Imeniuma Sanaa suala la mpina, cielew TU hii nchii
@nsajigwamwakalonge570211 сағат бұрын
Ondoa ccm
@d.family.choir17993 күн бұрын
Du kweli hii nchi ni ya hovyo ee mwenyezi Mungu nipe nafasi skumoja niwe rais wa taifa hili nilinyooshe make naona waliopo siwaelewi kabisa
@tibbsminja25753 күн бұрын
WaTz amkeni GEN Z hampo TZ??
@valenakomba76862 күн бұрын
JAMANI CHADEMA KWA NINI HAMMWEKI MZEE SLAA ACHUKUWE KITI CHA URAIS ? .
@nicodemuswidambe51322 күн бұрын
Yuda eskaliote
@MelickMwanzalima2 күн бұрын
Umesikia kauli ya wenyeviwada
@user-su6xu7ks7mКүн бұрын
AMUKENI WATANZANIA MAMA NI MWIZI NA ANAFUGA WEZI.
@valenakomba76862 күн бұрын
HAO NI WABUNGEEE KWELI NI VIBARAKA TUU HAO. NJAA YA UTAJIRI WA HARAKA INASUMBUWA SANAA.
@tumainikomba90083 күн бұрын
Hii Nchi jaman 😢😢
@user-nf1tg3kt3y3 күн бұрын
Kumbe mpina alikuwa Sahihi sasa walimlinda waziri Bashe wa nini serikali ya hovyo sana hii
@machoguhameri77572 күн бұрын
Hii timu iliyokwenda Dubai ni hatari sana kwa uchumi na raslimali za nchi yetu. Hewa ndio wa Bunge wa Bunge la tano la Magufuri wamebadirika utadhani sio wao!!! Kweli kufanya kazi na watu wanafiki ni hatari sana
@valenakomba76862 күн бұрын
MIMI NINACHOSHANGAA KWA NINI WANASEMA SERIKALI IKO VIZURI NA HUKU KILA SIKU TUNASIKIA HASARA KWENYE MAKAMPUNI YOTE.
@HoxeaPius21 сағат бұрын
😅😅kumbe mpina alikuwa sahihi na anajua kbsa madhaifu yalipo
@valenakomba76862 күн бұрын
MUNGU AWALAANI NA KUWATEKETEZA KWA MOTO.
@nsajigwamwakalonge570211 сағат бұрын
Kwa mdomo tu
@tumainikomba90083 күн бұрын
Mhn......
@user-su6xu7ks7mКүн бұрын
SPEAKER WA MCHONGO.
@mabondolawrence18122 күн бұрын
Viwqavi, nzige, kwereakwerea ni hatari sana wakivamia shamba hula. Kila kitu na. Kkubaki kama jangwa!
@user-jc8vt7ct9t3 күн бұрын
MUNGU anafichua madudu yote Nchi yetu inachezewa na kikundi cha watu
@simongwandu73923 күн бұрын
Huyu Baba ni Tatizo
@nicodemuswidambe51322 күн бұрын
Tatizo lako ni Uyuda eskalioti mlioufanya kula na chama tawala leo mnasema nini??