Shukrani sana mkuu. Ndani ya dakika chache nimeelewa mnooooo.
@techwho21162 жыл бұрын
Karibu nana modern flicks na usikae mbali video zaidi zinakuja. Shukraan
@goodluckdalali80633 жыл бұрын
Barikiwa sana kodi inapasa ujue sheria
@techwho21162 жыл бұрын
Shukraan sana Goodluck!
@awadhaboud63223 жыл бұрын
Nzuri inasaidia ila maafisa wa TRA wakorofi sana
@techwho21163 жыл бұрын
Shukraan sana Awadh! tutajitahidi kuelimisha zaidi.
@elimika88923 жыл бұрын
Kweli wakali
@RenardYowely4 ай бұрын
Nataka namba za kuwasilian na TRA
@imanikuziwa5494 жыл бұрын
👍
@techwho21164 жыл бұрын
Thanks for watching
@josephatmwalongo6779 Жыл бұрын
Share namba yako Kwa maulizo zaidi
@elimika88923 жыл бұрын
Shukurani brother
@techwho21162 жыл бұрын
Shukraan Elimika!
@kingkagoprediction32487 ай бұрын
Sasa unafundisha au unakaririsha sema iyo laki Moja imetokea wapi
@wiliamsaro79552 жыл бұрын
Je naomba kujua jinsi ya kukadiria Kodi iwapo Sina rekodi kamili na lakin nipo kwenye million 4 nakuendelea ila ni chin ya ml 7
@techwho21162 жыл бұрын
Vipi hali William! shukraan sana kwa sali lako! ningependa kujna biashara gani unafbanya ama bicha unazouza ili kupata ufahamu zaidi! Shukraan
@elimika88923 жыл бұрын
Je kama mimi ninaanza biashara nitajikadiliaje kodi
@techwho21162 жыл бұрын
Vipi hali elimika! shukraan sana kwa sali lako, tutatoa video hifi karibu juu ya swale lako! shukraan
@peruce39542 жыл бұрын
Kwa mfano mtu mapato yake ni laki nne atalipa ngapi?
@techwho21162 жыл бұрын
Habari yako Peruce! tutakufahamisha zaidi juu ya hilo hive karibuni. Shukraan
@Rasheed-j2t2 ай бұрын
Niamby
@hashimhamis-bj1kf5 ай бұрын
Mkuu cjafaham hii 90000 + 3% yamauzo yanayizid tzs million 7
@adrianorayner65514 ай бұрын
hapo anamaanisha ikiwa mauzo yako yemezidi milion 7, Mfano mauzo ya milioni 8 kodi yake utachukua 90 + (3%* kiasi kilichozidi milioni 7, ambayo ni milioni 1, so itakuwa (90000+3%*1,000,000)= 120,000
@remmyvanny63962 жыл бұрын
Samahani mm kuna mtu alinambia amenitumia zawadi kutoka Italy mm Niko mombasa kenya juzi nikapigiwaa na namba ya kawaida simu asubui mzigo umeingia uko Nairobi sasa nilipe elfu kumi na Tano niletewe mzigo mombasa wakatina nyingine ya safaricom nikituma.pesa jina litakuja la mwanamke wafula sijui nani mm sijatuma uyo mzungu yuwanambia plz tuma kabla mshamwezi nakwambia mm Sina pesa rudisha mzigo wako naomba usaidizi
@techwho21162 жыл бұрын
Vipi hali Remmy nadhani tatizo lako lishamaliza. Shukraan
@hadijahassan97678 ай бұрын
Sorry watu wa salon tunaitajika kuwa na tra
@StamilLuwi9 ай бұрын
Kama nimetumiwa mzigo Kama zawadi sio biashara je nitapasaw kulipia
@lightnessndanzi4925 Жыл бұрын
Kama nalipa 555,000 inamaana wamenikadilia mauzo ni shingap maan Sina record
@godfreyaron670 Жыл бұрын
Nipo singinda mtaj wangu ni million mbili maafsa wa TRA walinambia napaswa kulipa laki mbili na nusu na ndo Kodi ninayolipa Kwa video hii inaonyesha napaswa kulipa angalau elf.90 UNANISAIDJE ..???
@rangervactechnolgy17082 жыл бұрын
Kk 40000000 kodi yake ni ipi
@techwho21162 жыл бұрын
Habari yako ranger vac!ili kupata kodi ya milioni 40 lazima kwanza tufahamu ni kitu gani hasa kinjhusiana na hiyo milioni 40.
@rangervactechnolgy17082 жыл бұрын
@@techwho2116 ufundi wa viyoyozi
@techwho21162 жыл бұрын
Sawa @Rangervac! hii TZS 40 millioni ni mauzo, au ni manunuzi?