EXCLUSIVE : KAPUYA AFUNGUKA MAZITO KUHUSISHWA NA SAKATA LA USHOGA MBELE YA HAJI MANARA

  Рет қаралды 33,066

Manara TV

Manara TV

2 ай бұрын

KAPUYA AFUNGUKA MAZITO KUHUSISHWA NA SAKATA LA USHOGA MBELE YA HAJI MANARA "YULE NI MDOGO WANGU MIMI SIHUSIKI NACHAFULIWA JINA LANGU "
#manaratv #hajimanara #diamondplatnumz #millardayo #babalevo

Пікірлер: 119
@geofreykavenga6552
@geofreykavenga6552 Ай бұрын
Nakuomba Prof Kapuya kama unataka kujinasua katika jambo hili na ukapata uhakika kwamba mdogo wako anamiliki Taasisi hiyo inayofanya mambo ya hovyo, kwanza utoe ushirikiano kwa Serikali. Ninajua jina lako ni kubwa sana Hapa Duniani, Taasisi haiwezi kumuenzi Baba yako kwa tabia za kishenzi ambazo Baba yako hakuwahi kuzifanya, mwambie mdogo wako atafute jina jingine la Tasisi na uhakikishe hapo Kaliuwa unaisambaratisha Tasisi hiyo isiwepo.
@deusdeditkakwesigabo1401
@deusdeditkakwesigabo1401 Ай бұрын
Plllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllpllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllplpllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllpllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll
@deusdeditkakwesigabo1401
@deusdeditkakwesigabo1401 Ай бұрын
Lllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll LL lllllllllllllllllllllllllllllllllllll
@saidishekalaghe3496
@saidishekalaghe3496 Ай бұрын
Manara umeupiga mwingi.Hakika umetufumbua macho Kaka.
@erastotweve2586
@erastotweve2586 Ай бұрын
Mzee kaelewaka vizuri tu!!
@subralugege7019
@subralugege7019 Ай бұрын
Pumzika baba mungu akujalie mwisho mwema
@BeatriceMoyo-rq5wt
@BeatriceMoyo-rq5wt Ай бұрын
Manara hii ndy kazi yako sahihi achana na uko unakosimamishwa Kila unaposema ukweli
@user-gu7rh6tl4b
@user-gu7rh6tl4b Ай бұрын
Be strong baba,this too shall pass"na ukweli utajulikana"
@law93king
@law93king Ай бұрын
huu ndio uweledi sasa,hongera kaka manara
@selemanichambo2944
@selemanichambo2944 Ай бұрын
Prof Kapuya umeeleweka vizuri
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 Ай бұрын
Na huyu ndio alifuta michezo mashuleni mpaka leo haijatengamaa,,Alitukosea sana sana sana sisi Watanzania.
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l Ай бұрын
MUNGU IBARIKI TANZANIA 😢😢😢😢😢😢
@Marjeby
@Marjeby Ай бұрын
😂😂😂😂Interview yote Haji kauliza swali moja tuu😅
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 Ай бұрын
Huyu mzee kwa umri huu kama ana mkono hapo Mungu ashughulike nae
@amourabdallah2978
@amourabdallah2978 Ай бұрын
Manara your the best boss for interviews
@clevalupakisyo7460
@clevalupakisyo7460 Ай бұрын
Manara questions are very good and Scientific
@longoempire1246
@longoempire1246 Ай бұрын
Umejuaje idadi ya bima taasisi hiyo imekatia watu hadi tarehe😢
@clemenceparokola
@clemenceparokola Ай бұрын
Manara your very smart through the way of asking questions.
@emmanuelrubeziernest4105
@emmanuelrubeziernest4105 Ай бұрын
Mzee Kapuya ameeleweka sana, Mungu awe nawe
@Official83640
@Official83640 Ай бұрын
Watu hawakurupuki ww wanaanza uchunguzi kwanza kisha ndy yanaanikwa kwahy wamefatilia ndy wamegundua hivyo kwahy hapo anajitetea tu tukemee vitendo viovu tusifurahi vijana na watoto wanaharibika Subhannallah
@jeremiahmbena4644
@jeremiahmbena4644 Ай бұрын
Naona nyinyi waandishi wa habari ni wanafiki ushoga, kwanini msiende kuoji ngo zinazo Fanya kueneza ushoga Mwakiembe anawambia amuendi kuwaoji kwanini.
@peterkalimba1507
@peterkalimba1507 Ай бұрын
Mzee Professor J Kapuya msaidie mdogo wako aache uhuni katika Kampuni yake anayoyafanya ni dhambi mbele ya Mwenyezi Mungu.!
@balozijuma7056
@balozijuma7056 Ай бұрын
manara upo vizur kemea ushoga maana ni kazi mbovu ushoga
@chidiomari.65
@chidiomari.65 Ай бұрын
Much love from Helsinki Finland 🇫🇮👁️👁️🇹🇿
@mzeemambo8238
@mzeemambo8238 Ай бұрын
Mumwelewe vizuri jamani. Msimtuhumu bure mzee wa watu Yule bwana ni mdogo wake kweli lakini naye ni mtu mzima sio rahisi sana kumdhibiti. Undugu mgumu saa nyingine. Pole sana Professa ndio ukubwa huo
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 Ай бұрын
Sasa muheshimiwa umeshasikia mdogo wako analeta mauchafu ya kuharibu watoto umechukua jukumu gani kukemea vikali? Au unashikilia kwenye kujinawisha tu
@MinskBelarus-il2tl
@MinskBelarus-il2tl Ай бұрын
Kwani Vyombo vya Sheria HAMNA?
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 Ай бұрын
@@MinskBelarus-il2tl vyombo vya Sheria vipo na ndio vimemnasa kwani tungejuaje wanaharibu watoro
@MinskBelarus-il2tl
@MinskBelarus-il2tl Ай бұрын
@@darajalakidatukilomgi2362 kwani huyo mzee ni hakimu au ana Gereza lake? Umekiri kuwa umepata taarifa ya jambo hilo kwenye vyombo husika,Sasa unataka yeye mzee Kapuya achukuwe hatua gani
@matthewmichaelsylvester5612
@matthewmichaelsylvester5612 Ай бұрын
baba ameeleweka sana
@ismailkanungila7039
@ismailkanungila7039 Ай бұрын
This is the best interview
@abubakaryabdallah4708
@abubakaryabdallah4708 Ай бұрын
Bora kulisemea wote mnao lisemea na kulikemea mungu awangoze na awasimamie na awape nguvu japo uwezo wenu ni mdogo ila mungu atawapa nguvu na mtashinda inshallah
@revocatusnsubile1696
@revocatusnsubile1696 Ай бұрын
Kwanza Haji hujui mambo mengi. Huyo siyo mbunge mstaafu, bali aliwahi kuwa mbunge na siyo alistaafu huo ubunge.
@jamaa2760
@jamaa2760 Ай бұрын
UMEELEWEKA Prof.
@Michael_Msanzya
@Michael_Msanzya Ай бұрын
We're waiting ✋️
@foresightfoundationlimited2594
@foresightfoundationlimited2594 Ай бұрын
Mzee Juma hahusiki kwa 100 mmiliki wa kampuni inayotuhumiwa ni Yassin, namfahamu in person na amewahi kunitaarifu juu ya foundation yake. Mwacheni mzee wa watu ale maisha ya kustaafu vema amekuwa mkweli
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 Ай бұрын
Tumwache vipi atoe ushirikiano Jambo hilo ni gumu sana tutamwelewa
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 Ай бұрын
Tutakuelewa mzee
@josephmihayo6236
@josephmihayo6236 Ай бұрын
Juma Kapuya anajikosha tu. Kama taasisi ni jina la baba yake basi alitakiwa ajue nini hiyo taasisi inafanya. Hawezi kukwepa lawama za taasisi hiyo as long as jina la baba yake linahusika basi na yeye anahusika.
@abuukarata9653
@abuukarata9653 Ай бұрын
Si kweli. Zambi ya ndugu yako utahusikaje huu ni ujinga wa fikra. Huyo alieanzisha taasisi ni mtu mzima na akili zake.
@titusmwele6885
@titusmwele6885 Ай бұрын
Elewa ndugu anavyoeleza yeye hausiki huelewi tu
@songombingo108
@songombingo108 Ай бұрын
Mzee anasema kweli
@user-fk4st8qj2k
@user-fk4st8qj2k Ай бұрын
Naona kafafanua vizuri, jana limeleta utata huu.Ingawa familia ya Kapuya ndiyo imehusishwa sasa anasemaje kulisafisha jina la familia yao??
@user-df6dt8hu4z
@user-df6dt8hu4z Ай бұрын
Haji kama unaweza mchukue Chief Odemba star TV. Kazi ya kuhoji wazito mpe huyo jaluo uone kazi!
@jogoomohamed2652
@jogoomohamed2652 Ай бұрын
So huyo mdogo ako kwa sababu yy kapatwa na laana yake ya usenge wake napia ushoga wake,anataka kutuletea laana yake kwa WAJA wa MWENYEZI MUNGU hapa Tanzania?But hakuna mwanadamu anayeweza kufanya siri mbele ya MWENYEZI MUNGU,bali anaweza kufanya siri kwa kwa wanadamu tu.Hata iweje lazima kwake tutarudi.Tufanye tufanyalo,tukufuru tufanyavyo,tuibebe dunia tutakavyo but one day yes.Tunasubiriwa kwake MWENYEZI MUNGU
@nelsoncosmas5639
@nelsoncosmas5639 Ай бұрын
Broo kazi nzuri sana sema camera zako mbovu sana
@salimmalembeka4741
@salimmalembeka4741 Ай бұрын
Hakuna mnyamwezi mjinga hata siku moja,,, hili ni gwiji katika nchi hii hawez fanya mambo ya kitoto kama haya
@georgemaganga3804
@georgemaganga3804 Ай бұрын
Kwa nini akwambie wewe usihusike.Hukushtuka alipokwambia wewe ni mwanasiasa.Unazusha maswali mengi hapa.Wewe ulihusika siku ya ufunguzi ilikuwa lini.inakuwaje ni miaka ishirini hamjaonana.Alioa lini na wewe ulikuwa waziri wa ulinzi lini
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu Ай бұрын
Nilimchukia sana Kabla ya maelezo yake ,lakini Kwa Sasa nimemwelewa vizuri lkn uchunguzi ufanyike ili kujiridhisha
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l Ай бұрын
Kama nduguyako yupo marekani kweli anasapot ushoga
@Official83640
@Official83640 Ай бұрын
Km haumo ulijuaje km wamekatiwa Bima mzee usituvuruge na kujichenga chenga za mwizi 39 ya 40 unashikwa kwahy jiandae kujibu huko sio hapa kwa Manara Tz
@user-fw6dp9iy4i
@user-fw6dp9iy4i Ай бұрын
Mbona na wewe umejua,utahojije alijuaje
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n Ай бұрын
Mzee mwogope Mungu.Tulikotoka mbali tunakokwenda karibu.
@ShabaniRashid-ln3tj
@ShabaniRashid-ln3tj Ай бұрын
Wewe uwe mwelewa,anathibitisha yy hahusiki na taasisi hiyo bado unamuhukumu Kwa nn?
@danstansospeter
@danstansospeter Ай бұрын
Mzee amejibu vyema.
@AmriMzeru
@AmriMzeru Ай бұрын
Chambo Cha hili janzo
@jumas.sendekwa2788
@jumas.sendekwa2788 Ай бұрын
Jamaa kaishi Marekani kaishia kuwa shoga
@Planet_Zong
@Planet_Zong Ай бұрын
Si umesikia kaka yake amesema alipomaliza form 4 tu hajui jamaa aliondokaje itakua alichukuliwa na mme wake
@bensonelisa3225
@bensonelisa3225 Ай бұрын
Manara mtafute na huyo Yassin Mustapha Kapuya
@Marjeby
@Marjeby Ай бұрын
Wallah Haji hanauwezo hata kidogo wakuhoji Prof kamfunika vibaya anarudia rudia maswali tu😂
@MinskBelarus-il2tl
@MinskBelarus-il2tl Ай бұрын
Wewe humjui HAJI. Huyo ni mtu na Rafiki yake, na kaja hapo bila kumtuma Kijana wake akimuamini kwamba Mzee huyo hawezi kufanya hayo
@Frankkabyemela
@Frankkabyemela Ай бұрын
Tupeni hata page chache za vitabu tuone tuhuma hizo. Maana naona wana generalize tu
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Ай бұрын
NA KWANINI ALIKWAMBIA KUWA MBALI NA HIYO TASISI ALIKUA ANAJUA KITU GANI ATAKAYOFANYA KATIKA HIYO TASISI WOTE WAMOJA WAMEPEWA DOLLAR ZA KUTOSHA KUANGAMIZA TANZANIA 🇹🇿
@user-cy5jg4cx7i
@user-cy5jg4cx7i Ай бұрын
Bora mzee useme ukweli ni kweli wengi tulijiuliza nini mtu mkubwa kama wewe kujiusisha na upumbavu kama huo tunashukuru kwa kutufafanulia
@user-ec8zv7lq8y
@user-ec8zv7lq8y Ай бұрын
Mzee hauhusiki kabisa na jambo hili
@BeatriceMoyo-rq5wt
@BeatriceMoyo-rq5wt Ай бұрын
Mzee umeeleweka
@Veni584
@Veni584 Ай бұрын
Duh watangazji wameondoka imebidi ashike mwenyewe
@mahadhikawia3610
@mahadhikawia3610 Ай бұрын
Miaka michache iliyopita huko kwao ulitokea moto mkubwa kwenye disco siku ya idi na kusababisha madhara kwa watoto kadhaa ,na mmiliki alitajwa huyo huyo professor kapuya alhaj.
@josephlorri431
@josephlorri431 Ай бұрын
Ushoga umeshamiri, ni waziwazi mikoa ya pwani (pwani,tanga,dsm) na visiwa vya zenji.
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 Ай бұрын
Mzee nazi lialia wa makolo dunduka! Kajieleza kwa usahihi, ni jina tu na umaarufu vinamsaliti!
@philipongenzatv
@philipongenzatv Ай бұрын
Ahojiwe
@user-ui4oh8gf8n
@user-ui4oh8gf8n Ай бұрын
Nenda kashitaki tuhuma hizo ni.kubwa saaaana.Doa lake halifutiki .
@nakalikyumile3234
@nakalikyumile3234 Ай бұрын
Chambo cha hili jambo😁😁😁
@mrishojuma4695
@mrishojuma4695 Ай бұрын
Hao wanajua bhana kwamaana wanatamaa ya pesa na Bado wengi wataumbuka tu
@georgemaganga3804
@georgemaganga3804 Ай бұрын
Watu wa hali mbovu ambao wewe ulisimamia wavunjiwe nyumba bila sababu na hata sasa una mizengwe nyumba hizo zimebolewe tena.Kwenda hija au kuwa kiongozi mwandamizi ndiyo kuacha madhambi.Dawa hapa achana na wana kaliua kwa sasa unawaumiza sana hasa kwa hili la ushoga na lotion za cancer
@geophreysaburere7368
@geophreysaburere7368 Ай бұрын
Kama ni Kweli????😳😳😳
@Official83640
@Official83640 Ай бұрын
Sasa hajachunguzwa ww ushamfata kumtengenezea fans ionekane uongo we baba una kihelehele utuliege
@khatibabass3106
@khatibabass3106 Ай бұрын
Taasisi za kishoga izo
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 Ай бұрын
Alianza kulewesha wananchi kwa kuwapatia bima na madawa kumbe ndani yake kumepenyezwa mauchafu, na nyie mnaoenda ulaya na kuokota okota misaada mwisho mnatuletea mauchafu, wazungu ni wajanja, msipende kujibebea vya bure, bure mbaya
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 Ай бұрын
Binafsi nimekuelewa mzee
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Ай бұрын
Huyu mzee, si ndo alioaga binti mdogo sawa na mjukuu wake?
@mrishojuma4695
@mrishojuma4695 Ай бұрын
Kwani kuowa Kuna tatizo gani au Kuna mahusiano gani na hili?
@shabanponera2895
@shabanponera2895 Ай бұрын
Ndio
@alexjohn7361
@alexjohn7361 Ай бұрын
Hebu fafanua uhusiano kati ya kuoa binti mdogo ukiwa mzee na vitendo vya ushoga na usagaji.
@BashiriShabani-sy6wu
@BashiriShabani-sy6wu Ай бұрын
sasa kuoa ni shida jmn
@user-fw6dp9iy4i
@user-fw6dp9iy4i Ай бұрын
Hiyo ina shida gan Africa,
@user-uo6zj2jm3e
@user-uo6zj2jm3e Ай бұрын
Hana mwisho mwema wala nini
@SalumChema
@SalumChema Ай бұрын
Kamamdogowako.kwanini.usiende.police.kutoataarifa.hadiviongoziwajue.usidanganyewatu.unajuakilakitu.unatafutapakutokea.tuu.usiletesiasa.kwenye.mambo.yakweli.anajuahuyo
@user-bh5xp5dj1d
@user-bh5xp5dj1d Ай бұрын
Kwa nini wizara ilisajiliwaaa alieisajili ni nani
@georgemaganga3804
@georgemaganga3804 Ай бұрын
Watu wa Kaliua tunajua kila kitu na nia ni Ubunge ambao wewe au mtu wako Anataka kugombea
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l Ай бұрын
We mwenyewe Manara mfilaji tunakujua
@josephjohn4259
@josephjohn4259 Ай бұрын
Ndugu jiheshimu kitu hiki Kiko serious wewe unaweka joks hvy jiheshimu wewe kaka haji nakuamini mweshimishe huyu kijana amekutusi sana katudharirisha huyu watanzania mtafute
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 Ай бұрын
Atoe ushirikiano hatumwelewi kabisa hata atwambie nini
@user-ix5jq9ks6q
@user-ix5jq9ks6q Ай бұрын
Na Bado Mungu atakulipa ulifukuzisha watu ovyo makazini Mungu atalipa tu
@abuukarata9653
@abuukarata9653 Ай бұрын
Kama hufanyi kazi utaachwa,
@user-ix5jq9ks6q
@user-ix5jq9ks6q 28 күн бұрын
Mpaka mke kamkimbia​@@abuukarata9653
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 Ай бұрын
Ndio huyo huyo alioa kijukuu
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s Ай бұрын
Ingekuwa china huyu ni kunyongwa tu,,aache kujitetea
@gaspeldaniel1140
@gaspeldaniel1140 Ай бұрын
Tatizo ni kapuya wala xi lingine
@binwasiumbanga9256
@binwasiumbanga9256 Ай бұрын
Nikimsikiliza kwa makini huyu mzee,nahisi kunakitu anakijua
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 Ай бұрын
😂😂
@user-ds3oi3tt8u
@user-ds3oi3tt8u Ай бұрын
Mashoga hao kwa maelekezo hayo ni kweli wanasapot ushoga tutawaua nyie
@andersonshimbi1378
@andersonshimbi1378 Ай бұрын
Wewe ni taahira tu, Siyo lazima mali ya ndugu yako uwe na wewe uhusike
@gulalakitinya7615
@gulalakitinya7615 Ай бұрын
Huyu bwana anajua kila kitu.Amekiri kuwa anayesema kuwa ni mwanzili wa hii foundation ni ndugu yake na wanaelewana.Huyu Juma aliambiwa na huyo ndugu yake kusudio la kuanzisha foundation hivyo kwa umaarufu wake kwa taifa ilikuwa budi ajilizishe shughuli kusudiwa na hiyo foundation. Nachelea kusema alielezwa na sina shaka aliafiki.Kwa sababu zozote zile hawezi kuepuka hiyo lawama ya kufadhili ushoga nchini, awajibike na mdogo wake.
@KintaMushy
@KintaMushy Ай бұрын
Hilo xee limearibu mengi .pia liliwai oa bint mdogo!!.
@wahidabdul1365
@wahidabdul1365 Ай бұрын
Bint mdogo yule? Mbona ni mtu mzima above 18.
@DennisMungai-pf6rb
@DennisMungai-pf6rb Ай бұрын
Mhhh inahusika nini
@ellykibale190
@ellykibale190 Ай бұрын
Nadhani prof alipoulizwa msimamo wake(stand) angekuwa direct kuwa napinga matendo hayo ila akaanza kuelezea kuhusu kuwa yeye siyo mmiliki....tayari ameshaelezea yeye siyo mmiliki tumemuelewa, wakati Manara anahitimisha mahojiano basi angeenda moja kwa moja kuwa anapinga vitendo hivyo.
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l Ай бұрын
Anamuenzi babake kwa kufila watu
@peterkalimba1507
@peterkalimba1507 Ай бұрын
Hii Foundation ni mbaya inataka kuharibu watanzania. Ifutwe kabisa na wahusika washitakiwe
@mrishojuma4695
@mrishojuma4695 Ай бұрын
Aisee ni hatari saana kueni makini saana
@selemanichambo2944
@selemanichambo2944 Ай бұрын
Mzee mbona kajieleza vizuri ?
@pauljohn6393
@pauljohn6393 Ай бұрын
Manara mwenyewe ni mzee wa upinde sasa hapo sijui ndy nini
@Frankkabyemela
@Frankkabyemela Ай бұрын
VITABU VENYEWE TUWEKEE TUSOME, MANENO TUUUU
@georgemaganga3804
@georgemaganga3804 Ай бұрын
Watu wa Kaliua tunajua kila kitu na nia ni Ubunge ambao wewe au mtu wako Anataka kugombea
Inside Out Babies (Inside Out Animation)
00:21
FASH
Рет қаралды 20 МЛН
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 37 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 16 МЛН
CV YA LUHAGA MPINA WASIFU NA HISTORIA YAKE
13:24
Klik Hapa TV
Рет қаралды 40 М.
#msstudiokz #бокс #boxing #shorts #чемпион
0:19
MS STUDIO KZ
Рет қаралды 274 М.
WHY IS THIS SO FUNNY😂
0:15
Noogi
Рет қаралды 11 МЛН
Елдос жылап тұр: Эмоцияға толы марапаттау сәті
8:45
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 165 М.