FUMANIZI SALOON RAMADHAN NZIMA

  Рет қаралды 97,400

KIREDIO

KIREDIO

Күн бұрын

Пікірлер: 123
@rahymaaa4357
@rahymaaa4357 6 ай бұрын
😂😂😂mmmh kwa kweli mi sitagombana na mwanamke mwenzangu kisa mwanaume wakat najua wote tumetongozwa😂😂
@SifaPearl
@SifaPearl 2 ай бұрын
Unaakili sana
@UmmyMsafiri
@UmmyMsafiri 2 ай бұрын
Ila mie miak 100 sitafanya kupigana kwa sababu ya mwanaume eeenh
@AmonBora-ve5si
@AmonBora-ve5si Ай бұрын
Umeon eee ntagombn na pesa tuuu😂😂😂
@MarthaDanieljohn
@MarthaDanieljohn 22 күн бұрын
Kwahyo wew ukigungua ana cheat na mwanamke mwingine utafanya nn jamanii????
@AmonBora-ve5si
@AmonBora-ve5si 21 күн бұрын
@@MarthaDanieljohn nawaach asa nipgan nij. Nijiaibish
@divadivana368
@divadivana368 6 ай бұрын
Hakupaswaa kumpiga Mwanamkee mwenzieee wakat Mwanaumee anaonyeshaa kumdharau aiseeee 🤣🤣🤣🤣🤣ujingaaa huooo
@tumainimsola
@tumainimsola 6 ай бұрын
Anaanza kupigana na na mwanamke akati bwanaake mwenyewe anamuangalia tu kwa dharau nyie🤣🤣😂
@polejeremiah
@polejeremiah 6 ай бұрын
Ajabu na kujishushia thamani, alitakiwa amuineshe bwana ake kuwa amefahamu anamcheat then anadecide kuondoka na maamuzi sahihi not fighting na mdada😢 dada hana kosa ila mwanaume ndo hamnazo
@AshaAmiri-l2g
@AshaAmiri-l2g 6 ай бұрын
Na anayeenda kupigana anavaa alivyovaa
@AshaAmiri-l2g
@AshaAmiri-l2g 6 ай бұрын
Anayeenda kupigana anavaa alivyovaa hajielewi na hajajipanga
@Vivianmaliack
@Vivianmaliack 6 ай бұрын
alafu hizo redio siku hiz haziko sawaa kabisaa zinatoa matukio nusu nusu
@AngelMbaga
@AngelMbaga 3 ай бұрын
Yaan unagombana na mwanamke mwenzako kwa ajili ya mwanaume, hizo ni dalili za umaskini na uchawi. Keep on moving..... Focus focus... Yupo mwanaume amaizing kwa ajili yako umekazana kumgombania mwanaume malaya, muongo, msaliti na mwenye tamaa. Utapoteza muelekeo.
@UmmyMsafiri
@UmmyMsafiri 2 ай бұрын
Yaan hapo wanawake ndo tunakosea usipigane na mdada mwenzio we pigana na uyo bwana 😅
@jlizah602
@jlizah602 6 ай бұрын
Kiredio uje Mwenge kituo cha mabasi mimi kunanikera bana kapo nyingi sana pale kama wanasubiri magari uje tufanye heartbreaking 💔 😂😂😂
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 2 ай бұрын
Wa kwako unampiga mwanamke mwenzio mwanaume anakushangaa acha ujinga wewe dada mwanaume mwenyewe anakushangaa
@sophykivuyo
@sophykivuyo 6 ай бұрын
Mwanaume mwenyewe sasa kama vile naniliuu yakee ni ile inachoma kama sindano😂😂😂😂
@HalimaselemeniKipimo
@HalimaselemeniKipimo 6 ай бұрын
Hahahaaaaa
@mariamramadhan7615
@mariamramadhan7615 6 ай бұрын
Hello kiredio namba zang nazipataje nataman kufanya challeng
@rithadonatus8110
@rithadonatus8110 3 ай бұрын
Huwo bwana mwenyewe hata ajastuka alivyokuona lokhooo kwanza kwa bwana gani 😢chefuuu😂😂😂
@allyfarhiya
@allyfarhiya 6 ай бұрын
Sijapenda 😂😂esma
@Sarahsaid2648
@Sarahsaid2648 6 ай бұрын
Sijui kwanin mtu akifumaniwa anatingisha mguu maan dharau au inakuaje nakwazika siyo siri 😅😅😅
@FranceMsumba-lg2oc
@FranceMsumba-lg2oc 6 ай бұрын
😆
@thuwaybarajab6099
@thuwaybarajab6099 4 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@lilyrose7983
@lilyrose7983 6 ай бұрын
Mmh hii mbona kama ya kutengeneza?Na mbona fupi hivi?
@Vivih-ps3
@Vivih-ps3 6 ай бұрын
Huyo kaka nguvu za kutingisha miguu katoa wapi surely 😂😂
@witnessinary7807
@witnessinary7807 6 ай бұрын
😂hata me najiuliza
@ConfusedCricket-dq2dx
@ConfusedCricket-dq2dx 6 ай бұрын
Hakun mwenye ndoa😂😂😂 bwana tunae tunatambana nae kafumaniwaa😂
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 ай бұрын
Kumbe ndoa akuna 😂😂😂😂 basi akome foleni ni ndefu sna😂
@JERRYMWAKABONA
@JERRYMWAKABONA 2 ай бұрын
Ufungwe ww😂
@CadoMoo
@CadoMoo 6 ай бұрын
@Cado Moo🧢:youtube.com/@CadoMo-cv1md?si=YfGBptz9p_KJ_eIu
@ashangohi450
@ashangohi450 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂jamaniii Mi nashauri awaoe wote tu kama hajaoa
@azizayassin3623
@azizayassin3623 3 ай бұрын
Kwani ameolewa adi apigane 😢😂😂😂 ama mimi ndio cjui
@BetinaKyando-kn6uv
@BetinaKyando-kn6uv 6 ай бұрын
jamn kiredio mwendelezo
@KhadijamussaMachapat
@KhadijamussaMachapat 3 ай бұрын
Miye sitokuja kugombania mwanaume ata kwani kila mtu ana mwili wake
@MariamOmary-ep6iv
@MariamOmary-ep6iv 6 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣Hizi nguvu mnazitowa wapi😅
@IreneMushi-ej4wu
@IreneMushi-ej4wu 6 ай бұрын
Fany kuimalizia bhc jmn😢😢😢
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 4 ай бұрын
Imeishaje hii kiredio?
@kabonakabona8121
@kabonakabona8121 6 ай бұрын
Jman hebu tumalizie utamu sisi😅😅😅😅
@Vivianmaliack
@Vivianmaliack 6 ай бұрын
hapa ndio makumbushoo 😂😂😂 sina shida na wewe 😂😂 kipigooo
@IbraniaMgaya-uo1ji
@IbraniaMgaya-uo1ji 4 ай бұрын
www jamaaaaa unakosea Sana unakatisha ndoto za watu ningekuwa mm ungekula kipigo hapo na hiyo camela ningevunja halafu ukashitaki Sasa hapo ushavunja mahusiano ya watu yawezekana mungu angewasimamia mbaka kuoana
@NasabiSalimu
@NasabiSalimu 4 ай бұрын
Bora kuzikatisha mapema kuliko kuja kufaminiana kipindi ambacho tuna mtoto😅
@nadyajuma381
@nadyajuma381 4 ай бұрын
Hashuolo
@josephineokama2200
@josephineokama2200 3 ай бұрын
hakuna kuoana hapo
@RosadaMtey
@RosadaMtey 6 ай бұрын
Heeeeh next
@MimahSpice
@MimahSpice Ай бұрын
Eeeh kaz ipo
@EvelyneOmbeni
@EvelyneOmbeni Ай бұрын
Amekutana na mwanamke dhaifu ningempiga Hadi asahau anapoish anapaswa kuongea na mume wake
@GraceJoel-lo3ru
@GraceJoel-lo3ru 6 ай бұрын
Ss uyo dada dini yao anatakiw waolewe wnne ss kwahyo hali ataweza qwl jmn😂😂😂
@Dareaziz
@Dareaziz 6 ай бұрын
Mwendelezo
@CathyGodfrey-db5qm
@CathyGodfrey-db5qm 5 ай бұрын
Nice we dad nmekupend
@JemimaMdota
@JemimaMdota 6 ай бұрын
Mi sipagani na mtu nikijua tu niwaone then mbele apo,,,, nguvu zakupoteza kupigana si malamia nitafutie pesa😂😂😂😂,,,,,,,, tena hata mwanaume simwulizi kitu ,,,hata mashahd siwaiti maana kama nimume siwez mwacha kwakumfumania 😅😅😅😊😊😊
@Thisisgrace979
@Thisisgrace979 3 ай бұрын
Mi nitagombana na mwanaume wangu, ataliona joto la jiwe.
@moureennyarusai536
@moureennyarusai536 5 ай бұрын
Mwendelezo jaman😂😂😂😂😂
@hilalishabani4146
@hilalishabani4146 6 ай бұрын
Video kama ya insta tuu haijaishaaa
@josemangula8806
@josemangula8806 6 ай бұрын
Bro unazingua Instagram umesema ipo full KZbin nakuja apa ndo yale yale ndo nini sasa
@NaifinMohamed
@NaifinMohamed 6 ай бұрын
Kiredio ww huyo atahuogopi 😂😂😂😂
@floraJames-hb8vs
@floraJames-hb8vs 6 ай бұрын
kwann huyu dada kaolewaaa jmn hii video hiwadanganyee tutahuwanaa😂😂
@AishaAbdallah-r1d
@AishaAbdallah-r1d 4 ай бұрын
Umbea utakuua kiredio😂😂😂
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 5 ай бұрын
Mabinti acheni kujidanganya ujinga- ujinga "Eti mwanaume ni wa kwangu" Mwanaume anakuwa wako tu pale anapokuwa amekuoa, vinginevyo huo ni Uzinzi- Uzinzi- tu
@SophiaDaud-s7y
@SophiaDaud-s7y 6 ай бұрын
Jmn m sijapentaaaah mbn iko robo😢
@LydiaPius
@LydiaPius 6 ай бұрын
😂😂😂😂
@AgnesDavid-et3zn
@AgnesDavid-et3zn 6 ай бұрын
Hata nusu haijafika
@samiraidriss9335
@samiraidriss9335 6 ай бұрын
😂😂😂😂mwendelezo jmniiii
@PriscaMosha-tg7mn
@PriscaMosha-tg7mn 6 ай бұрын
I don't want peace 🤣
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 6 ай бұрын
Hicho kimwanaume kinatikisa mguu tu😂😂 halafu et huyu nae kaenda kumvamia mwenzie dada kaa utulie bwanako ndo aliempeleka saloon hakuvutwa na unasema kabisa et niogope nini na mwanaume ni wangu 😅 na mwanaume ndo huyo anakuangalia kama kinyago😂
@lilymuro8882
@lilymuro8882 6 ай бұрын
Mwendelezo jmn 😂
@NyamiziMabula
@NyamiziMabula 2 ай бұрын
Wenzio wakitoka hapo wanabembelezana upyaaa Kwa kas ya 5G
@ZuhraaAlshiraiqi-st6jb
@ZuhraaAlshiraiqi-st6jb 4 ай бұрын
Asa mbona fupi 😢
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 5 ай бұрын
Nyie. Mnaweka vipande vifupi wenzenu wa kenya anaweka story nzima hdi raha
@QtaarDoha
@QtaarDoha 6 ай бұрын
Mbn fupi kma moves
@SoudShuraim
@SoudShuraim 3 ай бұрын
Mwanaume umbea mtupu,huo ni ufitinishaji
@HeriethFrank-re8qe
@HeriethFrank-re8qe 6 ай бұрын
Nimecheka sanaa🤣🤣🤣
@hawasilangala7514
@hawasilangala7514 6 ай бұрын
Mbna kitu kipo robo iki😂😂😂😂😂
@GwantwaSamson
@GwantwaSamson 4 ай бұрын
kiredio hii vodeo full ikwapi
@rosemarymsigwa9582
@rosemarymsigwa9582 6 ай бұрын
Ama kweli
@RahminaRiyadh
@RahminaRiyadh 5 ай бұрын
Naweza kupata wapi namba za kiredio
@moureen5014
@moureen5014 6 ай бұрын
Mwendelezo please 😥
@ConfusedCricket-dq2dx
@ConfusedCricket-dq2dx 6 ай бұрын
😂😂 ngoja nitafute wa kukumbatiana nae
@Kalym08
@Kalym08 6 ай бұрын
😅unaleta kitu hujamaliza ndio nn sasa
@IdrisaMkomi
@IdrisaMkomi 6 ай бұрын
Esma xomalian
@PapaaVesso
@PapaaVesso 6 ай бұрын
Hiii Kitu juzi walibutuan kisa Mimi mamae walivyochoka nikawanunulia pespi kila moja halaf. Nkiwaambia naweza kua promoter mpo na ki2 mtafika mbali😊😂😂
@AgnesDavid-et3zn
@AgnesDavid-et3zn 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@ivymwalasa4471
@ivymwalasa4471 6 ай бұрын
Sasa hii ndo full kwel kiredio😢😳😳
@salmazengwa9923
@salmazengwa9923 6 ай бұрын
Unatuita youtube alaf video km ya insta tu ndo maana yake nn sasa 🥹🥹
@bonifacechiloweka3656
@bonifacechiloweka3656 5 ай бұрын
Janamke Gani limejichora tatuuu
@jlizah602
@jlizah602 6 ай бұрын
Sasa mbn haijaisha na wewe😂😂
@jlizah602
@jlizah602 6 ай бұрын
Alafu unazuia nini mm umenikera😂😂😂😂😂😂😂
@brynahmudy5775
@brynahmudy5775 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂mbn umeweka nusu
@catherinenenula7450
@catherinenenula7450 6 ай бұрын
Ndo raha yenu iyo kina kiredio kugombanisha watu😂
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 6 ай бұрын
Vai mkanye kiredio mi ntamng"ata pua wallahi
@janemhangomhango5841
@janemhangomhango5841 6 ай бұрын
Sio ndefu hainogi
@happiefrancis8824
@happiefrancis8824 3 ай бұрын
Sa hapo si angedeal na mwanaume wake ila akili zetu wadada mmh
@bdvc7107
@bdvc7107 6 ай бұрын
Mwanaume anazarau uyo anatikisa mguu tu yan oyo omary x wangu kabisa
@AminaSaid-px9hx
@AminaSaid-px9hx 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 et x wako
@Momo-dl7wg
@Momo-dl7wg 6 ай бұрын
Asah mbona nusu na ewe acha dhambi
@PriscaAnthony-g6r
@PriscaAnthony-g6r 5 ай бұрын
Mbn nusu jmniii kirediooo
@SalomeIvani
@SalomeIvani 6 ай бұрын
Ndio full ii
@marylisso2822
@marylisso2822 4 ай бұрын
Kugombana kisa mwanaume,ni uzwazwa,upuuuuzi,ujinga,niache kutafuta pesa kila ndume,mfyuuuu
@tradamus4158
@tradamus4158 5 ай бұрын
Ni radio 📻 ya kisenge weka content ikanyooka sio hivyo pia kuwa professional kwenye kazi yako utapata views wengi sana tumia camera nzuri sio za cm
@neemachavala6553
@neemachavala6553 6 ай бұрын
mbona fupi kiredio
@UmmyAlly-nd5zv
@UmmyAlly-nd5zv 5 ай бұрын
Nyie watu hamjaelewa man ya mguu kutikisa huyo kaona aibu asa mtu ukiona aibu unazuga na dharau pale Alison mwili wote barid linazuga nakutikisa guu
@naimasuleiman6489
@naimasuleiman6489 6 ай бұрын
Kujizalilisha tu
@MimahSpice
@MimahSpice Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@TausiRamadhan-ji1pb
@TausiRamadhan-ji1pb 6 ай бұрын
Kiredio tunaitaj muendelez bwan
@LucyKayange
@LucyKayange 6 ай бұрын
Kiredio malizia bac daah
@simamoymollel7036
@simamoymollel7036 6 ай бұрын
Alooo😂😂👋🏻
@kautharomy
@kautharomy 6 ай бұрын
😂😂😂
@MaryCuty-zd2xn
@MaryCuty-zd2xn 6 ай бұрын
Yani angenikuta mimi ningempiga hatariii yani hajuwi kama mume wamtu anauma jamanii Tena dada yangu ungemuharibu hata hiyo sura yani kuna watu awana adabu kabisa yani hata mwezi huu mtukufu hawaogapi kabisa daah
@janethjoseph8725
@janethjoseph8725 6 ай бұрын
Utapiga wangapi kwa hizi mbwa
@ummuwawili
@ummuwawili 6 ай бұрын
​@@janethjoseph8725bora umesema😅
@salmaalimusa6809
@salmaalimusa6809 6 ай бұрын
​@@janethjoseph8725eti jamani
@aayanmaroba6056
@aayanmaroba6056 6 ай бұрын
Mmmmh
@fadya-w5s
@fadya-w5s 6 ай бұрын
Mbona fupi
@maryamsylivester8662
@maryamsylivester8662 6 ай бұрын
Sasa ndonini
@JumaSele-r2y
@JumaSele-r2y 3 ай бұрын
😅O
@SamiraMtoro
@SamiraMtoro 6 ай бұрын
Mbona kipande jaman
@AngelEe-xp1sw
@AngelEe-xp1sw 6 ай бұрын
Mbon nusunusu jamn kiredio
@chrisantusnditi8670
@chrisantusnditi8670 5 ай бұрын
Ila kiredio una balaa 😂😂,utakuja kudundwa wewe
@LettyHarrison
@LettyHarrison 6 ай бұрын
Mwendelezo
@MimahSpice
@MimahSpice Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@kingnick5001
@kingnick5001 6 ай бұрын
😂😂😂
@AyishaOman-cw4xs
@AyishaOman-cw4xs 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
AIBU! AKOSA IPHONE 14 KISA KUCHEAT, KAJA NA BWANA MWINGINE
7:40
MPENZI KADANGANYA ANA SAFIRI
10:02
Mr Uky
Рет қаралды 72 М.
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 13 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 32 МЛН
NLIKUA NAMTAFUTIA SABABU | WAKUTANISHWA
15:01
KIREDIO
Рет қаралды 227 М.
FUMANIZI KIMARA | Shemeji Anasa Kwenye Mtego PART 1
16:21
KIREDIO
Рет қаралды 377 М.
MUME MALAYA PART 2
16:14
ZOMPAH 🎬
Рет қаралды 19 М.
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 13 МЛН