Mbona hamtuoneshi huyo mbunge wetu jamani hatumuonagi hata
@anthonymgina389314 күн бұрын
Duuh! Mnaiba vifaa vya huduma za afya, watu watatibiwa na nini mbona huo ni zaidi ya ugaidi!
@josephmolle15 күн бұрын
😢😢😢😢 serekali ituangalie kwajicho la uruma tena 😢😢
@JosephJackson-f1s15 күн бұрын
Ccm oyeeee wapiga dili ndo mda wao
@snipershort698815 күн бұрын
Pia huduma kwenye kituo hicho zimekuwa ghali kama kituo cha mtu binafsi 🤔 hakuna dawa mpaka ukanunue madukani, iwe mzee, kijana na hata watoto, bila pesa unakufa bila kujali wana Nduruma wamekijenga wenyewe kwa nguvu kazi, GARAMA na KAULI KWA WAGONJWA vichunguzwe😭🤔
@mikeonesmo28514 күн бұрын
Mtangazaji hii ni halmashauri ya ya wilaya ya Arusha,iliyopo ndani ya wilaya ya arumeru, wilaya ya arumeru Ina halmashauri mbili ya Arusha na meru
@SaidSaid-sl8ct14 күн бұрын
Jamani serikali ipo na wazuri yupo. Kwa nini wasisguhulikie jambo Hilo.