FAHARI YETU - EPISODE 7 - UHAI DRINKING WATER

  Рет қаралды 2,334

Bakhresa Group

Bakhresa Group

Күн бұрын

Episode 7: Fahari Yetu - Ni kipindi maalumu kinachoangazia mambo mengi kuhusu kampuni za Bakhresa Group ndani na nje ya nchi.
Usikose kutazama #FahariYetu ndani ya #UTV chaneli namba 108 kwenye kisimbuzi cha #AzamTV #BakhresaGroup

Пікірлер: 10
@BakhresaGroup
@BakhresaGroup 2 ай бұрын
Asante kwa kuungana nasi kutazama Episode hii. Je ni maswali gani ungependa yajibiwe katika Episode inayofuata? Na je, umesha subscribe 🙂👍 Kama bado SUBSCRIBE ili usipitwe na uhondo!
@hilaljaffery4011
@hilaljaffery4011 2 ай бұрын
Assalam alykum Maji ya uhai hayana ladha kama maji mengine jitahidini kulifanyia kazi ili suala maan saiv watu wengi wanalalamikaa kuhusu suala ilo plz jitahidi kulizingatia shukran
@mudathirbaalawy813
@mudathirbaalawy813 2 ай бұрын
Ila maji ya uhai muyapunguze uchungu ,, utadhani unakunywa chloroquine
@jumamasquater5100
@jumamasquater5100 2 ай бұрын
Allah awahifadhi wote katika kheri na baraka zake Bakhresa group #Abrahman swaleh
@suleimanh1826
@suleimanh1826 2 ай бұрын
Mimi naomba mutuelezee ni kwanini maji ya Uhai ni machungu? Ni machungu zaidi ukilinganisha na maji mengi tunayotumia
@shabanponera2895
@shabanponera2895 2 ай бұрын
Bidhaa bora kabisa
@VitusGodfrey-ik7uw
@VitusGodfrey-ik7uw 2 ай бұрын
BAKHRESA GROUP❤;
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 2 ай бұрын
Kongole Group of Companies Bakhresa.Swali langu moja nauliza je maji mnayapata wapi sijaona Hilo mkielezea chanzo Cha hayo maji?
@joramnunu1449
@joramnunu1449 2 ай бұрын
Bagamoyo suger
@user-ql4ph2ub9b
@user-ql4ph2ub9b 2 ай бұрын
Mim nabarikiwa sana nikipata maji Safi ya uhai na bei pendwa ❤❤
FAHARI YETU - EPISODE 8 #azamtv #utv #bakhresagroup
25:47
Bakhresa Group
Рет қаралды 3,2 М.
IJUE HILL FARM TANZANIA KWA UNDANI ZAIDI
29:07
Hill Group Tanzania
Рет қаралды 4,1 М.
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 33 МЛН
What will he say ? 😱 #smarthome #cleaning #homecleaning #gadgets
01:00
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 24 МЛН
TANZANIA YAINGIA BALAA SHEIKH KUBATIZWA NA KUMTUKANA MTUME MUHAMMAD
43:48
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 4,6 М.
SSB FAHARI YETU - EPISODE 18
26:04
Bakhresa Group
Рет қаралды 663
BIASHARA YA FAMILIA: MKURUGENZI KIJANA KIWANDA CHA JAMBO ASIMULIA
12:30
MIAKA 10 YA AZAM TV | Abubakar Bakhresa afunguka usiyoyajua
33:18
SNURA NA MUMEWE USO KWA USO NA SHEIKH KISHK AL-HIKMA FOUDATION
18:56
Kishki Online TV
Рет қаралды 55 М.
SSB FAHARI YETU BAKHRESA GROUP EPISODE 06 #azamtv #utv #bakhresagroup
25:54
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 33 МЛН