JAMANI tufanye mambo yetu yote wanasimba Lakini tusimsahau Juma mgunda
@LukasiKatamwa6 күн бұрын
Nakuckilza sana mwamba GB64
@GeorgeKavwanga8 күн бұрын
Uko sawa nimekuelewa
@AngelMwalukunga8 күн бұрын
Weweeee Simba nguvu moja
@user-bc5sd9qv8w7 күн бұрын
Nimekubali mzee baba simba oyeeee
@fredrickr71738 күн бұрын
Ngwale Sport.....Naomba hizi clips mzisave....hawa tunawapa game 5 tu za kwanza, wataanza kuongea tofauti, utasikia wanalalamikia tena ohh uongozi ....ooh usajili.....
@nikasmkud73327 күн бұрын
Naomba sana Mgunda awepo ktk benchi la ufundi ni fundi asiachwe
@ABELVILTV8 күн бұрын
GB 64 🙌 we ni noumah kwahiyo Manara ni wetu Yule na zoazoa ni wao😂😂
@bensonomary42458 күн бұрын
Akili kubwa...
@user-bt6ep3yb2h7 күн бұрын
Mangungu oyeeeeeeree.
@MukiMuhamed-q3c6 күн бұрын
Nakubal 64 Kaz na umr
@chidampiri10128 күн бұрын
16 wamepewa thank you
@YassinDudu8 күн бұрын
Sawa kaka
@user-yh3dv2bl7u8 күн бұрын
Gb 64 nakusoma sana tunatengeneza Simba Bora
@IssufoSaide-pz7sb8 күн бұрын
Simba ni noma❤❤❤❤
@SophiaMhina8 күн бұрын
sawa baba
@jaffjeff69127 күн бұрын
Sawa mwalimu ni kijana Wachezaji vijana Benchi la ufundi vijana Msemaji kijana Mashabiki vijana Angalizo usijekusema kuna mamluki
@mohasaeed61795 күн бұрын
Mbape wa Belgium ndio yupi tena 😂😂😂
@jaffjeff69127 күн бұрын
Hayo maneno yenu muyatunze baadae msijekusema Gsm amedhamini timu 9 mara cjui wamenunua mara mnaujumiwa mara kunamamluki mara wanajivunja Sisi tunawazoom tu tunasubir msimu uanze