Majiha bondia bora kuliko wote Tanzania katika orodha ya WBC na anashika nafasi ya 4 Africa,dogo mkali sana,chek Jab yake,Mzee Majiha ahan majivuno na hajisikii kama mabondia wetu wengine,Mungu atamuinua zaidi,
@AdonKamota-s1u11 ай бұрын
Kiu kweli kabisa Akuna BondiA kama fadhli majiya uyu ni BondiA hatari sana nani BondiA. Bora tanzaniA kwau zito wake sjaona waku weza kupambana na stopa mtu Hatari kabisa💪🌟🇹🇿🏃🏃🏼♀️🏃🏻♀️🏃🏃🏼♀️🏃🏃🏼♀️🏃🏼♀️👏👏💕
@printingtanzania Жыл бұрын
Ongera Fadhili
@ramadhankhatwib8561 Жыл бұрын
Majiha sio poa hongera
@AminJuma-fb2pn Жыл бұрын
Majiha good fighter ❤
@jumaseif2140 Жыл бұрын
Majiha the best
@bakarishaban93119 ай бұрын
Bondia ni Mwakinyo,,Iblahim Clasck,,Fadhili Majiha,, Seleman Kidunda,. Wengine ni mayowe tu,
@naaswiryabdul41689 ай бұрын
Kuna goodluck mrema unamjua ww
@MeedyBakari9 ай бұрын
Ujue fadhili majiha kibongo bongo wengi wanaisi kama mgeni uyu mfupa wa sokwe sisi ndio tunamjua kitambo ni hatari sana alikua anapiga wazungu nnje ya nchi uko
@naomysalumu185810 ай бұрын
Uyu fadhili ndoalinifany nikapenda ngumi
@MeedyBakari9 ай бұрын
Kashaleta mikanda mikubwa tu sema watu awamuongelei ila sasa mtamjua kashafungua bosta
@Masende Жыл бұрын
Fadhil anajua sana
@musaissa7463 Жыл бұрын
technical dr.
@brandsmedia4861 Жыл бұрын
Tumsuport Majiha akue, tuachane na mwakinyo😂
@edsonnyamwela6669 Жыл бұрын
Hii fight ndio ilitakiwa kuwa main card
@LydiaStephano Жыл бұрын
Hii michezo yataka moyo unampiga mtu hajakukosea😂😂😂
@brandsmedia4861 Жыл бұрын
😂😂 Kibunda kinapiganiwa
@joakimjoakimpeterjoakim Жыл бұрын
Kosa lenyew ni hela ndg
@gloryngunda966419 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@saidhamza5318 Жыл бұрын
Bongani mbona umetoa Rasta? Utapigwa tu 👀
@senseisafari1355 Жыл бұрын
Oss oss
@EventElias-d8g10 ай бұрын
Hapa Mahlangu alikutana na kisanga yaani kiufupi aliyakanyaga
@@DumaBeatus-yz6mu ngumi ni mchezo w waz kk huyu jamaa Fadhili kashinda kihalali lkn Ibra kabebwa acha kutetea dhulma haitatufikisha popote km bondia wetu kapigwa tuseme ukwel ili ajifunze siku y pili
@halidimgonza5945 Жыл бұрын
@@kitwanathabiti sw kk lkn ngumi ni mchezo wa wazi kila mtu anaona
@adaboychibu1659 Жыл бұрын
@@halidimgonza5945 Sasa yule m China amepiga ngumi gani ya maana!?Au una chuki binafsi au matatizo ya macho au ngumi hujui!?