Aisee bro!! Ushawahi kujiuliza una thamani gani katika maisha ya watu wanaobadilika kupitia ww ? Mungu akupe maisha marefu bro tunahitaji kujifunza mengi kupitia ww.
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Nashukuru sana ndugu yangu. Comment yako inanipa nguvu kuendelea kufanya kazi nzuri zaidi. Naweza kujiuliza lakini huwezi kujua namba kamili ila nashukuru napata mrejesho kwa wengi kuwa masomo yanawasaidia. Usisite ku-share LINK ya content nzuri utakazoona zinafaa kuwapa wengine ili wajifunze zaidi. - Each One Teach One!
@hatimnasri51843 жыл бұрын
Asante Sana, nami nitahakikisha tuna share kwa wingi masomo haya ili kukamilisha neno la each one teach one!.🙏
@successpathnetwork3 жыл бұрын
@@hatimnasri5184 Shukrani sana...
@mahmoodalghefeili53703 жыл бұрын
@@successpathnetwork iyo ya 5 kama ni mumeo ndio anakufanya unaumiza kichwa inakuaje apo kaka mana unajitahid kufokas ufikie sehem flan alafu yy ndio anakuumiza kichwa kutokana na tabia zake yan ad unajikuta muda mwing unamuwaza yy
@ummyqassim29073 жыл бұрын
Allah akujalie umri mrefu Akili mingi,maarifa,hekima na busara. La kwanza kabisa akujalie akili ya kumtambua yeye. Asante kwa ujumbe mzuri
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Ameen Ummy Qassim, dua njema iwe kwetu sote. Be blessed!
@mahmoodalghefeili53703 жыл бұрын
@@successpathnetwork 🙏🙏🙏🙏
@fedharmmark63983 жыл бұрын
Mkuu ahsante kwa Elimu hii, kitu kilikuwa kinipa shidaa ya kusema kitu hata kabla sijafanya, na kingine watu wanaongea mambo amabayo siyo ni kuwapuuzia kwa kweli maana hawakujuwi vzr, na kuhusu mtu kukaa kimyaa kweli siyo mnyonge ni hekima tu ya kujivika busara zaidi ,Ubarikiwe sana mkuu nimepata madini sana aise 🙏🥋🥊👉🏆
@frankmsangi3 жыл бұрын
nashukuru sana broo tokea nimeanza kukusikiliza na kukufatilia nimejifunza mambo mengi na Nimeyafanyia kazi vizuri na nanimepata matokeo mazuri san kwa yale ambayo najifunza kutoka kwako.Aisee kwel nimeamini elimu uondoa ujinga na kukupa maarifa...Shukran bro Mungu azidi kukulinda katka kila jambo na akupe maisha marefu pia.🙏
@aminiellukumay78693 жыл бұрын
Ahsante ndg. Ezden Jumanne....hakika nimeokota kitu kwa somo hili
@monicajoseph10023 жыл бұрын
Kweli hii ni each one teach one,,ckuwa nakufahamu lakin rafiki yangu kanifanya nikufahamu nakuendeleaa kufatilia vipindi vyako,MUNGU aendelee kukupa upeo zaidi,,maana kuna watu tunajifunza kupitia wewe🙏🙏🙏🙏
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Asante sana Monica Joseph kwa kufuatilia. Usiache ku-share link ya somo hili kwenye groups na wengine ili ujumbe ufike mbali zaidi. Stay blessed!
@AliMohamed-wp1op3 жыл бұрын
kweli kabisa, marafiki ni Influence nzuri ama mbaya na pia ukieleza mambo yako unapata Husda na ina Affect malengo ama mipango yako, hata mie yashanipata
@gharibmohd30883 жыл бұрын
Bro ezden mm nipo znz ila nakufatilia sana wallahi wewe unasaidia sana jamii hakika kwa hili unafanya sadakat l jariyya ambayo ata ukitangulia mbele za haki basi manufaa yake utayapata mungu akujalie siku moja uwe mtu mkubwa sana hapa nchini kwetu Tz Amiin
@EBMSCHOLARS3 жыл бұрын
Thank you for the sharing, somo zuri sana
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Asante sana EBM SCHOLARS kwa kufuatilia. Stay blessed!
@nyongesabenjamin37622 жыл бұрын
Ni ukweli point understood bro
@leilalusekelo1532 жыл бұрын
Shukrani kaka Allah akujaalie afya njema tupate kujifunza zaidi🙏🙏
@najlaskitchen15723 жыл бұрын
Unanibadilisha Sana ndugu yangu..Mungu akujaze kheri hapa duniani na kesho akhera❤️❤️
@petroyovenary3113 жыл бұрын
Tunashukuru sana kwa elimu ya uhalisia wa maisha maana kama vile umeniona mungu akubariki sana.
@khadijashabaninimba78902 жыл бұрын
Barikiwa 🙏 sana
@owlbig3 жыл бұрын
Thnk you so much brotha umenigusa sana love from Burundi 🇧🇮
@amankinyamagoha28613 жыл бұрын
Thank you brother
@edmondjr173 жыл бұрын
Much respect brother, Allahumma barik
@bongosky20122 жыл бұрын
Dua mingi dady 🙏🤛👣
@merykabogo76363 жыл бұрын
Hongera sanaaa kaka ,yangu Ezden kwa somo zuri ,Nimejifunza kila chenye mwanzo kina mwisho !!!
@frankmsangi3 жыл бұрын
bro nashukuru sana kwa elimu ulionipa leo maana imenifungua brain yan yan ndo maana sichoki kukuangalia bro wewe ndo mentor wang yan nimejifunza mengi san kupitia kwako maarifa unayonipa yana thamani kwang zaid ya kitu chochote yan kam iyo point ya4 imenigusa sana maana nilikuwa siishi na uwalisia wang nilikuwa nacopy watu kweny mitandao ya kijamii lkn now nimeshapata maarifa meng kutoka kwako na nayafanyia kazi bro Mungu akubariki sana kazi nzuri sana we say Each one teach one!🙏
Gud advice nmejifunza kuwa n furaha peke yangu si lazma uwe na mtu au kitu furani ili ufurahie
@yussufamour65673 жыл бұрын
Safi sana nimejifunza mengi
@hasnuuahmed98343 жыл бұрын
Honger sana bro masomo yak ni zaid ya shule big up may allah bless you
@danielcharles12502 жыл бұрын
Miak ming kiongoz kwel n Zaid ya shule unagusa hisia za watu 🙏🙏🙏
@tetemamg88213 жыл бұрын
Nakupenda sana una nisaidianga sana 🙌 mungu akubariki sana
@kharifasiraji34462 жыл бұрын
Safi sana br ezden uzidi kuwepo
@mwlrobinson2 жыл бұрын
I gotta something over here ,,,, thanks for letting me know
@amirclassic83262 жыл бұрын
Nimeanza kukueleawa kaka Asante
@ShabaniKasua Жыл бұрын
Usmdharau use mjua
@munahashim88983 жыл бұрын
Shukran Sana brother God bless you 🙏
@blandinageorge87383 жыл бұрын
Asanteee ubarikiwe san 💋
@careenchengula26823 жыл бұрын
Hongera Sana bro ezde yaan nimejifunza kitu hapo maana Mimi kila Jambo nonalotaka kufanya lazima niseme kwa watu, lakini baada ya kuwaambia watu tu Jambo langu linasimama hapohapo. Yaan bro umenizindua ubongo asante Sana dia.
@hamidusibye52413 жыл бұрын
nakukubali sana,siku ya pili nacomment kwako
@successpathnetwork3 жыл бұрын
pamoja sana kaka
@kalelaonlinetv3 жыл бұрын
mashaallah jazaka llahu khayr
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Waanta kadhalikah...
@Sharifarajabudebe3 жыл бұрын
Shukurn brother
@johnmangaga49492 жыл бұрын
Yaani wewe kijana ni ZAID ya MWALIMU!; Uko vizuri sana mafundisho yko MTU akiyafuata Anauwezekano mkubwa saaanna WA KUFANIKIWA HONGERA DANA!;
@successpathnetwork2 жыл бұрын
Nashukuru sana Bwana John. Karibu sana!
@ramadhaniathumani26363 жыл бұрын
Congratulations! Kazi nzuri
@maryannoor80922 жыл бұрын
Ahsante
@mwajumaathumani-f4q Жыл бұрын
Mm ni mgeni naitaj kujifunza Zaid ongera Allah akuzidishie Zaid na zaid
@successpathnetwork Жыл бұрын
Allahumma ameen
@salimkadau82573 жыл бұрын
Mungu aibariki kazi unayoifanya broo thamani yako ni kubwa kwetu kamwe tutaendelea kukuombea mema tu
@piusrodlick29453 жыл бұрын
Asante kaka 🍹nakukubal Sana
@yumbujackson8693 жыл бұрын
Excellent talk
@asteriamndeme51982 жыл бұрын
AMINA
@davidchawala62603 жыл бұрын
I really get it broh
@aminamkawa70473 жыл бұрын
Allah akulipe Kaka nakuelewa Sana🙏🙏
@nshimirimanadjamilla72703 жыл бұрын
Shukran kwashawuri
@boniphacecharles51183 жыл бұрын
Asante sana kaka
@goalhall3 жыл бұрын
Ahsante sana mkuu
@masanjamalugwaja99722 жыл бұрын
Nakupata vizur
@hildamushashu50566 ай бұрын
U're good bro
@machanomussa26873 жыл бұрын
Point namba mbili, ulishawahi kunipoza, usikubali kumpa mtu yyte siri zako za kibiashra
@the_dy_namic2253 жыл бұрын
Allah atakulipa kwajitihada yako aaamiiin🙏
@idrisaismail53593 жыл бұрын
,asantee,,sana,kaka
@salmashoo81003 жыл бұрын
Broo kwel sio mpaka uwe na mtu au na watu ndy nifulai nimejifunza furaha yangu kuto shikiliwa na mtu au na watu
@successpathnetwork3 жыл бұрын
naam...
@eliasmamba99243 жыл бұрын
I appreciate that bro!
@eunicefalex44033 жыл бұрын
Kiukweli mie nimependa kutoa Hawa marafiki wasiokuwa na msaada wowote kwangu toka niwape block hata stress zimepungua sana
@kobokothemilan20253 жыл бұрын
All the best brother.
@gharibmohd30883 жыл бұрын
Good
@Hopegivers.3 жыл бұрын
Ushauri mzuri sana.
@yumbujackson8693 жыл бұрын
🙏🙏🙏
@charlesmyamba85313 жыл бұрын
Broo nimejifunza apo kwenye Kuna watu ili ufanikiwe Kuna marafiki mizigo bidi uwapunguze ili mafanikio yaje
@wilisonwilliam64843 жыл бұрын
Sema mkuu tunaomba upunguze matangazo meng kuliko ujumbe tunao upata au matangazo mafupi yanatosha
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Nashukuru kwa maoni nitayafanyia kazi brother
@josephkabengwa56683 жыл бұрын
Nakuelewa sana bro mafunzo yako ni reality life
@capturedmomentstv6097Ай бұрын
kaka naomba ufudishe somo la kujitambua
@januarymuzaliwa13703 жыл бұрын
bro please teach about how to maintain a woman please please let do this success plath nation
@ndewinimastra67593 жыл бұрын
kakanime kuerewasana ubarikiwe
@mussadismass93063 жыл бұрын
Mumejifunza kufanya vitu kwanza nisisema kabur ya wakati ubarikiwe
@tetemamg88213 жыл бұрын
One day Nita kuja kukuona
@sadikijoseph3064 Жыл бұрын
Sosho midia ndo pwenti imeyo nigusa sana
@mahmoodalghefeili53703 жыл бұрын
Hii namba 8 imenigusa mno na namba 2 mana ndio vinanitesa mno na kunirudisha nyuma
@jonsonjohn26992 жыл бұрын
jinsi ya kuendesha biashala yaduka nakubansi matumiz hatakama unamizi makubwa yanazidi biashala
@immajuzo24403 жыл бұрын
Madini matupu ila namba mbili kiboko yao
@godfreyjuma99232 жыл бұрын
Kitabu cha Biashara ndani ya Ajira Nipo Itigi Manyoni kaka
@mathiasphilipo98093 жыл бұрын
Start and stop
@mudyhangahanga3 жыл бұрын
kwl kabiaa ila ninge penda unapo ongea kwa kiswail maandishi yapite kwa English
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa maoni yako ndugu yangu. Nitalifanyia kazi jambo hili ili kuboresha masomo haya. - Each One Teach One!