambo naomba ushauri nifanye nini ili nimrudishe mwanaume wangu tunamyezi 2 ameniacha bila sababu natafta kosa silioni kwakweli nampenda sana nanaona uvumilivu umenishinda yani nashindwa hata kufanya kazi nakosa usingizi nilisha muomba mungu sana arudi lakini imeshindikana nifanye nini jambani natokea burundi naomba nisaidie😢uyu mwanaume alikuwa ananipenda sana mimi namwanangu na amini alikuwa namapenzi yakweli kwangu sijuwi kilicho mbadilisha
@aishaabdul9983
@aishaabdul9983 Жыл бұрын
Mwl asante sana 🙏🙏🙏 asante mno,maana Kuna vitu hapo nilikuwa nalazimisha mpaka akawa ananiona msumbufu ,,,najilekebusha now
@SantaKalama-v9l
@SantaKalama-v9l Жыл бұрын
Asante nmesaidika mahali
@AnethGosbert
@AnethGosbert Жыл бұрын
Barikiwa kwa ujumbe mzuri
@EsterAnney
@EsterAnney Жыл бұрын
Asante sana
@AnneMumbi-t5d
@AnneMumbi-t5d Жыл бұрын
Thanks good advise
@EveryneRichald
@EveryneRichald Жыл бұрын
❤kwakweli mm ninakushukuru sana maan ulinitoa mahali ambapo sipo kabisa
@osinyoruth2769
@osinyoruth2769 Жыл бұрын
Somo nzuri sana.wadada mpo??
@shelairakozeshela8943
@shelairakozeshela8943 Жыл бұрын
Asante sana bro ubarikiwe
@sikudhanisaidi8835
@sikudhanisaidi8835 Жыл бұрын
Nakukubali doctor asante
@PeninaWilson-gd4rx
@PeninaWilson-gd4rx Жыл бұрын
Thanks
@delinevamwakapasa6948
@delinevamwakapasa6948 Жыл бұрын
Aminaaa mpendwa
@husnarams3698
@husnarams3698 Жыл бұрын
Dr habar kwanza shkamoo nampenda sana mume wangu naananijal sana ajab simuamin na ni mwanaume ambae anani sapot lakin me sijiamin kwakwe vile alivyo na hakuwah kuniambia ananipenda mpaka nimuulize hil swala hua linanip hasira😢 kuna muda nchukia na hasira lakin muda mwingi hunisamee vo kuhus huyo mume ananipenda kwel??
@anethwilliam1526
@anethwilliam1526 Жыл бұрын
Asante
@Jasminemilima-lo9ep
@Jasminemilima-lo9ep Жыл бұрын
Asant sana kaka big up😊unanifanya nitabasam kabla ya kufanya tendo
@JaneTitus-fs5ys
@JaneTitus-fs5ys Ай бұрын
True
@NzeyimanaNadine-x5y
@NzeyimanaNadine-x5y Жыл бұрын
Thanks 😊😊😊
@hshshsshjdjejjejejejej9823
@hshshsshjdjejjejejejej9823 Жыл бұрын
Masha Allah
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 Жыл бұрын
////Asante ////Kaka /////
@YoungOmmy-rw8gp
@YoungOmmy-rw8gp 11 ай бұрын
Dr. Chris kuna swali moja je ukiwa n mpenz wak n akakuwacha unahaki y kumrudia anapotaka murudiane??
@DorcasArakaza
@DorcasArakaza Жыл бұрын
Mafundisho yako yananisaidia sasa…Ubarikiwe
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 Жыл бұрын
Fact❤❤❤
@DadineNdihokubwayo
@DadineNdihokubwayo 11 ай бұрын
naam
@EveryneRichald
@EveryneRichald Жыл бұрын
@christinachazy8644
@christinachazy8644 Жыл бұрын
Dr mim nadhani kuwa akikupenda atakuwa kalibu na wew atakushulikisha kwa Kila hatua anayo fanya
@LeylaMrutu
@LeylaMrutu Жыл бұрын
Natamani ningepata uyo bora😢
@loseernest6572
@loseernest6572 Жыл бұрын
tupo
@fredinandbarester4103
@fredinandbarester4103 Жыл бұрын
Kabisa mtumishi nakuelewa vyema
@rehemasharifu8985
@rehemasharifu8985 Жыл бұрын
Asante Dr chris
@veronicananyaro
@veronicananyaro Жыл бұрын
🙏🏽🙏🏽
@jescamkemwa9462
@jescamkemwa9462 Жыл бұрын
Nimekuelewaaaa ila kama hakupendi anakutongoza wa Nini SI awaachie wenzake wanaopenda asiwabanie nafasi na wao hatuwapendu
@skithaskitha3902
@skithaskitha3902 Жыл бұрын
eti halafu doctor kemea hii tabia ya wanaume kupotezea watoto wa watu wa kike Muda wanawadanganya huku mawazo yao yako kwingine ni mbaya sana
@jescamkemwa9462
@jescamkemwa9462 Жыл бұрын
@@skithaskitha3902 umeona eehee wanaume washenzi sana Tena wanakera Hadi tunataman wangekuwa na Dunia Yao wakadanganyanye hukohuko
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 Жыл бұрын
Kumganda hapo 😂wee sitaki japo inauma unatamani umtext lkn 😢
@LucyEmily-ii9ux
@LucyEmily-ii9ux Жыл бұрын
Jamni mm nilimpenda mtu sana Kila kitu ulichozungumza nimefanya lakin matokeo yake akaniambia ameshamzalisha mtu so ameambiwa na wazazi arudiane na mzazi mwenzie nimeumizwa na hili kweli
@alheeramobile3793
@alheeramobile3793 Жыл бұрын
Pole my
@winschannel3949
@winschannel3949 Жыл бұрын
Hugs baby tuko pamoja 💏
@mohamedmbwana8604
@mohamedmbwana8604 Жыл бұрын
Mmmh pole
@mwahijasuleiman5062
@mwahijasuleiman5062 Жыл бұрын
Pole kipenz,,,ipo siku utapata wako
@joharibakari
@joharibakari Жыл бұрын
Pole kipenx changu hayo ndo mapenzi 😢😢
@witnessmalle771
@witnessmalle771 Жыл бұрын
Oky😊
@ummukuothumndakize
@ummukuothumndakize Жыл бұрын
Uko vizur Dr chris
@PendoLogan-dz8wz
@PendoLogan-dz8wz Жыл бұрын
Thanks
@JoyceJomson
@JoyceJomson Жыл бұрын
Dr.Chris Mauki: Nguvu Ya Mahusiano Ya Chumbani
28:57
Chris Mauki
Рет қаралды 41 М.
Chris Mauki: Kwa dalili hizi hafai kuwa mume
7:15
Chris Mauki
Рет қаралды 72 М.
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Двое играют | Наташа и Вова
Рет қаралды 1,9 МЛН
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 124 МЛН
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 36 МЛН
iPhone or Chocolate??
00:16
Hungry FAM
Рет қаралды 49 МЛН
Dr. Chris Mauki - MANENO 6 YATAKAYOFANYWA UPENDWE ZAIDI
7:25
Chris Mauki
Рет қаралды 18 М.
7 Signs That Someone Dislikes You and is Hiding it | STOIC PHILOSOPHY
27:50
Dr. Chris Mauki: Mbinu 5 za kujipa furaha mwenyewe
8:08
Chris Mauki
Рет қаралды 34 М.
Dr. Chris Mauki: Mbinu 6 ili Uweze Kupendwa na Mwanaume aliye Bora
8:26
Dr. Chris Mauki: Ukiyaona haya, hata kama unampenda, mwache aende
10:14
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Двое играют | Наташа и Вова
Рет қаралды 1,9 МЛН