No video

UKIMTAJA MWIZI ARUSHA MAKONDA ANAKUPA LAKI NA UTALINDWA...

  Рет қаралды 6,622

Global TV  Online

Global TV Online

Ай бұрын

UKIMTAJA MWIZI ARUSHA MAKONDA ANAKUPA LAKI NA UTALINDWA...
Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda ametangaza kutoa shilingi laki moja kwa mwananchi atakayefika ofisini kwake na kutoa taarifa za uhakika ya mwizi anayemfahamu.
Akizungumza leo Juli 14,2024 wakati wa ugawaji wa tuzo kwa washindi wa mbio za pikipiki za Samia Motocross, Makonda amebainisha wazi kuwa atahakikisha uhalifu unakwisha kabisa ndani ya jiji la Arusha.
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 14
@MaulidiMsingwa
@MaulidiMsingwa Ай бұрын
Kwa mabifu ya vip sasa,wakati wezi wanajulikana,natunaishi nao,acha tuwataje tu,siwezi kumtaja mtu ambaye najua sio mwizi,nitamtaja mwizi tu.
@user-fy3cy5fe6q
@user-fy3cy5fe6q Ай бұрын
Mungu kakuleta Arusha
@user-jk7tq7xq2f
@user-jk7tq7xq2f Ай бұрын
Hongera makonda kwakweli nilikuwa nawaza ilo swahala
@prettygirl8325
@prettygirl8325 Ай бұрын
Nan anataka kupigwa kisu cha matako babaa😅😅
@user-nb6cd7rx6v
@user-nb6cd7rx6v Ай бұрын
Nakuja kexho
@user-ne6vu7kc5u
@user-ne6vu7kc5u Ай бұрын
Umesahau na kwenye hiace kondakta wanajua pia wezi wapo
@happymasha4318
@happymasha4318 Ай бұрын
mimi hapo tu kwenye kuongeza mda wakufanya biashara hapo ndo nakuelewa kwanini watu walale mji wa kitalii alafu dar hawalali tunakupongeza sana
@user-ji1mq4sk1n
@user-ji1mq4sk1n Ай бұрын
Hilo swala nalipinga kwa sababu Arusha tunaishi kwa mabifu mkuu.
@user-yh7ui7hw1i
@user-yh7ui7hw1i Ай бұрын
Si unamuambia kwa siri harafu mhusika atafatiliwa
@user-ne6vu7kc5u
@user-ne6vu7kc5u Ай бұрын
Pia kwenye hiace kondakta wanajua pia wezi
@MajaliwaYusuph-qb1xp
@MajaliwaYusuph-qb1xp Ай бұрын
Mkuu bifu angalia
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 Ай бұрын
Basi Watu watakufa sasa
@user-pp7ug2bc1y
@user-pp7ug2bc1y Ай бұрын
Na majamabazi yanayovaa suti. A kutumia malamute nayo tuyataje?
@hellenmassawe7284
@hellenmassawe7284 Ай бұрын
Acha makonda Afanye yake
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
Kids' Guide to Fire Safety: Essential Lessons #shorts
00:34
Fabiosa Animated
Рет қаралды 13 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 14 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45