SABABU 9 ZA KUTOWASIKILIZA WATU HAWA

  Рет қаралды 37,647

Success Path Network

Success Path Network

Күн бұрын

Tunaishi kwenye jamii yenye watu wengi wanaokuzunguka na wengine hukuonesha hata wanakujua zaidi ya wewe unavyojifahamu. Bila shaka utakuwa ushaanza kuwaelewa watu hawa. Sasa tatizo la hawa binadamu ni kwamba usipokuwa makini unaweza kuendelea kucheza kwenye mistari yao na kujikuta unafanya yote wayatakayo lakini unapokwama kwenye hiyohiyo mipango yao kamwe hautauona ushirikiano wao kukukwamua kwenye tatizo walilokusababishia na kukuacha peke yako ukitaabika.
Sasa somo hili ni muhimu sana katika kuhakikisha linakuweka vizuri kifikra na kukufanya uweze kuyaendea mafanikio bila vikwazo ya wengine ambao tunaweza kuyaepuka mapema kwani una kila sababu ya kuwaepuka au kutowasikiliza watu hawa.
Ungana nami katika somo hili
.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
NIFUATE MITANDAONI
INSTAGRAM: / ezdenjumanne
TWITTER: / ezdenjumanne
FACEBOOK: / ezdenjumanne
LINKEDIN: / ezdenjumanne
.
For Business please send me an email
ezdenjumanne@gmail.com
Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
#Sababu9 #Kutowasikiliza #Wanaokuongelea

Пікірлер: 228
@muhammadahmedaliyyu3854
@muhammadahmedaliyyu3854 4 жыл бұрын
😁😁 😁 Nimefaidi mangi Lakin Nime penda Sana nukuu hii ATI mtu aishi vile Mwenyezi Mungu anataka👍
@muhammadahmedaliyyu3854
@muhammadahmedaliyyu3854 4 жыл бұрын
Naamu Mola akuendeleza Zaid akubariki Sana
@prettyh7509
@prettyh7509 4 жыл бұрын
Haswaaaa
@ibrahimfrance1576
@ibrahimfrance1576 4 жыл бұрын
Wakati mwingine huwa naangalia Mara mbili mbili crip zako broo nakukubali Sana mungu azidi kukujalia maarifa Zaid ili uzid kutuelimisha 🇹🇿🇹🇿👏👏
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
amiin. nashukuru sana kaka
@mkibandulo1231
@mkibandulo1231 4 жыл бұрын
Mashaallah Allaah Azidi kukufungulia Milango ya ufahamu Maana masomo yako ninakuelewa Na hunibadilisha
@felistajohn529
@felistajohn529 4 жыл бұрын
Ahsante sana kaka masomo yako mazur najifunza vitu vingi nimebadilika kiasi kukubwa Mungu andelee kukuongoza Akubariki kwa Moyo wako wakujitolea Amen🙏
@mamunote3507
@mamunote3507 2 жыл бұрын
Thanks Alwah azidi kukupa Uzima na Afya njema na akubarikie sana ktk Maisha yako yote Ameen
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Ameen Mamu Note3, dua njema iwe kwetu sote. Be blessed!
@annakuluka7510
@annakuluka7510 9 ай бұрын
Amina sana nahisi kubadirika kupitia somo hili
@user-zs2jd2pt8d
@user-zs2jd2pt8d 7 ай бұрын
Sina mengi nakubalibsana❤
@MasoudLiyoka-x4r
@MasoudLiyoka-x4r Ай бұрын
Ahsante
@hijjahbintmardhya6613
@hijjahbintmardhya6613 4 жыл бұрын
Shukran Akhy Kweli umefanya vyema nimejifuza mengi sana kwa video zako tatu tu yaan 🙏MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI ZAIDI
@saidseif7469
@saidseif7469 4 жыл бұрын
Mungu atakulipa hili soma litakuwa kubwa sana na litakuja kupata views nyingi sana utakuja kuniambia InshaAllah.
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
nashukuru sana kaka
@baruanikhalfani8696
@baruanikhalfani8696 3 жыл бұрын
,nice
@jumanamwandu5951
@jumanamwandu5951 3 жыл бұрын
Safisanaaaaaaaaa broo
@samohazakwani6899
@samohazakwani6899 4 жыл бұрын
Assalaam alaykum. Shkrn sana kwa somo zuri sana. Kuogopa watu ni tatizo kubwa sana, mtu anakuwa km mtumwa wa watu ili kuwaridhisha wengine. Anakosa hata kujiamini. Uko msemo unasema "wewe ni kiongozi wa nafsi yako" ukiogopa kusemwa hutofanya kitu. Muhimu ni kumridhisha Mola wetu, sio viumbe wenzetu.
@helenamusa432
@helenamusa432 4 жыл бұрын
stres iko kwenye mawingu hii kwel noma niseme2 Ahsante Kaka kwani nazidi kuwa strong wowen
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
Asante sana Helena Musa kwa kufuatilia. Usiache ku-share link ya somo hili kwenye groups na wengine ili ujumbe ufike mbali zaidi. Stay blessed!
@helenamusa432
@helenamusa432 3 жыл бұрын
@@successpathnetwork tuko pamoja Ezeden kaka naiman kazi zako ztafika kwa kila mutu napia kila mwanadam anaikuba ubarkiwel
@helenamusa432
@helenamusa432 3 жыл бұрын
@@successpathnetwork tuko pamoja Ezeden kaka naiman kazi zako ztafika kwa kila mutu napia kila mwanadam anaikuba ubarkiwel
@majidyomary1875
@majidyomary1875 4 жыл бұрын
Kiongozi mungu akupe maisha malefu kwani minapitia sana point zako na zinanibadilisha sana ktk maisha yangu big up
@MasoudLiyoka-x4r
@MasoudLiyoka-x4r Ай бұрын
Br.J4 Ahsante
@majidyomary1875
@majidyomary1875 4 жыл бұрын
Nakukubari sana kiongozi sikupingi
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp 7 ай бұрын
Hizii ndio busara za Edzen Jumanne🙏🙏 Asante Sana teacher... Maisha ni formula na mtunzii wa iyo formula ni ww wenyewe🙏🙏🙏 Asante
@BestiNasso
@BestiNasso 10 ай бұрын
Naitwa Hamisi my brother nimepata point hii kwamba katika maisha siwezi kumridhisha kila mtu . Nashukuru sana kaka ubarikiwe
@zakiahaeuna1849
@zakiahaeuna1849 3 жыл бұрын
Mashaallah akubarik san ktk maish yadunia naakher
@annouya483
@annouya483 3 жыл бұрын
Napenda saana mafunzo yako
@jackychebet8100
@jackychebet8100 2 жыл бұрын
Asante sana sana Kwa ushauri wako ,be blessed , mala nyingi ushauri wako wanitia nguvu
@ramadhanjuma5526
@ramadhanjuma5526 4 жыл бұрын
"What goes around, its comes around" each one teach one.👏👏👏
@jamilarimo4390
@jamilarimo4390 3 жыл бұрын
Jazaaka Llahu Khair .
@carolynewerunga9112
@carolynewerunga9112 2 жыл бұрын
Ukwel kabisa Tena wao ndio wakwanza kujileta kwako wakiona umeshaa fanikiwa
@evaristyjoseph2309
@evaristyjoseph2309 2 жыл бұрын
Asante kwa somo zur Kaka ezden
@mohamedkhamis8470
@mohamedkhamis8470 4 жыл бұрын
Bi nafsi najifunza sana mambo mazuri kutoka kwako ezdeni endelea kuwa na moyo uwo..uwo Allah atakulipa kwa muongozo mzuri unao tupatia
@erikalutevele8362
@erikalutevele8362 11 ай бұрын
Mungu azidi tu kukutunza kwaajili yetu
@successpathnetwork
@successpathnetwork 11 ай бұрын
Amiin
@yassinshabanshemndolwa5782
@yassinshabanshemndolwa5782 2 жыл бұрын
broo hupingwii hat chembeee you are my teacher unanipa Muongoz mzuri wa maisha
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Asante sana Yassin shaban Shemndolwa kwa kufuatilia. Usiache ku-share link ya somo hili kwenye groups na wengine ili ujumbe ufike mbali zaidi. Stay blessed!
@kiyage
@kiyage 4 жыл бұрын
Mafunzo na mawazo yako siku zote yanakita ktk uhalisia wa maisha ya kila siku....shukran bro🙏
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Nashukuru sana
@allfaeliasi7440
@allfaeliasi7440 4 жыл бұрын
Braza unazidi kunifunza meeeengi mpak najiona bora
@akidasalim3859
@akidasalim3859 4 жыл бұрын
Nakukubali sana
@musamohamed9119
@musamohamed9119 3 жыл бұрын
Allah Akujaze khery in shaa Allah kwa kazi unayoifanya kwa wanajamii, usichoke Brother Ezden.
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
Ameen Musa Mohamed, dua njema iwe kwetu sote. Be blessed!
@husnatanzanian9155
@husnatanzanian9155 2 жыл бұрын
Asalam aleykm walahamatulluh wabalakatuh kaka ezden jumanne upo vizuli masha Allah yani masomo yako yananifungua akiri sana yes sahihi Allah akulipe nshaallah kaka Shabani nimeani huwezi kumlizisha mtu Allah takilaafiya nshaallah 🤲👍 10 15
@hajihaji3544
@hajihaji3544 4 жыл бұрын
Hongera kwa kutufinza
@mapishinaamanda6944
@mapishinaamanda6944 4 жыл бұрын
Muda pia hubadili mawazo ya watu juu yako... asante kwa somo nimejifunza
@SaidSaid-mt5dd
@SaidSaid-mt5dd 3 жыл бұрын
Nakupend kaka kwaajili ya Allah
@kareemyassin9322
@kareemyassin9322 4 жыл бұрын
Nimeipenda sanaaaaaaa hii video na somo lake naiomba nambq yenu ya wasap
@farhatislam6550
@farhatislam6550 4 жыл бұрын
Asante kwa kwa somo nakuaminia broo
@housemanagmentfinishing1151
@housemanagmentfinishing1151 2 жыл бұрын
Uko sahihi bradha najifunza mengi sana
@barakamichael652
@barakamichael652 3 жыл бұрын
Kaka ezden mungu akubarki Sana kwa Hili Somo ulilo nifundisha Asante Sana nimetambua meng na nimejifunza Ving vitakavyo nisaidia jinsi ya kuwapuuzia watu wenye Tabia hii
@veronicakauye2087
@veronicakauye2087 3 жыл бұрын
Somo nzuri sana, ubarikiwe na Mungu Ezden, uzidi kutupatia mengi yenye faida
@simonkinyajui1742
@simonkinyajui1742 4 жыл бұрын
broh umenisaidia sana na video zako God akubless sana pia mm now days na help Young people wenye wamejisahao broh each one tech one
@zahrakitchen5880
@zahrakitchen5880 4 жыл бұрын
Shukran sana
@ramahamis5793
@ramahamis5793 4 жыл бұрын
Allah azidi kukuimalisha kiafya uzidi kutupa madini KAKA MKUBWA
@ramazaniassani9013
@ramazaniassani9013 3 жыл бұрын
Ok asante Sana kabisa nisawa sana
@SAYFANMUSSA
@SAYFANMUSSA 4 жыл бұрын
😍🤩😘 nakubaliana naww
@mr.energy2162
@mr.energy2162 4 жыл бұрын
Nimejifunza kitu kikubwa sana nashukur sana
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 2 жыл бұрын
Amen
@ahadiandongwisye6041
@ahadiandongwisye6041 4 жыл бұрын
Unaona, unafikiri, unasikiliza na unasema MTU analotaka kwa upande mmoja na upande mwingine si kila MTU anataka kile unachosema ila ni vema uendelee kusema, kazi nzuri kaka.
@sultanisharifu6728
@sultanisharifu6728 4 жыл бұрын
Nakubali Sana kk
@eliviarespicious9090
@eliviarespicious9090 3 жыл бұрын
Thanks much bro for your lesson nmejifunza meng na nitaendelea kukufuatilia
@JastinSichilamba-ok5tw
@JastinSichilamba-ok5tw Жыл бұрын
Nakuelewaaaa Sana kaka
@emadjuma507
@emadjuma507 3 жыл бұрын
I like it
@aminaalid9745
@aminaalid9745 2 жыл бұрын
Ujue nlimuona rafkiangu juz kaweka status clip yako nkapenda sana akaniambia oh mtafte KZbin utapenda vingi daaah kwakweli najiona kama nimechelewa kukutafuta Allah azidi kukuhifadhi
@majaliwaathumani3324
@majaliwaathumani3324 4 жыл бұрын
Nimekubali Kaka yapo okay
@feisalakbar4759
@feisalakbar4759 6 ай бұрын
Mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla
@estherleonard7769
@estherleonard7769 4 жыл бұрын
Naomba somo la kujifunza kuwa mkimya
@adilymwalyanzi2339
@adilymwalyanzi2339 4 жыл бұрын
Asante kaka kwa mafundisho yako hakika unatukuzaa kiakili
@ismailysaid5352
@ismailysaid5352 4 жыл бұрын
each one teach one thank you brother
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
Asante sana ismaily said kwa kufuatilia. Usiache ku-share link ya somo hili kwenye groups na wengine ili ujumbe ufike mbali zaidi. Stay blessed!
@Happnessjaphet
@Happnessjaphet Жыл бұрын
Nakuelewa kaka mm nasema sana
@majidyomary1875
@majidyomary1875 4 жыл бұрын
Naomba ushauri nademwangu anaukimwi nampenda sana ila ajawahi kigongwa na ajui kama m nishamjua ye anaukimwi na kashakula sana mda wang na kiasi chapesa kingisan. Sasa dah nafanyaje nimwache au niendeleanae na kwaimani hp. Naomba ushauri kiongozi kupitia hilo
@merykabogo7636
@merykabogo7636 4 жыл бұрын
Ahxante xanaa kaka kwa Elimu nzurii ,!!
@musasuccessline9713
@musasuccessline9713 4 жыл бұрын
Asante sana kaka nlichokipata mungu akuongezee miaka
@yustamushashu6415
@yustamushashu6415 4 жыл бұрын
Asante kaka Edzen nimefunguka sana Mungu akubariki
@wilsonkitundu8835
@wilsonkitundu8835 2 жыл бұрын
Kaka uko vzr cn asante kwa elimu y'all nzur kwan wtu wanajifuza mengi toka kwako
@omariramadhani1562
@omariramadhani1562 3 жыл бұрын
Allah akbar,nimefunguka macho na akili yangu,mungu azidi kukuweka longlife bro,pia kabit kanakosikika huwa nakapenda kweli,
@faridamhina7640
@faridamhina7640 4 жыл бұрын
Mashallah , somo zuri nakufatilia kwa umakini
@rashidikinabo6945
@rashidikinabo6945 3 жыл бұрын
Kakukubali Sana unajuh
@user-hw7by5fr3p
@user-hw7by5fr3p 5 ай бұрын
🙏🏾
@user-go8zb2bo1x
@user-go8zb2bo1x Жыл бұрын
Asante
@ngogemuhammed4081
@ngogemuhammed4081 4 жыл бұрын
Nikweli kabisa Kufundisha ni kubadilisha uzoefu.
@mohamedmiraj3117
@mohamedmiraj3117 4 жыл бұрын
Saaafi
@prettyh7509
@prettyh7509 4 жыл бұрын
Hahaha umenifurahisha binadam ataongea Tu hata ufanyeje
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
Yap...
@nyamwenzaedward4811
@nyamwenzaedward4811 4 жыл бұрын
Mashallaaa
@xxxbaby5925
@xxxbaby5925 Жыл бұрын
Nice
@josephkmarwa7425
@josephkmarwa7425 2 ай бұрын
Mawazo..yako..bro..yataishi..kwa..mwenye..malifa..tu..asnte..sana🙏🙏
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 ай бұрын
Karibu sana kaka
@user-gv4pc9if2u
@user-gv4pc9if2u 3 ай бұрын
Sawa Kabisa. Fanya ulichojaliwa utawezeshwa. Acha neno haiwezekani basi isingewezekana kuzaliwa
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 ай бұрын
Naam Naam nimekubali hiyo..
@vicentndiholeye1067
@vicentndiholeye1067 2 жыл бұрын
asante kaka kwakunifungua akili mungu akubaliki
@judithmwambe4767
@judithmwambe4767 4 жыл бұрын
I understand you very well brother Ezden.....I like you much.
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
Asante sana Judith Mwambe kwa kufuatilia. Usiache ku-share link ya somo hili kwenye groups na wengine ili ujumbe ufike mbali zaidi. Stay blessed!
@dottnatt7110
@dottnatt7110 3 жыл бұрын
Shukran kaka Ezden🙏
@alliymohamedalliy6524
@alliymohamedalliy6524 2 жыл бұрын
Appreciate 😇
@saidseif7469
@saidseif7469 4 жыл бұрын
Hahahahahahaha kaka Ezden umenichekesha sana leo dah kweli bidanadamu hawa ishiwi maneno ya kusem 16:15
@kijangwazay7711
@kijangwazay7711 4 жыл бұрын
Upo sahihi kabisa bro
@subiraomari5908
@subiraomari5908 4 жыл бұрын
Asante Sana kaka najifunza mengi sana
@jofreypilla5041
@jofreypilla5041 2 жыл бұрын
Asante sana kw#
@citymaxbookshoptanzania2924
@citymaxbookshoptanzania2924 3 жыл бұрын
Asante sana brother
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
pamoja sana karibu..
@abuukhudhayfah4083
@abuukhudhayfah4083 4 жыл бұрын
Huwa naburudika na kuelimika at the same time baaarak llahu fiiyk
@geraldbenjamin9302
@geraldbenjamin9302 4 жыл бұрын
Great
@abdulrazzaq779
@abdulrazzaq779 4 жыл бұрын
Thanx u very very much Allah bless u amenn
@pendatv1675
@pendatv1675 4 жыл бұрын
Your points appearing on the screen it's extremely helpful bro... Thanks.. gob bless you
@successpathnetwork
@successpathnetwork 3 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa maoni yako ndugu yangu. Nitalifanyia kazi jambo hili ili kuboresha masomo haya. - Each One Teach One!
@evahealthservice7390
@evahealthservice7390 4 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa maarifa zaidi ya kutujenga, barikiwa sana.
@lightnovel.06
@lightnovel.06 4 жыл бұрын
Shkuran sana mzee wang
@reubenfrank5379
@reubenfrank5379 4 жыл бұрын
Asante Sana kwa mafuundisho mazuri
@michaelshayo187
@michaelshayo187 4 жыл бұрын
Safi namba 7 nimeipenda sana nahisi hili watu tukilijua tutakuwa na maamuzi mazuri siku zote
@mussamwamsitu2259
@mussamwamsitu2259 4 ай бұрын
Maa shaa Allah
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 ай бұрын
Tabaaraka LLAH
@deathrow8004
@deathrow8004 4 жыл бұрын
#HUWA NAKUELEWA SANA🧠..ALLAH AKUPE MAARIFA ZAIDI YENYE UFAHAM AKHI BARAKA LLAHU FIYKA
@saumusanjiama6991
@saumusanjiama6991 2 жыл бұрын
Shukran
@bisharyussuf7039
@bisharyussuf7039 9 ай бұрын
Good morning Brother.......Nimefatilia maneno yako sanaa but umenifunza mambo mengi Sanaa so Nashukuru kwa hilo kaka
@tunumgimba5117
@tunumgimba5117 2 жыл бұрын
Upewe ulinzi wa kutosha
@mkatungu7457
@mkatungu7457 4 жыл бұрын
Ahsante sana mtoto wangu kwa somo zuri.
@dastanmgaya7731
@dastanmgaya7731 4 жыл бұрын
tupo pamoja
@salemale6830
@salemale6830 4 жыл бұрын
God bless brother EZDEN mungu akuweke uzid kutufunuwa vichwa wasgo zako nawakubwa zako pia dahh nimeelewa hiii sanaaa zaid yasanaa
@successpathnetwork
@successpathnetwork 4 жыл бұрын
pamoja sana
@salemale6830
@salemale6830 4 жыл бұрын
Yan brother EZDEN nakukubal san hamasa zako yan tuna msemo wetu ule each one teach one (SPN)
MAMBO 10 YA KUKUJENGEA POSITIVE THINKING
19:47
Success Path Network
Рет қаралды 53 М.
SIRI YA MAFANIKIO ILIYOSAHAULIKA
17:59
Success Path Network
Рет қаралды 28 М.
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
USIFUPISHE MAISHA YAKO KWA KUFANYA MAMBO HAYA
17:00
Success Path Network
Рет қаралды 25 М.
ZINGATIA HAYA UFANIKIWE - Part 1
10:56
Success Path Network
Рет қаралды 37 М.
ISHARA 4 KUWA WEWE UMEKUA | You're Matured
14:45
Success Path Network
Рет қаралды 61 М.
7 Signs That Someone Dislikes You and is Hiding it | STOIC PHILOSOPHY
27:50
TABIA NNE (4) ZITAKAZOBORESHA MAISHA YAKO
20:09
Success Path Network
Рет қаралды 33 М.
USIFANYE "HII KITU" ASUBUHI | Ezden Jumanne
14:04
Success Path Network
Рет қаралды 452 М.
Jinsi ya kuacha tabia usiyoipenda.
8:54
Joel Nanauka
Рет қаралды 161 М.
Mambo 6 ya Kufanya Watu Wakupende Zaidi
21:44
Success Path Network
Рет қаралды 400 М.
MAMBO HAYA YANAKUCHELEWESHA KUFANIKIWA
17:24
Success Path Network
Рет қаралды 96 М.
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН