Yamkini unajiuliza mbona kama mke wangu ananikwepa kwenye sex? Mbona kama hafurahishwi na anani epuka? Kuna uwezekano sababu hizi nne zinakuhusu na kamwe hawezi kufurahi kwa hiyo ataku kwepa tu. Ila ukizi shughulikia basi utamvuta
Пікірлер: 56
@DzineAl3 ай бұрын
mungu akubariki
@DzineAl3 ай бұрын
Mungu akubariki doctor ni kweli kabisa hapo kwa kutokali hisia zangu yaniuma sana
@chamnda1767 Жыл бұрын
darasa za mahusiano ni nyingi ila mabadiliko kwenye jamii bado machache so ni lazima tubadilike. NICE LESSON BRO.
@isikesamike Жыл бұрын
Thanks to God... Napenda sana kujali hisia za mwenzi wangu. Najali sana kumfurahisha kuliko kujifurahisha mimi kwanza. Akifurahi mie hu-enjoy zaidi. Asipofurahi huwa sifurahii tendo kabisa ila nikihisi anaenjoy basi nami husisimka sana 🙌
@happnesskitumbo571311 ай бұрын
Wewe ni mwanamume wa tofauti Sana hongera Sana.
@jessicamasepo8320 Жыл бұрын
Somo zuri sana,Dk waambie
@tulinagwembelo867 Жыл бұрын
Shikamoo Dr chris
@bilalybarisesa5206 Жыл бұрын
Somo zuri sana, asante sn ❤Mungu akubariki
@mattyhappy1581 Жыл бұрын
Brother hongera,,unafundisha vizuri tunakushukuru
@geraldmwangira.4978 Жыл бұрын
Ubarikiwe kwa masomo mazuri.
@SalomeEmmanuel-m1b Жыл бұрын
You are so fantastic doctor nagain a lot of things from u my brother GOD bless uuuu
@ElizabethAmos-c5q Жыл бұрын
Somo zuri sana Dr, shukrani sana
@joankileo1830 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa ubarikiwe doctr
@WinfridaMsungu9 ай бұрын
ubarikiwee kabisaa
@millicentmwambaji2632 Жыл бұрын
Following your teachings thank you so much brother in christ 😊
@portasisaac4439 Жыл бұрын
Asante kwa ushahuri.
@kambambuzi9280 Жыл бұрын
Apo kweny uchafu jamn ukimpat mume mchafu utajut
@reginaluhombo6483 Жыл бұрын
Chukua maua yako dr 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌷🥀
@CecyliaMwaivune Жыл бұрын
Nmeipenda hyo nzuri
@joyce2635 Жыл бұрын
Somo zuri sana doctor
@aishasaid8132 Жыл бұрын
Somo zuri sana Dr. Thanks
@HilidaNgenzi Жыл бұрын
Nimeipenda iyo dokta.
@kambambuzi9280 Жыл бұрын
Jaman nimechelew kuona masomo yak Dr Chris ila nimependa San kwakwel SoMo zur
@nkubaemmanuel5255 Жыл бұрын
Kingine umemsahau, ukimsaliti mara kwa mara
@hanifasururu2509 Жыл бұрын
This is NYC👏👏👌
@jeffersonmontero3597 Жыл бұрын
Watching from UGANDA 👍♥️🙏🙏
@mariammaulidlimo9332 Жыл бұрын
Saluti Dr
@Winfridankalupia-t8d Жыл бұрын
Asante sana
@GloryLyimo Жыл бұрын
Asante sana mkuu
@happinessjonathan9994 Жыл бұрын
Thank you Dr Mauki kwa somo zuri,kwa kweli hapo kwenye uchafu hapo daah siwezi kabisa kumvumilia
@SylvieSalma8 ай бұрын
Kweli docter
@mwamvuamussa-pd4su Жыл бұрын
nikweli kabisaa hujakosea
@tuombemamila1364 Жыл бұрын
Uishi maisha mrefu Dr ndio ombi langu kwako 🙏🙏🙏
@veronicaexavery784 Жыл бұрын
Yani toka nimeanza kukufwatilia nina wiki lkn najiona kila cku najifunza jambo jipya n na najiona nabadilika kila idara na ubarikiwe tu mshaur bora niliewah kuwafaham ww ni 1
@MwanajumaMasudi-w5f Жыл бұрын
Namtu mwenye kutaka mapenzi kwa simu uyo nae nivipi ushauri
@FelsterHaule-ik4hx10 ай бұрын
Yani unasema kweli kabisa mwanaume nilienae ajali hisia zangu kabisa anataka mimi nimjali yeye tu nifanyeje?
@princekapocho2132 Жыл бұрын
Asante Dr
@ZubeidaabdallahAbdallah-my6xr Жыл бұрын
Apo kwenye uchafu usiombe uwe na mume mnywapombe afu mchafu yesuuuuu
@MwajumaSwedi-pe5wz Жыл бұрын
Nikweli kabisa
@neemashirima6121 Жыл бұрын
Asante
@psalm2331 Жыл бұрын
Wanaume wengi hawajielewi mm nipo kwenye ndoa 21 years .Sina hata hamu yakumuona mume wangu. Nimekinahiwa .😂
@maimunaissah9928 Жыл бұрын
Unatisha Sana wewe baba mungu akupe maisha marefu
@happysamwel3880 Жыл бұрын
HAPO SAWA NIMEKUELEWA
@nuhsalehe5937 Жыл бұрын
Nyoa nyoa kaka
@nellymichael2782 Жыл бұрын
Kiukweli uchafu siwezi kiuvumilia
@happysamwel3880 Жыл бұрын
HAHAHAAAA,NYOA,NYOAA KAKA NYOA BABAAA
@NZAMUYEJoseph4 ай бұрын
Oowa
@FabianElenest8 ай бұрын
😅😅😅😅
@nellymichael2782 Жыл бұрын
Ahsatee
@HamidakomboKombo-xs2ju Жыл бұрын
Somo zur
@glorywilliam Жыл бұрын
Barikiwa sana
@tensibahati-ip9os Жыл бұрын
Endelea kubarikiwa Dr, hongera Kwa kuwakumbusha wenzio
@nuhsalehe5937 Жыл бұрын
Hahahaaa!!! Nyoa nyoa ni kweli kabisa nywele zao zinatuboa sana pia zinanuka jamani