EXCLUSIVE | DIVA AFUNGUKA MAZITO -"MWIJAKU ALINIAMBIA ANATAFUTA KIKI,NAMPENDA SANA MUME WANGU"

  Рет қаралды 55,995

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 106
@Teddy-fq5oc
@Teddy-fq5oc Жыл бұрын
Nampenda sana uyo dada anaongea vizur Divaaaa
@Slingtvmedia
@Slingtvmedia Жыл бұрын
We love diva the bawse
@shemelaruhinda6113
@shemelaruhinda6113 Жыл бұрын
Diva nakupenda sana. ♥️
@Nikita_8017
@Nikita_8017 Жыл бұрын
Respect to Diva
@josephgatunzi1670
@josephgatunzi1670 Жыл бұрын
Shikamoo dada nakupenda bure❤❤❤
@gabrielcostantino7460
@gabrielcostantino7460 Жыл бұрын
Nakupenda diva
@dotogiving9293
@dotogiving9293 Жыл бұрын
Yupo sawa Dada Diva
@SamuDshira-xm9yn
@SamuDshira-xm9yn Жыл бұрын
Diva upo kipesa zaidi,utafeli,hautoboi kwenye mapenzi
@omanmct135
@omanmct135 Жыл бұрын
Safi sana diva
@enterenter7798
@enterenter7798 Жыл бұрын
Hahahahahahaha watu hata uongee mazuri utaonekan mbaya tuu hahahahahahaha Diva the boss keep it up
@badmanno.1650
@badmanno.1650 Жыл бұрын
Hehe kama kuna watu wanacheza na dini ni watanzania... 🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🤷🏽‍♂️
@bakariomary8556
@bakariomary8556 Жыл бұрын
Linaakili hili dem phana halafu linaupendo
@kakakuona57
@kakakuona57 Жыл бұрын
Diva,umewahi kuwa mpenzi wa diamond
@danielembakashi4846
@danielembakashi4846 Жыл бұрын
Kumbe kiswahili unajua
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Жыл бұрын
Diva ilove you
@noorrajpar3928
@noorrajpar3928 Жыл бұрын
Huyu dada anamaisha magumu sana sema anatamani maisha mazuri
@MikiGermany210
@MikiGermany210 Жыл бұрын
Sio kweli ndugu yeye kweli hana pesa ila unamjua baba yake ni nani?
@ikramalmas7039
@ikramalmas7039 Жыл бұрын
Vipi maisha yako?
@bainolatino3412
@bainolatino3412 Жыл бұрын
@@MikiGermany210 kwani baba yake ni Nani brooh nambie Kwa faida yangu
@Thebaddest255
@Thebaddest255 Жыл бұрын
@@bainolatino3412Baba yake mbunge
@Thebaddest255
@Thebaddest255 Жыл бұрын
Maisha anayo anakuombaga pesa ya kula?
@cdeleo9336
@cdeleo9336 Жыл бұрын
Huyu ana pretend maisha aisee mpka huruma
@mwajabuhoza9919
@mwajabuhoza9919 Жыл бұрын
Nimependa vidole vyake Diva. Visafiii hana ma kucha ya bandia
@zarinashivji9736
@zarinashivji9736 Жыл бұрын
MashaAllah ❤❤
@barakakusa7606
@barakakusa7606 Жыл бұрын
Sud alikuwa mpenzi wake so bado hajamove on;
@theodoremilenzo9420
@theodoremilenzo9420 Жыл бұрын
Muongo anaongea kiswahili vizuri sana na tena cha uswazi hovyoooo
@sbwest3023
@sbwest3023 Жыл бұрын
Sio mbaya, amesema tu ukweli kua yuko comfortable akiongea English na hata ukimsikiliza anachanganya English hana huo uongo unausema 😁😁😁
@abdallaabdalla998
@abdallaabdalla998 Жыл бұрын
Duh ati nikiwa ndani nakua mke 100% ukiwa nje unakua mke %?
@parachichiFM
@parachichiFM Жыл бұрын
Eti ameoa Brand😁
@salmamwamba2745
@salmamwamba2745 Жыл бұрын
Diva nafikaje studio kwako au km nataka kushare story na kuitaji ushauri nakupataje
@aishaimam1442
@aishaimam1442 Жыл бұрын
Umeongea maneno mazur ....ongera
@WardaSalehe
@WardaSalehe Жыл бұрын
Sijawai ona boss anafanya kazi tena za umbea majigambo maisha yako magumu umepanga😅😅😅
@sabihasalim942
@sabihasalim942 Жыл бұрын
Hii interview na Diva nimecheka through out...the whole crew was funny.💓🇬🇧🇰🇪
@sabihasalim942
@sabihasalim942 Жыл бұрын
I didn't want imalizike ....love you all guy's.
@omanmct135
@omanmct135 Жыл бұрын
DivA njo oman namumewo kutembeya kwetu
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Kuna mda mwngn umeongea kingereza sijui km juma kaelewa 😁😁
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
😂😂
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
@@mwanatz5980 😁😁
@najuf8021
@najuf8021 Жыл бұрын
Kiswahili anaongea vizur tu halafu kama cherehan
@fathimamct232
@fathimamct232 Жыл бұрын
Mwari wa Dida Amewiva ila SoMo Pumba Anamaliza waume ,🤣🤣🤣🤣
@wacundirangu1661
@wacundirangu1661 Жыл бұрын
KISWAHILI KITUKUZWEEEEEE!!!!!!!!!
@jacquelinejohn7821
@jacquelinejohn7821 Жыл бұрын
Kasome bhna😂
@salma-fc4xc
@salma-fc4xc Жыл бұрын
Ndiooo kingereza sio lugha yetu wazungu pia wanataman kujua kiswahili wengine
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Milele amina
@emmah_bill5597
@emmah_bill5597 Жыл бұрын
Siamini😂😂
@hamzakamil5001
@hamzakamil5001 Жыл бұрын
mke ameagizwa kujiachia home na ajistir nje na home
@mohammadfahad3186
@mohammadfahad3186 Жыл бұрын
Leo umeanini kuwa ni tapeli😅😅😅 watu wa comment puteni huku
@abdallahahmed2776
@abdallahahmed2776 Жыл бұрын
Mm naona tutafite hela mke atakuheshimu mwenyewe
@mosimba467
@mosimba467 Жыл бұрын
Wewe ni Mhaya bana Loveness Malinzi Mganyizi
@rosestigeneriksson8387
@rosestigeneriksson8387 Жыл бұрын
Huyu dada muongo na anapenda sifa'hivi angekuwa mzuri ingekuwaje?hivi alivyo tuu anaringa
@aminasalmin6058
@aminasalmin6058 Жыл бұрын
Na ubaya pia hana yawezekana hata humkaribii licha ya kumfikia. Ni wazi huo ni wivu,ndio keshakuwa hivyo alivyojaaliwa na Muumba. Kwa sababu hapo Pana mazungumzo hapahusiani na uzuri. Utakufa na Tai shingoni.
@rosestigeneriksson8387
@rosestigeneriksson8387 Жыл бұрын
@@aminasalmin6058 amekutuma nini huyo kifutu
@kakakuona57
@kakakuona57 Жыл бұрын
Mwambie juma lokole aache kujichekesha chekesha kama demu,
@hamzakamil5001
@hamzakamil5001 Жыл бұрын
mke anatakiwa kua mke popote nyumban na hata nje ya nyumba
@kwisa4899
@kwisa4899 Жыл бұрын
Tapeli
@lucymussaabinego1753
@lucymussaabinego1753 Жыл бұрын
Na uzuri huo si ntakuwa nakupa shavu unipige kila siky
@jumannerajabu8259
@jumannerajabu8259 Жыл бұрын
me nirivona ile clip ya hovyo nimekushusha samani nakuona kama nzi2 hataungee Nini ww nimshenzi ulieptiliza
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 3 ай бұрын
Nataman kuona kichwa cha diva jmn kutwa mawigi hata kusuka nywele zakawaida hakuna
@khalidsoud235
@khalidsoud235 Жыл бұрын
Mganga ni mganga tu
@keyla3641
@keyla3641 Жыл бұрын
Dida kakuwa jamani
@nahimanasaidi9490
@nahimanasaidi9490 Жыл бұрын
Diva Ebu tubainishiye izo dua zinaitwa aje km sio uganga huo anafanya mmeo
@mahmoudukusso4488
@mahmoudukusso4488 Жыл бұрын
Mnaswali na hiyo mivuzi ya kichina kichwani?
@jacklinelyimo7407
@jacklinelyimo7407 Жыл бұрын
Wigi hilo anatoa ajasuka
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
Asa uganga mpaka matunguriiiii kkkkk
@allywaziry6419
@allywaziry6419 Жыл бұрын
Mganga huyoo usijidanganye
@lucyngoo6309
@lucyngoo6309 Жыл бұрын
Etiee anajidanganya
@hamzakamil5001
@hamzakamil5001 Жыл бұрын
abdul hajajua nafas yake kama mume kumruhus mke kua kichwa waz au kuto kujistir kama din inavoelekeza akiwa nje na nyumban na kujistir nyumban hajipendi na hampend mke maaana anachokifanya ni kinyume na dini
@Lululemon55
@Lululemon55 Жыл бұрын
Anaongea km cherahani mbovu
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 Жыл бұрын
Wazigua wanawake kwa waume zao ni watumwa tu. Wanaume wao ni kula kulala mbele b kwa mbele
@allahisone6386
@allahisone6386 Жыл бұрын
🙄 Eeeeeeeeeeh 😳
@Daniel-it8tv
@Daniel-it8tv Жыл бұрын
Gangaree huyu ana piga watu
@salimakuyela7813
@salimakuyela7813 Жыл бұрын
Kwanza kauli ya kusema anapokea Kila mtoto atakae letwa na mume wake kachemka maana hapo tu dawa zimemuingia
@lucyngoo6309
@lucyngoo6309 Жыл бұрын
Du!! Inawezekana
@joviangeofrey6918
@joviangeofrey6918 Жыл бұрын
Mmmmmh unamfulia? Umejifunza au Kwa mashine dada angu???
@lydi791
@lydi791 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣Dida
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
😂🤣😍😍💪
@rehemavickie6521
@rehemavickie6521 Жыл бұрын
Motivation speaking haha
@justinesorwa-soudo4177
@justinesorwa-soudo4177 Жыл бұрын
Ulimi hauna mfupa..
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
😁😁
@sarahkimaro75
@sarahkimaro75 Жыл бұрын
😂😂😂
@ellenkamanzi3505
@ellenkamanzi3505 Жыл бұрын
Diva anasauti yakitoto ila mwil sasa kama lishangazi 😂😂🤸
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Жыл бұрын
😂😂😂😂 lishangazi
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
😁😁
@treasure12415
@treasure12415 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂🙌
@jumakassim8718
@jumakassim8718 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@mugishasharmilla5874
@mugishasharmilla5874 Жыл бұрын
Kumbe Anaga akili uyo dada wallai ndio maana tunaambiwa kosea kila kitu usikosei kuowa ao kuolewa abdoul anaukumiwa na mwanamke kila kitu kipo wazi
@Anonymous23216
@Anonymous23216 Жыл бұрын
Ndo mambo ya waislam hayo. Kujigamba kwamba "dini yetu ya kiislam"... Asilimia 99.9 ni madanga. Wanawake wa kiislam wanadanga hadi mwezi wanaouita mtukufu. Sasa dini gani iooo
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Ni dini au watu?
@halimashaaban8328
@halimashaaban8328 Жыл бұрын
NdiO anafaa kutofautisha dini na watu
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Жыл бұрын
@@khadijahali4837 ah umempa jibu zuri sna
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
@@malak-lz6kx 😁😁😁sante
@salehaljadidi8206
@salehaljadidi8206 Жыл бұрын
Mzee wa matunguli huyo, mchawi mkubwa, anatumia majini kuwaroga wanawake. Eleweni huyo Jamaa ni mpemba, na wapemba ni wachawi wakubwa. Diva na ujanja wake alipatikana kwa huyo mzee wa matunguli. Cheza na mpemba wewe. Jamaa haachi hata wake za watu, anakula tu.
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
Mbn wanasema ni wa Arusha
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Жыл бұрын
Koma kwanza uyu sio mpemba namjua vzr alishawahi kukodi znz jiran kiukweli uyu nikipishana nae huwa anasoma Quran alikua mtulivu kaharibika saiv izo tabia alafu sio mpemba kabisa hyu mpk lugha yke.
@salehaljadidi8206
@salehaljadidi8206 Жыл бұрын
@@malak-lz6kx kama sio mpemba ni kabila gani ni mpemba aliyekuwa anaishi Arusha. Kwani kusoma Quraan Kuna kuzuia kufanya matembo mabaya na machafu?? Ujue waganga wengi wanatumia Quraan kutibu watu na wengine kama huyu jamaa anatumia Quraan na matunguli na uchawi. Huwa hawamwogopi mwenyezi mungu kwa ajili ya masilahi yao.hata ukikataa jamaa anachanganya dini na uchawi wa matunguli.
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx Жыл бұрын
@@salehaljadidi8206 sio mpemba nimeshakwambia wala hakujui hta kulivokaa wapemba tokea lin wakawa na meno chocolate na ndio nikasema saiv kaharibika ypo tofaut na zaman
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@moannamzigua9293
@moannamzigua9293 Жыл бұрын
😜wazigua sisiiii mmmh!!!
Creative Justice at the Checkout: Bananas and Eggs Showdown #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 34 МЛН
DUBAI HERE I COME || DEM WA FACEBOOK.
13:50
DEM WA FACEBOOK TV
Рет қаралды 4,5 М.
Diamond Platnumz - LEO TENA ( CLOUDS FM 2017  PART 1)
10:55
Diamond Platnumz
Рет қаралды 2,1 МЛН
My Journey to Dubai: DRESS UP,  DRIVE THROUGH & AIRPORT PROCEDURES
23:53
DEM WA FACEBOOK TV
Рет қаралды 14 М.
Creative Justice at the Checkout: Bananas and Eggs Showdown #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 34 МЛН