No video

FANYA HIVI UPATE HESHIMA ZAIDI KWA WENGINE

  Рет қаралды 22,664

Success Path Network

Success Path Network

Күн бұрын

Fanya mambo haya ili upate heshima zaidi toka kwa wengine. Kamwe usiwe katika watu ambao jamii haioni umuhimu wao, yaani wapo wapo tu. Japo sisemi yeyote amdharau mwingine kivyovyote ila fahamu kuwa kuna baadhi ya tabia ukiamua kuwa nazo basi sehemu kubwa ya wana jamii watakupenda na kukuheshimu sana.
.
02:32 Kuwa wa mwisho kuzungumza
03:58 Usione aibu kukosea
05:02 Kuwa mtu wa vitendo zaidi
05:36 Sema kile unachomaanisha
06:33 Ona mazuri tu kwa wengine
08:29 Heshimu wengine
09:11 Kuwa tayari kubadilika
10:27 Saidia wengine
.
Tuandikie kwenye comments nini umejifunza katika somo hili na kama kuna mifano inayoendana na somo hili tafadhali tushirikishe na sisi tujifunze toka kwako, each onr teach one! Karibu.
.
LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
.
SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
HAMASA YA LEO👇🏽
/ hamasayaleo
.
JE WAJUA?👇🏽
/ @youtubepesa255
.
VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
/ @learn2earnclass
.
TUWASILIANE ZAIDI HAPA:
Kwa mahitaji ya kuweka tangazo lako kwenye channel hii.
Kama unahitaji Voice-over (English & Swahili).
Kujiunga na group la vitabu (Whatsapp & Telegram).
Kuwasiliana na Ezden Jumanne kwa huduma zaidi.
SIMU: (+255) 759 191 076
EMAIL: ezdenjumanne@gmail.com
.
.
#Heshima #Zaidi #Ezden

Пікірлер: 70
@anordperestalent8113
@anordperestalent8113 2 жыл бұрын
Point nyingine ili wakuheshimu waonyeshe kama unaweza kuishi bila wao *Kupenda sana kuombaomba au kila shida unamwendea mtu na ukashindwa kuitatua mwenyewe labda kukopa inaweza ikashusha heshima ya mtu kwa sababu wengi asilimia kubwa wanaopenda kukopa huwa wanakuwa kulipa ndio chanzo cha heshima kushuka
@daudiniyonsaba1113
@daudiniyonsaba1113 2 жыл бұрын
Manshallah, sifa zote hizo nimejaliwa. Hapa, umenihakikishia tu kaka. Nilikuwa nikijiuliza kwa nini jamii inanipa heshima, sasa nimekuelewa. Yaani huo mimi Mia fil Mia. Nafurahi, alhamdulilah.
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Hongera sana sana... I wish you all the best
@rizickanton7363
@rizickanton7363 Жыл бұрын
Somo zuri sana bro
@David-fq1rd
@David-fq1rd Жыл бұрын
Asante Baba
@KINGCOBRATV765
@KINGCOBRATV765 5 ай бұрын
Unyama sana brrrr umetisha
@successpathnetwork
@successpathnetwork 5 ай бұрын
nashukuru sana ndugu yangu. Tuko pamoja sana
@isaiahereng2973
@isaiahereng2973 Жыл бұрын
Nice one brother
@ashuraabuu5579
@ashuraabuu5579 2 жыл бұрын
Nashukuru Sana Kaka kwa mafundisho yako
@herimailo8183
@herimailo8183 Жыл бұрын
Brother asante mungu akulinde
@kinnyiron8483
@kinnyiron8483 2 жыл бұрын
Daah asee we Kaka ang Naqbarii Sana Hadi bando linaisha nkiwa nacheki video zakoo
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Nashukuru sana Kinny...pamoja sana
@sadathally3533
@sadathally3533 11 ай бұрын
kua wamwisho kuzungumza kitu muhimu sana bro asante.. lakin pia ningependa uzungumzie ufanye nini pale watu wanapokuamin kwamba unaweza kufanya kitu fulani au nafasi fulani na wakati wewe huamin kabisa kama unaweza kufanya au kua kwenye hiyo nafasi
@edsonstephano726
@edsonstephano726 2 жыл бұрын
Asante Sana kwa somo zuri pia ukitaka kueshimiwa epuka kukopa siyo Kira anae kukopesha anania zuri na wewe wegne anakukopesha anataka kukuzaririsha kwahiyo unapo taka kukopa agaria mtu unae mkopa ili akulindie heshima yako Asante.
@omarmayabi149
@omarmayabi149 2 жыл бұрын
Shukran sana
@yumbujackson869
@yumbujackson869 2 жыл бұрын
Somo zur bro
@TommyMkilya
@TommyMkilya 4 ай бұрын
Nikwel ❤
@jamesraymondrogatmushi7470
@jamesraymondrogatmushi7470 2 жыл бұрын
Unafanya kazi nzuriii Sana kaka MUNGU akubariki
@saumukijabala233
@saumukijabala233 2 жыл бұрын
Shukraan bro Ezden🙏
@user-ne6cb2xh2n
@user-ne6cb2xh2n Жыл бұрын
broo mimi nakubaliana na wew lakini nawez kuongezea apo kua kwa zama hizi unapokua n mtu mwenye mafanikio ndo unawez kueshimika zaidi
@fadhilaally3360
@fadhilaally3360 2 жыл бұрын
Asantee sana nimejifunzaa sana somo hili
@subiraomari5908
@subiraomari5908 2 жыл бұрын
Asante Sana kwa kutujuza
@hatibummambe6601
@hatibummambe6601 2 жыл бұрын
Ujumbe mzuri 👏
@filbertnyamachoya7499
@filbertnyamachoya7499 2 жыл бұрын
Nashukuru sana naendelea kupata elimu
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
pamoja sana
@alhassankinota9182
@alhassankinota9182 2 жыл бұрын
Shukran jazllah brother, umenikumbusha tips muhim san
@abdullymkongo6718
@abdullymkongo6718 2 жыл бұрын
Brother ezden hii nzuri sanaaa
@harveyjules5874
@harveyjules5874 2 жыл бұрын
Asante sana
@jumbewatson4164
@jumbewatson4164 Жыл бұрын
Hapo kwenye kuwa wa mwisho kuongea ,kunakitu nataka kuongezea .ukiwapa nafasi ya kuongea wote ...kwako itakuwa rahis kuhimisha jambo Kwan utakuwa umejua Kila mmoja kaongea Nini.....!
@jumbewatson4164
@jumbewatson4164 Жыл бұрын
Hapo lizima utaeshimika
@successpathnetwork
@successpathnetwork Жыл бұрын
Naam na ndio lengo... hata sasa ukitoa mawazo yako utakuwa umezingatia na michango ya wengine
@shamsiamsaghati
@shamsiamsaghati Жыл бұрын
Always what goes around comes around 💪
@esrommasunzu6712
@esrommasunzu6712 2 жыл бұрын
Ahsante Sana teacher hakika nimelielewa somo hili. Haswa kwenye quote ya Bruce Lee "knowledge will give you power but character will give you respect" pia nmeielewa vizuri quote ya Nelson Mandela "be the last to speak" lakini pia nmeielewa pont ya 3 ambayo ni "kuwa mtu wa vitendo kuliko kuwa mtu wa maneno mengi". Asante Sana kwa somo zuri. MUNGU akubariki.
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Ama kweli, umeelewa...asante Kwa kufuatilia. Karibu sana
@mohamedmashaka4599
@mohamedmashaka4599 Жыл бұрын
Heshima kwako kaka
@twaybachellah914
@twaybachellah914 2 жыл бұрын
Asnte sana.. Nimeondoka na hiyo point.. Ukitaka heshima anza kuwaheshimu wengine... 🙏🙏🙏🎉❤️
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
naam, works always
@rishboysultan3956
@rishboysultan3956 2 жыл бұрын
Zote nzuri Kaka Mola akuhifadhi na atujalie tuwe ni wenye kufuata
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Ameen
@AlfaMbisa
@AlfaMbisa Ай бұрын
Ata kuto onekana mara Kwa mara inaongeza sana heshima
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 Жыл бұрын
Asante kaka kwaushauri mzuri sana Nakupenda kwajili Allah 💙💙💙
@successpathnetwork
@successpathnetwork Жыл бұрын
Nashukuru sana sana sana.... stay blessed
@wilsonkitundu8835
@wilsonkitundu8835 2 жыл бұрын
Ukoo vzuria cn ezden nakkbli cn broo
@jumaabdul2162
@jumaabdul2162 2 жыл бұрын
Ahsante sana bro!..unamadini sana mkuu..
@abdurahimabdulkadir3926
@abdurahimabdulkadir3926 2 жыл бұрын
Somo zuri
@aminataramio8254
@aminataramio8254 2 жыл бұрын
Shukran Kaka mungu akuzidishiye upeo
@gradinessmichael3030
@gradinessmichael3030 2 жыл бұрын
Nzuri hii nimejifunza kitu
@jaystar1004
@jaystar1004 2 жыл бұрын
GOD BLESS YOU BROTHER..🙏🙏🙏
@khadijakisingo7920
@khadijakisingo7920 2 жыл бұрын
Brother Asante sana Allah akupe afya njema 🙏
@lincolnmosh5248
@lincolnmosh5248 2 жыл бұрын
Najifunza sana kupitia ww ntakupa mrejesho nikiwin my teacher
@johnbanda6601
@johnbanda6601 2 жыл бұрын
Nashukur ...umenipa funzo hapo
@omarmayabi149
@omarmayabi149 2 жыл бұрын
May ALLAH GIVE YOU REWARD FOR THIS
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Allahumma ameen
@rajvanymatuma5977
@rajvanymatuma5977 2 жыл бұрын
Vizuly kak ezy den jumanne nimejifunza mengi kutoka kwako
@kalelaonlinetv
@kalelaonlinetv 2 жыл бұрын
Allah akulipe kheer akhy
@joramjoseph9964
@joramjoseph9964 2 жыл бұрын
Respect kwako bro
@masterkey536
@masterkey536 2 жыл бұрын
Waaaaaaaoh
@aminaalid9745
@aminaalid9745 2 жыл бұрын
Alhamdulillah shukran akhy Allah azidi kukutia nguvu nmeipenda hii somo Hapo hlo group la wasap huniungii
@venturebown6983
@venturebown6983 2 жыл бұрын
Bless up bro
@TommyMkilya
@TommyMkilya 4 ай бұрын
Kila siku naweka bando hili nijifunze vutu unavyo towa katika live Yako ya KZbin ❤
@matendoandrewmgeni1135
@matendoandrewmgeni1135 2 жыл бұрын
Apriciate Ila program yetu kimyaaa
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
Kaka kwema? Ile kitu nataka tuianze rasmi mwisho wa mwezi wa mwezi huu...! Tukiwa wazima
@matendoandrewmgeni1135
@matendoandrewmgeni1135 2 жыл бұрын
@@successpathnetwork nakuombea mkuu
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
@@matendoandrewmgeni1135 pamoja sana kaka, tena anz akuandaa kabisa ya january!
@mrkivuruge
@mrkivuruge 2 жыл бұрын
Nakufatilia Kam nini nimetoka kuelewa Yale uyasemajo
@joramjoseph9964
@joramjoseph9964 2 жыл бұрын
Wewe ni hatari
@hapsaally1860
@hapsaally1860 2 жыл бұрын
Kibongobongo heshima pesa tu
@successpathnetwork
@successpathnetwork 2 жыл бұрын
sawa...
@falesysylivester4549
@falesysylivester4549 2 жыл бұрын
Si kweli. Ukiwa na pesa utaheshimiwa kinafiki tu hasa kama utakuwa huna tabia hizi zilizotajwa. Watu watakupa heshima bandia mbele ya macho yako lakini watakusema vibaya wakiondoka mbele yako, sasa hiyo si heshima bali ni unafiki. Ni kweli pesa ni muhimu sana lakini ili upate HESHIMA YA KWELI lazima uwe na hekima na hekima inajengwa na tabia njema ambazo baadhi yake zimetajwa hapa. Pesa ni muhimu lakini sifa njema ni muhimu zaidi ili kupata heshima ya kweli na kuishi maisha yanayompendeza Mungu na jamii kiujumla. Ahsante.
MAMBO 6 YA KUFANYA WATU WAKUPENDE ZAIDI
16:44
Success Path Network
Рет қаралды 27 М.
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 87 МЛН
WORLD'S SHORTEST WOMAN
00:58
Stokes Twins
Рет қаралды 195 МЛН
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 29 МЛН
JINSI YA KUONGEZA FOCUS KATIKA MAMBO YAKO
13:48
Success Path Network
Рет қаралды 16 М.
Siri (8) za Kufanikiwa Kiuchumi Na Reginald Mengi
11:32
Pesa360
Рет қаралды 69 М.
TABIA NNE (4) ZITAKAZOBORESHA MAISHA YAKO
20:09
Success Path Network
Рет қаралды 32 М.
MAMBO 8 YA KUFANYA UWE NA MAISHA MAZURI ZAIDI
13:15
Success Path Network
Рет қаралды 19 М.
JINSI YA KUWEKA MALENGO NA KUYAFANIKISHA | James Mwang'amba
20:21
Success Path Network
Рет қаралды 16 М.
USIPOIFAHAMU SIRI HII BASI UTAKUFA MASIKINI
3:35
SIRJEFF DENNIS.
Рет қаралды 32 М.
RICH DAD POOR DAD | Mambo 12
27:38
Success Path Network
Рет қаралды 37 М.
MAMBO 6 YA KUACHA ILI UFANIKIWE
11:26
G Online
Рет қаралды 60 М.
NJIA 5 ZA KUWA MWENYE AKILI ZAIDI
9:27
Success Path Network
Рет қаралды 17 М.
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 87 МЛН