#USHUHUDA

  Рет қаралды 356,700

GeorDavie TV

GeorDavie TV

5 жыл бұрын

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au (kwa Dar es Salaam piga +255712112244) kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!

Пікірлер: 573
@barakamgumba7112
@barakamgumba7112 3 жыл бұрын
Wanaosema mungu ni mwema tujuane
@megoj5179
@megoj5179 3 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@abubakaryabubakary909
@abubakaryabubakary909 Жыл бұрын
Mungu ni mwema
@PaskalinaNgiliule
@PaskalinaNgiliule 5 ай бұрын
Mungu ni mwema
@ayoubkikoti6344
@ayoubkikoti6344 4 жыл бұрын
Madiha mungu amekuokoa mtunze mama,atakubariki zaidi Amina.
@adhangobu7613
@adhangobu7613 4 жыл бұрын
Yaallah nakuomba utuongoze sute katika ndia yako na huyu msichana pia yaallah uongofu uko kwako yarab
@fabricemuhanuka4865
@fabricemuhanuka4865 4 жыл бұрын
I connect to Madiha's testimony even in my family(Shalom International famaly from Burundi) Major Apostle Simon sometimes analejesha nyota ziliyo ibwa so because of that testimony i connect and connect again to this and i believe that my life'll never be the same.Glory to God cause what He does is so amazing.
@RoyceEzron-zk4ne
@RoyceEzron-zk4ne 3 ай бұрын
Kuhusu huyu dada, Akika mungu Anaweza, tuzidi kuombeana ata ambao atujafika tufike apo kwa GEOR DAVE
@gmelaaa7432
@gmelaaa7432 4 жыл бұрын
Mungu anaweza kila Jambo Kama huyu dada amefanikiwa kweli mungu yuko emen
@dorcasmueni8619
@dorcasmueni8619 4 жыл бұрын
Tena Ana ongea kw furaha kupwa mno mungu sifa na utukufu n zako baba
@tatukhamis6349
@tatukhamis6349 4 жыл бұрын
Nami nimevutiwa na maombezi ya Nabii Mkuu naomba msaada nami niunganishwe na Nabii.
@PaskalinaNgiliule
@PaskalinaNgiliule 5 ай бұрын
Ameen mungu ni mwema atanivusha na mimi na mwanangu katika mapito anayopitiwa
@suzzyblessedshow2174
@suzzyblessedshow2174 2 жыл бұрын
Through this lady I believe i will now succed in life I the Mighty name of Jesus
@jadeowili4488
@jadeowili4488 2 жыл бұрын
I'm happy for her,such an innocent girl,the devil wanted to destroy her destiny,Thnks to Jesus she's delivered
@arthurmwabulambo1201
@arthurmwabulambo1201 2 жыл бұрын
She is very bright. With JC she will hit the skies and make all the difference.
@esthermulinda7784
@esthermulinda7784 3 жыл бұрын
Shalom mtumishi wa BWANA. Naitwa MULINDA ESTHER naishi katika ichi ya Zimbabwe ndani ya kambi ya tongogara refugees camp. Nazidi kufata miujiza ambazo zinafanyaka kupitia nguvu za Yesu kristo mwanazareti. Na mimi naamini miujiza na natamani nione miujiza katika maisha yangu. Pepo ya vurugu inaitawala ndowa yangu... Nyota ya mme wangu nayo imechezewa na wanadamu sababu anapenda kuwasaidiya watu wakuachana... Kwa ombi ya zaidi naomba Mungu ailinde 1. Ndowa yangu. 2.atufanyikishe kwakuenda ulaya...resettlement. 3.nyota yangu pamoja na mme wangu zingae. Kuomba ni kwetu ila kutenda ni kwake naamini kwa jina la yesu Christo AMEN
@rhinakiza
@rhinakiza 4 жыл бұрын
Mimi nili mkubuka huu dada Mungu akubariki sana, divyo Yesu anafurahisha nao wanao rundi na kushukuru tusiwe kama wale watu kumi abao walipona akarundi moja kushukuru👏👏👏👏👏
@umarsaid9912
@umarsaid9912 4 жыл бұрын
Emen
@evansmalombe7871
@evansmalombe7871 4 жыл бұрын
I can see a great change, glory to God, mpaka nami nifike kwa hio madhambau siku moja
@SuperMuhoro
@SuperMuhoro 4 жыл бұрын
Amen Niko .Kenya kupitia huu ushuhuda was Madiha Niko guru na nyota yangu imerundishwa ngonjeni ushuhuda wangu hivi Karibuni.
@ikhayerejoseph1184
@ikhayerejoseph1184 4 жыл бұрын
Callo Isaac mm ni mkenya si unisaindie vire nita mfikisha huyu nabii
@bonitatembonitate257
@bonitatembonitate257 4 жыл бұрын
Amina
@mildredmmeywa7936
@mildredmmeywa7936 4 жыл бұрын
Amen
@geraldanthony4417
@geraldanthony4417 4 жыл бұрын
Caroll Isaac Mungu ni mwema I'm happy for you and the Jesus christ
@mesonimwanja3783
@mesonimwanja3783 Жыл бұрын
Nabii jodev mungu akupe uzima maisha marefu baba
@faizatmfaume9051
@faizatmfaume9051 3 жыл бұрын
Mungu Yu mwema kila wakati kila saa na kila siku eeh Mungu naomba unifungulie milango yangu ya ridhiki unifikishe katika kusudi langu🙏🙏🙏🙏
@miriamquite7665
@miriamquite7665 4 жыл бұрын
Madiha im happy for you may God bless you im visiting you soon Nabii wamungu🙏
@victoriavictory8605
@victoriavictory8605 4 жыл бұрын
I like her she is happy and proud of God, kwa miujiza Mungu aliyomtendea. The Lord God of Nabii GeorDavie be praised forever
@tedweddingreviews1821
@tedweddingreviews1821 Жыл бұрын
God is good madiha i connect to your testimony 🙏🙏🙏
@balbinabrendan2279
@balbinabrendan2279 3 жыл бұрын
Simuoni Madiha bali namuoma mchungaji na mwenye uimbaji mkuu ndani yake Nakupenda YESU.....
@enocksuku9146
@enocksuku9146 2 жыл бұрын
I like to follow this lady madiha lilly you helped
@josephakure6743
@josephakure6743 Жыл бұрын
Nabii mkuu testimony ya mafinikio.Amen..
@prudencenganga4811
@prudencenganga4811 4 жыл бұрын
Mtumishi wa mungu bwana yesu asifiwe mtumishi namimi naitaji maombi yako Baba yangu kwani na mimi nimekuwa sielewi maisha maisha yangu ni yakuyumbayumba nami nikifanya biashara sioni pesa na wengine wananikopa na awanilipi na mwili wangu uko na shida nimetokewa na upele ambao autibiki na nimeishi nao ndani yamiaka kumi
@janatabdo9476
@janatabdo9476 4 жыл бұрын
I can never forget Madiha since I saw her first time she has always been in my mind am happy to see her again. May God Almighty bless GeoDavie. Amen
@radicalsaint1817
@radicalsaint1817 4 жыл бұрын
Me too....in fact I was thinking and asking ...did she go and wenttt....... am so happy to see her again .....
@karizangel4301
@karizangel4301 4 жыл бұрын
Hello ...Nabii Wa mungu naweza mpata wapi Tanzania ....can someone help me pliz
@sittaeric8003
@sittaeric8003 4 жыл бұрын
.
@doreenerickmybest8177
@doreenerickmybest8177 4 жыл бұрын
Inanigusa had machozi yanimwagika huyu ndio Mimi najion
@davidkainonge1139
@davidkainonge1139 4 жыл бұрын
I love that l give great to heavenly father
@salmaamilkani8170
@salmaamilkani8170 3 жыл бұрын
Wowo madiha mungu akubaliki sana
@harzondzombe4247
@harzondzombe4247 3 жыл бұрын
Safi sana dads mungu yu pamoja na wewe, ulifanya vyema kumkumbuka mungu kwa kumfata mtumishi safi sana mungu yu pamoja na wewe,.
@davidkihiga3531
@davidkihiga3531 4 жыл бұрын
mtu wa Media yupo vizuri . unatupa before and after safi sana
@janethamala5211
@janethamala5211 4 жыл бұрын
Amen amen
@OmarOmar-zo4yx
@OmarOmar-zo4yx 4 жыл бұрын
Yani huyu hakuwa muislam bali ni mnafiki tu
@omarymkumbi4265
@omarymkumbi4265 3 жыл бұрын
Amen
@jamilamgimba7001
@jamilamgimba7001 3 жыл бұрын
Mi naondoka
@valentinandukuvalentinandu4779
@valentinandukuvalentinandu4779 3 жыл бұрын
mungu ni mwema ushuhuda huu umenigusa sana
@majaliwajimmy9418
@majaliwajimmy9418 4 жыл бұрын
Daaaaa kweli Mungu anae tenda makuu yuko na geodavie
@kyalankota7083
@kyalankota7083 4 жыл бұрын
Nampenda sana huyu dada
@johnbsuhud1774
@johnbsuhud1774 3 жыл бұрын
Niombee Mola ilinami nipate fanaka,niweze kusaidia familia yangu Amina
@carolinepurity772
@carolinepurity772 3 жыл бұрын
It is motivating and I wish that one day i'll be there God bless you Nabii
@yakoboabdul141
@yakoboabdul141 3 жыл бұрын
Mungu azidi kuku inua katika viwango vikubwa
@suavisndayizeye5732
@suavisndayizeye5732 Жыл бұрын
Mungu amubariki mtu wa Mungu. Amubariki sana mwanangu madiha kwa kurudi Gushukuru. Amen
@user-gc5ip7mu9k
@user-gc5ip7mu9k 9 ай бұрын
Ee mungu baba mpe afya njema babayetu Jo devi❤❤❤❤❤
@sallygrace1495
@sallygrace1495 4 жыл бұрын
Praise the Lord God Bwana YESU Asifiwe.
@bafaello2619
@bafaello2619 4 жыл бұрын
Wow God bless you abundantly
@omarymkumbi4265
@omarymkumbi4265 3 жыл бұрын
Mwenyez mungu awe mbele yetu na atuongoze katika safar yetu.
@salmasaid7669
@salmasaid7669 4 жыл бұрын
Mungu nikumbuke na mm 😓😓🙏
@abduomar8438
@abduomar8438 Жыл бұрын
Mmh
@ElizabethMtambo-pv2ql
@ElizabethMtambo-pv2ql Жыл бұрын
Mungu nimwema kweli ooo mungu nikumbuke ata mm
@jesicandunguru2328
@jesicandunguru2328 3 жыл бұрын
😭Nasikia mapaka homa jamani duu asante sana nabii🙏🙏🙏
@mohdsaid7189
@mohdsaid7189 3 жыл бұрын
Nimelipenda jina lako Madiha Muslim mwenzangu
@mariammarko807
@mariammarko807 2 жыл бұрын
Shalom shalom natamani kufika uko kanisani na mimi Mungu baba wa mbinguni anifungie na mimi naomba msaada jinsi ya kufika
@paulinekababa524
@paulinekababa524 4 жыл бұрын
God bless you
@abdulrahmanpaskalina7627
@abdulrahmanpaskalina7627 3 жыл бұрын
Jina la Bwana libarikiwe Nabii unapofungua watu wa Mungu nawe Mungu akutukuze🤲🙏
@nessa4899
@nessa4899 4 жыл бұрын
Yes Prophet, nimefurahi kumuona madiha amependeza sana sana.utukufu Kwake Yesu.
@jacklinebakari6295
@jacklinebakari6295 4 жыл бұрын
katika clips nyingi na comment nyingi zinazomhusu huyu nabii wewe ndo wa kwanza kuona umetaja jina lipitalo majina yote YESU sijamsikisikia hata yeye akitaja hili jina ngoja niendelee kufatilia
@cyrusmachoka5969
@cyrusmachoka5969 4 жыл бұрын
Jesus love this pastor
@salhaabuu1649
@salhaabuu1649 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema all the time
@eunicemsigo9677
@eunicemsigo9677 3 жыл бұрын
Hakumuonea mungu haya huyu mungu ataendeleankumubariki zaidi She will go.places in hesus name She smiles like an angel nay our good lord continuebto see her thru
@Eddyx21
@Eddyx21 Жыл бұрын
So amazing 👏
@radicalsaint1817
@radicalsaint1817 4 жыл бұрын
She is lovely from the first day I saw her......today she is suuuuuuuppppeeeerr pretty.......lovely personality. ...God is good all the time. ....can't hold my tears and laughter 😢😂😂
@upendoluv7197
@upendoluv7197 3 жыл бұрын
Na kanenepa jamani Hadi Raha
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 2 жыл бұрын
Man at work
@baudouinecikwanine4690
@baudouinecikwanine4690 4 жыл бұрын
Amen amen amen Mubarikiwe saana
@theodorekiyaka2476
@theodorekiyaka2476 2 жыл бұрын
Ndipoza aitwaye na mungu anapewa upako
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 4 жыл бұрын
Amen 🙏 Mungu wa Baba ni mwenye nguvu,jina lako lihimidiwe milele Amina
@maxlove2668
@maxlove2668 4 жыл бұрын
Mungu ni mkuu,Madiha be blessed,proud of u prophet GeorDavie.
@redrosy9586
@redrosy9586 3 жыл бұрын
Amen hakika damu ya Yesu ni ufunguoo wa kila kifungo
@jackobsabore4655
@jackobsabore4655 4 жыл бұрын
Hongera sana mtu wa Mungu kazi yako ninzuri sana sana
@erickjuma5751
@erickjuma5751 4 жыл бұрын
Vizuri sana at mm nimependa God bless you
@glorieuseluhavo9032
@glorieuseluhavo9032 2 жыл бұрын
Dieu m a fait grâce aksante nabii mukuuu
@aliceagnes4086
@aliceagnes4086 2 жыл бұрын
Amen God bless you soo much
@trophainamagogwa7966
@trophainamagogwa7966 4 жыл бұрын
Siyo jina la mtu Libarikiwe mnakosea saaana ,Mwanadamu hagawi Riziki ni Mungu tu
@mariamgrashen8216
@mariamgrashen8216 4 жыл бұрын
Jaman namba tafathar
@ireneassey3685
@ireneassey3685 4 жыл бұрын
That's right uwez tak jina lamtu litukuzw but mungu ndiw muwez wayot
@emmanuelmollely1538
@emmanuelmollely1538 4 жыл бұрын
Trophaina magogwa ushawai muona mungu?
@anthoniogaudence7854
@anthoniogaudence7854 4 жыл бұрын
Kweli kabisaa
@modestarubunda4250
@modestarubunda4250 4 жыл бұрын
Kutokana na Shida alokuwa nazo, unachanganyikiwa, jamani unaweza ukatamka chochote, muachieni tu huyu binti.
@goldensunshine8693
@goldensunshine8693 4 жыл бұрын
I am happy for this girl.....God is great
@mumberemiracle1170
@mumberemiracle1170 3 жыл бұрын
Nami
@jean-baptistenkurunziza2949
@jean-baptistenkurunziza2949 4 жыл бұрын
I remember your history, Madiha. I'm very happy for you and continue to believe in God. God's everything!
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 4 жыл бұрын
If it's true, she will be in satan until she dies. She left the religion of ALLAH.
@surujajwie4768
@surujajwie4768 3 жыл бұрын
Mashaallah hongera ❤
@topistablandine2701
@topistablandine2701 3 жыл бұрын
Jambo mutumichi wa mungu nakufata kutoka Congo drc mutumichi unisahidiye nateseka sana
@lollytasitta4552
@lollytasitta4552 4 жыл бұрын
Wooow So amazing
@nereahwakesho3221
@nereahwakesho3221 4 жыл бұрын
Wow God bless u madiha, Mungu akuinue zaidi en God bless you man of God
@psalm3662
@psalm3662 2 жыл бұрын
GLORY TO GOD I THANK YOU MY FATHER LORD ALMIGHTY ASANTE YESU
@priscillahsirya6544
@priscillahsirya6544 2 жыл бұрын
Ameen Mungu uzidi kuabudiwa
@fionawangeci655
@fionawangeci655 2 жыл бұрын
Dear lord the u "ve remembered madiha remember me too,u r a great lord Amen.
@hshshshddjjdd8544
@hshshshddjjdd8544 3 жыл бұрын
Mungu nikumbuke nami🙏🙏🙏🙏
@esaulongo9781
@esaulongo9781 4 жыл бұрын
Jaman ashukuliwe mungu Ila shida yangu kubwa ni namba ya huyu nabii 2
@yesayamziwanda9603
@yesayamziwanda9603 4 жыл бұрын
Nakumbuka mara ya kwanza na sasa naangalia mara ya mwisho kweli mungu ni mkubwa sana wewe wa media aise ubarikiwe sana maana umetupatia vitu vya uhakika nadhani kila mtu ameshaelewa god bless you AMEN
@gloryfaustine3957
@gloryfaustine3957 4 жыл бұрын
Amina jina la bwana lihimidiwe milele na hata milele
@nuhukihegulo141
@nuhukihegulo141 4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana BABA Nabii wetu Tanzania, endelea kusaidia mtumishi.
@mathewdk8313
@mathewdk8313 4 жыл бұрын
Awesome work of God.. Real life now revealed for her.. Much blessings.. The Lord is Mighty an he work miracles in our midst
@emilymakungu5019
@emilymakungu5019 4 жыл бұрын
If its Gods doing then this s great.Praises to Almighty God.
@santistkawogo9735
@santistkawogo9735 2 жыл бұрын
Mungu mwaminifu
@SamweliMo-bj4jl
@SamweliMo-bj4jl Жыл бұрын
Mungu ni mwema
@ibmchannel
@ibmchannel 4 жыл бұрын
Huyu ndiye Mungu wa kweli apigaye Ngurumo
@davyadamsontz
@davyadamsontz 4 жыл бұрын
Unamuitaje Mwanadamu kuwa mungu??
@rehemadaudi742
@rehemadaudi742 4 жыл бұрын
my God mwl issaya msaidie mwenzio bado hajakuelewa anasema eti umemwita mwanadamu ni Mungu
@ibmchannel
@ibmchannel 4 жыл бұрын
@@davyadamsontz ndugu yangu hapana Sijasema nabii mkuu ni Mungu hapana ila nimesema huyu ndiye Mungu apigaye ngurumo yaani Mungu Jehovah wa mbinguni ambaye nabii mkuu ndio anamtumikia.
@ibmchannel
@ibmchannel 4 жыл бұрын
@@rehemadaudi742 kweli ninamsaidia hapa.
@davyadamsontz
@davyadamsontz 4 жыл бұрын
@@ibmchannel Ohh Ahsante sasa nimekuelewa.... Lakini ninajiuliza ni kwa kwa nini Geo Davie aseme yeye ni Nabii Mkuu Tanzania???
@theodorekiyaka2476
@theodorekiyaka2476 2 жыл бұрын
Hallelujah mungu ainuliwe
@gmelaaa7432
@gmelaaa7432 4 жыл бұрын
Mungu akulinde mutumishi
@jemuujemuu2902
@jemuujemuu2902 4 жыл бұрын
Kwa kweli mungu ni mwema madiha
@upendostephen9926
@upendostephen9926 4 жыл бұрын
Nilikuwa nakufwatilia madiha toka day one ubarikiwe sana
@zxcvzxcv1034
@zxcvzxcv1034 4 жыл бұрын
Mungu wa geordavie mamtukuza asante baba wa bwana
@ahmedelalawi6143
@ahmedelalawi6143 4 жыл бұрын
Mchongo huo hao mapastor au manabii wa uwongo ni matapeli . Inatengezwa game kitambo ikish badae mudanganywe na kutapeliwa kifedha hadi kingono . Im so proud to be a muslim alhamdulillah god bless
@mrsulrichmasawe1991
@mrsulrichmasawe1991 4 жыл бұрын
Na wewe katabeli kama rahisi
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 4 жыл бұрын
Madiha! Allah akuonyeshe njia sahihi ya Maisha ya na Ibada yako.
@mkalimussa1846
@mkalimussa1846 4 жыл бұрын
Salim Harrasy @ huu si mchezo lkn ambao wanaufanya wachungaji
@fadhilabbas5784
@fadhilabbas5784 4 жыл бұрын
It's just lies everything is just well planned there is fake actress there and actors. "manabii wa uwongo"
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 4 жыл бұрын
@@fadhilabbas5784 We should becareful on these kind of act. Allah amrejeshe to the right path.
@fadhilabbas5784
@fadhilabbas5784 4 жыл бұрын
Let's use logic here the way how the world is alafu ati unapata mtu anaombea watu wapate chochote watakacho, the point is why yeye asijiombee na kujifungua mwenyewe awe tajiri mkubwa duniani? The answer is maisha yake anaishi kwa urongo and that's how he survive yeye na mke wake they are just big liars. Period
@mariamkingazi6416
@mariamkingazi6416 4 жыл бұрын
😂😂😂
@ushindieliya278
@ushindieliya278 4 жыл бұрын
Amen kiongozi nazifutilia nilimuona first time KZbin
@jumamohamedi5044
@jumamohamedi5044 3 жыл бұрын
nakuona mtumishi ukikaa nabii
@jumamohamedi5044
@jumamohamedi5044 3 жыл бұрын
shika neno9
@theresiangunda2298
@theresiangunda2298 4 жыл бұрын
Mmmmmm haki ya kweli Dunia hii Mungu peke ndiyo ajuaye hayo yote
@onlinemateustv1925
@onlinemateustv1925 4 жыл бұрын
Imechukua muda gani Mungu mkuu sana katika maisha yetu Unabii ni mhim sana sana
@winnyandrea555
@winnyandrea555 4 жыл бұрын
Mungu ni mwema
@annahayasanday7174
@annahayasanday7174 3 жыл бұрын
Amen. Hakuna kama Mungu
@rucho7663
@rucho7663 3 жыл бұрын
Nabii mkuu naomba niungamanishwe na madhabuhu yako
@elizabethkaragi1397
@elizabethkaragi1397 4 жыл бұрын
Nakukumbuka sana dada jina la mungu libarikiwe
@megoj5179
@megoj5179 3 жыл бұрын
Mungu
@ruthbaby1982
@ruthbaby1982 3 жыл бұрын
Nimeguswa sana nitakuja sikumoja Niki come arusha mwaka huhu2021
@saudaisaka7255
@saudaisaka7255 4 жыл бұрын
Jamani mungu kamuinua kwa kasi sana kweli ukimwamini mungu utathibitika ukimwamini nabii utafanikiwa kweli kamwamini Nabii kafanikiwa,
@user-xg4mr4gs6j
@user-xg4mr4gs6j 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana nabii mkuu
@puritymwende4175
@puritymwende4175 4 жыл бұрын
Amen,,amen,,God is good
@adinanihamisi1993
@adinanihamisi1993 4 жыл бұрын
Binti wakislamu unasubira unaenda kuombewa nawajinga
@issakaroli1517
@issakaroli1517 3 жыл бұрын
Amelitadi siyo muislam akitamani ibada za manAswala tiyari umeshotoka katika Dini ya Allah siyo muislam
UKIYAPATA HAYA UMEFAULU KATIKA MAISHA.
52:05
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 102 М.
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 28 МЛН
Mch:Daniel Mgogo-Heshima yangu naitaka hata kama unanizidi kipato
11:41
MUZIKI UNAVYOANDAA WATU KUPOKEA ALAMA YA MNYAMA. MCH PAULO SEMBA.
39:11
Petro Tumaini TV
Рет қаралды 24 М.
MUDA WA KUFANYA  MAOMBI YA SHABAHA - KUHANI MUSA
24:28
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 23 М.