Mwanaume kukupiga sio wivu ni abuse!!! Dida stop it, wewe ukipigwa utarudi kwa huyo mume!!?? Mwanaume au mwanamke akikupiga ni hakupendi anakunyanyasa. Diva, Abdul hajawahi kukupenda anakutumia tu. Abdul anakuchukia kakuoa kwa ajili ya Diamond ili apate connections tu. Abdul anamjulia Diva sana ndio kajifanya kuzimia ni mkwara tu hajazimia wala nini maigizo tu hayo ya kiganga😂😂😂
@zainabmussa3521 Жыл бұрын
Kweli sio wivu ni abuse Mimi niliwahi kua napigwa jamani naelewa iyo situation yaani mwanaume anaepiga usiombe
@btylove1870 Жыл бұрын
@zainabmussa3521 Pole my dear🫂 inauma sana. Usiruhusu tena hiyo hali itoke kwa life, mwanaume anaekupiga hakupendi. Mimi mwanaume atakae jaribugi kunipiga basi na yeye asifunge macho usiku kulala, maana sitokosea nitamuacha na ulemavu wa milele!
@annajoseph9955 Жыл бұрын
@@btylove1870 nmecheka kwa saut eti asilale🤣🤣🤣🤣🤣
@btylove1870 Жыл бұрын
@@annajoseph9955 Kweli tena! Mwanaume ananguvu kuliko mimi mwanamke yes atanipiga, ila akifunga macho usiku kulala narudisha kipigo kwake na sitokosea nahakikisha ulemavu wa maisha anaupata.
@borryab00 Жыл бұрын
The way this man appears is different what we hear about him. Looks like tiger in sheep skin. Change needed this is new era
@cdeleo9336 Жыл бұрын
Huyo mwanaume hakumpenda diva ila kuna kitu alifuata. Diva hata ukirudiana na huyu mtu yatakupata makubwa
@mpetaamarijani2656 Жыл бұрын
Nyie tunataka maelezo ya bandari hayo mengine tuacheni kwanza
@faiditv5535 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@teychriss3248 Жыл бұрын
😀😀😀!
@AsdDsa-fi5qk Жыл бұрын
Bandar Ina jamn😂😂
@alwiyad1977 Жыл бұрын
Exactly who cares about a wife who lied all her marriage
@NR-ll4sr Жыл бұрын
Kwa nini usitafute mwenyewe
@bujashidaniel5537 Жыл бұрын
Nlchokiona hapo jamaa anammudu sana Diva ,,then inaonekana Diva anampenda sana jamaaa
@Qtep-eb3og Жыл бұрын
Mmekosa chakupost adi mrudie vitu vya zamani ovyo kabisa 🤣
@ladyr.hamsini2311 Жыл бұрын
Dida wewe m mbeya ATI nimesikitika machozi yamenitoka😂😂😂😂😂😂😂 mmmh didah huo ugonjwa ukiambiwa unaeza kulia diddah😅😅😅😅 shikamoo kipenzi changu 🥰❤
@dn.n4983 Жыл бұрын
Kweli huko ndoa au jela hata secone sikai hatari asije hakapata strock bure then too late
@zahraalbaloochi2841 Жыл бұрын
Mmhh mapenzi kipofu!!! watu walimwambia Diva kma hyo ajiita Shkh Abdul sio mtu mzuri hakutaka kuchunguza
@shaddybmc8342 Жыл бұрын
Ndoa sio Harusi wapendwa, Wengine wanajua ndoa ni Harusi,
@omanmct135 Жыл бұрын
Dida unachekesha sana❤😂😂😂😂
@rehemaothman2475 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂Umeonaeeee
@bahatiaamani9320 Жыл бұрын
Uyu Diva sinjo amekuwa na pose nyingi nyingi sana kwa mme wake kweli duuuuuh tutaona mengi aki
@Miriam-hv4rc Жыл бұрын
Sijui nachekanini hakiyamungu ...eti mpaka nipakwe dawa🤣🤣🤣🤣
@omanoman2923 Жыл бұрын
Hapo sasa hakuna mke mke anataka kuwa mume na mume awe mke hapo mtangazaji hvyo je angekuwa Rais Hee makubwa
@SafiyaaaSofi-uy3nk Жыл бұрын
Bwana huyo diva ni Malaya huyo mm najuwa Abuli kwani huyo diva Ana uzuri gani nibora huyo alomuwacha mm najuwa vizuri, diva
@suzziechadai4434 Жыл бұрын
1:Simu imekata didah kasema AIWEZEKANI 😂yani kwa hisia kali kwamba awezi kosa story🤣🤣 2:Kumnanga kote Abduly kumbe watu wako pamoja eti MAKUBWA 🤣🤣asee nimecheka 🤣🤣🙌🙌
@winnieumanzi5572 Жыл бұрын
Haya bado zuchu 🤔🍿🎥 kumpiga diamond 🤪🤪😜😜😝😝alivuja vitu diamond ata hepa pole pole🤸🤸🤸🤸
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Ila kiufupi hawa nao wametuchosha,huyu diva ni mpumbavu sana asitupotezee muda,ndo maana dida alikuwa akicheka mwanzo sababu anajua huyu mwanamke ni mpumbavu hajui alifanyalo..akwende zake na upumbavu wake,
@judithmasima5800 Жыл бұрын
Hii ni ya siku nyingi
@abbashussein-hz4dr Жыл бұрын
Hv najiuliza kwann wanaume wenye kupenda kwa dhati huruma na ihsan na mapenzi hatupati hyo bahati maana tunatambua mchango mkubwa wa wanawke maishan mwetu hv mnajua kitendo cha mke tu kubeba mimba na kulea miez 9 heka heka zake kula yke tafran yke tungeambiwa tuuze hii dunia na vilivyomo huwez mlipa bado hapo uchungu wa leba anakuja kukuzalia unaitwa baba una kipi cha kumlipa jamani naomben ssna tuwe na huruma wanawake wanalia kwa mengi jamani tuwe waadilifu huruma utu mwnamke hatak hata pesa bali muda wako tu tuwe na muda tuwe faraja kwao leo hatufanikiw sababu ya machoz ya wanawake tunakipi kesho kwa mola wetu tunapokwenda kesho padogo machoz ya wanawake ni laana Yarabby atujalie tuwe na utu na huruma machoz ya wanawake inatuangamiza kila kona choz la wanawake turud kwa Allah tuwe muda na familia zetu huko ndo kufaulu ndo kunazaliwa tumain lisilo kwisha utulivu na mapenz mke ndo hadhina yetu nyumba hata iwe ya almas km haina mke haina ubora wanapitia mengi tue na huruma utu na nidham tuwaheshim Yarabb tujalie wenza wenye kher kwa wakati sahihi na watu sahihi tupate kufaulu ukimjulia mtoto wa kike walah hutopata karaha na tabu labda utake ww cku zote wanawke wanapenda mno hawajaribu hilo tuweke akilin mapenzi ni care love respct nguzo 3 muhim hzo ikiporomoka moja tu zote zaporomoka mola atusimamie ammyn🤲🤲
@AsdDsa-fi5qk Жыл бұрын
Amina Yarabby alamina🙏
@omytifa6403 Жыл бұрын
Wale wanaobeba mimba bila ndoa pia waheshimiwe au wa ndoa tu
@itsurgirlZuuh Жыл бұрын
Wanaume matapeli
@abbashussein-hz4dr Жыл бұрын
@@itsurgirlZuuh inategemea na maadili yke na tabia sabab rasil mali ya mtu tabia na dini ucha mungu na khofu ya Allah huko ndo kufaulu kwetu Allah atuhifadhi na hilo ammyn🤲🤲
@khamisali87 Жыл бұрын
Uyeyasema haya una mke lakini?....wake hao unawazungumzia wewe ni Ma Bibi zetu si wake wa sasa ww unahisi alichokifanya Diva ni sahihi kutangaza katika vyombo vya Habari?!!!...na si mke sema wake maana tumepewa fursa ya wa 4 kuoa...
@lindambilinyi6253 Жыл бұрын
Kipindi kimepata ukunaji😂😂😂😂🎉
@mohamedpembe5887 Жыл бұрын
Nmefurahi dida alivyokuwa anashabikia halaf all over sudden anapiga cm anaambiwa yupo hapaaa.😂😂😂
@citymwacheo4497 Жыл бұрын
Hii mbona ya kitambo
@donlinechanell4760 Жыл бұрын
Kipind flan jamaaa aliumwaga divah akawa hajali lbsa yni ila tu jamaaa kuficha madhaifu ya mwanamke wake akadanganya akasema divah anajali wasafi wakapiga simu kwa jamaa wakaongea nae sku hyo alikua na divah ili kuficha madhaif tu ya divah jamaa akawa anajibu ionekane divah hana makosa ila ukwel nkwamba divah anazingua sana....
@ngambikomsu64 Жыл бұрын
Hiyo ndio matokeo ya ndoa za kulazimishia.....kuangalia watu wananionaje....kufurahisha watu.......n.k
@spensiozakato600 Жыл бұрын
Point
@alfredyrichard1404 Жыл бұрын
😢😢😢😢hawa Jaman khaaaa
@masalakulwa7601 Жыл бұрын
Gonjwa gan hilo
@faiditv5535 Жыл бұрын
Hiyo ya zamani
@zeramohamed9672 Жыл бұрын
Huyo diva ache yamkute unafukiria ukaingilia ndoa ya mwenzako ianakuwaje yy aliwatoa wake wawili kwa mpigo yaani ukiona mwenzako ananyolewa nawewe kaa mkao wakunyolewa wala usimtetee diva mangi alisema huyo amefata jina sio diva hahahaha mm diva nilikuonya ukanibloc 🤣😁😆🤣🤣😆🤣😁😁😁😁
@elizabethbwakila3982 Жыл бұрын
Hee jmn diva!😂😂😂 Mambo ya ndani usipende kuyatoa mitandaoni.
@suzziechadai4434 Жыл бұрын
Yani issue tumeichukulia SERIOUS afu watu wanacheka cheka sijapenta 🤣🤣
@jojomurenga4502 Жыл бұрын
Makubwa haya didah madogo yana afadhali. Sijaona mwanamke mpenda drama kama huyu diva. Nyoko sana
@kudrasadi765 Жыл бұрын
Nyooo eti masa 24 wee umekuwa na si ujipake mshenzi wew eti naumwa kwani yee doctor
Ndoa za siku hizi ni mtihani kwa kweli duuh me simo😂😂😂
@ayshahussen7452 Жыл бұрын
Jamani hii video ni ya zamani msitumalizie bando😚
@hamiyhamadi2613 Жыл бұрын
Video ya zamani hiyo bhanaa
@bintmuhammad4913 Жыл бұрын
hii story imerudiwa khaa! sio issue ya juzi mbona
@Sophiassti Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Huyu mzima kweli eti siend sokoni we Fala nn usiende sokoni kwaajili ya utangazaji au?? We mshamba nn Khiii
@MsAggie5 Жыл бұрын
Celebrity WA bongo angekuwa America tusingekunywa Maji. Wabongo Wana vituko Sana. Rihanna akija London anapanda underground hadi meya alimpa underground life ticket na ni brand kubwa eti Diva asiye na udiva wowote. Anyway hii interview ni ya muda mrefu
@amanimapenzi571 Жыл бұрын
Abdul huyo ni mwizi tuu wa mapenzi!!!
@ladyt1471 Жыл бұрын
Navyoona Diva ni muongo anataka kuvunja ndoa yake Diva tulia kwenye ndoa yako mvumilie mumeo kwanini uvae jens za kuchanika wakati umeolewa?msikilize mumeo na mpende mumeo kuwa chini ya mumeo tulia mama
@R_bird117 Жыл бұрын
Episode yote point ipo mwisho tu. Watu wajadili mambo wanayoyategemea kwa wapendwa wai. Sio tunaingia kichwa kichwa kwenye ndoa halafu unataka umbadilishe mwenzako wakati kiuhalisia ndivyo alivyo.
Sana alijamu huyu didah alipoulizwa kuhusu ndoa yake
@MsChocoFlava Жыл бұрын
This MAN he is an abuser maana Mmhh halafu DIVA Kweli unayakubali Haya wewe mtu unae washauri watu kwenye lavidavi sasa ulikuja kutulilia nini kwenye mitandao Kumbe mnalala PAMOJA shenzi Kweli wewe Diva siku nyingine ukija kutulilia mitandaoni hatutakusikiliza.
@Jibambeshow254k Жыл бұрын
Zandani hizoo 😂😂😂😂😂 mtakoma wenye kupenda acheni tu nibaki single maisha mafupi
@samehewaliokukoseya2605 Жыл бұрын
Kwani wamerudiana tena? 🙄 tume choka☹️☹️ kwakweli iyi sio ndoa
@janeschurmanns7364 Жыл бұрын
Wanatuwekea story ya zamani
@khamisali87 Жыл бұрын
Msimbaze watu yakikukuteni msikimbilie katika mitandao mkatuharibia MB zetu kimbilieni Polisi
@queenlinda255 Жыл бұрын
Wamerudiana 🤣🤣🤣🤣🤣 si. Alisema basi yeye divaa kapatikana
@maryamshija566 Жыл бұрын
MUNGU WANGU WANGU LEO 😂😂😂 NACHEKA MIMI MAPENZI HAYA
@hadiadaoman1981 Жыл бұрын
Hii ya muda sio ya juzi
@salmanassor8732 Жыл бұрын
Nimejikuta nacheka kwa sauti 😂 mapenzi haya jamanii 🙌🙌
@rehemaothman2475 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@shakilaabdallah7890 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@vero57 Жыл бұрын
Divaa ulikua una pigwa??kheee!! Pole , mie mbona nigeondokaaa mapema!!!
@winnieumanzi5572 Жыл бұрын
Oooh my Goddyyyy😝😝😜😜🤪🤪 please don't let anyone own you and disrespect you Diva your a celebrity you need to keep you image clean this guy will change your face men want to destroy your image end the pain
@zakhiamsuya4922 Жыл бұрын
Yaan diva bado hajawa tayar kuwa mke wa mtu hapo nmeshaelewa duh
@sidikassim6759 Жыл бұрын
dda kma umlew kw Iman ya kislam bas heshm NDoA yko
@hasinaalrahbi6681 Жыл бұрын
Huyo hahuyp tayari kuwa ktk ndowa.lazima uheshim ndowa yako
@nabilabdallah707 Жыл бұрын
hilo ndilo tatizo la wanawake mume akiwa na wivu naww inakua balaa kama hukuonei wivu pia munasema mupewe nn munataka
@neemamustafa Жыл бұрын
Mmm huyu ni shekhe au nishena!!?
@levisdiamond4797 Жыл бұрын
Utoto tu ndo unawasumbuw tangazeni 😏😏.
@munaomar9532 Жыл бұрын
Mh 😂hizi ndowa nazo .sasa huo ugojwa nini utajeee mana maisha yenu ya mtandaoni😅
@MadenaIphone Жыл бұрын
Hiyo yasiku nyingi tunahitaji mpya
@sidikassim6759 Жыл бұрын
We dda NDoA huwzi ushzoea Toka Toka uzungu
@alantonio855 Жыл бұрын
Ya zamani
@evalenad6256 Жыл бұрын
Mimi nilijuwa tu Huyo Diva alikuwa muongoo muongo mkubwa.! 😢shame on you Diva.!
@MadenaIphone Жыл бұрын
Hiyo niyasiku nyingi
@bettyngala8518 Жыл бұрын
Never judge
@lovvy854 Жыл бұрын
Mbona hii stori ni ya mdaa sana mumekosa content nin wasabasi na wambea wa Tanzania mwarudia ziliopitwa na wakati😂🤣
@AzaShamba Жыл бұрын
Abdul alkua amtafutia sababu diva. Wanaume ndo walvo wakishamchoka mwanamke anatafuta sababu
@MoBunsen.001 Жыл бұрын
Ndoa ya kadhi na kungwi imeshindikana pia 😂 😂 😂
@joezeno8 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@joezeno8 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@joezeno8 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mrsab303 Жыл бұрын
Dida I love you ❤❤❤❤❤
@zeramohamed9672 Жыл бұрын
Toka zamani alikuwa malaya diva umeona hukufikiria hata wanawake wenzako 😂 I😂hahaha nabado
@anithastaford1564 Жыл бұрын
Mbn mmerepost hii ya siku nyingi
@lulurubby2235 Жыл бұрын
Hayo sio mapenzi huyo ni control freak yule mwanaume ni jini
@nyotalaprincess3393 Жыл бұрын
Mbona Iyi kama yazamani Iyi tumesikia kitambo
@rukiasalum2248 Жыл бұрын
Dida umeniua 🤣🤣🤣hakika. Yatima wa mapenzi tena?
@pendo8082 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@fatumahamisi6470 Жыл бұрын
Jamani ! !
@selmesaid7405 Жыл бұрын
Hakupata mume ila kapata tapeli wa ndowa unKuta unalinda uschana wako au ujane wako mara tu shetani wa ndowa huyo anacheza na roho yako alafu yule anaendaa 😂😂😂😂
@bobjoy9279 Жыл бұрын
Hiyo matatizo wa wongo pelekeni choni kwenu malaya wawili nyiye
@MaryamSimai-b9f8 сағат бұрын
Wamelala wote tena unaulizana kitu
@Rizikialiamechannel763 Жыл бұрын
Imerudiwa hii au
@nurumwashinga3662 Жыл бұрын
Nahitaji kumuoa dida njoo tuyajenge Cha kuwa mpweke
@silvesamweli7697 Жыл бұрын
Mmh we diva mbn kama we ndio unashida
@reenyaysher7639 Жыл бұрын
Hii ya zamani miez minne nyuma, 😅😅
@mwanaidihamisimtupa5126 Жыл бұрын
Dida yamemshuka hatari
@rehemaothman2475 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@reisedyy4910 Жыл бұрын
dada kasharogwa uyo! hana pakwenda
@rukiasalum2248 Жыл бұрын
Mmmmmh wanawake tunahekaheka jamani
@زينببورندي Жыл бұрын
iyi clip siyo ya leo imesha pita kitambo
@suleimanbalemba3348 Жыл бұрын
Ww dida na Diva ni wale wale unaongea maovu matupu
@rizikikasongo4388 Жыл бұрын
Iyi niya zamani
@Maryam-vj1rb Жыл бұрын
Dida matapishi huwezi kuyazowa
@zanzibar. Жыл бұрын
weee mwandishi weeee dida 😂 umbea vby dah
@zuhuraakida5932 Жыл бұрын
Mapenz ❤ yaraby🙏
@esterstaphord5184 Жыл бұрын
Atareeee
@neemaberny3598 Жыл бұрын
Hiii ni ya zamani
@vero57 Жыл бұрын
Divaaa lakini walikwambia dada
@elisanteshayo3882 Жыл бұрын
Diva ameshazeeka kipapa kimechoka kutwaa kazi ya kuvaa mawigi nywelezimenyonyoka