EXCLUSIVE: Urais 2020 | Ukweli kuhusu Lipumba | Sababu za Kuhamia ACT | WaZanzibari kudai Haki Yao.

  Рет қаралды 63,277

Jenerali Online

Jenerali Online

Күн бұрын

#SeifSharifHamad #Zanzibar #JeneraliUlimwengu
Exclusive Interview with Maalim Seif Sharif Hamad.

Пікірлер: 144
@ramadhantiba4592
@ramadhantiba4592 4 жыл бұрын
Hongera sana Mzee wetu Jeneral Ulimwengu kwa kutoa nafasi kama hizi kwa viongozi wetu wa kisiasa kwasababu kutokana na mazingira ya sasa wananyimwa kabisa nafasi za aina hii, Hakika Mungu aendelee kukulinda kwa kila hali.
@afropatriot7769
@afropatriot7769 4 жыл бұрын
Kila siku tunawaona kwenye media wamenyimwa kivipi sasa,au unataka wawakusanye barabarani wawatembeze mkapigane mabomu kama ilivokua arusha zama za mkwere
@salehmadawa7035
@salehmadawa7035 4 жыл бұрын
@@salmasebastian1340 ni kweli kabisa kalala huyo
@abdullakihanza5432
@abdullakihanza5432 4 жыл бұрын
Mzee ungepumzika ukawaachia wengine, wengine miaka 80. si haba afya ni bora kuliko hayo unayo yataka ambayo hutoyapata asilan
@omarmwalimu92
@omarmwalimu92 4 жыл бұрын
Seif ni mfano kwa wanasiasa wa kileo,wanasubiri afe waje kumsifu..Ahsante jenerali kwa kutusogezea maarifa na hekima za Maalim
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 4 жыл бұрын
Jenerali ulimwengu una hekima na busara na unajua kumhoji mtu.Asante sana
@hashirsalim9570
@hashirsalim9570 3 жыл бұрын
awa ni watu kwa tanzania mungu awapeni kheiri nyoote inshallah
@tonyelshabbaz
@tonyelshabbaz 4 жыл бұрын
Mzee Jenerali tunakupenda saana mzee wetu! Umeitendea haki TASNIA YA HABARI
@saumuhasanhasn1388
@saumuhasanhasn1388 4 жыл бұрын
Hongera maalimu seif ulipo tupo
@iddijumaali7192
@iddijumaali7192 4 жыл бұрын
Hongera maalim sefu tuko pamoja na wewe kwa asilimia kubwa INSHALLAH
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 жыл бұрын
Allah atakupa umri mrefu siha afya Yaarabiy
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Mwaka huu tunamstaafisha siasa!!
@annapeter4994
@annapeter4994 4 жыл бұрын
Poleni poleni poleni. Kwa kawaida dhuluma inaleta fujo. Ila nyie mmekuwa waungwana na wapole. Mungu aiongoze safari yenu
@Natureo-hr9xc
@Natureo-hr9xc 4 жыл бұрын
Pamoja na yote aliyozungumza Maalim mimi naona mashirikiano ya vyama ni muhimu sana kwa wapinzani.Bila ushirikiano upinzani hautapata chochote.Kuna haja ya kujifunza kutoka Malawi.
@sylvesterjose3286
@sylvesterjose3286 4 жыл бұрын
One side would reject the proposal, definitely!
@johnmmassy2733
@johnmmassy2733 4 жыл бұрын
@@sylvesterjose3286 ..
@bernardmallya2967
@bernardmallya2967 4 жыл бұрын
Nature tatzo la vyama vya upinzan Tz n wabinafsi na wenye uchu wa madaraka... wakizitoa hizo tofauti watafanya maajabu na CCM washawajua kwamba wapo kipesa zaid ndio mana wananunuliwa kma chupi za mtumba kuchwaaa... siasa za Tz siku hiz n pesa kwanza na sio kutetea wananchi
@hassaniidrissa5916
@hassaniidrissa5916 4 жыл бұрын
Wameenda kuunga mkono juhudi za jembe letu, alioyafanya yanaonekana asioyaona ni zaidi ya kipofu,
@athonymalamla9820
@athonymalamla9820 4 жыл бұрын
Malawi jamaa kachukua familia yake yote kaipa ofisi na vyeo.Inatakiwa maandalizi ya kutosha na vyama kushibana.
@hassanally511
@hassanally511 4 жыл бұрын
Mungu akuweke Mzee wetu
@topotachilemba9196
@topotachilemba9196 4 жыл бұрын
Asante mzee Jenerali kutuletea hi kitu natumaini itaenda kwa wagombes wote
@juniorjunior412
@juniorjunior412 4 жыл бұрын
This man is Genius 💯
@solemba595
@solemba595 4 жыл бұрын
Kweli Ni Aibu Sana @Maalimu umesema kweli mtu kuuza utu/heshima yake kwaajili ya kuaidiwa Cheo au posho, Ni utumwa na aibu ya kiwango Cha SGR,
@ignacekiwale7281
@ignacekiwale7281 4 жыл бұрын
Nimevutiwa sana na mahojiano haya baina ya Jenerali Ulimwengu na Mhs Maalim Seif Sharif Hamad.Ni matumaini yetu kuwa utaratibu huu utafanywa kwa wanasiasa wengine walioziomba nafasi mbalimbali za uongozi ,kipindi hiki kuelekea uchaguzi Mkuu..
@abuujureyjkhaniy.5520
@abuujureyjkhaniy.5520 4 жыл бұрын
Maalimu tunakukubali wew ni lulu ya amani visiwani busara zako na hekima huidumisha zanzibar mpaka leo amani inatawala hongera jembe..........uwapo tupooo..
@kushokakitasunga9780
@kushokakitasunga9780 4 жыл бұрын
Nimekuelewa Maalimu! Heshima kwako simamia haki!
@bosskamanda88
@bosskamanda88 4 жыл бұрын
Kalee wajukuu wako Tena umri umri
@zuheraaziz9343
@zuheraaziz9343 3 жыл бұрын
@@bosskamanda88 mtume alipewa utume akiwa mtu mzima nzima tena hakupewa ktk ujana uwongozi hautegemei umri
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 4 жыл бұрын
Allah akupe umri wenye kheri Kipumba kaisha kisiasa ni kibaraka wa ccm tu
@venerandemiburo9039
@venerandemiburo9039 4 жыл бұрын
Tupo pamoja na ww Rasi wetu Allah akupe umuri wenye afya
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 жыл бұрын
JamanJamani dua dua za kisawasawa tena na imani kubwa sana za kuvunja vunja shari zao na huyo Mwenyekiti wewe tutanza kupambana nae kwa kila dua ya kumvunja vunja na yeye na unyoka wake Allaah atawashinda na wote watakaokuwa wanataka kutudhulumu haki yetu
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 жыл бұрын
Haki yenu ameichukuwa nani? Kama ilivyokuwa kura zote za Unguja na Pemba kuwepo au kutokuwepo hazina msaada wala mchango wowote kwa Rais wa Tanzania ni hivyo hivyo kura zote za Pemba hazina msaada kwa Urais wa Zanzibar. Cha msingi Wapemba mupende Pemba yenu mudai kujitenga lakini hivi mlivyo nyinyi ni Wapemba lakini kila mmoja anaitamani Unguja mtaishia kulia lia, Unguja ndio Zanzibar na Unguja ni ya Waunguja.
@alfeshhassan4181
@alfeshhassan4181 4 жыл бұрын
Alla akbar ...allah akueke yaa rbb ututmkie znz na ktukomboa kwny mkono ya wadhlumuji😮😮🤲
@farhatfatma12
@farhatfatma12 4 жыл бұрын
Maalim Seif Sharrif Hamad na General Ulimwengu. Mahojiano mazuri sana. Waandishi msikilizeni General Ulimwengu anavyouliza masuali bila kujipendekeza kwa mgeni wake na wala kwa serikali. Hats off General Ulimwengu.
@edsonoden8099
@edsonoden8099 4 жыл бұрын
Inapendeza sana viongozi wa kisiasa kupata nafasi ya kutujuza
@Byondorujulika17
@Byondorujulika17 4 жыл бұрын
Safi sana kwa ujumbe muzuri na wa faraja kwa jamii.
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 4 жыл бұрын
We missed jenerali on Monday, tunsshkuru umeileta huku mtandaoni kama jenerali online,its all gud mzee Twaha
@amanmohd9435
@amanmohd9435 4 жыл бұрын
Maalim ni strong tunakukubali
@cheupemwanga3326
@cheupemwanga3326 4 жыл бұрын
Kweli
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 4 жыл бұрын
Maalim Seif Sharif Hamad nuru ya Wa Zanzibar na wa Tanganyika Afrika mashariki na Duniani kwa ujumla,
@amankhalfan4798
@amankhalfan4798 4 жыл бұрын
Hongera Sana kwa kipindi kizuri na mjadala mzito tunahitaji tupate viongozi wengine wengi waje na wao watoe hoja zao.
@user-kr3vh4nu1w
@user-kr3vh4nu1w 4 жыл бұрын
Maalim mpaka allah atakapo chukua amana yk ila mm namuomba allah bwana waulimwengu muabudiwa wa mbinguni na waardhini akupe umrimrefu wenye manfaa kwako nawengine na asikufishe mpaka ndoto za urais zitimie kwako ili tuone uongozi wako utakavyo utumikia Amiin
@mohamedturanardan8871
@mohamedturanardan8871 4 жыл бұрын
Start Allah by a capital letter plz
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 жыл бұрын
@@mohamedturanardan8871 Watu wa siasa humtaja tu Allah SW lakini HAWAMJUWI.
@michaelmwaluko2882
@michaelmwaluko2882 4 жыл бұрын
Hongera mzee wetu maarim
@aminamodi8927
@aminamodi8927 4 жыл бұрын
Ulimwengi saa HII ndiyo wamtafuta Seif hivi ulikuwa wapi siku zote hizi Hebu sema kweli muogope mungu kama una DINI
@annapeter4994
@annapeter4994 4 жыл бұрын
Hongera sana mh Generali maana katika hali ya sasa bado hauogopi kutetea haki hadharani. Poleni mh Maalim, yaonekana nyuma ya pazia simba kaingia.... Lakini Mungu ni mkubwa kuliko simba huyo. Siku moja haki ya watanzania itapatikana
@mohamedsharian4874
@mohamedsharian4874 4 жыл бұрын
Gwiji lasiasa Tanzania
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 4 жыл бұрын
Allah atupe mabadiliko in sha Allah mwaka huu atuondoshee watawala madhaalim
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 жыл бұрын
Wadhalimu nani?
@sabamarkodindo8523
@sabamarkodindo8523 4 жыл бұрын
Napenda sana kupata mahojiano ya watu wa kongwe kama seif sharif !
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 4 жыл бұрын
Maalim seif ww ni mwamba
@Mido-eh9vz
@Mido-eh9vz 4 жыл бұрын
Vijana wengi tunahitaji sna kusoma busara na hkma za viongozi Hawa niwazoefu na nijuzi wa siasa za ktk taifa na nje ya taifa letu tujifunze siasa Bora kwao Hawa na busara kubwa ahsanteni
@majidomary3824
@majidomary3824 4 жыл бұрын
Ndomaanna ukaitwajenerar urimwengu hogera Sana kwa kutoa nafasi maojiano wanasiasa
@hashirsalim9570
@hashirsalim9570 3 жыл бұрын
kweli maalim wengi wao hawasemi na nafsi zao.
@mosaidi2633
@mosaidi2633 4 жыл бұрын
Hawako tayari kumtangaza seifu kwanini hukupisha wengine kidogo vijana,umejaribu sana haiwi
@halimafaki8175
@halimafaki8175 4 жыл бұрын
Mm nakubaliana na ww Maalim kwamba Lipumba alijiuzulu tatizo ambalo wanasheria wako ambacho walikifanya hakukumbuka kipengele cha kuitsha mkutano mkuu wa kuridhia kujiuzulu kwake hapo mkubali kama binaadamu mlikosea Lipumba ingebaki stori tu
@Mido-eh9vz
@Mido-eh9vz 4 жыл бұрын
Jmani mm nadhani uwepo wa busara kubwa kwa watu Kama Hawa katk uongozi bsi hatutofika ktk Safari hongereni sna sna wazee nyinyi nyote mnahkma na busara za taifa
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 4 жыл бұрын
Wakongwe kazini
@AbduRahman-os2vx
@AbduRahman-os2vx 4 жыл бұрын
Ccm wanaenda na mfumo wa divide and rule party ili wauue upinzani ila lipumba kibaraka wa ccm ,ukiangalia tuu ,shukrani ulimwengu kwa harakati,bila upinzani nchi yetu haitoendelea.
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 жыл бұрын
Maalim naam watu walokuwa hawakupendelei kheri watakuona kama ni mwenyewe hawahamu kama ni sisi ndio tunakutaka utuongoze kwa kuwa wao ni walafi wa madaraka
@saiddigogogo8218
@saiddigogogo8218 4 жыл бұрын
Aojiwe na lipumba
@faithmayingehama2275
@faithmayingehama2275 4 жыл бұрын
Plse mr Jenerali can you try to organize a debate ccm politicians versus opposition
@TamuzaKale
@TamuzaKale 4 жыл бұрын
They won't agree to do ti!
@hilalhilal8400
@hilalhilal8400 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣 CCM WATATUMIA BUNDUKI NA UPINZANI WANATUMIA SERA SASA SIJUI KAMA ITAWEZEKANA?
@sylvesterjose3286
@sylvesterjose3286 4 жыл бұрын
@@TamuzaKale The other side would reject the proposal, definitely!
@TamuzaKale
@TamuzaKale 4 жыл бұрын
@@sylvesterjose3286 Evidently!
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
@@TamuzaKale before thinking about debate, it would be a good thing if you advise the man to ritire!!
@omarali9817
@omarali9817 4 жыл бұрын
mapambaano ya kupigania haki mpaka mwisho wa uhai
@111dudi
@111dudi 4 жыл бұрын
Mallam hajakata tamaa tuu. Angakau wampe hata kazi ya kufagia ikulu
@abdulrahmanrajab4369
@abdulrahmanrajab4369 4 жыл бұрын
good
@marcogodfreymboya7349
@marcogodfreymboya7349 4 жыл бұрын
Mlete hapa Azaveli Rwetama
@gideonnsamuli9953
@gideonnsamuli9953 4 жыл бұрын
Jenerali uje na mbeya chunya
@MAPETEE
@MAPETEE 4 жыл бұрын
Ww malim una nuru wallah ya uso Wako mashllah una konga Lakin bado upo mzur tuna kupenda WA Zanzibar ww ndio baba WA Zanzibar ytu
@ibrahimpeter5585
@ibrahimpeter5585 4 жыл бұрын
Upo sawa maalim
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 жыл бұрын
Kweli Maalim maana washanza kusema kuwa watashinda kwa vyo vyote maana yake nini na wao hawaoni kama uchochezi huo Allaha tunakuomba uwatenze nguvu za shari zao
@khadijashabani5509
@khadijashabani5509 4 жыл бұрын
Kweli nyani haoni kundule ye mbona kahamia ACT!
@bakarimngazija6672
@bakarimngazija6672 4 жыл бұрын
Tuchaguwe mmoja tubaki wamoja .
@jackhans7708
@jackhans7708 4 жыл бұрын
Huyu anamiaka mingi serikalini na amekula sana Kodi za watajuwa,lakini cha msingi hajafanya kituchochote kwa wananchi au wanachama wake
@bakariahmadi9645
@bakariahmadi9645 4 жыл бұрын
Wepumba unazungumza nini wwe??
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 4 жыл бұрын
Na ndio mana Mungu hayupo pamoja nae mana nayy ni miongoni mwa madhwalim.
@zuheraaziz9343
@zuheraaziz9343 3 жыл бұрын
ww kichogo tulia
@zuheraaziz9343
@zuheraaziz9343 3 жыл бұрын
huijui kabisa znz lini maalim alipewa nchi ata ale pesa
@jackhans7708
@jackhans7708 3 жыл бұрын
@@zuheraaziz9343 zuhera zuzu kaa kimya Kama hayaijui historia ya basha wako mzee madevu
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 4 жыл бұрын
Maalim seif ni kweli yote unayoyasema. Ila kwanini ulijitangazia urais kabla ya mwenyekiti wa tume kutangaza matokeo?
@bernardmallya2967
@bernardmallya2967 4 жыл бұрын
Amechoka kuibiwa... kaibiwa sana, na aliwawahi... yko wapi ya Jecha kuchukuwa fom? Leo kawa muosha vyombo tuu na kujichekesha chekesha alidhania atapewa nchi kma fadhila... Maalim ataishangaza dunia
@iddisalum4988
@iddisalum4988 4 жыл бұрын
Huyu hajajitangaza ila aliiomba tume imtangaze
@jumamhamadi4004
@jumamhamadi4004 4 жыл бұрын
Sawa malim sef ulipo tupo
@simbalion2871
@simbalion2871 4 жыл бұрын
Mzee kwa heshima yako ungefaa ustafu na kua mshauri mkuu wa chama ushakua mzee akili yako kwa sasa nibusara kuwapa ushauri vijana
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 жыл бұрын
Allah ndie tunayemuweka mbele sie hivyo tunamuomba Peke yake na atatusaudia maana CCM mbwa ana afadahali kuliko wao Hasbunallah Waniimal Wakiil ndio iwe kilma chetu
@moyesmboya6171
@moyesmboya6171 4 жыл бұрын
Kwa hio lipumba atagombwa urais?
@athumanisururu1711
@athumanisururu1711 4 жыл бұрын
Nani anawahadaa wanachama na wana siasa kwa kuwaahidi vyeo kwani hata mtoa mada Maalim naye yupo njia hiyo hiyo kwani alipohama cuf alishawishi wabunge na wanachama kumfuata yeye akiwaahidi vyeo vipi hili limekaaje?
@kuntakintekoko5320
@kuntakintekoko5320 4 жыл бұрын
Kama kweli unataka kugombea na wewe tafuta bunduki mzee, kwa kupitia uchaguzi hiyo sahau kabisa, malizia maisha yaliyobaki na busara zako kwa kukaa na wajukuu zako.Ccm watakulipuwa kwa mtutu bure kama yalivyo wakuta wenzako.
@zuheraaziz9343
@zuheraaziz9343 3 жыл бұрын
tangia 95 hawajamuuwa tu walingojea nn usiongee pumba hujui mungu anapanga nn
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 жыл бұрын
Alikuwa keshatongozwa huyo ndio maana
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Wanafiki wamekutana!!!!
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 жыл бұрын
Rubani wa yote hayo ni CCM na Tiss basi Allah atawapa tiss ya kikweli maana tupo tunamuomba kheri
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 жыл бұрын
Hakika SIZIFAHAMU siasa za Tanzania. Ni nchi gani duniani ambako vyama vya Upinzani hufanya mikutano ya hadhara kabla ya wakati wa Kampeni? Huwezi kuifananisha CCM ambayo ndio yenye Serikali na vyama vingine. Usawa wa vyama vya siasa ni "equit" na sio "equal", kwa maana mwenye Serikali hupewa nafasi zaidi.
@swahibal-karama145
@swahibal-karama145 4 жыл бұрын
Hakuna chochote ni Porojo tu....seifu kashaongea zaidi ya hayo. Na hakuna kitu:
@zuheraaziz9343
@zuheraaziz9343 3 жыл бұрын
porojo lkn umelisikiliza
@ukhtyalpha1344
@ukhtyalpha1344 4 жыл бұрын
Tena hao wa ccm wao ndio waseme wanavyotaka mtovu wa wa adabu alosema simiogopi Maalim Sef nwa yeye tunamuambia hawamuogopi MMungu CCM alikupeni pumzi mtamuogopa kiumbe tumtizame Rais Mstaafu Salimu Amour kiburi kimefika wapi na hao dola tunawaambia Alaysa LLah Biahkamil Hakimiin
@hajijuma9232
@hajijuma9232 4 жыл бұрын
R
@azizawadh5973
@azizawadh5973 4 жыл бұрын
Shusha tanga pandisha tanga.
@selemanimzee4140
@selemanimzee4140 4 жыл бұрын
Yote maisha
@aminaabdallah7702
@aminaabdallah7702 4 жыл бұрын
Hakuna upizani TZ au watanzania wenyewe ndohawataki yupezani wabaya ambao hawapendi tuseme wanachukia maendeleo ya TZ yahivi sasa?
@saidhamis5956
@saidhamis5956 4 жыл бұрын
Mzee mbona sera hazibadiliki
@zuheraaziz9343
@zuheraaziz9343 3 жыл бұрын
adi wataka aseme ataleta maji na njia😂😂
@lucky9285
@lucky9285 4 жыл бұрын
Lipumba OUT 😂😂😂
@kalundemedia242
@kalundemedia242 4 жыл бұрын
Nahitaji kununua kitabu cha RAI YA JENERALI kama unauza soft copy. Namba yangu ya simu 0783700083 / 0653 700083 au Email: kalunde47@gmail.com
@mahmoudally9919
@mahmoudally9919 4 жыл бұрын
Ndio kununuliwa huko mwanamke akishapata mwanaume nje WA kumuhadaa hununanuna ovyo ameyatupa hatumtaki hata kumuona huku Zanzibar
@arafataliomar7432
@arafataliomar7432 4 жыл бұрын
Huo ndio ukweli kuhusu lipumba
@omarabeid7490
@omarabeid7490 4 жыл бұрын
Lipumbavu
@georgewambura7135
@georgewambura7135 4 жыл бұрын
na ni ujinga uliopitiliza kutaka kuua upinzani
@kaniogachief6151
@kaniogachief6151 4 жыл бұрын
Ulimwengu mbona mahojiano yako hu Balance unahoji mtu mmoja??
@bernardmallya2967
@bernardmallya2967 4 жыл бұрын
Fuatilia wew... kawahoji watu kibao... na hata unaowawaza hawawezi kukubali mualiko... kama walikataa wa BBC mwaka 2015 je wataweza 2020 kwa Jeneral Ulimwengu online??
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Huyu jamaa bwege sana, analalamika watu kuhamia CCM wakati yeye mwenyewe kahamia ACT!
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 4 жыл бұрын
Bwege mkeo
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
@@aishamuhammad7785 huyu jamaa bwege sana!
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 4 жыл бұрын
Juma:neno bwege si pahala pake hapa.Wewe kama una hoja ya kupinga maalim basi toa hoja yako,na wananchi wataweza kufaidika.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 4 жыл бұрын
@@jumakapilima5674 Kwenye comments mna MBWA ngapi walizoitwa CCM, je zinahusika?
@zuheraaziz9343
@zuheraaziz9343 3 жыл бұрын
@@ahmedalbalooshi8518 😂😂😂😂huna tusi lkn neno ulilompa ni zaid ya tusi
@kidelenyafundi5167
@kidelenyafundi5167 4 жыл бұрын
Jenerali Ulimwengu, wewe ni Mnyarwanda usituletee mambo ya Wahutu na Watusi
@georgewambura7135
@georgewambura7135 4 жыл бұрын
kaa utulie ww
@bakariamour6024
@bakariamour6024 4 жыл бұрын
Na wewe pia ni mnyaruanda Tanzania hatuna jina kama lako
@MS.independent8934
@MS.independent8934 4 жыл бұрын
nanyie mliopokea wabunge na madiwani je mliwanunuwa? na nikwanini hamuwezi kuongea mambo yetu tuu bila kui'ongelea CCM? kwani hamjui kujibu swali bila kuweka CCM kwenye vinywa vyenuu? na ww ulinunuliwa na zitto ili uondoke CAF? kwanza umesha zeheka bakikuwa mshauri waachie vijana wa chama chenu nafasi hizo siomyaka yoooote ww2?🙄 aboooo
@gochamso
@gochamso 4 жыл бұрын
Mbwa wewe
@RioIpo
@RioIpo 4 жыл бұрын
Hahahah hebu muache Mau Dodo wetu
@solemba595
@solemba595 4 жыл бұрын
People are differ in IQ...
@TheKuntakinte
@TheKuntakinte 4 жыл бұрын
"Ni sababu gani ya Lipumba kukasirika na kuondoka,sisi sote hatujui", That's bullshit old man, do not say urongo.
@godisgreat1845
@godisgreat1845 4 жыл бұрын
Yani huyu anawazuia vijana kugombea yeye anajua kuwa wa Zanzibar hawataki ndio maana analazimisha wazanzibar I hawakutaki wewe na huwi Rais hadi kiama Mungu hakukupanga wewe uwe Rais hivyo hata ufanye nini
@solemba595
@solemba595 4 жыл бұрын
Hujui unacho ongea...
@solemba595
@solemba595 4 жыл бұрын
If you don't have data, you don't have right to argue...
@georgewambura7135
@georgewambura7135 4 жыл бұрын
kwani mara ngapi mzee katoboa uko ila wazadiki wakaziba kinafiki usiwe kama mgeni nchi hii
@zuheraaziz9343
@zuheraaziz9343 3 жыл бұрын
hawampendi uyo mwinyi kasema kama znz upande wa upinzani kwa maalim ni mkali ww kichogo nyamaza kimya huyajui ya wa znz😂😂
@godisgreat1845
@godisgreat1845 3 жыл бұрын
@@zuheraaziz9343 ww membe nn maana wa Pemba ndio wenye kauli za dharau kama yako wewe unanijua nilivyoumbwa mm eti kichogo dharau tu mnahisi nyie Mungu hakuwa PA dothari ila kwa watu wa Bara ndio Wana vichogo jitizame wewe kwanza hutoi harufu katika sehemu zako za siri au udi ndio unakustiri Sasa kama unadhani mimi ni mtu wa Bara umekosea Sana na wazanzibar ndio wenye maamuzi na nchi Yao Sasa sio Akina sefu kama hujui maana ya kusema hivyo nambie nikusomeshe mpemba wa mwisho kuongoza zanzibar katika karne hii I sheni bas sio sefu Allah atatulinda na Shari zake na kama mnadhani ile tabia ya kutaja watu kwenye majuwaa ya siasa mkasema laana tu Allah kuwatakia laana watu laana ile I arudi kwenu ndio maana kila siku Allah anawashusha na msipoacha tabia hiyo mtakuwa dalili hadi siku ya kiama
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 4,5 М.
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 33 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 35 МЛН
Matching Picture Challenge with Alfredo Larin's family! 👍
00:37
BigSchool
Рет қаралды 52 МЛН
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 7 МЛН
EXCLUSIVE Membe: Nchi hii inahitaji majasiri kama mimi
42:30
Jenerali Online
Рет қаралды 47 М.
Nawal El Saadawi on feminism, fiction and the illusion of democracy
41:15
Why Spain's Socialists are U-Turning on Immigration
10:51
TLDR News EU
Рет қаралды 165 М.
Yuval Noah Harari on the Rise of Homo Deus
1:31:18
Intelligence Squared
Рет қаралды 953 М.
Germany’s Historic Election Results Explained
10:16
TLDR News EU
Рет қаралды 245 М.
DP William Ruto addresses the BBI report launch at Bomas of Kenya (full speech)
25:59
William M. Tuttle, Jr. -  Race Riot: Chicago in the Red Summer of 1919
8:01
The Brainwaves Video Anthology
Рет қаралды 32
Blue Food VS Red Food Emoji Mukbang
00:33
MOOMOO STUDIO [무무 스튜디오]
Рет қаралды 33 МЛН