EXCLUSIVE : MMILIKI WA TAASISI YENYE KASHFA YA USHOGA AFUNGUKA MAZITO KWA HAJI MANARA

  Рет қаралды 50,081

Manara TV

Manara TV

Ай бұрын

MMILIKI WA TAASISI YENYE KASHFA YA USHOGA AFUNGUKA MAZITO KWA HAJI MANARA; KAKA YANGU SIYO MMILIKI

Пікірлер: 318
@user-fk4st8qj2k
@user-fk4st8qj2k Ай бұрын
Manara wewe ni msaada kwa jamii ya wa Tanzania.Big up Manara.Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. "UBARIKIWE BROTHER "
@miriamjohn3141
@miriamjohn3141 Ай бұрын
Dahh Manara uko vizuri aseeeh Salute 🤚🤚 ❤
@sk-wj9or
@sk-wj9or Ай бұрын
Manara. Huyo jamaa anatoka makao makuu ya mashoga Marekani. Wewe mtoto wa Kariakoo nahakika umemshtukia sauti yake kama Marehemu Kitwana. Salute manara huyu jamaa akijaribu kuja bongo akamatwe na ahojiwe kwa umakini pia ifanyike vipimo kama haingiliwi
@allenmsigwa1639
@allenmsigwa1639 23 күн бұрын
Respect HAJI manara u can not die today or tomorrow👮
@jacksonbarnaba9088
@jacksonbarnaba9088 16 күн бұрын
Hakuna msaada wa bure. Yaani wewe utumie gharama kuandaa vitabu, usafirishe, mpaka vifike, bure tuu bila pesa yoyote? Halafu ukatengeneze vingine tena ulete navyo bila malipo. Hizo hela zinatoka wapi za bure bure
@kamkubwa
@kamkubwa Ай бұрын
Shida ya inchi hii tunapenda popularity sana mzigo wowote kuingia inchini unataratibu yake kwanini ulifika mzigo kwa importer bila kukaguliwa.. na mizigo mingi ikiingia inakuwa destroyed kabla haijafika kwa importer.. hapa kuna shida sehemu
@hassaniibrahim300
@hassaniibrahim300 Ай бұрын
MANARA UMEMHOJI VIZURI MPAKA AMESHINDWA KUJIELEZA HUYO NI MSHENZI KUDHALILISHA WATANZANIA
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 Ай бұрын
Hapo kashindwa kujieleza nini ila Watanzania wengi mnamatatizo ya akili hivi ambacho hujaelewa hapo ni nini eti 😂😂😂
@ulimbokamwasampinde9973
@ulimbokamwasampinde9973 Ай бұрын
Manara your more than your name bro ❤
@ThomasMsanjila
@ThomasMsanjila Ай бұрын
Huyu mtu anajichanganya sana ww kama mkurugenzi mtanzania unashindwaje kujua mila na tamaduni za kwenu?pia haoni kuwa kuna shida hapo vitabu vikataliwe dar alafu vipelekwe kaliua mbaya zaidi anatetea eti vinafundisha wanaoonewa eti boaring upumbavu. Mtupu anajua jambo huyu
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 Ай бұрын
Umeelewa kweli mahojiano haya!!??😂😂😂
@samsonkingdom-xc8cg
@samsonkingdom-xc8cg Ай бұрын
Kumbe ndio maana oscer oscer anaongea saana mambo ya kishoga😂😂😂😂
@TmKt-kx7pq
@TmKt-kx7pq Ай бұрын
Big up manara 👏👏 maswali yako ni yakufikirisha sana
@thomsanga7956
@thomsanga7956 Ай бұрын
Yassini bwana, yaani mnakubaliana na serikali kuleta kotentena kwa kuchambua vinavyofaa na visivyofaa!! 😳😳😳😳!
@djumacassim
@djumacassim Ай бұрын
Yaani yeye amepakia anajua kbsa kua vipo havifai lkn kavileta 😢😢😢
@LovenessDaud
@LovenessDaud Ай бұрын
Atukome na misaada yake Kaliua na mkoa wote hatutaki Tabora yetu iwe ya mashoga na wasagaji
@josephmathayo5139
@josephmathayo5139 Ай бұрын
Manara upo vizuri Sana Kwa kuhoji. Maana umembananisha Jamaa Hadi anajichanganya.
@umfahad2609
@umfahad2609 22 күн бұрын
Tunakuomba ALLAH uzidi kuvilinda vizazi vyetu. Na uzidi kuwashinda wote wenye nia ya kutu haribia wtt wetu.🤲
@tawfiqmbagwa9407
@tawfiqmbagwa9407 Ай бұрын
Yaani kitu kiandaliwe kwa ajili ya jamii ya ulaya halafu kionekane pia kinafaa kwa waswahili, kwanini yeye kama founder wa hiyo foundation asisome mitaala na nyaraka za Tz kujua ni kipi kinahitajika na kipi hakihitajika
@hamismohamed3541
@hamismohamed3541 Ай бұрын
Tanzania nikichwa Cha mwenda wazimu Sasa vitabu mpaka vimefika tabora duh
@TmKt-kx7pq
@TmKt-kx7pq Ай бұрын
We bwana manara kwa haya maswali 👏👏 one love broh
@IsaacCheyo
@IsaacCheyo Ай бұрын
Umekubaliana na serkali kuangamiza Taifa? Au kwa sababu unaamini serkali ya Tz ni ya wajinga(mabuli) Hujatutendea haki jitadhimini.
@mussastephano4938
@mussastephano4938 Ай бұрын
Tuhuma ni za kweli, kwa kuwepo shaka ya ukaguzi. hivyo vitabu yy anaons vinafaa?
@HamisiKashushu
@HamisiKashushu Ай бұрын
Hi manara una faa kuajiriwa takukuru uko vizuri
@attunelson8828
@attunelson8828 Ай бұрын
Tanzania boll ni zaidi sana watoto wanateswa Sana na wenzai
@fredyjunior6961
@fredyjunior6961 Ай бұрын
Huyu bwana majibu yake straight away yanaonesha yupo guilty. Anajua kabisa walichofanya. Hiyo misaada waliyotoa huko Kaliua ikiwemo ya bima ilikuwa kiini macho kuwafanya watu vipofu ili wakileta huu uupuzi watu wasistuke. Hao vijana bull wapo vizazi na vizaz na wala hawana madhara yoyote makubwa zaidi ya kuwafanya wenzao wajanjaruke.
@MaryMhando-oc8gj
@MaryMhando-oc8gj Ай бұрын
Dah ichunguzwe vizuri sana
@mwasa_tv
@mwasa_tv Ай бұрын
shoga ilo
@TheresiaAndrea-hv9dg
@TheresiaAndrea-hv9dg Ай бұрын
Dahh mantra Mungu akujalie Yote unayohitaji❤❤
@hajihassan5433
@hajihassan5433 25 күн бұрын
Kwa nini usimfikirie ni Basha?
@mussastephano4938
@mussastephano4938 Ай бұрын
je yy hajavimima, shule gani ina tatizo la mabulli.
@KALOLOGROUPTZTV
@KALOLOGROUPTZTV Ай бұрын
Huyu jamaaa kwa mimi naona huyu kapuya hana point
@Allyhujjat
@Allyhujjat Ай бұрын
Asisumbue mahakama mr kapuya aseme tuu kuwa misaada iyo na yy kapewa pia na wadhamini wengine ambao wana support lgbtq kwaiyo yy mwenye taasisi aombe radhi kwa kutokuwa makini kwenye kukagua vitabu kabla ya kufika Tanzania 🇹🇿 basi asiongee sana
@hassaniibrahim300
@hassaniibrahim300 Ай бұрын
HUYU ANASEMA VITABU VIMEKATALIWA DAR ER SALAAM HALAFU VIENDE KALIUA HUYU YAANI HUYU ANAJICHANGANYA KABISA VITABU VYA NINI HATUHITAJI SISI MSAADA WA KUHARIBU WATOTO WETU
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Ай бұрын
Tupinge kabisa watt wetu wa kiume na wa kike Sasa hivi wengii awaeleweki hiv wafanyao haya wanataka nn kizazi cha ss kimeoza wtoto wakiume wanataka.kuwa wa kike wa.kike wanataka kuwa wa kiume kweli uhuu ni ukatili wa hali ya juu wazazi tunalia tunaumia kama.kweli kaka ulileta hivyo vifaa vunavyohusiana na hayo maswala tunaomba tuhurumie wazazi na vizazi vyetu kama ni kweli aisee stop acha watoto wanaharubika muwe na huruma muigopeni Mungu kama.kweli unafanya hili jambo na umetuma vifaa hivyo acha jamani...tusali na.kumuomba Mungu na wazazi tupambanie hili tusikubaliii
@loycejohnmuhamb2421
@loycejohnmuhamb2421 Ай бұрын
Well said. Isitoshe swali sio kwann walikataa kumhoji mwenyekiti, swali ni kwann waliingiza vitabu vyenye maudhui yaliyo kinyume na utamaduni??
@mussamussa9446
@mussamussa9446 Ай бұрын
hamjaelewa vizuri hilo, vitabu vilibaki Dar es Salaam baadhi vikagaiwa vinginenyo vikaenda Kaliua
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 Ай бұрын
Hivi unajua kiswahili kweli!!?? Kwa mjibu wa anayehojiwa ametoa ufafanuzi mzuri kuto kuelewa hilo ni tatizo la akili yako
@abubakarbajun3503
@abubakarbajun3503 Ай бұрын
Huyu bwana sio mkweli mana baadae ya kuonekana tatizo Hilo ndio anatoa maelezo kama kujiteteaa vileee
@zariadunia6328
@zariadunia6328 Ай бұрын
Huyu jamaa bin kapuya kayatimba halafu hajielewi eti bullying huko kaliua altaka hao wanyamwezi akina oscar wajofunze nini hana kitu huyu kawadharaulisha familia na wanyamwezi at large
@titusmwele6885
@titusmwele6885 16 күн бұрын
MANARA WEWE NI TAKUKURU KBS,NIMEYAPENDA MAHOJIANO YAKO BROTHER 👏👏
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 29 күн бұрын
Mtu akikaa ulaya anajua waafrika wote mazuzu. Pole sana asumani kapuya wewe ni mpumbavu
@AhmedHassan-vl5zf
@AhmedHassan-vl5zf Ай бұрын
La jamaa Yuko sanfrasico mji maalum wanao ishi mashoga Yani huyu jamaa NI mojakwamoja NI
@JoseWilson-vb2di
@JoseWilson-vb2di Ай бұрын
Kwanza saut yake TU inaonesha yy ni punga huyo na ukae California huko Kwa biashara ya kofia mpaka upate hela ya kutoa misaada inaonekana na baba yake alikuwa anafanya mishe hizo za kuhamasisha ushoga na usagaji
@fortunataandengenye8704
@fortunataandengenye8704 Ай бұрын
Hao mafuta yana faida Gani?Kwa Nini asilete Hela wakanunua Nchini 😭
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 Ай бұрын
SEREKALI YA TANZANIA 🇹🇿 APA MPAKA SASA MIMI NAJIULIZA IVYO VITU VIMESHUKA BANDARI YA DAR VIMEVUKA VIPI MPAKA TABORA KAMA VITU VYA ATALI ZAIDI VITABU VYA UCHOCHOZI WA NCHI WANGEFANIKIWA ASILIMIA% 78 AWA NDIO WANAPANGWA KUWA VIONGOZI WA UCHOCHOZI TANZANIA 🇹🇿
@user-ov7ge3ci6f
@user-ov7ge3ci6f Ай бұрын
Nakubali ma tv
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 29 күн бұрын
Achana nae uyo msenge hana mpya. Manara bigup
@EdwardKwiyanga
@EdwardKwiyanga Ай бұрын
Big up sana BUGATI ss mashabiki wa manara tv tushakuelewa huwezi ukatoa msaada hafu ukasema msaada unaofaa ndo utumike ila usiofaa usitumike swal linakuja je,kwann utoe msaada unaofaa na usiofaa??
@katikirodarwihura2167
@katikirodarwihura2167 Ай бұрын
Kwanza huo mzigo unatoka marekani wewe yasin hukujua kwamba hivyo vitabu havihitajiki Tanzania?hapo kuna namna!
@user-ov5xc2sy3q
@user-ov5xc2sy3q 20 күн бұрын
Well done Mr Manara weka sana clear jambo hilo tafuta ukweli kama ndivyo lifanyie kazi Allah atakulipa na nakuombea Jannah kwani msaada wa maafa kama huyo ni Jahannam. Vione vitabu visome hatharani Tanzania nzima ijuwe yaani anataka kuharibu watanzania wenzake KWELI!!!!! Bull?
@claudiajames2003
@claudiajames2003 Ай бұрын
Vitabu vya bully my foot! Aliekwambia Tanzania Watoto Wana buliana to the level ya huko Marekani nani? Si ni huko kwenu watoto wanaingia Hadi na bunduki darasani wanashoot wenzao?? Kwanini usingewapelekea hao kwanza? Ulishawahi sikia mtoto wa Kitanzania anafanya bullying to that extent? Mshaona hapa jalala sio? Yani sie Wa mama wenye watoto hatuwapendi watu kama nyie ,mnaokuja kutupa mavitu yenu hapa wakati majalala yamejaa huko mnakoishi.mfyuu
@user-xn8yn5wc1q
@user-xn8yn5wc1q Ай бұрын
Yani bora ungekataa kuongea kadri unavyoongea ndivyo uchizi wako unavyogundulika
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 24 күн бұрын
Jamaa msenge kwa wasenge wenyewe.wanamtumia sana 😢
@sk-wj9or
@sk-wj9or Ай бұрын
Hajji nimekukubali hapa.
@damsonwilson5202
@damsonwilson5202 29 күн бұрын
Manara uko vizuri sana Hila huyu Jamaa ni Mpuuuzi tuu na fara
@NasibuKidaya
@NasibuKidaya Ай бұрын
Huyu jamaa ukimsikiliza kwa makini unagundua hii ishu nikweli wanasaport ushoga,mnawaweka watoto wetu katika mazingira magumu sana
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Ай бұрын
Kwanza anakaa san Francisco mji ambao ni pepo ya mashoga ,
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 Ай бұрын
Acha uongo rudia kusikiliza hayo mahojiano
@allikombo8379
@allikombo8379 Ай бұрын
Kila jamaa anaposema yale sio mafuta ni sanitizer naona sheikh Manara ANAGUNA tu….mmmmmh 😥😥 aiseee hapa kuna shida hawa watu hawakuwa na nia njema aiseee
@HamzaHeri
@HamzaHeri Ай бұрын
HADJI HUYO NDUGU YAKO NI SHOGA UKO MAREKANI
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 28 күн бұрын
Iv mnajua kabsaa pad mrizo leta sio saihi kwa nn mzilete kisha mseme kama sio salama mzitipe meona uku ni jalalah ya uchafu wa mapad washezi sana watu wachache wariopo malekani wanakuja kuwa maerufu ya watu mbwa uyo mwanaume na wenzie arioshirikiana nao eti sanitaiza kwan kunakorona kipndi cha korona na hamkureta mbwa nyie mnataka kutuaribya watto wetu
@fredrickshantiwa9710
@fredrickshantiwa9710 Ай бұрын
Manara kiboko yaani kiukweli nimempenda
@abdulkarimkalyanye6659
@abdulkarimkalyanye6659 Ай бұрын
Muongo huyo, vinafundisha ushoga na nchi kibao Hadi state zingine vimefungiwa. Wamenogewa na desturi za watu mpka wamekuwa na mawazo ya wenzetu.
@peterkalimba1507
@peterkalimba1507 Ай бұрын
Achana na vitabu vya nje tufuate vya kwetu Tanzania. Hayo mabull books hatuhitaji hata kidogo
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd Ай бұрын
haji manara liko vizuli linauliza maswali muhumu sana
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 Ай бұрын
Manara amesoma wewe...!!!
@ahmedmagoma8831
@ahmedmagoma8831 Ай бұрын
San francisco ni mji wa Mashoga,kunakuwaga mpaka na matamasha ya Mashoga huwa yanafanyika
@michaelmbuguje3415
@michaelmbuguje3415 13 күн бұрын
Wala hajichanganyi. Bullying ipo shule zote. Na shuleni kuna vitabu vya kiada na ziada. Cha muhimu ni kuvikagua na kuona maudhui yake ka ni hayo ya bullying. Hv kwa nn ishu hiyo haikupelekwa kwa Mthibiti Mkuu Ubora wa Shule (w) au Kanda? Ndo kazi yao hiyo.
@EllenEphraim
@EllenEphraim Ай бұрын
Ulisema unapenda kusaidia wazee mbona umeleta vitabu vya nini leteni hela mavitabu yenu hayasaidii
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 29 күн бұрын
Mpira haukufai manara jikite hapohapo
@felixmyovela6390
@felixmyovela6390 Ай бұрын
Daaah aisee
@EmanuelMwambu
@EmanuelMwambu Ай бұрын
Nimesikiliza kwa umakini,vitabu having afya yoyote kitaaluma.huu ni upumbavu kabisa
@mahadhikawia3610
@mahadhikawia3610 Ай бұрын
Ichunguzwe upya hiyo taasis tangu ilivyoundwa miaka 3 iliyopita
@hidayahassan8014
@hidayahassan8014 Ай бұрын
Senge hili li Athumani kapuya
@dottomanyesha9692
@dottomanyesha9692 25 күн бұрын
Haya ni mambo ya kisiasa, jama ni kweli tuonyeshwa watanzania.
@estherlemburismollel5901
@estherlemburismollel5901 Ай бұрын
Kwanini wapakie visivyofaa? Huyu hii ni kawaida yake sasa imetokea ameshtukiwa analeta porojo. Mtanzania unakubali kuharibu watoto kwa tamaa ya pesa? Siijui sheria inasema nini lakini huyu anastahili kuchukuliwa hatua kali sana. Inaumiza sana 😭
@gjlisa
@gjlisa 15 күн бұрын
Hizo sanitary pads za kina mama na wasichana, vilipitishwa Wizara ya Afya kwa ukaguzi kwanza kabla ya kupelekwa uko Temeke na mikoani?
@Ntambala-oy2us
@Ntambala-oy2us 17 күн бұрын
Manara Mungu akubariki.
@rofacoltanzania589
@rofacoltanzania589 23 күн бұрын
Lakini mbona vitabu vya Diary of Wimpy Kid si kilikatazwa na Wizara ya elimu maana kinafundisha ushoga? Sasa anakataa nini maana Daktari ndo kavishika
@albashakluninshaah3727
@albashakluninshaah3727 Ай бұрын
Manara uwe makini na huyu jamaaa usifikie kwake ukalala utarudi ukiwa chakula😂😂😂
@baloz8974
@baloz8974 28 күн бұрын
Ndio wana vyakula ukivila tu unalainika washenzi sana
@HussainMaula-wr5co
@HussainMaula-wr5co 27 күн бұрын
Baada ya kuwaletea watu pesa mnawaletea vitabu watu wenyewe hawajasoma vitabu vitawasaidia nini Tanzania watu hawajafikia level ya kupambania vitabu hususani hayo makundi mlioyataja .
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Ай бұрын
Tena muislam eti yaasen. Kama ndiyo umeleta madiuduyako Tz. Allah akulaani ufe kwa kizalilika. Na akuchomemoto. Sikuyakiyama naasikupe amani Duniani na Ahellah. Kamaniww kwwri umeamua kutakakutualibia nchiyetu na watotozetu. Utokomee kusikojulikana nduguzako wasiuwone hatamfupawako. Amyn
@magdalenanicholaus5459
@magdalenanicholaus5459 Ай бұрын
Nani aliwaambia tunataka msaada wa kuhalibu watoto wetu,? Apelekee watoto wake
@aishamrisho6860
@aishamrisho6860 Ай бұрын
Jamani huyu Yassin ana shangaza baada ya kuheaabu familia yake watoto wako wangap ili awaletee hivyo vitatu na hivyo vilanishi ana hangaika na familia za watu ndo mungu kakulaani nabado mpuziiwee eti kagueni vibaya mvitupe unampa kazi nani hapa umeni kela sana.
@suleimanrawahy4970
@suleimanrawahy4970 29 күн бұрын
Manara wahoji wahusika wa serikali iweje waruhusu vitabu ambavyo bado hawavijui kama vinafaa au havifai. Walikuwa wamtake mletaji alete sample viangaliwe wakiridhika navyo ndio wamruhusu alete. Kumwambia alete vikifika ndio vihakikiwe kama vinafaa na visipofaa vichomwe kwani Tanzania ni jaa la kuchoma taka za umarekani.
@khalidibrahim4579
@khalidibrahim4579 Ай бұрын
Sanfransico Califprnia America ndio mji mkuu wa Mashoga Hii inajulikana
@honorathampemba5392
@honorathampemba5392 25 күн бұрын
Bidhaa zote zikaguliwe hukohuko zinakotoka zikiwa hazifai zikataliwe kuletwa nchini TBS hapo vipi ?!
@jacksonbarnaba9088
@jacksonbarnaba9088 16 күн бұрын
WATANZANIA. ACHENI KUPOKEA MISAADA. ITAKUJA KUTUTOKEA PUANI
@Smart_jarm
@Smart_jarm Ай бұрын
DR AMINI VASOMANA MWALIMU WANGU MGANGA MKUU WA WILAYA YA KALIUWA
@IssaFabian-yr1jc
@IssaFabian-yr1jc Ай бұрын
Yaani kwanini ulete kitu ambacho kina mishkeli kwetu kamama kapuya hupo kuko watoto wako wapo huko kwanini ulete wape watoto wako huko
@charleskadikilo1969
@charleskadikilo1969 Ай бұрын
Bullying au Bully au Buli😂😂😂😂. Hapo hajasomeka bana
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk Ай бұрын
Mavitu hayo hayana haja vitu vinavyotoka ulaya na marekani havifai kbsa asitume kwa nini wasitume vitu vya kilimo.. Elimu ya marekani na Tanzania tofauti elimu za ukoloni ndio zimetuweka pabaya msilete tena hivyo..kwa maelezo ya huyu jamaa kuna kitu chini ya carpet cha msingi wasilete vitu hivyo..mnaleta vitu ambavyo havihitajiki vya nini nani..kwa maelezo jamaa haijamini kbsa
@valenakomba7686
@valenakomba7686 26 күн бұрын
Hao ndo wale watu ambao wamo tayari kufanya lolote ili kutajilika. Hata ikibidi kuharibu utu wa watu wengine
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 Ай бұрын
Vya bullying hivyo vinakataza kuwanyanyapaa mashoga....marekani kimnyanyapaa kumdhihaki mtoto shoga shuleni ni bullying hiyo hapo ndio shida ilipoanzia...Haji naona haelewi bullying ni nini😂....mfano yeye haji kumwita zeruzeru it's bullying so hiyo bullying Iko duniani nzima tena Africa ndio zaidi mashuleni watoto wanatania na kudhihaki hali fulani za watoto wenzao...so marekani wao wanahimiza to respect each other vile walivyo no matter what
@onekisstv8412
@onekisstv8412 Ай бұрын
Kwaio ndo watuletee vitabu vya bullying ya ushoga Kwanini isiwe bullying ya kilema unene au zeruzeru think twice broo
@fredyjunior6961
@fredyjunior6961 Ай бұрын
😅😅😅😅maanina
@damsonwilson5202
@damsonwilson5202 29 күн бұрын
Kwa Nini Unatutumia vitabu serikali ndo inatajiwa kuhusika na Ishu za Elimu ya watu wake
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 25 күн бұрын
Sisi hatuhitaji vitabu.tuma fedha taasisi ya elimu ndio inajua mitaala ya nchi yetu.peleka ujinga huko.ww kama umeharibikiwa vumilia.watoto wetu tuachie wenyewe.
@fetychina3969
@fetychina3969 Ай бұрын
Huyu baba mshenzi sana pumbavu zake huenda na yeye ni shoga huyu mshenzi kabisa😢😮
@AshnoozePesambili
@AshnoozePesambili Ай бұрын
Hapo tushaelewa Mzee wa watu prof juma Kapuya hana makosa
@humphreymwihambi4330
@humphreymwihambi4330 Ай бұрын
Sio Juma Kapuya. Ni ndugu yake
@MichaelMwasese
@MichaelMwasese 13 күн бұрын
Wewe mtoto wa waziri babako angeamka angekufa kiolo mkundu ww leta fedha ww Mikun du😢Kuma ww kula Dona utaku ya mavi magumu utakatia Icho kisharuala mama ko we kapuya umezingua mamako
@budodiun6269
@budodiun6269 2 күн бұрын
Fanyeni research mjue ni vitabu gani vitahitajika otherwise misaada yenu tutaiona na kipumbavu na hatutoipokea!
@ibrahimmatumla231
@ibrahimmatumla231 Ай бұрын
Mpk watu wamesafirisha mzigo kuja tz basi ujue wameshaiona serikali aina meno na raisi mwenyewe ni mtu wao wanamuweza
@user-iw5hu3mc7l
@user-iw5hu3mc7l Ай бұрын
Huyo muongo watu wanapakia mzigo katika mzigo we usijue?
@matthewmichaelsylvester5612
@matthewmichaelsylvester5612 24 күн бұрын
kwann usitupe uko uko marekani uku bongo jalala la kutupa ivyo vilainishi kweli.....!??
@rosehaule6765
@rosehaule6765 Ай бұрын
Eti manara kakaa kiboko nani kasema ss tunahitaji vitabu vya mabuli😂😂yy alileta bila kukagua huko😂😂kaka usifanye hivyo leta misahada inayohitajuka buana manara TV pongexi kubwaa sana
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 13 күн бұрын
Kwahiyo yy anadhani kwa level ya wa Tz wa karne hii niyakufundishwa ubuli kweli jmn watu tunataka viwanda.
@kinggazo144
@kinggazo144 15 күн бұрын
Dah aisee choko kabisa dah
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 29 күн бұрын
Kwani bongo hatuna waandishi. Mpaka vitoke huko vya bully
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 17 күн бұрын
Kwa hiyo fulani ndo mkeo? Hahahaa.
@francisboydmwakyusa230
@francisboydmwakyusa230 13 күн бұрын
Hakuna muarifu anaye harika uchunguziii. Nchi hii ijenge utamaduni wa kuheshimiana, Temeke uwe sawa bali Kaliua uwe ahufai kweli, kama si Ushamba nini?.
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 21 күн бұрын
Maelezo yoyote yakutetea Mambo haya nafsi yako inajua Nini una maanisha kwa bahati nzuri Mungu anajua kila kitu,subiri pumnzi yako itakapo kata.
@officialcrstore1685
@officialcrstore1685 26 күн бұрын
😂Manara HE IS GREAT AT INTERVIEWING PEOPLE
@SafinaAbasi
@SafinaAbasi Ай бұрын
Kabla ya kuleta huo msaada namuuliza huyu baba yeye anaona hivo vitabu maudhui yake ni mazur na amevipenda na kaona ni sawa watoto wetu wajifunze kupitia hivo vitabu??? Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehma akuangamize wewe na kizazi chako hasira kuu ya Mungu ikuangamize wewe baba ni shetani Huna huruma na kizazi chetu baba yako angefanya haya je tungezaliwa tungekuwepo????
@ashuraomar4935
@ashuraomar4935 Ай бұрын
Ni Mshenzi sana huyu, ienda ikawa amepewa Pesa ili akautangaze ushoga na Mabwana zake nae pia ni Shoga la kutupwa huko LA.Mpumbavu mkubwa nani alimwambia Tanzania tunashida ya vitabu vya kufundisha watoto waache kufanya Bulling kwa wenzao.Yeye mwenye kasoma hapo Tanzania kaenda America mtu mzima je aliwahi kusoma vitabu kama hivyo? Awekwe ndani huyu na ashitakiwe kwa kuleta vitabu vya Ushoga hapa Tanzania. Kama yeye amekuwa senge la wazungu basi achukue na kizazi chake pia wawe wasenge wa wazungu.Lakini watoto wetu na jamii yetu na desturi zetu za Ki Tanzania hatukubalianei na hiyo TAASISI YAKE YA KISHENZI
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 24 күн бұрын
Kwa ni i visikaguliwe huko vilipo toka waongo hao
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 29 күн бұрын
Mama alishasema tunyanduane watu wazima. Ila hii nchi😂
@user-xc7qj7ze7m
@user-xc7qj7ze7m Ай бұрын
Lishoga ilo
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 10 күн бұрын
Hao wanataka sisi tuharibikiwe mashoga wamezidi halafu waafrca wenzetu ndio wanatumiwa na wazungu amkeni waafrca
@frankurio469
@frankurio469 19 күн бұрын
Hizi ni njaa,, unahamasisha ushoga jambo ambalo Mungu aliharamisha, Mungu ailaani hiyo taasisi na wote wanaoshughulika nayo
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd Ай бұрын
sasa kama kilikua kitu kizuli kwa uyo mwenye kiti azimie
@fredyjunior6961
@fredyjunior6961 Ай бұрын
😅😅😅😅😅 eti bana. Halafu anang'ang'qniza ahojiwe mwenyekiti wakati katibu ndie mtendaji mkuu wa taasisi
@rosemarysulle9288
@rosemarysulle9288 13 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂ila watz asee.
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 4,9 МЛН
Мы никогда не были так напуганы!
00:15
Аришнев
Рет қаралды 6 МЛН
когда повзрослела // EVA mash
00:40
EVA mash
Рет қаралды 4,3 МЛН
Vivaan  Tanya once again pranked Papa 🤣😇🤣
00:10
seema lamba
Рет қаралды 34 МЛН
#EXCLUSIVE: KWA MARA YA KWANZA ROMA AFUNGUKA YOTE KUHUSU RC MAKONDA
53:33
МАМА И STANDOFF 2 😳 !FAKE GUN! #shorts
00:34
INNA SERG
Рет қаралды 4,9 МЛН