It's interesting how God works in mysterious ways Geordavie is the PERFECT man of God... Quote "PERFECT" Man of God😊
@baudouinecikwanine46904 жыл бұрын
Babaaa Ubarikiwe uongezewe Na Mungu aliyekupa kazi ngumu iyi. Mimi ni baudouine mukongo naikala buja nakufata sana. Naitaji Na mimi kuombewa. Najuwa Mungu anauwezo ya kunigusa kupitiya wewe hata uko uko. Nisaidie naomba baba yangu
@mr.sampaelias18852 жыл бұрын
Ukisikia mtumish anakua na Maneno mengi bila kutaja jina Yesu ujue hapo hakuna Mnapigwa peupe! Jina Mungu hatukupewa kutoa Pepo ila jina la Yesu tu!
@lamaifanuel92212 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe,shaloom mtumishi ninaomba maombi yko yakawe ngao kwangu na familia yangu
@winnieombaire19183 жыл бұрын
Am happy that she finally accepted and challenged you with immediate hopes 😍😍
@VisionVibes88 ай бұрын
Geordavie ana amini kikweli kweli Hana kuigiza I love the Man of God for Life. God is Real, God. Is Great,God is RICH, God is Everything..He Displays his Grace through his Servant.: GEORDAVIE
@marymchomvu1342 жыл бұрын
Shalom babaa,na mm naomba nifunguliwe na niponywe kwa jina la yesu
@marthasimon10042 жыл бұрын
Mh! Baba mungu akubariki sana! Kuna mambo mtu unaweza pitia ukadhan ni pito kumbe mpango wa shetan. Nawish cku1 kukuona maana me pia maisha yangu cjawah kuelewa yanavyo enda
@emmanuelngiloriti9814 жыл бұрын
Yaan mungu amekaa ndani yako nabii mkuu natamani kama ungenionekania na mimi jaman.
@chrisedson25313 жыл бұрын
Mtumishi ombea familia yangu pia avunje mazabahu mbaya zinazonifatilia mimi na mzazi mwenzangu Maana naishi kwa shida kubwa mungu anihulumie
@christinewomanoffaith54794 жыл бұрын
Wakristo ,someni neno! Acheni kupenda miujiza na kuombewa! Mjifunze kusimama na kuomba! Ni kweli watumishi wana sehem yao lkn km huna neno kuyumbishwa,kudanganywa ni rahisi! Mungu anasema na kila mtu!hasa kwa njia ya ndoto! Anza kuomba kidogokidogo,jifunze mtegemee Yesu peke yake,usiweke matumaini kwa mwanadamu! Yaani Yesu/Mungu awe wako kwanza kabla ya Yesu/Mungu wa mtumishi ,au kanisa Fulani!
@chalesnguyaine99914 жыл бұрын
Hahaha wakristo msikatazwe kukimbilia miujiza za Yesu kristo kwa maana kinachomtambusha uwepo wa kristo ni miujiza na alisema mtafanya zaidi ya haya nilioyafanya ikiwemo miujiza,na uzuri tunamsikiya huyu baba akimtaja Mungu na Yesu,na Yesu ndo Mungu na Mungu ndo yesu ndivyo sis tunavoamini sas mtu unakuwa na wivu kiasi hiki kisa umeshndwa kufanya.sikia hii ndo tofauti za kutenda kazi lkn Mungu ni yeye yule yule
@christinewomanoffaith54794 жыл бұрын
@@chalesnguyaine9991 miujiza ipo na wala haina ubaya! Wapi alipomtaja Yesu na Mungu ? Nisaidie tu hapo ndo nachotaka kufahamu!
@chalesnguyaine99914 жыл бұрын
@@christinewomanoffaith5479 embu rudia kutizama hiyo video maana utamskia akimtaja Mungu na Yesu ukishaamaliza kuangalia embu andika neno Geordavie tv angalia video vyake utamskia tu sawa man
@chalesnguyaine99914 жыл бұрын
Sisi kama wana wa nabii tunamtambua Yesu kristo kama Mungu yani Mungu ndo jina lake kwa kifupi nikwamba tukimtaja Mungu jua tumemaanisha Yesu na tukimtaja yesu jua tumemaansha ni Mungu kwa hyo usitake huduma Yenu ya TB joshua ifanane na ya nabii geordavie
@hamismasalu93594 жыл бұрын
Umenena vyema sana kaka Mpaka nimependa Neno lako hilo chache tu, nakuluhusu uchukue namba yangu tuwe tunawasiliana kuelekezana na kufundishana juu ya neno la Mungu 0686608015
@hamisamaundi56613 жыл бұрын
SubhanaALLAH,SubhanaALLAH, mwenyezi mungu ataenda kutuchoma kwasababu ya matendo yetu, ya kumsingia, na kumshilikisha na viumbe wake
@heliethdulla21393 жыл бұрын
Subuana Nini na wewe Kama vipi si upige kimya tu
@kaijagepaulmungunisaidie25982 жыл бұрын
Baba tunabalikiwa Mungu akujalie uendelee kuepo
@fredturrukei23903 жыл бұрын
My God protect you mtumishi wa mungu🙏
@VisionVibes88 ай бұрын
Geordavie ni mtumishi WA mungu WA mbinguni Alie hai
@minaelijohn17822 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe baba naitwa mshungaji minaeli Niko nyumba ya mungu baba natamani sana unitamkie neno pia naomba sapoti ya usafiri
@christinamkalalile8742 жыл бұрын
Mungu akubaliki sana nabii wa mungu
@shedrackdavid38762 жыл бұрын
I believe in God I make a trust always and I request God to protect my best friend 🙏🙏🙏🙏
@naomijonas91733 жыл бұрын
Nabii naomba uniombee mm na familia yangu, na mtoto wangu anayesumbuliwa na tatizo la kukojoa kitandani, na afaulu mtihani wake wa kidato cha nne muombee jmniii nipo dar, anaitwa jesca
@thonasmihiga79113 жыл бұрын
Mpigishe doso ataacha kukojoa
@niletrierweiler16074 жыл бұрын
Amen, Baba unabii wako umeonekana, nafurahia saana kuyaona uponyaji kama haya,naomba nasisi utuombee familia yangu,mimi ni mkenya
@mmasymery3914 жыл бұрын
Karibu sana Tanzania
@samuelkimaro51384 жыл бұрын
Brother unafeli
@evimanmmbogo53324 жыл бұрын
Nakupenda sana nabii mkuu nafurahishwa na utendaji wa kazi kubwa ya Mungu namwamini Mungu siku moja nitakanyaga happy kupokea nguvu mpya ya Mungu ubarikiwe baba!!!
@dinalodam30172 жыл бұрын
Amen najiungamanisha na Mimi na mume wangu tufunguliwe na mama angu
@magdalenamatiko99954 жыл бұрын
Alieona wazinzi wanabarikiwa waendelee na uzinzi wao mnipe big up
@JeanElisha Жыл бұрын
Jamani nduguzangu tazania nawaomba sana kwahimani Mungu aliipendeleya tanzania Ninayo imani juu nabii Mukuu dunia Yote itapona napia RDC uvira nikonamengi yakusema naomba Léo Ninaona mihujiza y'a hajabu naomba Siku moja nabii Mungu amutume Apa kwetu RDC,congo,sikuzote naomba Mungu amupe uzima kila Siku amupe nusu y'a Siku za Mungu unilindiye GDavi Wangu ,moyo
@deokessy62883 жыл бұрын
Sijasikia Neno Yesu Kristo
@janetkaingu70382 жыл бұрын
Eeemen haleluia ninetakasika katika jina la Yesu
@RAPHAEL-kj3qs Жыл бұрын
Nabii naguswa sana na maombi yako nataka kujua Arusha sehemu gan nahitaji kufika hapo nyumba ya mungu
@nicelucas94952 жыл бұрын
Amen napokea
@mrs.belindastephenmagula98582 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana baba
@KhadijaMohammed-z8c8 ай бұрын
Mkienda makanisani mnadanganywa mungu ni mmoja allah mcheni allah dini moja uislam
@liyangaboy3682 жыл бұрын
Mtumishi kwa jina naitwa liyanga natokea jijini Arusha naitaji mungu Anitendee miyuu jisaa
@annwanjiku59232 жыл бұрын
Ooh God this man is so powerful,profesy for me also
@elizabethkizota34744 жыл бұрын
mungu nifundishe kunyamaza
@cossanwambura10654 жыл бұрын
Ukinyamanza mawe yatasema kweli
@saidseleman60044 жыл бұрын
Elizabeth nambie hata kisirisiri
@jujuwaida54433 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mohdsaid71893 жыл бұрын
So vizuri ivo said
@hildajoshua29063 жыл бұрын
Kabisa Elizabeth kizota
@evabikabhai18613 жыл бұрын
Very powerful man of God
@amoskilekwa7780 Жыл бұрын
Dieu et bon
@malota21383 жыл бұрын
ipo siku mungu atawazalilisha awa wanaodanganya watu inaonesha wazi hapo hao wanajuana na wamepanga
@bensonmgaya56933 жыл бұрын
😂😂😂
@dainessukosi Жыл бұрын
Amina 🙏
@elibarikieliatunawapatavzr78724 жыл бұрын
Duhhhhh kuna vituko duniani. Tatizo watu tunapenda miujiza kuliko Mungu
@goldvilysamweli37164 жыл бұрын
kama huna cha kuongea ni bora ukaa kimy kuliko kumkosea mung
@goldvilysamweli37164 жыл бұрын
kwan huw nani anayetoa muujiza km cy huyo mungu mnayemsem
@mwana38874 жыл бұрын
@Elibariki Elia tunawapata vzr Acha ujinga mdogo mdogo miujiza (miracles) ndio sign ya uwepo wa Mungu
@antoinea.katembo53264 жыл бұрын
mwana kabisa ukweli ndo kwani hiyo miujiza ilifanyika mbinguni au hapa duniani?
@bulugubujashi63784 жыл бұрын
Nikweli
@reginamtitu5592 Жыл бұрын
Nibalikii Nami baba
@balihappy56282 жыл бұрын
Am blessed man of God...be blessed more
@divinahgesare814 Жыл бұрын
Naitaji maombi natoka kenya naitaji mtoto
@kibikihotfilm06212 жыл бұрын
MUNGU NI MWEMA MNO🙏🙏
@hakizimfurajustin47372 жыл бұрын
Mungu akubariki
@ziyadabasca48402 жыл бұрын
Nguvu yamungu inafanya kazi kabisa mimi ni 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@emmanuelmanyonyi10053 жыл бұрын
Man of GOD 🙏, you are doing great job am also having a problem in my life, from Kenya
@zanuramaulid57412 жыл бұрын
Mnaeditty sanaa Nabii hiyo siku hakuvaa suti nyeupe
@NyanzobeJoyce6 ай бұрын
Naomba mimi bwana mutushi wamugu nibariki
@moureenmokeira22053 жыл бұрын
Amen🙏🙏... I wish ningekuona hata uniwekee mkono kichwa tu..
@snayzzermusictz7754 жыл бұрын
Nabarikiwa naww jmn nabii nipo dar
@laurentemmanuel60374 жыл бұрын
Bwana yesu atukuzwe nabii was bwana Mimi Niko maswa shida yangu mimi Kuna watu wawili wamekimbia na pesa baada ya kuwanunulia mzigo was biashara na kuhama kusikojulikana naomba unisaidie
@zeldamlay42764 жыл бұрын
Unamfungua kwa jina lako au la Yesu! Acha maigizo mzee mwenye upara
@RoroRoserororo4 жыл бұрын
Swala nzuri hilo
@evajohn70014 жыл бұрын
Hahahaaaaaaaa
@mwana38874 жыл бұрын
@Zelda Mlay kasome Wafalme wa pili📖 4;2 -14 akamwambia nikufanyie nini?!? Haisemi nikuombee nini au Mungu Hakufanyie nini Luka 9;1 "Akawaita wale Thenashara ,akawapa uwezo na mamlaka juu ya pepo wote na kuponya maradhi'' .Yesu aliwapa mamlaka na uwezo wa kuponya maradhi hapo sijaona ikiandikwa ponyeni wagonjwa kwa jina langu Elewa lugha za manabii
@musokedios81624 жыл бұрын
Hapa naona maigizo mwanzo mwisho sioni jina la Yesu likitajwa anawafungua watu kwa mamlaka ipi???ulimwengu wa roho up I??
@silyadamian57084 жыл бұрын
😂😂😂
@latiphakiwelu83942 жыл бұрын
Asante yesu kwakunifungua
@jorammasila7627 Жыл бұрын
Jesus Christ be merciful to us please na upee watu wako macho ya kiroho kuona kinachoendelea.😢😢😢😢
@honnetemaghetse94863 жыл бұрын
Jambo mtumishi wa Mungu hâta mimi nahitaji msaada ya maombi yako Niko kongo
@mwaminikudra25524 жыл бұрын
Jamani haya mambo yauna bii ni ivo tuh, watu walishaga penda unabii kushinda mungu, jiombee mwenye, omba toba na mungu ataku hurumia, hakika yeye ndie mwenye huruma, Ndio mzehe hapa ni nabii ila sasa unatu shauriaje mbele ya mungu wewe mwenyewe unaweka mguu ju ya mwengine mguu ukiwa una hubiri, sisi tuta jiwekaje mbele ya mungu, njomana sisi wa islam atuna unabii, najivunia sana dini yangu
@abdallahally80332 жыл бұрын
Mimi naitwa Abdallah Ally mrefu naishi dar es salaam mtume nakukubari Sana na ninashida Sana na ndoa yangu na nishida Sana kwenyekazi zanfu yani hata hata sijui nitafikaje hapo
@gracemwasonya14453 жыл бұрын
Watu wangu huangamia kwa kukosa maarifa!!!!
@mzalendoorg90092 жыл бұрын
Hongera sana
@aminatabakari27414 жыл бұрын
Heri mtu yule amchaye Bwana🙏
@pamelanyongesa98173 жыл бұрын
hi pst mimi kilamara ninapolala naota kama nafalishwa bete sijui maama yake nini
@meryjohn71204 жыл бұрын
Yeye mungu unatakiwa kimwamini mugu sio mwanadamu
@kelvinmalowa14234 жыл бұрын
I have always known that the Man will change my life for better. Amen
@mariakisinda7235 Жыл бұрын
Nabii hata Mimi naomba maombi yako kwani hata mm nasumbuliwa na nguvu za giza
@stevek83183 жыл бұрын
Too much pride on this dude
@niceibrahimlukumay52472 жыл бұрын
Ameni i received anointing
@MariamNangai-zr2rn Жыл бұрын
Naniungamanisha bba naomba ufungue familia yetu tumefungwa na baba yetu aache uchawiii kwa jinn la yesuu
@AdamusonKombaАй бұрын
Umepotea fungal nakuomba wewe maana data duniaimepingwa nakitukizitoo
@veronicangila74153 жыл бұрын
Asifiwe yesu naitwa veronicah nahitaji maombi sana pamoja na familia yangu naomba msaada wa maombi nipo Saudi Arabia
@maryamalhajri58864 жыл бұрын
Na mie ntakuja tz ntafika kwako baba na matatizo ya ulimwengu wa roho miaka mingi sana mume nilimpoteza ata kazi pia💔
@johngyuzi4374 жыл бұрын
Maryam Alhajri h
@bestonmfikwa85104 жыл бұрын
Uko wapi
@remedymoody4 жыл бұрын
Acha kutumia jina la bosi wako na picha za kukopi. Mwenyewe akikundua anaweza kukushitaki. Kwani unaona aibu kutumia jina lako la ukweli.
@yuzarsifbulushy54514 жыл бұрын
Acha utapeli Wewe Muogope mumgu.. Halafu unaenda unajichubua ili uwe mweupe uonekane ni Nabiii.. Acha Unafika wee mzee Ogopa mungu wako.
@moseshaule5864 жыл бұрын
Una uhakika gani Kama anajichubua
@ashamganga66364 жыл бұрын
😂😂😂
@mwana38874 жыл бұрын
@Yusuf Al Bulushy Kujichubua haikuhusu na sio dhambi na pia hiyo ni wishes binafsi na utambue ni binadamu na ana hisia zote kama za mwanadamu no sawa uende kanisa lenu kwenu uko umkute mtumishi ana kitambi alafu unaanza kublame kuhusu jinsi mwili wake ulivyo kama umeshindwa kupokea kile anachokufundisha ujue kuna roho ya shetani ndani yako na unahitaji ufungulivu wa maombi
@mmasymery3914 жыл бұрын
Saw kwani ww unatakaje?
@mwana38874 жыл бұрын
@Mmasy Mery I want nothing from but I was tell you to remove negative impression toward others because even yourself you have you weakness no one is perfect as you thoughts in your mind
@wycliffebisera36972 жыл бұрын
U r just blezing to me man of GOD
@kassianmassawe94364 жыл бұрын
Ameen Daddy i also napokea mahusiano sahihi kutoka kwako
@yasintawilliam36192 жыл бұрын
Namm baba nitamkie neno nasumbukia uzaz
@RukiaAthman-z2o2 ай бұрын
Kwan mungu ni nan hapo mwanzo kulikuwako neno
@jacklinwilson20983 жыл бұрын
Aminaaa
@RukiaAthman-z2o2 ай бұрын
Mungu c ndio miujiza yenyewe
@kelvinjoseph97734 жыл бұрын
Amen mchungaj mungu akubalik uendle kufny bwan
@comedytz34874 жыл бұрын
Jamaa anabahati mwanamke mzuri kweli😂😂
@babyjsalum9404 жыл бұрын
😁😁😁
@shukylugome35814 жыл бұрын
😂😂😂😂
@shukylugome35814 жыл бұрын
Sana
@carenamimo48974 жыл бұрын
Nyinyi ni Tim Mafisi kweli
@anitharoby62103 жыл бұрын
Ok
@patapoteya5952 Жыл бұрын
Jambo mutumishi Wa mungu nabii mukuu Wa tanzania
@elifurahajosia16284 жыл бұрын
asante nabii kwa maombi, naomba nasisi tuombee, utuunganishe kimaombi mm na familia yetu
@christinewomanoffaith54794 жыл бұрын
Eti mbona hayo maombi hayalitaji jina LA Yesu? Inakuaje? Naomba nisaidie
@greesgrees8564 жыл бұрын
Amina napokea
@saidabdala68222 жыл бұрын
Nataman Sana kukutana Nabii mkuu mtu wa watu
@lizyh45943 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi
@fredseverino89063 жыл бұрын
Mungu awe nanye wote
@yasintawilliam36192 жыл бұрын
Nabii baba angu nami uniombee
@jeremiahkamnde5424 жыл бұрын
Tulitumie jina la Yesu
@mwana38874 жыл бұрын
@Jeremiah Kamnde 2king 4:2-16
@rewardkamnde38824 жыл бұрын
Jeremiah Kamnde jina la Yesu linanguvu
@mwana38874 жыл бұрын
@Jeremiah Kamnde Luke 9,2king 4:2-14
@laightnessshirima7024 Жыл бұрын
Mm nabii naomba nisaidie Nina matatizo Sana
@johnmasuka33704 жыл бұрын
Haina haja kuionea haya *NGUVU YA MUNGU* katika ulimwengu wa * ROHO na MWILI*, NABII, BWANA YESU KRISTO azidi kukutumia zaidi kuponya watu wake.
@rehemahayongo41593 жыл бұрын
Amen
@nepi.maruchu1341 Жыл бұрын
Amen
@heliethdulla21393 жыл бұрын
Yalinikuta Mimi Aya acha tu nimtumikie Mungu
@reenyaysher76394 жыл бұрын
Mbona hatumii jina la Yesu jamaaan😔
@roberttarimo7004 жыл бұрын
Vipodozi
@Moshiarusha3603 жыл бұрын
Huwez kusikia akitaka jina la Yesu kabisaa Wala Mungu hatajwi...huyo roho anayemtaja Ni robo gan
@reenyaysher76393 жыл бұрын
@@Moshiarusha360 kuna namna hapo waumini wajitafakari
@sadocksimon95733 жыл бұрын
Mungu nimwema
@agneskatuku34404 жыл бұрын
Pst Mimi nimeteka sana Niko Kenya sina uwezo wa kuvika uko naomba utamke neno moja tu juu ya maisha yangu ya uponaji na nitapona nitapona nimekunjwa dawa Kwa miaka mingi Mimi ni muadhiriwa najua Kwa jina la yesu nitapona
@happynessmolla17814 жыл бұрын
Mwamini Kristo utapona kwa Jina la Yesu Kristo.
@agneskatuku34404 жыл бұрын
Amen amen,,
@christinewomanoffaith54794 жыл бұрын
Soma neno,muite Yesu akusaidie
@hawamusumba4314 жыл бұрын
Kuwa na Imani utapoana sio lazima pastor akuombea Imani yako ndyo itafanya upone
@johnmasuka33704 жыл бұрын
Mtumishi,Mungu azidi kukutumia kuponya watu waliofungwa katika nguvu za giza na kuonewa na Ibilisi Shetani.
@johnmasuka33704 жыл бұрын
Mimi ninachoamini ni kuwa watu wanapookolewa kupitia *Mtumishi wa Mungu* na kuondolewa katika matezo ya nguvu za giza, hahitaji kuhoji katika utumishi wake bali ni kumshukru Mungu.
@ruthmwamgunda16034 жыл бұрын
Nimefurahi baba napokea miujiza kwa jina la yesu amina
@heavenwola12224 жыл бұрын
Baba naomba number zako na mimi na itaji ma ombi
@richardmollely29332 жыл бұрын
Nisaidie baba nabii mkuu
@judithnagabona3423 жыл бұрын
amina baba
@movietrailer81143 жыл бұрын
Baba ni noma kweli
@julevavalitasrwangoga91082 жыл бұрын
Mungu akubarick nabii wa mungu
@NEEMASWEDI2 ай бұрын
Watu wanapigwa wemefungwa Daah nabii hana neno la rohoni anajing'atang'ata tu ni masikitiko makumbwa muombeeni baba enu amekuwa vipofu, nunueni bibili Soma neno kwa imani kubwa mwombe YESU krisito akusamehe makosa yako na macho ya rohoni.utajua tu siku moja
@kennedyjaphet53163 жыл бұрын
mm naitwa Kennedy japhet mwambwiga nasuliwana maisha nahangaika ukunahuku kipato changu kinkuwa hafifu piyanamausano ndaniyanyuba ntabu naomba unsaidie
@madamloveness72744 жыл бұрын
Kornelio alipomkaribia Petro alimkimbilia amlaki na kumpigia magoti lakin Petro akamwambia usinipigie magoti Mimi kwasababu hata Mimi Ni binadamu Kama wewe.
@jacobmakono3894 жыл бұрын
..Upendo nikisomaga andiko hilo la Petro huwa natokwa na machozi jinsi ambavyo Petro, pamoja na matendo makuu Mungu aliyomtumia..hakujitukuza kamwe!!..hawa manabii uchwara wanataka kutukuzwa!
@madamloveness72744 жыл бұрын
@@jacobmakono389 Mungu atusaidie kwa kizazi hiki Tena manabii hawa wanakwambia piga magoti nikusamehe makosa yako ?Musa alitenda miujiza ambayo hakuna mpaka leo amewahi Tenda Ila aliwaambia Wana wa Israel simameni imara mkauone utukufu wa Mungu