From mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 ni shabiki yako muda mzee baba 🙏🙏🙏
@NdayisabaKarim Жыл бұрын
Kweli Kaaabisaaa Mheshimiwa Ernest Makulilo kwa kweli unatwambia ukweli woooote Ubarikiwe saaana ndugu yetu
@AlexisCongera-so4mi Жыл бұрын
Ahsante kwa maerezo yako kaka naamini hata sisi tunakuja
@daviddonatus81219 ай бұрын
Hongera
@noahmgaya6687 Жыл бұрын
asante kaka kwaelim uliyo tupa hatakam hatunandoto ya kuja kuko japo tumepata aidia wenda watoto wetu watakujaga huko mwak 2070 tukiwa hai🙏
@sautikaliitz934 Жыл бұрын
Mamae😅😅😅
@lex_niyukuri8617 Жыл бұрын
Nimependa san hiyo place ❤❤🎉
@christophenkurunziza7208 Жыл бұрын
Nakuelewa sana
@josephpeter8511 Жыл бұрын
Nice nice you speak wise
@aoloathumani10 Жыл бұрын
Nakuelewa kaka🙏
@GidionKasenene-kc3yx Жыл бұрын
Naomba no Yako kaka
@lizbethmathis8448 Жыл бұрын
Congole!
@philipraphael3676 Жыл бұрын
Maisha ya hivyo safi sana ninayapenda kama sin cha kunitoa nyumbani ninaweza shinda siku nzima.
@DizzoclassicSoundstz Жыл бұрын
Nasikia uko kantaki ni uswahili kaka je tunaweza kupata clip za kentaki pale heti watu wanaombana paka chumvi kule😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😭🔥 christmas 🎄🎄 njema
@enemtatuka5863 Жыл бұрын
Nakukubari Sana kaka ene
@DizzoclassicSoundstz Жыл бұрын
Nimekusoma kaka mkubwa pamoja sana nazani wengi tunatamani kufika hapo missouri 😂😂😂😂
@mussachichajr Жыл бұрын
Hili Jimbo linanifaa kwa kweli cz spendi fujo
@saviorJesusChrist Жыл бұрын
Tufanyiye. Vidio za bey(?price) za magari ya bei chini
@King_Of_Everything Жыл бұрын
👊👍✌️。
@devidjav3583 Жыл бұрын
Ebm i like your videos,can you construct a house to rent to others on your backyard if u wanted or you are restricted by law?
@-vj7os Жыл бұрын
He can but he must finish to pay all money to the bank because now house is for bank and him.
@farijalanyoni5685 Жыл бұрын
The law doesnt allow that
@hurumajosephat6333 Жыл бұрын
Nyumba hazina fensi
@alwyjahdhamy8094 Жыл бұрын
Kaka naomba utueleze huko Missouri in town a delivery man analipwa ngapi per hour ndio hisabu iingiane. In new york a delivery man yule wa kupeleka mizigo hapa na pale analipwa $20 - $22 per hour. Ndio mtu afanyaye kazi hio hawezi toboa maisha ya Manhattan town kukodi nyumba. Huko Missouri ni ngapi?
@Askari22 Жыл бұрын
Njoo Cleveland Ohio
@alwyjahdhamy8094 Жыл бұрын
@@Askari22 Ni ngapi per hour huko?
@Askari22 Жыл бұрын
@@alwyjahdhamy8094mfano kazi gani ?
@ahmedmohd2836 Жыл бұрын
Ebm watu ulowafanyia maombi y. Summer camp umewatupa ahadi zote hujatekeleza k2 vpi mzee usifeli
@ammaherman3391 Жыл бұрын
EBM Vipi kuhusu Atlanta
@edwinalexander1170 Жыл бұрын
Mim nataka siku nikifika huko nikae kijijini kwenye miti mingi kabisaa. Kwenye utulivu.
@saleheinnocent7636 Жыл бұрын
😂😢❤😅🎉❤
@NgelejaCharles-ng7bh Жыл бұрын
Safi sana kaka Maana wengine Bado mpaka tuone magorofa marefuuuu na magari yakipiga honi nyingi ndo tujue hapo ni Marekani 😂
@atomphoton5000 Жыл бұрын
Sasa mbona huko unakokaa ni panaonekana kama kijijini kwetu Ukerewe wewe ni kweli uko Marekani au unafanya biashara ya mtandao?
@devidjav3583 Жыл бұрын
Wewe kaka wacha mchezo ebm ni jina kubwa sana,watch his videos then tell us what you think.respect people
@edwinalexander1170 Жыл бұрын
Bro huyu jamaa anasaidia watu wengi sana. Huwezi uliza maswali ya kijinga hivyo. Marekani haifanani na huko ukerewe kwenu. Hapo tu gharama ya hiyo nyumba yake ukizidisha kwa fedha za kitanzania ni kama million 500. Kuipata Hiyo itabidi utafanye kazi miaka mingapi uweze kuinunua??
@Bless510 Жыл бұрын
Acha dharau wewe..rudi kasome kwenu uko ukereweni chok** wewe… EBM jina kubwa