MATAJIRI TANO TANZANIA 2024 || Top 5 matajiri wakubwa zaidi Tanzania 2024

  Рет қаралды 220,768

Top5 tz

Top5 tz

7 ай бұрын

MATAJIRI WAKUBWA ZAIDI TANZANIA 2024
Leo nimefurahi kukuletea video ya kusisimua kuhusu wasanii matajiri zaidi Tanzania
Subscribe to Top5Tz: / top5tz
Kwenye video hii tunakutajia listi ya matajiri wasanii mwaka huu 2023
Tutajibu maswali yako yote kama:
nani tajiri namba moja tanzania?
nani msanii mkubwa tanzania?
msanii gani tajiri tanzania?
wasanii matajiri tanzania forbes?
wasanii matajiri duniani?
nani tajiri namba moja tanzania?
wasanii matajiri tanzania 2022?
wasanii matajiri tanzania 2023?
Na mengine mengi. Pata taarifa hizi na nyingi zaidi hapa kwenye chaneli yetu ya yotube.
TOP 5 MATAJIRI WAKUBWA TANZANIA :
Wasanii na magari yao
• TOP 5 WASANII WENYE MA...
• Listi ya magari ya bei...
• WASANII MATAJIRI TANZA...
Angalia video zetu zingine hapa:
VIpengele vyetu
0:15 Number 5
0:58 Number 4
1:37 Number 3
2:11 Number 2
2:58 Number 1
4:10 Like comment and subscribe
#Tanzania #TanzanianMusic #BongoFlava #AfricanMusic #TanzaniaMpya #TanzaniaMusicIndustry #Wasafi #DiamondPlatnumz #Harmonize #Rayvanny #Bongo #Afrobeats #WCB #TanzaniaYaSasa #TanzaniaTheBeautiful #TanzaniaUnforgettable #TanzaniaSwahiliCulture #TanzaniaWildlife #TanzaniaTravel #TanzaniaSafari #ExploreTanzania #TanzaniaTourism #TanzaniaNaturalBeauty
#wasanii #matajiri #diamondplatnumz #harmonize #tiktok #alikiba #utajiri

Пікірлер: 141
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 3 ай бұрын
Mungu awahifadhi yarab amen 🙏
@SalminRahis-kd9sv
@SalminRahis-kd9sv Ай бұрын
We kuma ni bora uwe shoga maana akuna unachojua
@nassormessi-zk5cz
@nassormessi-zk5cz 6 ай бұрын
Apo number moja Said salim Bakhresa mbona nyumba za fumba Boat kilimanjaro hujazitaja tajir hawez kugombania Ubunge wala tajir hatekwi
@ramahaji2395
@ramahaji2395 20 күн бұрын
Ingia google nawe acha ubishi
@remidusmwanandenje-yy5gs
@remidusmwanandenje-yy5gs 27 күн бұрын
Umenisahau namimi wee jamaa mtoa ripoti unazingua🙏🇹🇿
@nassormessi-zk5cz
@nassormessi-zk5cz 6 ай бұрын
Hamuwez kuja Zanzbar kma hamjapanda Zanzbar One au Kilimanjaro halafu fyoko fyoko Bakhresa yuko juu Mungu amzidishie Amin
@FatnaAlly-go7yt
@FatnaAlly-go7yt 2 ай бұрын
Oooh allah tujaalie kila la kheri mola wangu mtukufu na utuweke sehemu salama pa kumjua allah
@RabiaIddi-ci2uz
@RabiaIddi-ci2uz 4 ай бұрын
na mimi taingia soon kwenye hii orodha
@abdulhakhashim764
@abdulhakhashim764 3 ай бұрын
Yaaah .!no1 ni bakharesa .. 💪👍
@theplateboy-ym9xz
@theplateboy-ym9xz 3 ай бұрын
Voici cette artiste il est connu sous le nom thę plåtę bøy mais de son vrai nom c'est ndombe kaba Ezéchiel ii connais bien chanté c l'artiste chanteur danser compositeur il et congolais de père et de mère 🇨🇩🇨🇩📀📀
@user-th9ut7ro8p
@user-th9ut7ro8p 4 ай бұрын
Kweli Bakhresa anastahili kuwa namba moja.
@RogersRange
@RogersRange 5 күн бұрын
Tuletee tajiri wa africa
@henrynuhu2557
@henrynuhu2557 6 ай бұрын
miaka 2 mbele ntamuona Simba la masimba dangote
@CynthiaEsekon-s6u
@CynthiaEsekon-s6u 12 күн бұрын
Bless
@jaxmkada6797
@jaxmkada6797 4 ай бұрын
We muongo na takwimu zakoooo.
@AdiliLadislaus
@AdiliLadislaus 3 ай бұрын
Mafuruki kashafariki
@KINGSAGENCYCOMPANYLTD
@KINGSAGENCYCOMPANYLTD Ай бұрын
Jamaa liongo sana. Kwanza Ally Mfuruki alishakufa
@samiboybb
@samiboybb 14 күн бұрын
Nme ipenda
@user-ql6fg3bs8y
@user-ql6fg3bs8y 3 ай бұрын
Wee bado sana
@frankmajila7632
@frankmajila7632 6 ай бұрын
Watu bwana, jamaa kasema anazaidi ya mabus 30. kiswahili ni kigumu sana
@user-cj7oo7mi1x
@user-cj7oo7mi1x Ай бұрын
Msanii gani anaongoza utajili Tanzania
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 Ай бұрын
Rich mavoko
@JaphetyLubasha-vw5hr
@JaphetyLubasha-vw5hr 6 ай бұрын
😂😂😂 tatzoo la KZbin waongooo sana yaan daaahh 😊
@JacobNikolaus-oy2ld
@JacobNikolaus-oy2ld 3 ай бұрын
Ko tufanyaje
@noeljacob9644
@noeljacob9644 Ай бұрын
We jamaa mwongo Sana kama hapo et Rostam kawekeza kwenye Vodacom 😂😂 Rostam yupo tigo na zantel siyo vocadom
@kibambiibrahim5714
@kibambiibrahim5714 10 күн бұрын
Alishakufa tangu mwaka 2024 Mbona hujasoma?
@iddkaoneka7485
@iddkaoneka7485 3 ай бұрын
Rostam ni Mfursi(Muiran na sio mhindi)
@frankmwinuka3413
@frankmwinuka3413 6 ай бұрын
Vipi Gsm ni wa ngapi kwa utajiri?
@aaroneu07
@aaroneu07 3 ай бұрын
Ally Mufuruki ni Marehemu. Kafariki muda sana. Hii list ni takataka.
@msafiriomary893
@msafiriomary893 7 ай бұрын
Wizi tuuu
@SimionMajaliwa-wg8xi
@SimionMajaliwa-wg8xi 2 ай бұрын
Msenge wew tengua kauli kwa kusema ngozi nyeus
@user-um8xn4ge4i
@user-um8xn4ge4i 2 ай бұрын
Daaa kweli bongo maskini khaaa matsjiri wote hamna mwenye utajiri wa bilion 5 USA dollars mhhh alafu hawa wahindi ndio ma sponsorship wa CCM tutafika tukiwa tumechoka bongo nchi maskini sana africa kumbe
@SengaSenga-fe4gw
@SengaSenga-fe4gw Күн бұрын
Hajajajha mshkajkaj haina mambo
@user-so5jf8nf3e
@user-so5jf8nf3e 7 ай бұрын
Liongo kweli ilo
@khalfanseif8027
@khalfanseif8027 20 күн бұрын
Uongo Mtupu Huna Focus Kabisa
@SaidMaganga-yi4ez
@SaidMaganga-yi4ez Ай бұрын
Apo kwenye namba moja uongo wa kwanza ni bakherasa
@mr.jcubic1554
@mr.jcubic1554 21 күн бұрын
Matajili
@mwitanyahiri4586
@mwitanyahiri4586 2 ай бұрын
Mo hawezi kuwa na hiyo hela
@user-my5yp6xx5s
@user-my5yp6xx5s 6 ай бұрын
acheni ukuma wenu
@FransisLaurenti
@FransisLaurenti 3 ай бұрын
Gsm anashika nafasiyangapa ndugu
@user-uo9tq8cc7q
@user-uo9tq8cc7q 3 ай бұрын
Wewe bwege hizo takwimu umezipata kwa utafiti Gani?
@habibrizzyone
@habibrizzyone Ай бұрын
Takwimu zako za kifala
@hilarymark7583
@hilarymark7583 7 ай бұрын
Ally Mafuruki alifariki 2019
@kassimjakaya6991
@kassimjakaya6991 5 ай бұрын
Ndiomana nikamuliza
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 7 ай бұрын
Kaka fanya utafiti tena... hata huyo Rostam siyo mhindi kabisaaa
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 6 ай бұрын
Huyu fala Bado kabisa Rudi shule
@salehkhamiss2449
@salehkhamiss2449 6 ай бұрын
we falaa ali mafuruki kafariki mwaka 2020 akiwa na utajiri wa dola million 100 pekee
@MayanziBubinza
@MayanziBubinza 13 күн бұрын
GSM wa yanga a.k.a. Utopolo yuko wapi?
@danielmweta8716
@danielmweta8716 6 ай бұрын
Kweli nyie manyumbu kweli yaani abood anampita pesa oil com,wold oil na cameli oil acheni upotoshaji
@user-br1fc9xn2u
@user-br1fc9xn2u 3 ай бұрын
Kwa abood umechemka hata kumi Bora hayumo fanya utafiti vzr Tanzania wengi wamemzid
@user-cu9mj3xj8x
@user-cu9mj3xj8x 6 ай бұрын
N I utajiri cash, auvitu
@KilimanjaroBand
@KilimanjaroBand 2 ай бұрын
Hii list katoa mkundu kwake
@davisfidelis4149
@davisfidelis4149 5 ай бұрын
Ana asili ya Uajemi,Iran
@Marjeby
@Marjeby Ай бұрын
Nyiee vipi aiseee miwe mnafanya research kabla yakuandaa hizi documents zenu hivi umetoa wapi tarifa kuwa Rostam ni muhindi lakini pia nani kakwambia Abdulaziz Aboud ana miaka 61 hapo maana ni moja tu kuwa hujafanya research yoyote umekurupuka tuu
@talalballeth4330
@talalballeth4330 2 ай бұрын
Hujui lolote angalia unachojua
@angelsulle7177
@angelsulle7177 5 ай бұрын
Mungu uniepushe na utajiri wa majini kinachonipa Amani kitokee kwako na ktk mikono ulonipa wewe
@davisfidelis4149
@davisfidelis4149 5 ай бұрын
Hakika! Matajiri wengi TZ utajiri wao mh!
@MuhsinJuma-wo2bg
@MuhsinJuma-wo2bg Ай бұрын
Ww ni msenge tuu nani alikuambia kuhusu pesa zao hawa matajir
@alisalimo2861
@alisalimo2861 6 ай бұрын
Ww muogo😊
@benjaminchakwe9815
@benjaminchakwe9815 7 ай бұрын
Ety abood anamabasi 30 tu 😂😂😂wasenge tu nyinyi
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 7 ай бұрын
😮😮😂😂😂😂
@davisfidelis4149
@davisfidelis4149 5 ай бұрын
Ana zaidi ya 100
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 6 ай бұрын
Rostam aziz ana asili ya kihindi?? We jamaa wewe Afu ali mfuruki ni marehemu
@kassimjakaya6991
@kassimjakaya6991 5 ай бұрын
Nashangaa
@AginesKihoo-zw3yf
@AginesKihoo-zw3yf 6 ай бұрын
Mo ni Simba Simba ni mo hatariii tupu
@exaudyjm5170
@exaudyjm5170 6 ай бұрын
1 uyo ndio 2 kaka acha zako
@mohamedimiraji5495
@mohamedimiraji5495 6 ай бұрын
Tunaomb na list ya maskini watano TZ
@swedywamba5535
@swedywamba5535 5 ай бұрын
Lazima watatoka dodoma wote wa5
@EnocyDaud-xt8vj
@EnocyDaud-xt8vj 5 ай бұрын
Wa kwanza ni wewe
@mohamedimiraji5495
@mohamedimiraji5495 5 ай бұрын
@@EnocyDaud-xt8vj Ama kweli wewe ni hewa kabisa. Ndio matatizo ya maskini wa kitanzania mtu akiwa maarufu tu Basi kwao ndiye tajiri namba moja😅
@bakaribakari6444
@bakaribakari6444 2 ай бұрын
​@@swedywamba5535😂😂😂 kwa nn
@user-fo5bg6tv5s
@user-fo5bg6tv5s 6 ай бұрын
Waongo asas na abud
@kassimjakaya6991
@kassimjakaya6991 5 ай бұрын
Naomba kuliza ally mafuruki Bado yupo hai?
@MwandosyaMajele
@MwandosyaMajele 3 ай бұрын
Mayele 0:23
@ramadhaniomary7083
@ramadhaniomary7083 6 ай бұрын
Kama mnajua tuambieni nyinyi basi jamaa anatupa takwimu wengine mnasema muongo
@hamzamfyagidzi6344
@hamzamfyagidzi6344 3 ай бұрын
Et utajiri wa mo trion4 cash Sasa wewe huoni kama anakwambia Usiku wakati jua lina waka Amiliki trion5 cash Amekuwa banck
@erodasterrichard1535
@erodasterrichard1535 5 ай бұрын
Mhhh.....mjomba, uongo umezid
@Meky-of9vy
@Meky-of9vy 2 ай бұрын
Ww ni mshabik wa Simba ulomuweka moo juu na bakhresa ukamshusha chini
@dinamossy5149
@dinamossy5149 6 ай бұрын
Fanya utafiti kabla ya kuandika,usipotoshe watu
@kamamussa6792
@kamamussa6792 4 ай бұрын
Hahah kwamba Rostam Aziz ni muhindi 😂😂😂😂, halafu Huyo number tatu alifariki siku nyingi, we wa mchongo
@user-dk5kk4rf3v
@user-dk5kk4rf3v 7 ай бұрын
Mailing au mzima mfuruki
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi Ай бұрын
We n fala kiazi ww
@hashimmwipallo120
@hashimmwipallo120 7 ай бұрын
Uyu boya anakalili
@SNIPER_ZOMBIE
@SNIPER_ZOMBIE 4 ай бұрын
duh acha uongo bro😂
@mndewaog990
@mndewaog990 27 күн бұрын
We huyo ali mafuruki mbn ashafariki
@Jumapili-ws5em
@Jumapili-ws5em Ай бұрын
Acha uongo wa kitapeli mo azidi backilesa acha zako
@kismarthashvan
@kismarthashvan 6 ай бұрын
Basi 30 unaakili matakoni😂😂😂
@babaabro8847
@babaabro8847 7 ай бұрын
Gsm vp 😮😮
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 5 ай бұрын
GSM anatengeneza magodoro
@user-ok9ls1qs7x
@user-ok9ls1qs7x 5 ай бұрын
Moo bakhalesa amuwezi musitudanganye
@user-ce8qf3nc3s
@user-ce8qf3nc3s 6 ай бұрын
Acha uongo ww izo takeimu za uongo moo pesa za mtoto wakilinton nusu ya pesa ya chensiar chriton ww hujui lolotr
@user-ls6bd6ft4v
@user-ls6bd6ft4v 5 ай бұрын
Ali mufuruki alifariki miaka kadhaa iliyopita!..
@user-vy8tb2hq9w
@user-vy8tb2hq9w 6 ай бұрын
Siokweri wengine umechapia
@starkidwamoro8775-n5e
@starkidwamoro8775-n5e 4 ай бұрын
km nani amechapia hapo
@RichardKatani
@RichardKatani 3 ай бұрын
Ali Mfuruki alishafariki nani anamilki makampuni yake?
@user-du1ls3zf4s
@user-du1ls3zf4s 5 ай бұрын
Kwendraaaaa acha kutudanganya ww
@user-th5ji7wh5q
@user-th5ji7wh5q 6 ай бұрын
Oya acha uwongo mo anamzidi baresa
@OfficialMsamiboy-zh4tu
@OfficialMsamiboy-zh4tu 7 ай бұрын
Tajir ni Mungu pekee yake.
@alencleophace2182
@alencleophace2182 6 ай бұрын
Stop your poverty mentality brother
@KulwaKisansa
@KulwaKisansa 5 ай бұрын
Upewe ulinzi kaka
@kassimjakaya6991
@kassimjakaya6991 5 ай бұрын
Achane uongo
@user-lg7yl8zr1o
@user-lg7yl8zr1o 6 ай бұрын
Kumanyoko
@masoudnzowa4608
@masoudnzowa4608 5 ай бұрын
Sio kweli.. Rostam ni Tajiri kuliko unavyohisi then asili yake ni iran na sio India
@victorombay6625
@victorombay6625 3 ай бұрын
Rostam ni Mlebanon
@victorombay6625
@victorombay6625 3 ай бұрын
Ni Mtanzania mwenye asili ya Lebanon
@NadeemKhan-zo8dc
@NadeemKhan-zo8dc 7 ай бұрын
Msenge kwli muongo
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 7 ай бұрын
😂😂😂🎉
@davisfidelis4149
@davisfidelis4149 5 ай бұрын
Mh! Chanzo cha taarifa? Manake hadi kucululate utajiri wa mtu in monetary terms ni kazi aisee,na sidhani kama tushafika huko!
@user-se2xp8vv4h
@user-se2xp8vv4h 6 ай бұрын
E
@user-lw8uk6xw2h
@user-lw8uk6xw2h Ай бұрын
et huyu ni ngozi nyeusi mavi yako
@jumaally8387
@jumaally8387 6 ай бұрын
We jamaa acha usenge basi,sasa ndio uongo gani huu!?
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 5 ай бұрын
Hao ndio matajiri hata ukiwabadilisha badilisha utakuta ni haohao.
@WilsonLuvinga
@WilsonLuvinga 2 ай бұрын
Tupate kuona malizake
@ChescoMsigwa
@ChescoMsigwa 28 күн бұрын
Mm hamjaniweka iyo takwimu ni fake
@majaliwamajaliwa4407
@majaliwamajaliwa4407 7 ай бұрын
We mjingaa kweli
@Chettymlambalipsi-lb9km
@Chettymlambalipsi-lb9km 7 ай бұрын
😂😂😂
@hamadhamis9763
@hamadhamis9763 7 ай бұрын
ivi we jamaa unaakili kweli
@salehkhamiss2449
@salehkhamiss2449 6 ай бұрын
uyu jamaa n fala na anaisi dola billion moja n makalio kila mty anaeza kua nayo mafuruki amefrik miaka 4 ilopita af ety abood ana 1billion usdollar!???😂😂
@salehkhamiss2449
@salehkhamiss2449 6 ай бұрын
uyu jamaa n fala na anaisi dola billion moja n makalio kila mty anaeza kua nayo mafuruki amefrik miaka 4 ilopita af ety abood ana 1billion usdollar!???😂😂
@salehkhamiss2449
@salehkhamiss2449 6 ай бұрын
uyu jamaa n fala na anaisi dola billion moja n makalio kila mty anaeza kua nayo mafuruki amefrik miaka 4 ilopita af ety abood ana 1billion usdollar!???😂😂
@salehkhamiss2449
@salehkhamiss2449 6 ай бұрын
uyu jamaa n fala na anaisi dola billion moja n makalio kila mty anaeza kua nayo mafuruki amefrik miaka 4 ilopita af ety abood ana 1billion usdollar!???😂😂
@salehkhamiss2449
@salehkhamiss2449 6 ай бұрын
uyu jamaa n fala na anaisi dola billion moja n makalio kila mty anaeza kua nayo mafuruki amefrik miaka 4 ilopita af ety abood ana 1billion usdollar!???😂😂
@MuuYascohy-oc7os
@MuuYascohy-oc7os 7 ай бұрын
We msenge acha kupotosha watu Mafuruki alishafariki,alaf et Abood anagar 30 we umezaliwa jana ?? Abood anagar zaid ya 100
@nasirmohamed1589
@nasirmohamed1589 7 ай бұрын
Hata mm nimeshangaa aboud tangu miaka ya 90 ana basi 30 tu huyu fala kweli
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 7 ай бұрын
Sio hayo tu pia ana malori kibao
@qariuzzamaantanzania7074
@qariuzzamaantanzania7074 Ай бұрын
Taarifa nyingi c kamilifu.....
@ElishaSolomoni-kc4zk
@ElishaSolomoni-kc4zk 7 ай бұрын
Jinga xna.
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g 3 ай бұрын
Muongo
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 7 ай бұрын
Kweli jamaa ni Muongo ros
@user-rh2ul6hb8i
@user-rh2ul6hb8i 6 ай бұрын
Acha uongo. Mbwa wewe
Beautiful gymnastics 😍☺️
00:15
Lexa_Merin
Рет қаралды 15 МЛН
Stay on your way 🛤️✨
00:34
A4
Рет қаралды 13 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 200 МЛН
TOP 5 WASANII WENYE MAGARI YA KIFAHARI TANZANIA
3:23
Top5 tz
Рет қаралды 249 М.
Вся страна в очередях, а ты без очереди...
0:52
МиRRные Чувства
Рет қаралды 2,3 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
0:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 14 МЛН
ПОМОГИ РАЗБУДИТЬ ПИЛОТА 😱😱
0:16
ДЭВИД ЛАВА
Рет қаралды 3,9 МЛН
Best Toilet Gadgets and #Hacks you must try!!💩💩
0:49
Poly Holy Yow
Рет қаралды 12 МЛН
KARMA AT SCHOOL 🏫 Stop time
0:32
dednahype
Рет қаралды 7 МЛН