Ahsante sana kaka masomo yako mazur najifunza vitu vingi nimebadilika kiasi kukubwa Mungu andelee kukuongoza Akubariki kwa Moyo wako wakujitolea Amen🙏
@ibrahimfrance15764 жыл бұрын
Wakati mwingine huwa naangalia Mara mbili mbili crip zako broo nakukubali Sana mungu azidi kukujalia maarifa Zaid ili uzid kutuelimisha 🇹🇿🇹🇿👏👏
@successpathnetwork4 жыл бұрын
amiin. nashukuru sana kaka
@mamunote35073 жыл бұрын
Thanks Alwah azidi kukupa Uzima na Afya njema na akubarikie sana ktk Maisha yako yote Ameen
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Ameen Mamu Note3, dua njema iwe kwetu sote. Be blessed!
@mkibandulo12314 жыл бұрын
Mashaallah Allaah Azidi kukufungulia Milango ya ufahamu Maana masomo yako ninakuelewa Na hunibadilisha
@CollisBill-mu3zp11 ай бұрын
Hizii ndio busara za Edzen Jumanne🙏🙏 Asante Sana teacher... Maisha ni formula na mtunzii wa iyo formula ni ww wenyewe🙏🙏🙏 Asante
@hijjahbintmardhya66134 жыл бұрын
Shukran Akhy Kweli umefanya vyema nimejifuza mengi sana kwa video zako tatu tu yaan 🙏MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI ZAIDI
@jackychebet81002 жыл бұрын
Asante sana sana Kwa ushauri wako ,be blessed , mala nyingi ushauri wako wanitia nguvu
@samohazakwani68994 жыл бұрын
Assalaam alaykum. Shkrn sana kwa somo zuri sana. Kuogopa watu ni tatizo kubwa sana, mtu anakuwa km mtumwa wa watu ili kuwaridhisha wengine. Anakosa hata kujiamini. Uko msemo unasema "wewe ni kiongozi wa nafsi yako" ukiogopa kusemwa hutofanya kitu. Muhimu ni kumridhisha Mola wetu, sio viumbe wenzetu.
@kiyage4 жыл бұрын
Mafunzo na mawazo yako siku zote yanakita ktk uhalisia wa maisha ya kila siku....shukran bro🙏
@successpathnetwork4 жыл бұрын
Nashukuru sana
@veronicakauye20874 жыл бұрын
Somo nzuri sana, ubarikiwe na Mungu Ezden, uzidi kutupatia mengi yenye faida
@MasoudLiyoka-x4r5 ай бұрын
Br.J4 Ahsante
@BestiNasso Жыл бұрын
Naitwa Hamisi my brother nimepata point hii kwamba katika maisha siwezi kumridhisha kila mtu . Nashukuru sana kaka ubarikiwe
@saidseif74694 жыл бұрын
Mungu atakulipa hili soma litakuwa kubwa sana na litakuja kupata views nyingi sana utakuja kuniambia InshaAllah.
@successpathnetwork4 жыл бұрын
nashukuru sana kaka
@baruanikhalfani86964 жыл бұрын
,nice
@jumanamwandu59513 жыл бұрын
Safisanaaaaaaaaa broo
@eliviarespicious90904 жыл бұрын
Thanks much bro for your lesson nmejifunza meng na nitaendelea kukufuatilia
@jamilarimo43904 жыл бұрын
Jazaaka Llahu Khair .
@muhammadahmedaliyyu38544 жыл бұрын
😁😁 😁 Nimefaidi mangi Lakin Nime penda Sana nukuu hii ATI mtu aishi vile Mwenyezi Mungu anataka👍
@muhammadahmedaliyyu38544 жыл бұрын
Naamu Mola akuendeleza Zaid akubariki Sana
@prettyh75094 жыл бұрын
Haswaaaa
@zakiahaeuna18494 жыл бұрын
Mashaallah akubarik san ktk maish yadunia naakher
@MasoudLiyoka-x4r5 ай бұрын
Ahsante
@musamohamed91194 жыл бұрын
Allah Akujaze khery in shaa Allah kwa kazi unayoifanya kwa wanajamii, usichoke Brother Ezden.
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Ameen Musa Mohamed, dua njema iwe kwetu sote. Be blessed!
@adilymwalyanzi23394 жыл бұрын
Asante kaka kwa mafundisho yako hakika unatukuzaa kiakili
@barakamichael6523 жыл бұрын
Kaka ezden mungu akubarki Sana kwa Hili Somo ulilo nifundisha Asante Sana nimetambua meng na nimejifunza Ving vitakavyo nisaidia jinsi ya kuwapuuzia watu wenye Tabia hii
@majidyomary18754 жыл бұрын
Kiongozi mungu akupe maisha malefu kwani minapitia sana point zako na zinanibadilisha sana ktk maisha yangu big up
@saidseif74694 жыл бұрын
Hahahahahahaha kaka Ezden umenichekesha sana leo dah kweli bidanadamu hawa ishiwi maneno ya kusem 16:15
@evaristyjoseph23092 жыл бұрын
Asante kwa somo zur Kaka ezden
@faridamhina76404 жыл бұрын
Mashallah , somo zuri nakufatilia kwa umakini
@yassinshabanshemndolwa57822 жыл бұрын
broo hupingwii hat chembeee you are my teacher unanipa Muongoz mzuri wa maisha
@successpathnetwork2 жыл бұрын
Asante sana Yassin shaban Shemndolwa kwa kufuatilia. Usiache ku-share link ya somo hili kwenye groups na wengine ili ujumbe ufike mbali zaidi. Stay blessed!
@annouya4834 жыл бұрын
Napenda saana mafunzo yako
@majidyomary18754 жыл бұрын
Nakukubari sana kiongozi sikupingi
@SAYFANMUSSA4 жыл бұрын
😍🤩😘 nakubaliana naww
@merykabogo76364 жыл бұрын
Ahxante xanaa kaka kwa Elimu nzurii ,!!
@helenamusa4324 жыл бұрын
stres iko kwenye mawingu hii kwel noma niseme2 Ahsante Kaka kwani nazidi kuwa strong wowen
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Asante sana Helena Musa kwa kufuatilia. Usiache ku-share link ya somo hili kwenye groups na wengine ili ujumbe ufike mbali zaidi. Stay blessed!
@helenamusa4323 жыл бұрын
@@successpathnetwork tuko pamoja Ezeden kaka naiman kazi zako ztafika kwa kila mutu napia kila mwanadam anaikuba ubarkiwel
@helenamusa4323 жыл бұрын
@@successpathnetwork tuko pamoja Ezeden kaka naiman kazi zako ztafika kwa kila mutu napia kila mwanadam anaikuba ubarkiwel
@farhatislam65504 жыл бұрын
Asante kwa kwa somo nakuaminia broo
@mapishinaamanda69444 жыл бұрын
Muda pia hubadili mawazo ya watu juu yako... asante kwa somo nimejifunza
@husnatanzanian91552 жыл бұрын
Asalam aleykm walahamatulluh wabalakatuh kaka ezden jumanne upo vizuli masha Allah yani masomo yako yananifungua akiri sana yes sahihi Allah akulipe nshaallah kaka Shabani nimeani huwezi kumlizisha mtu Allah takilaafiya nshaallah 🤲👍 10 15
@ramazaniassani90134 жыл бұрын
Ok asante Sana kabisa nisawa sana
@yustamushashu64154 жыл бұрын
Asante kaka Edzen nimefunguka sana Mungu akubariki
@erikalutevele8362 Жыл бұрын
Mungu azidi tu kukutunza kwaajili yetu
@successpathnetwork Жыл бұрын
Amiin
@omariramadhani15624 жыл бұрын
Allah akbar,nimefunguka macho na akili yangu,mungu azidi kukuweka longlife bro,pia kabit kanakosikika huwa nakapenda kweli,
@reubenfrank53794 жыл бұрын
Asante Sana kwa mafuundisho mazuri
@mohamedkhamis84704 жыл бұрын
Bi nafsi najifunza sana mambo mazuri kutoka kwako ezdeni endelea kuwa na moyo uwo..uwo Allah atakulipa kwa muongozo mzuri unao tupatia
@ramahamis57934 жыл бұрын
Allah azidi kukuimalisha kiafya uzidi kutupa madini KAKA MKUBWA
@evahealthservice73904 жыл бұрын
Mungu azidi kukupa maarifa zaidi ya kutujenga, barikiwa sana.
@ahlamsekelela89624 жыл бұрын
Allah akulinde SANA Jamani.
@hajihaji35444 жыл бұрын
Hongera kwa kutufinza
@subiraomari59084 жыл бұрын
Asante Sana kaka najifunza mengi sana
@SaidSaid-mt5dd4 жыл бұрын
Nakupend kaka kwaajili ya Allah
@abdulrazzaq7794 жыл бұрын
Thanx u very very much Allah bless u amenn
@ahadiandongwisye60414 жыл бұрын
Unaona, unafikiri, unasikiliza na unasema MTU analotaka kwa upande mmoja na upande mwingine si kila MTU anataka kile unachosema ila ni vema uendelee kusema, kazi nzuri kaka.
@akidasalim38594 жыл бұрын
Nakukubali sana
@ramadhanjuma55264 жыл бұрын
"What goes around, its comes around" each one teach one.👏👏👏
@mkatungu74574 жыл бұрын
Ahsante sana mtoto wangu kwa somo zuri.
@simonkinyajui17424 жыл бұрын
broh umenisaidia sana na video zako God akubless sana pia mm now days na help Young people wenye wamejisahao broh each one tech one
@housemanagmentfinishing11513 жыл бұрын
Uko sahihi bradha najifunza mengi sana
@kareemyassin93224 жыл бұрын
Nimeipenda sanaaaaaaa hii video na somo lake naiomba nambq yenu ya wasap
@nelsonmpolochacha50354 жыл бұрын
Tokea nianze kuufatilia. Am gaining. Thanks brother. Hasa ratiba ya siku. Be blessed
@batulimgala38034 жыл бұрын
Hongera kaka nimekufatilia na matunda ya somo lako nayaona... Uckate tamaa kufundisha mungu u nawe.
@dottnatt71104 жыл бұрын
Shukran kaka Ezden🙏
@allfaeliasi74404 жыл бұрын
Braza unazidi kunifunza meeeengi mpak najiona bora
@saidseif74694 жыл бұрын
Hahahahaha kaka Ezden bhana eti sijui wataniona mgambo 15:20.
@wilsonkitundu88352 жыл бұрын
Kaka uko vzr cn asante kwa elimu y'all nzur kwan wtu wanajifuza mengi toka kwako
@mr.energy21624 жыл бұрын
Nimejifunza kitu kikubwa sana nashukur sana
@zahrakitchen58804 жыл бұрын
Shukran sana
@vicentndiholeye10672 жыл бұрын
asante kaka kwakunifungua akili mungu akubaliki
@JastinSichilamba-ok5tw Жыл бұрын
Nakuelewaaaa Sana kaka
@ahlamsekelela89624 жыл бұрын
Duuuh, sahihi kabisaaa Ezden unanipa ujasili sana yani kama unaona maisha yangu.
@mamunote35074 жыл бұрын
Shukran sana Jazakah Lwah Kher
@sultanisharifu67284 жыл бұрын
Nakubali Sana kk
@carolynewerunga91122 жыл бұрын
Ukwel kabisa Tena wao ndio wakwanza kujileta kwako wakiona umeshaa fanikiwa
@benardpaul12714 жыл бұрын
Asante sana kwa elimu yahekima
@musasuccessline97134 жыл бұрын
Asante sana kaka nlichokipata mungu akuongezee miaka
@Cairamoney9 ай бұрын
🙏🏾
@majaliwaathumani33244 жыл бұрын
Nimekubali Kaka yapo okay
@judithmwambe47674 жыл бұрын
I understand you very well brother Ezden.....I like you much.
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Asante sana Judith Mwambe kwa kufuatilia. Usiache ku-share link ya somo hili kwenye groups na wengine ili ujumbe ufike mbali zaidi. Stay blessed!
@InviolataLuena-f2j7 ай бұрын
Sawa Kabisa. Fanya ulichojaliwa utawezeshwa. Acha neno haiwezekani basi isingewezekana kuzaliwa
@successpathnetwork7 ай бұрын
Naam Naam nimekubali hiyo..
@citymaxbookshoptanzania29243 жыл бұрын
Asante sana brother
@successpathnetwork3 жыл бұрын
pamoja sana karibu..
@pendatv16754 жыл бұрын
Your points appearing on the screen it's extremely helpful bro... Thanks.. gob bless you
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Nashukuru sana kwa maoni yako ndugu yangu. Nitalifanyia kazi jambo hili ili kuboresha masomo haya. - Each One Teach One!
@hassanabdalla58784 жыл бұрын
Each one teach one nimpango mzima hakika tukifanya hivyo hakutokua na mjinga wala maskini Tanzania upo vizuri broo luck you.
@jumamalima7572 жыл бұрын
Iko vizr nimetok na kit bigup broo
@jofreypilla50413 жыл бұрын
Asante sana kw#
@salemale68304 жыл бұрын
God bless brother EZDEN mungu akuweke uzid kutufunuwa vichwa wasgo zako nawakubwa zako pia dahh nimeelewa hiii sanaaa zaid yasanaa
@successpathnetwork4 жыл бұрын
pamoja sana
@salemale68304 жыл бұрын
Yan brother EZDEN nakukubal san hamasa zako yan tuna msemo wetu ule each one teach one (SPN)
@qasimbhai58424 жыл бұрын
Nikweli kaka mawazo yako yanayo tokana na kuwaza mambo yako ni nzuri sana kuliko kuwa na kuchukua mawazo yawrnginr kwanza unakuwa na furaha
@stiveerasto16834 жыл бұрын
Tafakuri nzuri sana
@alliymohamedalliy65242 жыл бұрын
Appreciate 😇
@benedictmangoo42224 жыл бұрын
Amen, God bless you to keep up that spiritual advice to his people.
@successpathnetwork3 жыл бұрын
Asante sana Benedict Mang'oo kwa kufuatilia. Usiache ku-share link ya somo hili kwenye groups na wengine ili ujumbe ufike mbali zaidi. Stay blessed!
#HUWA NAKUELEWA SANA🧠..ALLAH AKUPE MAARIFA ZAIDI YENYE UFAHAM AKHI BARAKA LLAHU FIYKA
@arqamibnarqam.71854 жыл бұрын
Thanks my brother.
@lightnesskiwale18334 жыл бұрын
Broo,,, big up Sana'a,,,,,, I was once dreamed to be like you,,,,, but mazingira hayaruhusu Broo!!;
@swahilikid58234 жыл бұрын
nakukubali
@godifreykagosha98334 жыл бұрын
Thanks my brother
@aminaalid97453 жыл бұрын
Ujue nlimuona rafkiangu juz kaweka status clip yako nkapenda sana akaniambia oh mtafte KZbin utapenda vingi daaah kwakweli najiona kama nimechelewa kukutafuta Allah azidi kukuhifadhi
@geofreymchwemba39374 жыл бұрын
Kweli tu meelewa , , mungu awe mwangaza kwako
@estherleonard77694 жыл бұрын
Naomba somo la kujifunza kuwa mkimya
@majidyomary18754 жыл бұрын
Naomba ushauri nademwangu anaukimwi nampenda sana ila ajawahi kigongwa na ajui kama m nishamjua ye anaukimwi na kashakula sana mda wang na kiasi chapesa kingisan. Sasa dah nafanyaje nimwache au niendeleanae na kwaimani hp. Naomba ushauri kiongozi kupitia hilo