Hatuna budi ila kumshukuru Allah Tabarak Rahman Alhamdulillah....Dr sule na timu Yako tunawapenda sana kwa ajili ya Allah 🤲 Allah atuzidishie kheir kwa sote .. amiin 🤲
@mofidamofidda7877Ай бұрын
Ameen YaaRab Ameen ♥️
@MohammadNassirАй бұрын
MASHALLAH. Live from Mombasa 001. DR. SULE✋️
@RahmaIddi-s2sАй бұрын
As-salam Alaykum warahmatullah wabarakat .... waislam Takbriiiiiiiii Allahu Akbar 🤲
@mofidamofidda7877Ай бұрын
Subhana'allah in shaa Allah YaaRab akupe raha na amani dunia na khera ❤ameen YaaRab Ameen
@kudraabdul7257Ай бұрын
Allah atuhifadhie huyu kimbe mana akimchukuwa mapema tutakuwa tumepoteza kichwa muhimu sana kwenye ukanda wetu wa east africa
@SayyidAhmadBaalawyАй бұрын
Allah amemchukua kiumbe bora ulimwenguni mtume saw kwani huyu nani akienda?? Watakuja kumi zaidi yake hilo sio lakuhuzunikiwa bali nikukubali namatokeo na mipango yake allah anapo yafanya. Huna lakupinga
@ZulkamhajiАй бұрын
Takbir takbir takbir
@protusmuliro2796Ай бұрын
Allah amlinde asije akaondoka kama ustadh imani petro.yahya osea.mzee rico.allah awarehemu
@tozzaalexandar4905Ай бұрын
Masha Allah swadacta
@Ummy-vd6tmАй бұрын
Allah akupe kilalakher atika dunia na akhera
@abuabdimanan4065Ай бұрын
Mashallah jazakallahukhera
@aishathabit3732Ай бұрын
Waislam hili jitu jizi
@KizibaDuniaАй бұрын
Allah akbar
@peterenos2627Ай бұрын
Dan 3:21 [Basi watu hao wakafungwa, hali wamevaa suruali zao, na kanzu zao, na joho zao, na mavazi yao mengine, wakatupwa katikati ya ile tanuru iliyokuwa ikiwaka moto] Toa mavazi mengine ni yapi? Hakuna mahali Biblia imesema mtu akifa azikwe bila jeneza. Acha uongo.
@milashalladbaАй бұрын
Ustadh Suleiman naeza kua na jibu lako...$100000😮
@daudisebazunguАй бұрын
Bwana Suleh bado unaendelea na hayo mambo lakini ? Allah atuhifadhi kwa kweli yaani mtu ataona mchawi kwenye maji 😂😂😂
@peterenos2627Ай бұрын
Hoja za kitoto kabisa. Kila mmoja anaripoti kulingana na tukio, na mahali ama namna ya uandishi. Ebu kila mmoja aliyehudhuria hapo ajaribu kuripoti uliyozungumza, kama kila mmoja atakuwa kurasa zinazofanana, ama maandishi yanayofanana. Mwezi wa 6 toka Elizabeti apewe ujumbe wa kumzaa Yohana Mbatizaji, siyo mwezi wa sita kama June unavyofikiri wewe. Siku za kuzaliwa Yesu, zilitimia. Kwa akili zako Yesu alikuwa Njiti? Nenda Wakristo wakufundishe. Ama toa injili mliyopewa Waislamu
@FarouqNnangujeАй бұрын
Doctor sure ilo swali kuhusu maji yalikaa juu ya nini ? Jibu ni kwamba maji hayakuwa juu ya kitu chochotee kile
@hadhanmelli3284Ай бұрын
Kwa nn hayakumwagika?😅
@peterenos2627Ай бұрын
Ni mwendo wa upako wa maji na mafuta tu sasa hivi. Hahahaah! Unatimiza unabii wa Yesu. Mathayo 24:11-24. [24: Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.]