#EXCLUSIVE

  Рет қаралды 51,196

Global TV  Online

Global TV Online

3 жыл бұрын

#EXCLUSIVE: MTOTO wa SAIDA KAROLI Afunguka KUACHA SHULE na KUWA DANSA - "MAMA HAKUELEWA"..
MTOTO wa mwanamuziki Nguli wa nchini, Saida Karoli, amepiga stori na Global Tv Online na kusimulia mambo mbalimbali aliyokutana nayo kwenye harakati zake za muziki na maisha kwa ujumla...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com/shop/globaltvo...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 158
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 жыл бұрын
Unaakili Sana mtoto mzuri hicho ndiyo kipaji chako mungu amekupa
@aminaabdulla8568
@aminaabdulla8568 3 жыл бұрын
Asghfullah et anasema nimungu sio shetwani 😫
@rahmanamani3422
@rahmanamani3422 3 жыл бұрын
Mungu hakupi ujinga huwo sima shetani ndio kakupa izo nguvu
@theresiakaruhanga364
@theresiakaruhanga364 Жыл бұрын
Mungu tunamsingizia kwa mengi. Hayo matako yanavyozunguka dahhh! Kazi ipo
@mrtime9848
@mrtime9848 3 жыл бұрын
Saida amezingua kushindwa kutumia nafas yake kumshawish mwanae japo amalize form 4
@taturajabukhalfani7953
@taturajabukhalfani7953 3 жыл бұрын
Uwiiiii!!co kwa miuno hiyo jamani!!
@denismpempe3595
@denismpempe3595 3 жыл бұрын
MUNGU hawezi kukupatia kipaji cha kukata mauno hivyo .usimkufuru utapigwa teke
@theresiakaruhanga364
@theresiakaruhanga364 Жыл бұрын
Hata hivyo hiyo siyo ngoma ya kihaya. Wahaya wanacheza kwa staha
@anthonykondobole3962
@anthonykondobole3962 3 жыл бұрын
Elimu inaumuhimu sna hta kama hakuna ajira.
@muhsinikoki4060
@muhsinikoki4060 3 жыл бұрын
Duhh uyu kamaliza nyegezote jaman pole sana
@smsalama6540
@smsalama6540 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
@khadijeegundumu4651
@khadijeegundumu4651 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
@asupiaalbertoalberto8122
@asupiaalbertoalberto8122 12 күн бұрын
Bom trabalho linda mulher apartir de Moçambique.
@rahmanamani3422
@rahmanamani3422 3 жыл бұрын
Mchezo gani wa kibilisi uwo alafu eti mungu kanisaidia astagfirulah na huyo mama atasijue mama gani anaona ushenzi huu anafurahi loo
@blandinamyinga9489
@blandinamyinga9489 3 жыл бұрын
Talanta watu hupewa na Mungu labda shida ilipo ni wapi na kwa jinsi gani tunazitumia.tusihukumu watu tujifunze kuwaombea.
@gellysemwali5113
@gellysemwali5113 3 жыл бұрын
Eti nimemaliza alafu sijamaliza la 7 duuuh pole sana
@olphamoraa6683
@olphamoraa6683 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🥰🙈
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
😁😁😁😆🤣🤣🤣🤣🤣👌
@bahatisunga1642
@bahatisunga1642 3 жыл бұрын
Saida Mrembo iyo sura ni ya Baba
@hamidaala2832
@hamidaala2832 3 жыл бұрын
😆😆😅😆
@fatmamshangama9824
@fatmamshangama9824 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@adamhashim3352
@adamhashim3352 3 жыл бұрын
Ya masud😁
@jasmine.mayala7597
@jasmine.mayala7597 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@muhammadalaufi4313
@muhammadalaufi4313 3 жыл бұрын
Wew mwenyewe huna heshima unakatika mbele ya umati halafu wanaume wasikukobee
@cleophacephelician6739
@cleophacephelician6739 3 жыл бұрын
LIKE MOTHER LIKE DAUGHTER, MTAFUTE NA MAMA YAKE UMHOJI ALIISHIA DARASA LA NGAPI!
@elizaboster9479
@elizaboster9479 3 жыл бұрын
La pili
@mariamsindano5210
@mariamsindano5210 3 жыл бұрын
Ungemaliza shule
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Haki tena jamani
@sipekato5249
@sipekato5249 Жыл бұрын
Sawa sawa kabsaa binti mm nakupendaga unavotingishaa nyongaa
@benjamindenice53
@benjamindenice53 3 жыл бұрын
Mwandishi wa habari naomba umshauri saidi aje Arusha mjini atapiga hela, maaana watu wengi wanampenda.
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
Alafu wahaya tumejaa arusha
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 2 жыл бұрын
@@Ndu-wa.uroony2 tupo wengi, wewe tu uchague. Tumejaa ngarenaro, njiro, kijenge, sakina ,mianzini , majengo, matejoo, arumeru, yaani popote.......
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 2 жыл бұрын
@@Ndu-wa.uroony2 🤣🤣🤣🤣🤣 unataka katelelo nini?
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 2 жыл бұрын
@@Ndu-wa.uroony2 haswaaaa. Tusimalizie uhondo huku, kuku ni wengi. Mengine tutaongea faraga. Baadae basi
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 2 жыл бұрын
@@ilovejesus9303 poa ncheki kwa 0622 651936
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
ww mwenyewe heshima huna unataka wanaume wawe na heshime mchezo gani huo huna hata haya
@hawaheri5833
@hawaheri5833 3 жыл бұрын
Saa hizo ndasa za kujikatiki kwawanaume jaman daha inanlilq
@abdallahrenatus6677
@abdallahrenatus6677 3 жыл бұрын
Mungu akupe kuchezesha matako kwenye mashine ya mwanaume
@chebby7351
@chebby7351 3 жыл бұрын
At least she would have gone up to form four.
@afri-ka1956
@afri-ka1956 2 жыл бұрын
True
@issaidrisamusa8437
@issaidrisamusa8437 2 жыл бұрын
Elimu haina umuhimu , mwenye umuhimu ni Yule mwenye malengo nayo ,,, tusidanganyane wote ni wasaka tonge
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 3 жыл бұрын
Muendolezo wa umaskini how sad? Education is not a bad thing..,sasa hata primary mtu unakosa kumaliza? Yatakuwa yaleyale ya mamako tu. Kuporomoka kwake ni kwa vile hakuwa na elimu wakamuibia nakumpeleka peleka tu.
@AishaAisha-rh1fc
@AishaAisha-rh1fc 3 жыл бұрын
Inaonyesha uyu mtoto alikua ktk makundi ya wavuta bangi mzazi akua na namna ikabidi hamuweke karibu
@avitusmichael5
@avitusmichael5 3 жыл бұрын
Mama mwenye laana na mvivu wa kufikiri, anamwachisha mtoto masomo ili akakatie kiuno njemba, duuh! Kajala mwingine huyo
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Lkn huwo ukatikaji jamni kwa wanaume,kweli Kali Mungu wangu
@junuferjinu1444
@junuferjinu1444 3 жыл бұрын
Miaka22 sura imekoma atar
@wardamzuka3997
@wardamzuka3997 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 3 жыл бұрын
Anasura ya kiutu uzima Ila iyo miaka midogo
@biggestnasritv2601
@biggestnasritv2601 3 жыл бұрын
THE BIGGEST BOSS NASRI
@muungujaunguja8609
@muungujaunguja8609 3 жыл бұрын
Umalaya umepata kwa mama
@frolalupogompumbavuwewesiw179
@frolalupogompumbavuwewesiw179 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Mmmmmmm
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
Jamani 😙
@abelchuche4484
@abelchuche4484 3 жыл бұрын
Dancer mzuri ila asome japo amalize japo 4m4 tu.
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 3 жыл бұрын
Fundi kwakweli
@semenitheclassic
@semenitheclassic 3 жыл бұрын
Uyu mtoto ni muto mzee
@mimarsalehe9315
@mimarsalehe9315 3 жыл бұрын
Mmh kiboko
@moudboss8981
@moudboss8981 3 жыл бұрын
Mi pia niliacha Shule Form two na Sasa ninafanya Biashara kwa Siku napata Laki na Nusu Hadi lkn mbili lkn bado najuta Bora ningesoma japo ningemaliza 4m 4 coz nilitaka niaende Chuo Cha Uwandish wa Habari pale DSJ lkn ikashindikana kutokana na Elim yngu kuwa ya Chini Sana. So km tunapata Nafasi za kusoma Naomba tujitahidi tumalize ata km Sio kwa ufaulu
@witnessmush746
@witnessmush746 3 жыл бұрын
Na mm niajir boss
@elvisoscar9912
@elvisoscar9912 3 жыл бұрын
Uko Kama Mimi mzee sema Mimi nimeishia kidato Cha tatu sema Nina kipaji cha utangazaji kwa radio lakn ndo ivoo😂
@moudboss8981
@moudboss8981 3 жыл бұрын
@@witnessmush746 Usijal
@moudboss8981
@moudboss8981 3 жыл бұрын
@@elvisoscar9912 😂😂
@magrethmrangarwe904
@magrethmrangarwe904 3 жыл бұрын
Kwani pesa na hiyo elimu unachaguwa nn unaweza soma mbaka mwisho lakini ukakosa kupata chchte
@tatungeni6937
@tatungeni6937 2 жыл бұрын
🤸💃♥️
@joycemachibya4380
@joycemachibya4380 29 күн бұрын
Nimeona aibu mimi 😂😂
@isayalwilla5129
@isayalwilla5129 2 жыл бұрын
Alichonikera ni kuacha Shule,,,jinga sana huyo mtoto
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 2 жыл бұрын
Shule inasaidia nini?
@joycemachibya4380
@joycemachibya4380 29 күн бұрын
Mmmh hata kama music mmh so kwa kucheza huko
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 3 жыл бұрын
Mtoto mdogo unabambia wanaume unakatakata viuno usimshilikishe mungu Sema shetani kakuwezesha wewe usiseme mungu Sawa uache kabisa kusema mungu mungu ataki kukatia katika ovyo unakaribisha zinaa tu hapo
@amanijampion3045
@amanijampion3045 2 жыл бұрын
Ko yeye kaumbwa na shetani?
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 2 жыл бұрын
Mama unamharibu mtoto,hujamsomesha hata Elimu ya msingi!!?,hovyo Sana!,Ndiyo maana wasanii wengi hapa Tz hawafanikiwi,akili hamna!.
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 3 жыл бұрын
Duh
@markokida9918
@markokida9918 3 жыл бұрын
Dada wew una juwa
@kassimchogo1147
@kassimchogo1147 3 жыл бұрын
Ila anaonekana anakula bangi huyu binti
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 3 жыл бұрын
Daa kaacha shule🙄
@mussaabdiel9797
@mussaabdiel9797 2 жыл бұрын
Ungemalz skull mrembo karibun bs arusha saida karoli
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 3 жыл бұрын
Hongera sana dogo
@gracechalagwa9745
@gracechalagwa9745 3 жыл бұрын
Umeumia weee huptofika mbali
@rukiauwonde7062
@rukiauwonde7062 3 жыл бұрын
Kakomaa sura hatar mbona bado mdogo sana duh nampita hata mim mwenye miaka 35 duh au yupo kijijin? Mama anaangalia tu duh mtihan
@AbdulAbdul-pr9qe
@AbdulAbdul-pr9qe 3 жыл бұрын
Huyu ameanza kupokea dudu mapema sana ndio maana anaonekana ana sura nzito
@handenitakuru6696
@handenitakuru6696 3 жыл бұрын
@@AbdulAbdul-pr9qe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@mrope348
@mrope348 3 жыл бұрын
Huwezi kupewa vyote, wewe una sura show mbovu Mjini msingi kiuno
@theopistachialo10
@theopistachialo10 3 жыл бұрын
@@mrope348 kwakweli kama mzuri olewa😂😂
@maishayetufilm
@maishayetufilm 3 жыл бұрын
Hana Shida huyu akija mjini kama Ebitoke tutamuona Princess
@omnsultan383
@omnsultan383 3 жыл бұрын
Haaaaaa sura ya ebitoke
@stellakins3770
@stellakins3770 3 жыл бұрын
Mmmmm
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 3 жыл бұрын
Ndo kaumwa na Mola jamani
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 3 жыл бұрын
Ndo kaumwa jamani
@maimunashaban9538
@maimunashaban9538 3 жыл бұрын
Subili uzee
@avitusmichael5
@avitusmichael5 3 жыл бұрын
Paula anayejituma
@suzanemwangingo6932
@suzanemwangingo6932 3 жыл бұрын
Hongela mwanangu
@fatmamshangama9824
@fatmamshangama9824 3 жыл бұрын
Duuuh mbon anaonekana mkubwa
@hadeeegahalmawali504
@hadeeegahalmawali504 Жыл бұрын
Duuh 🤔 🤔
@mussanganda505
@mussanganda505 3 жыл бұрын
Pesa kwanza elim badae,ndo maana mafisad wanasema wizi kwanza kazi badae,
@mamiyfeiy
@mamiyfeiy 3 жыл бұрын
Hivi utamwachia mwanao akatike na kukobeha mama upo ujingaa mtupu pumbavuuu
@ashurahaji9115
@ashurahaji9115 3 жыл бұрын
Unaweza ukasoma na usiwe na akili matajiri wengi wameishia darasa la 4
@dintazdintaz7311
@dintazdintaz7311 3 жыл бұрын
Nenda uwaelekeze na wakina zuchu na nandy ambao viuno bado vigumu japo umekomaa sanaa
@housnayousif780
@housnayousif780 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣umenichekesha sana
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@roselinergeorge9474
@roselinergeorge9474 3 жыл бұрын
uko vizur
@jasmine.mayala7597
@jasmine.mayala7597 3 жыл бұрын
Duuuh .duuuh 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@rudhwanjumbe2970
@rudhwanjumbe2970 3 жыл бұрын
Du!
@gaudensiayustini8669
@gaudensiayustini8669 3 жыл бұрын
Elimu kwanza atajutia baadae kimaisha asaivi hayajui maisha
@salumkhamis7818
@salumkhamis7818 2 жыл бұрын
Kazi ya shetani achana nayo
@felistermatindi9134
@felistermatindi9134 3 жыл бұрын
@ nandy help this girl anaweza sana
@DoziKazi
@DoziKazi 20 күн бұрын
ww acha ksema ujinga shetan anatoa kizik tangia lin
@abigaellcharless8271
@abigaellcharless8271 3 жыл бұрын
Umemaliza shule afu unasema la 7 hujafika🤣🤣😍😍😍
@mantoumm4448
@mantoumm4448 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mayrialz8371
@mayrialz8371 3 жыл бұрын
Kizungumkuti ndio hicho yaani kumaanisha kachanganyikiwa maana hata kucheza kwenyewe kaambaye yuko kitandani anasuguana eti n kipawa, dunia tunahitaji Mungu 😡😡😡
@rehemamaduhu5642
@rehemamaduhu5642 3 жыл бұрын
Kwa mwanaume aliyekamilika yaani manjonjo yote hayo uwe mzima tu
@michaelmaziku991
@michaelmaziku991 3 жыл бұрын
Mh ila anafanana na baba yake
@glorymushi3025
@glorymushi3025 3 жыл бұрын
Hahahahaha umenifanya nicheke kwa sauti
@mmn7480
@mmn7480 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@douglassabiti3977
@douglassabiti3977 3 жыл бұрын
😂😂😂
@floramussa9992
@floramussa9992 3 жыл бұрын
😃😃😃😃nmecheka; unamfaham baba akee
@mamanbinwashadrack2257
@mamanbinwashadrack2257 3 жыл бұрын
Kabisa, japokua hatumfahamu baba yake, lakini mama yake ndio huyo, Saida mrembo sana
@mzackibra6360
@mzackibra6360 3 жыл бұрын
Mshauri saida aje mjini watu wanampenda atapiga hela mbn hyo
@kiri5807
@kiri5807 3 жыл бұрын
aje apigwe mimba aachiwe mtoto hapo .
@immanuelmwaipopo1605
@immanuelmwaipopo1605 3 жыл бұрын
Mmh huyu binti anabalaa yaani on bed anaonekana ni mkufunzi
@rehemamaduhu5642
@rehemamaduhu5642 3 жыл бұрын
😜😜😜
@immanuelmwaipopo1605
@immanuelmwaipopo1605 3 жыл бұрын
@@rehemamaduhu5642 🤣
@taturajabukhalfani7953
@taturajabukhalfani7953 3 жыл бұрын
Ucombe akuchukulie bwana ako!??
@immanuelmwaipopo1605
@immanuelmwaipopo1605 3 жыл бұрын
@@taturajabukhalfani7953 hahaaaaa akinichukua kama mm natekeleza sio tu familia natelekeza mpaka kazi ntakuwa nashinda nae ndani tu
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 3 жыл бұрын
Upuzi mtupu
@sharmelasaif47
@sharmelasaif47 3 жыл бұрын
Hasara kukataa shule
@amanijampion3045
@amanijampion3045 2 жыл бұрын
Shule si zipo tu jamaniii? Kwani zitafungwaaa? Atasoma tu kama kutakuwa na ulazima
@elizaboster9479
@elizaboster9479 3 жыл бұрын
Wahaya wanawake Ni wachache Sana wenye sura nzuri
@tabiafataki6896
@tabiafataki6896 3 жыл бұрын
Mbona amekomaa ivyo wakati ni bnt mdg
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 3 жыл бұрын
🤣🤣
@mariacharles8906
@mariacharles8906 3 жыл бұрын
Acheni majungu
@hamidaala2832
@hamidaala2832 3 жыл бұрын
MunguAwaepusheWatotoWanguNaHiikazi😭😭😭😭
@avitusmichael5
@avitusmichael5 3 жыл бұрын
Saida ni kajala mwingine, huyo demu ni Paula mleteni kwangu
@aminaabdulla8568
@aminaabdulla8568 3 жыл бұрын
Uchiya mzimu huo
@alexedward4069
@alexedward4069 3 жыл бұрын
Mtangazaji nitafutie namba yake
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 Ufanyiy nn jamn
@khdigahk4246
@khdigahk4246 3 жыл бұрын
Uno amelielewa😅😅😅
@suleimansalim7194
@suleimansalim7194 2 жыл бұрын
Pumbavv mkubwa wewe,
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 3 жыл бұрын
Poooleee mwayaa lakinii ungesoma tuu
@jacksonjuma5911
@jacksonjuma5911 3 жыл бұрын
Rudi shule kwAnza
@aminaabdulla8568
@aminaabdulla8568 3 жыл бұрын
Ni musiba
@arafamussa840
@arafamussa840 3 жыл бұрын
We mtot mungu hawez kukup nguvu ktkt hayo mambo ya kishetwan sema shetwani ndo kakupa nguvu
@arafamussa840
@arafamussa840 3 жыл бұрын
Umeenda mbal san we bad mtot mdog
@mwalimsubira7341
@mwalimsubira7341 3 жыл бұрын
Mnapenda kukosoa watanzania Jamani
@arafamussa840
@arafamussa840 3 жыл бұрын
@@mwalimsubira7341 wamekosea nini? Kwahiy penye kosa wafrah hhhhhh
@sturbbornvideoz8547
@sturbbornvideoz8547 2 жыл бұрын
Upuz 🤮
@sudymgeni701
@sudymgeni701 3 жыл бұрын
Kawaida ya maisha.kwa sasa shule sio dili kabisa
@mwajumabakari3730
@mwajumabakari3730 3 жыл бұрын
Kweli
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@taturajabukhalfani7953
@taturajabukhalfani7953 3 жыл бұрын
Mkwanja ndio kilakitu eti!?
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
@@taturajabukhalfani7953 ,😂😂😂😂
@glorymushi3025
@glorymushi3025 3 жыл бұрын
We unaweza mama namini mumeo hatokuacha kwa hizo swaga...
@hawaramadhani6954
@hawaramadhani6954 3 жыл бұрын
Wanaume wala hawasumbuliwi na viuno..utakatika weeeeee kesho utamkuta mumeo kwa mchaga ndoa inavitu vingi usijidangane wala kudanganya wengine
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 3 жыл бұрын
@@hawaramadhani6954 ukweli kabisa
@rukiaabdallah1132
@rukiaabdallah1132 3 жыл бұрын
@@hawaramadhani6954 kabisaaaa ndugu utampa miuno mpk ya kwenye dirishaaa lkn wapiii mwanaume sio miuno
@edyteemba1918
@edyteemba1918 Жыл бұрын
​@@hawaramadhani6954hahaha 😅😅😅 at unampata wapii? wah nimecheka jamani Kwa hiyo wachaga ndio bebabeaa ?dahl😅😅
Happy 4th of July 😂
00:12
Pink Shirt Girl
Рет қаралды 61 МЛН
That's how money comes into our family
00:14
Mamasoboliha
Рет қаралды 10 МЛН
UKIMTAJA MWIZI ARUSHA MAKONDA ANAKUPA LAKI NA UTALINDWA...
4:07
Global TV Online
Рет қаралды 3,5 М.
Saida Karoli - Baba Tajiri (Official Audio)
10:01
WMJ STUDIO - CHIPMUNKS
Рет қаралды 1,5 МЛН
UTAKIPENDA CHUMBA CHA BIBI KIMEBADILIKA|AWEKEWA MAJI
36:13
Halima's Kitchen Party, Mombasa/Kenya (Pt1)..
41:29
Mbk baba lao
Рет қаралды 9 М.