FULL VIDEO: MCHUNGAJI KIMARO ALIVYOCHANGISHA MIL 425 KANISANI, “ILIKUSUDIWA MIL 400”

  Рет қаралды 33,317

Millard Ayo

Millard Ayo

Жыл бұрын

Пікірлер: 55
@lilyanmongi4545
@lilyanmongi4545 Жыл бұрын
Hongera sana Rev Kimaro ww ni kipenzi cha watu wengi. Mungu azidi kukuinua katika utumishi wako.
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Hongera sana 😍 Awesome hakika MUNGU Yu mwema 😍vyote ni mall Yako MUNGU. wangu. tusipo kutolea ww tuta mtolea nani 🙏🙏🙌🏿hallelujah hallelujah Glory to GOD 🙌🏿
@justinamautice9730
@justinamautice9730 Жыл бұрын
Hongera sana Baba Mchg. Dr. Eliona Isack Kimaro. MUNGU azidi kukuinua ktk huduma yako. "Your the chosen one" we ❤ you. Mbingu zizidi kukutambulisha.🙏
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 Жыл бұрын
Hongera sana Mch, Eliona kimaro kwa kazi njema ya kumjengea MUNGU hekalu.
@sarahwalker5093
@sarahwalker5093 Жыл бұрын
Our Champion Dr Kimaro wewe umechaguliwa tangu tumboni mwa mamayako umeshangaza dunia , who has the final say Jehova has the final say 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@judithabuko6006
@judithabuko6006 Жыл бұрын
Waauu baba yetu mchungaji Ref: Eliona Kimaro hongera sana tunakupenda sana sana Mungu akubariki sana
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 Жыл бұрын
Wakristo tulifunzwa kutoa, kwa mfano mimi nimechangia kanisa laki 5 na mshahara wangu laki tatu, sababu nimefundishwa anae nipa kila kitu ni Mungu kwanini nisimtolee? Ila kwa waislam wanao toa pesa nyingi ni wale matajiri tu tena anaweza kujenga msikiti peke yake, hawa wachini kama mimi hua hawaoni sababu ya kutoa saaaana.
@Manswabu
@Manswabu Жыл бұрын
Kwa kweli Kuna Cha kujifunza apa waisalam #heroman tv
@enockmakupa7815
@enockmakupa7815 Жыл бұрын
Mungu akabari kazi za mikono yenu kwa kujitoa kwa ajili ya nyumba ya bwana. Natamani sana siku kanisa litakapo ona umuhimu wa kutumia ushawishi wake na kukusanya pesa kwa ajili ya kujenga viwanda vidogo na vikubwa kwa ajili ya kujenga ajira kwa vijana. Kanisa ni mihumu kuinua watu kiroho na kuwawezesha kupata mahitaji yao ya kimwili. Naamini kila jimbo lingeweka mkakati wakuwa na kiwanda angalao viwili, watoto wetu wangepata ajira na kuzidi kumtumikia Mungu. Naamini hilo linawezekana tukiwa na nia ya kulisaidia taifa. Naona Makanisa na misikiti inaongezeka kila mtaa, lakini hakuna viwanda kila mtaa, nafkri bado hatujafkria vizuri jinsi ya kuliunua taifa letu.
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Жыл бұрын
Ndugu Makupa, Kati ya Fikra nilizonazo Juu ya hizi majenzi ya hizi nyumba kuuuuubwa ibada Nami nahiis mapungufu makubwa sana. Mfano. Ipo shule ya secondari Siha. Hivi Sasa imefungwa, hii ikikarbatiwa na ikafanywa maalum Kwa mafunzi ya Computer nadhani itapata wanafunzi wa kutosha Lakini kwanini vijana sasa hivi hawapendi kanisa ( wengi wao!!) Ni kwamba hawapati wanachotarajia!! Makanisa mengi hasa ya huku vijijini siku za ibada waumini ni wachache sana
@user-nk2jt7hn9h
@user-nk2jt7hn9h 9 ай бұрын
Mungu akuongezeye masikuzamisha nakufanta toka kongo
@stephanokanyika6321
@stephanokanyika6321 Жыл бұрын
Mungu akubariki pastor kimaro
@doricemichelle3614
@doricemichelle3614 Жыл бұрын
Mungu akubariki mch. 🙏🏽
@deborahmgedzi632
@deborahmgedzi632 Жыл бұрын
Mungu Mwenyezi Akubariki sana Kwa KAZI njema. Amina
@doricemichelle3614
@doricemichelle3614 Жыл бұрын
Kama hutojari wa kristo tunasema "mwenye enzi Mungu" sio mwenyezi
@bahatiagape731
@bahatiagape731 Жыл бұрын
Viongiz angaalien bas na Barbara ya Matala.Naomben iwekwe lami jaman.
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
UbArikiwe Kiimaro
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 Жыл бұрын
Amina
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Amen amen amen
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
WAISILAMU TUJIFUNZE,,KATIKA PITA PITA ZANGU SIJAWAH ONA WAISLAMU WAMEFIKA HATA 100M KATIKA MICHANGO YETU..
@joharimapunda7678
@joharimapunda7678 Жыл бұрын
Kwanza nikurekebishe sio michango niharambee nakingine hawa watu wameshika dola kwa asilimia kubwa ona tu waliopo hapo
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
@@joharimapunda7678 😆,hudhuria misikitini,,,any Wei harambee ni jina tu,,ni kama kuogopa na wasiwasi
@fumotv7914
@fumotv7914 Жыл бұрын
@@joharimapunda7678 acha kuleta sababu hasi Walishikilia nchi ndo nini Walioko juu na vyeo vingi ni waislam, kuchangia sisi haijaanza leo ni toka enzi Hapo sijaona michango mikubwa saana maana sisi tushawai changa mpaka bil 1 ndani ya wiki bila kuwepo mwanasiasa
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
@Hassan Bakar 🙏🙏🙏🤔 Hapa uta ona wakija kucommnt ila inge kuwa ile Ya makafiri wakubwa unge wanao kama wote 😂🤣🤣🤣😂🤣 ninacho mpenda MUNGU wa wote aijalish kafiri or laah Na ana toa ridhiki kwa wote kweli MUNGU ni penda 💕 😂🤣
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
@@joharimapunda7678 sasa kwanini na sisi tusio kama awo alf sisi ndo wenyew dini Ya haki 😂🤣🤣🤣🔨🔨ila MUNGU muach aitwe MUNGU ana tuonyesha hapa hapa dunia kwamba hata makafiri wana haki kuliko 😂🤣😂🤣😂🤣😂
@msanginaza905
@msanginaza905 Жыл бұрын
Kimaro ni mchungaji wa kipekeeee acha awe na bango lake mjini hapa anastahili mnooooo
@basilisamsaka8469
@basilisamsaka8469 Жыл бұрын
Hichi ndicho kinachomponza wivu watu wakimwona na kibali hk vita haikomi
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob Жыл бұрын
Huyu Mchungaji ana kitu Cha ziada, ndo maana shetani anamfuata fuata
@vibetz9991
@vibetz9991 Жыл бұрын
Za Yanga au
@evamlay8997
@evamlay8997 Жыл бұрын
Hahahaha jamani
@jimonmwakalebela9470
@jimonmwakalebela9470 Жыл бұрын
Mwiguru amechukua azina
@adkajisi4536
@adkajisi4536 Жыл бұрын
Wanalipana pesa ndefu si mshahara wake wa mwezi huu
@laulymo2063
@laulymo2063 Жыл бұрын
Tafuta pesa upunguze makasiliko
@modestsharia7127
@modestsharia7127 Жыл бұрын
Kama ni Hella safi basi ni sadaka safi!
@miriamalute1540
@miriamalute1540 Жыл бұрын
Mungu hutakasa
@elinemakundi5011
@elinemakundi5011 Жыл бұрын
mmmmm bora wewe umetambua 🔥🔥🔥🔥🔥
@victoriajoachim7271
@victoriajoachim7271 Жыл бұрын
Na wewe godfrey kama hujui jina la mch.usitungela kwako anaitwa Eliona Kimaro mshamba wewe.
@suleimansaid2633
@suleimansaid2633 Жыл бұрын
Steve Nyerere kamaliza maneno hiyo cio sadaka ni utapeli mkubwa
@sabrinajuma3253
@sabrinajuma3253 Жыл бұрын
Ni sadaka ya kujega kanisa
@doricemichelle3614
@doricemichelle3614 Жыл бұрын
Jina lenyewe Suleiman,tushakujua haina haja ya kukuelekeza
@joramkimario9321
@joramkimario9321 Жыл бұрын
Ingekuwa niwa kuwajengea msikit vp
@doricemichelle3614
@doricemichelle3614 Жыл бұрын
@@joramkimario9321 hawa watu hufundishwa ubinafsi nahisi!cha kwao cha Halali cha kwetu utapeli,pia hawafundishwi ukarimu nahisi,na pia hhufundishwa kufatilia yasiyo wahusu nahisi 🤔!!
@munawwarbashir2680
@munawwarbashir2680 Жыл бұрын
​@@sabrinajuma3253 😅😅😅😅😅😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,7 МЛН
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 15 МЛН
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 48 МЛН
Ushuhuda wa mama kifaru akisimulia Rev.Dr.Eliona Kimaro
17:16
KKKT - DMP Usharika Wa Mbezi Beach
Рет қаралды 314 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: MAMA MCH. KIMARO AKITOA USHUHUDA WA MTOTO HUYU!
8:49
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 59 М.
KUTENGENEZA UTAJIRI WA WATU FULL VIDEO - JOEL NANAUKA
49:41
Joel Nanauka
Рет қаралды 28 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: AMSALITI MKEWE BAADA YA KWENDA KUSOMA MAREKANI
10:30
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 189 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: KUISHI KESHO I
32:34
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 18 М.
Жайдарман | Туған күн 2024 | Алматы
2:22:55
Jaidarman OFFICIAL / JCI
Рет қаралды 1,7 МЛН