Hongereni nyote ..Dada despina,.. nikikuona tu na kukusikia nafurahia na kumshukuru Mungu
@emmanuelkameme4091 Жыл бұрын
Dada Depsina na wengine wote hongereni sana kwa ibada nzuri ya uimbaji plus huu wimbo wa melody ya Kifipa toka kwa mzee wetu Syote mmeutendea haki. Mbarikiwe sana❤
@rithaawe9959 Жыл бұрын
Napenda sana kusikiliza nyimbo anazoimba Despina. Hongera sana kwa utume
@dafrosamonko825410 ай бұрын
Wimbo mzur sana unabariki. Hongereni sana watumishi wa Mungu.
@SabinaManonga5 ай бұрын
Natamani nimwimbie Mungu kama wewe
@cornelnamzosha24662 жыл бұрын
Mungu azidi kuwabariki
@charleskazeze8750 Жыл бұрын
Nyimbo zako na sauti Yako zinanifarij sana especially this Lent period God bless you Madame
@fortunatayahaya46002 жыл бұрын
Good job hongereni especially to dada despina Mungu aendelee kutunza kile alicho anzisha ndani mwako
@PPCProduction20222 жыл бұрын
Mziki mtamu kweli honger👍👍👍
@charleskazeze8750 Жыл бұрын
Another master piece from Despine na her group God bless you Madame
@jimmyerick40212 жыл бұрын
Hongereni sana kwa wimbo mzuri sana
@poncegk52632 жыл бұрын
Kudos to you, mnafanya kazi zilizo bora siku zote
@baltazalcornel37432 жыл бұрын
Mbarikiwe
@lilianalara80072 жыл бұрын
God bless you ❤ for Good job ❤ May God 🙏 blessings be upon you always🎼🎼🎼🎼
@georgemburu26472 жыл бұрын
Hongereni Sana....Despina 🔥
@innocentmakoi4622 жыл бұрын
Kazi nzuri sana! mbarikiwe
@janem38062 жыл бұрын
Amina Amina. Tuzifanyiye shangwe sifa zako!!
@emanueledson23982 жыл бұрын
Hongereni sana
@samuelmundia3202 жыл бұрын
Woooow so inspiring.. Continue bless us with such kind of piece..