#Muamuzi

  Рет қаралды 848,992

GeorDavie TV

GeorDavie TV

4 жыл бұрын

SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au (kwa Dar es Salaam piga +255712112244) kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!

Пікірлер: 850
@maulidionlinetv7446
@maulidionlinetv7446 3 жыл бұрын
INA ILAHI WAINA LILAH RAJIUN HUU NI MSIBA NA NI DALALI ZA QIYAMA MTU KUJIITA NABII SUBHANNALLAH
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 ай бұрын
AllahuAkbaru.nyieHataree.msiba
@merisianajuma4098
@merisianajuma4098 3 жыл бұрын
Nabii mkuuu naomba na mm unitamukie nipate pesa miezi inayokuja nitakuletea shukuran/nitakuta kumshukuru mungu kwenye hiyo madhabahu mm ni deus eliazary wa ngara kagera nakuomba sana nabii wa bwana geor davie
@stevek8318
@stevek8318 4 жыл бұрын
I see pride in this so called nabii mkuu. Haiambatani na mafundisho ya Yesu
@mbaroukkillo1376
@mbaroukkillo1376 4 жыл бұрын
Hapooo hekima busara wala umakini haupo.pole sana.
@salimamri9488
@salimamri9488 4 жыл бұрын
Thank you Allah to born has a Muslim..🙏🙏
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 4 жыл бұрын
🙏🙏🙏Aki kwani msibaa kibaoo kwa majirani
@ashleypetertv5894
@ashleypetertv5894 4 жыл бұрын
@@mamymdogomamy3670 kwa hivyo nyie huwa hamptii changamoto??🙆‍♂️
@mamymdogomamy3670
@mamymdogomamy3670 4 жыл бұрын
Changamoto twazipata kawaida ya binadamu ila twashukuru hatuna msibaa kama walio nayo wenzetu kila siku manabii Imani hiyo hatuna tunayo Imani manabii wameshatangulia hakuna mwengine wa mwisho zaidi ya Nabii Mohammed S, A, W
@mutaladjasmini4815
@mutaladjasmini4815 4 жыл бұрын
Alhamdulillah
@emmanuelmollel5636
@emmanuelmollel5636 4 жыл бұрын
Mungu atusaidie Kwa kweli
@zuurashamimu7776
@zuurashamimu7776 2 жыл бұрын
Mtumishi wabwana. Tumsifu yesu kristo. Naomba nitabirie namm
@johnsonkanyembo4995
@johnsonkanyembo4995 2 жыл бұрын
Prophète j'aime bcp ta façon de prophétisé vraiment
@joycezacharia5896
@joycezacharia5896 3 жыл бұрын
Umekabidhiwa funguo!!!!!!! Jmn mungu tutetee
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 3 жыл бұрын
Mapenzi hayalazimishi ni undani wa wawili,kulazimishana hupelekea kuuana,Cha msingi mpeni haki yake ya msingi mhangalie maisha mengine.usilazimishe mahusiano, dada tulia Mungu atakupa aliye wako
@ndewariopeter
@ndewariopeter 5 ай бұрын
Kesi hii haifai kuamuliwa hadharani,,kuna ofisi za faragha,na itapendeza sana,, Hekima itumike kwa kipindi kijacho
@jacklinenangi1663
@jacklinenangi1663 3 жыл бұрын
shalom baba nafurahi kusikia maombiyako nabarikiwasana mm nijackili
@sylivestergoodluck6212
@sylivestergoodluck6212 3 жыл бұрын
Its like a business maana huwez kuwa na bodygurd kanisana tena mbele ya madhabahu Malaika na damu ya yetu inatosha kukulinda kwa nguvu ya mwenyezi mungu AMINA
@Godneverfailed
@Godneverfailed Жыл бұрын
Kabisa
@karolshirima8935
@karolshirima8935 4 жыл бұрын
Huu ni uzinzi uliopindukia...Ufunuo 21:8.. Imeandikwa kuwa wazinzi hawataona mbingu.. Jambo muhimu ilikuwa kuwaelekeza kuishi maisha matakatifu..
@chalesnguyaine9991
@chalesnguyaine9991 4 жыл бұрын
Sas mwanaume kasema simtaki sas utalazmisha ampende nabii hasikilizi maneno yenu anaskiliza Mungu anamwambia nin
@CatarinaMohammed
@CatarinaMohammed Ай бұрын
Nabii nakuomba uniombee mwili wangu ukae sawa kama zamani please nakuomba unisaidie jina langu naitwa Catarina Ali Mohamede from🇲🇿
@felisianathadei5403
@felisianathadei5403 2 жыл бұрын
Asante kwa ukweli baba
@heppymunisi377
@heppymunisi377 4 жыл бұрын
haleluya haleluya haleluya haleluya haleluya haleluya haleluya haleluya haleluya haleluya haleluya haleluya haleluya haleluya haleluya haleluya haleluya haleluya
@suleimanrashid3918
@suleimanrashid3918 3 жыл бұрын
Nabii anaona ktk ulimwengu wa kiroho asante mungu kwa kunikalia kuzaliwa muislam na nikaukubali uislam na sheria zake kakika hizi imani nyengne ni maigizo tuu.
@pascalmsechu6874
@pascalmsechu6874 4 жыл бұрын
Geog Dev samahan sana hapa hujarudi kwenye maandiko kabisa.. Hakuna unabii wowote kabisa. Mtu kulingana na maandiko akiwa anachafu wasichana kanisan uyo ni wa kumfukuza kabisa. Mtu akishaoa na kuacha na kuoa tena ni mziz hvyo ulichofanya hapa ni kuwafurahisha waumin wako lakin Mungu hayupo.. Jaman Kanisa linaitwa kutoka katika mchanganyiko huu wa laudikia hakuna ukweli wowote..Malaki 4:5 iko kazin dah
@elijahspauls6205
@elijahspauls6205 4 жыл бұрын
Jamani watu wangu wanapotea kwa kukosa maarifa hata hili haliitaji kuwa wa kiroho kutambua ni upuuzi wa wazi kabisa
@vanessadavid3075
@vanessadavid3075 2 жыл бұрын
Blessed
@justinecanisius5429
@justinecanisius5429 4 жыл бұрын
Mungu akurehemu sana unaye jiita nabii
@maxlove2668
@maxlove2668 4 жыл бұрын
Amen, thanks nabii,mwenye masikio na asikie.Dada zangu uamuzi ni kwenu.
@gladymndala1061
@gladymndala1061 4 жыл бұрын
Imebid nicheke tuu😂😂😂
@maxlove2668
@maxlove2668 4 жыл бұрын
Glady Mndala though yauma kwa wanadada,lkn jipeni moyo hata ukae miaka hamsini utapata wako Dada jipe shughuli.
@jackyben5378
@jackyben5378 3 жыл бұрын
Man of God
@createchannelra2409
@createchannelra2409 4 жыл бұрын
Man of God I need deliverance daddy
@janenjenga5639
@janenjenga5639 4 жыл бұрын
Afro cinema continues shortly. Following for my neighbor
@myrah.9937
@myrah.9937 4 жыл бұрын
😄😄😄😄😄
@hildahmuia7595
@hildahmuia7595 3 жыл бұрын
God bless u
@zxcvzxcv1034
@zxcvzxcv1034 4 жыл бұрын
Amen baba, nivixuri kujua ukae ladaa
@georgemathew6147
@georgemathew6147 4 жыл бұрын
Intelligent words.bila kupendelea upande maana lawama zingekuwa Kwako
@tinnahkyungu34
@tinnahkyungu34 3 жыл бұрын
Dah pole dada kweli wanawake hatupendani mungu yupo utapata mume sahihi
@thepowerofsilentsoul2135
@thepowerofsilentsoul2135 2 жыл бұрын
Kazi nzuri Sana mtumishi
@chamaibra5966
@chamaibra5966 3 жыл бұрын
Ww jiite nabii ipo siku kwa uwongo huu na utapeli kwa mungu utarejea utakuja lia na kusaga meno
@hajjikasujja82
@hajjikasujja82 3 жыл бұрын
Ukweli huyu jamaa apana 😏😏ati kinabii 🤔🤔
@rashidjumamohamed3437
@rashidjumamohamed3437 3 жыл бұрын
Safo sana . Uko vizur
@hajjikasujja82
@hajjikasujja82 3 жыл бұрын
@@rashidjumamohamed3437 Sijakwelewa
@sitisaid8543
@sitisaid8543 3 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁
@sofiahamisi9373
@sofiahamisi9373 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@lyhzerado5115
@lyhzerado5115 3 жыл бұрын
Thanks
@bonifacebeatrice8077
@bonifacebeatrice8077 3 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa maono na msaada huu kwa wanandoa.Nabii Mungu atakulipa kwa haki yake.
@christophercolombe8857
@christophercolombe8857 3 жыл бұрын
Yed
@gideonkalumbu5220
@gideonkalumbu5220 4 жыл бұрын
Tunamwitaje Yesu PEKEE,kwa connections na Roho Mtakatifu PEKEE.
@TengaJ
@TengaJ 4 жыл бұрын
Amina Nabii Mkuu Barikiwa
@hajikassim8243
@hajikassim8243 4 жыл бұрын
Barikiwa baba kwa kutuponya
@mathayopapiasi8872
@mathayopapiasi8872 4 жыл бұрын
Amelaniwa amtegemeyae mwanadamu nomoyoni mwake kamuacha Bwana(Yeremia17:5)
@ahmadazubeir5112
@ahmadazubeir5112 4 жыл бұрын
Subhaanallaah,yaani majitu yametuliaaaaa,yanakufurushwa
@aishaarusha894
@aishaarusha894 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🙆‍♀️
@ishabellasanguli8481
@ishabellasanguli8481 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 4 жыл бұрын
Dangerous Prophecy,To God be the Glory
@viterlyrigha8586
@viterlyrigha8586 3 жыл бұрын
Pia mimi natatizwa na mpenzi wangu tafadhali naomba uniombee sana nateseka
@enockcharles6835
@enockcharles6835 4 жыл бұрын
Lengo lako ni jema lakini mahali si sahihi, mbele ya watu, wanadhalilika. Kama mchungaji ulitakiwa iwe private.
@witneskilinda5034
@witneskilinda5034 4 жыл бұрын
that is right
@scolamwanisasu8499
@scolamwanisasu8499 3 жыл бұрын
Kuwa na adabu we kijana
@expert5898
@expert5898 3 жыл бұрын
Hekima hakuna hapo... Aseme sasa mke wake atakuwaje? Na atampata lini??? Yaani unabii ukamilike, ataje hadi kabila la mke wake... Hayo anayoyaongea kila mtu anaweza.
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 3 жыл бұрын
Kuna ya kumalizana nao hapo kwa papo
@hamisimwagarashi9501
@hamisimwagarashi9501 3 жыл бұрын
Niukweli kabisa lakini hangeweza Kua private kwasababu ulikua mpango ameupanga mchungaji kamuandaa kijana Na hawa wasichana lengo kuwadaa kondoo wake waamuamini kwamba yeye anaweza. Kwahivyo asingeweza kufanya siri
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 4 жыл бұрын
Praise God
@affaanothmaan6287
@affaanothmaan6287 4 жыл бұрын
Binafsi namshukuru sana mwenyezimungu kwa neema ya Uislamu,,
@charlescharles8472
@charlescharles8472 4 жыл бұрын
Naombeni namba huyu nabii
@sarahmichael7538
@sarahmichael7538 3 жыл бұрын
Acha kujidanganya! Uislamu ni Giza nene
@affaanothmaan6287
@affaanothmaan6287 3 жыл бұрын
@@sarahmichael7538 Ni giza nene kwa wewe ulie nje, ila kama mwenyezimungu akikuongoa ukaingia ndani yake na ukawa katika minhaj ya sawa utaiona nuru na amani iliyo ndani ya Uislam, karib.
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 2 ай бұрын
​@@sarahmichael7538wewe.simzimaSasaAibuzenuUkazipelekaKanisan.uislam..unaelekeza.vizurisioaibuKwenyemitandao
@josephgomalo41
@josephgomalo41 4 жыл бұрын
Mhubiri ana baunsa..! Je Yesu hatoshi?
@jovintosssi3287
@jovintosssi3287 4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@laurenciamkolwe3763
@laurenciamkolwe3763 4 жыл бұрын
Mm sijui kama ninabii au so nabii mungu ndo anajua
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 4 жыл бұрын
Watu Mnamraumu Sana Uyu Mchungaji Ukweli Ukitaka Kumjua Vizuli Tulizeni Akili Zenu Chini Yani Apo Anastaili Kuwaweka Sawa Wakipatikana Wenye Kupendana Kati Yao Waowane Kwa Ndoa
@yohanazuberi5956
@yohanazuberi5956 3 жыл бұрын
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Hapo si pakukaa, tafuteni mchungaji mwema
@calebkobingi2274
@calebkobingi2274 3 жыл бұрын
Hakuna nabii hapo,anajipa utukufu mwenyewe
@gastonnkana8428
@gastonnkana8428 3 жыл бұрын
Maombi yako.yanifuza mengi
@samanthaali873
@samanthaali873 4 жыл бұрын
Nabii kajipaka mkorogo mmh mungu wangu
@yasimxyz2880
@yasimxyz2880 3 жыл бұрын
Kwer onamikonoak naumuon machon machon nimuzungu ilamikonoyak
@meshajoni5662
@meshajoni5662 3 жыл бұрын
Uyu jamaa,Kwanza nimzaririshaji
@rashidjumamohamed3437
@rashidjumamohamed3437 3 жыл бұрын
Nabii utani mtupu
@victorcoelestine6732
@victorcoelestine6732 3 жыл бұрын
Dah yani hii ni noma
@Mimi-wf7mb
@Mimi-wf7mb 3 жыл бұрын
Huyu nabii Mungu ashughulike naye💪
@marietashirima8700
@marietashirima8700 2 жыл бұрын
Naeza pata kuomnewa mtumishi wa mungu.maisha yangu imesimama kwa zaidi ya miaka 20. Niombee
@rehemammari3626
@rehemammari3626 4 жыл бұрын
It's only God who I trust.
@everkabete6645
@everkabete6645 3 жыл бұрын
me too
@khadijalewish4514
@khadijalewish4514 3 жыл бұрын
Mungu nifungulie mlango
@samwelmollel3376
@samwelmollel3376 4 жыл бұрын
Nabii mkuu nimtatusi wamambo yote amina baba
@bigstarcomedy0017
@bigstarcomedy0017 3 жыл бұрын
Wewe sio nabii,wacha kukufuru ushindwe katika jina la YESU
@nyilumasebo8402
@nyilumasebo8402 2 жыл бұрын
Hakika Mungu anamtumia nabii
@felisianathadei5403
@felisianathadei5403 2 жыл бұрын
Tumemuoa mungu wetu
@jonathanicrisatijonathanic6708
@jonathanicrisatijonathanic6708 3 жыл бұрын
Mucheki jiva ana ngoma kali
@directormwanguku
@directormwanguku 3 жыл бұрын
The world with surprises
@davidcurtis8556
@davidcurtis8556 3 жыл бұрын
Dah! Mesijaelewa asee zaidi ya kuona wamechoreshwa tu wahusika.
@nessa4899
@nessa4899 4 жыл бұрын
Nabii hujawai kushindwa👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@mwlelishamathayo6528
@mwlelishamathayo6528 4 жыл бұрын
Saved Jackson kumbe nabii nilidhani Mungu ndo hajawahi kushindwa
@mamachris6811
@mamachris6811 4 жыл бұрын
Ameweza nini hapo mbona sijaona la maana Waendelee kuzini ndio sahihi ???!!!!
@elizadamas2080
@elizadamas2080 4 жыл бұрын
Proud to be Catholic
@elibarikihotay9947
@elibarikihotay9947 4 жыл бұрын
Eliza Damas Asante dada
@user-nf1er6sb8p
@user-nf1er6sb8p 3 жыл бұрын
Waaah mungu ni mkuuu sana
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 4 жыл бұрын
My goodness,God help
@sisterhala3916
@sisterhala3916 4 жыл бұрын
Mungu mto nanamaneno haaaa yey ndiye mpang maisha kulaleki
@gwakisakaswaga5249
@gwakisakaswaga5249 4 жыл бұрын
Daaaaa!!!
@eliakimnkwama9282
@eliakimnkwama9282 4 жыл бұрын
Nipe unipe uwezo wa kuongoza familia yangu na kumbariki mke nilichagua awe wa kumcha mungu mwenye tabia za mke mwema
@hildahmuia7595
@hildahmuia7595 3 жыл бұрын
Dad Niko Mme but ameniacha almost for five yrs in marriage for 19yrs and blessed with six beatyfull children plz my dad help me to bring back my love nampenda tena kachukuliwa na mama mzee apendi kuniona yuanichukia na nampenda tena sana
@xpetropaulo4143
@xpetropaulo4143 4 жыл бұрын
Mungu akupe miaka mingi nabii.
@alexchungu9505
@alexchungu9505 4 жыл бұрын
XPetro Paulo , hakuna nabii hapo
@emmanuelmemba9834
@emmanuelmemba9834 4 жыл бұрын
Acha uhuni wa Injili wewe, Mungu hazihakiwi hata siku moja! Eti unajiita nabii mkuu, acha ushetani wa kupoteza watu wa Mungu.
@deogratiusmarandu7355
@deogratiusmarandu7355 3 жыл бұрын
Shalom BABA naomba hunirejeshe mke wangu Jacklyn
@shanijohn3988
@shanijohn3988 3 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁
@yahayab4u614
@yahayab4u614 3 жыл бұрын
Mataperi hapo hakuna dini Wala Imani subilini Moto wazinifu wakubwa
@johnsonelisto5600
@johnsonelisto5600 3 жыл бұрын
Leo tar 10/1/2021 ndo nimeanza kufwatilia kipindi cha Nabii mmbarikiwe Sana nimejifunza mengi
@abdulrahmanpaskalina7627
@abdulrahmanpaskalina7627 3 жыл бұрын
Nabii huyu ananikumbusha jinsi vile TB Joshua alikuwa akiamua vizuri sana katika Mwanga wa Mungu kesi za mahusiano na kuleta haki na amani katika familia hata kama zitarudiana au kutengana.Azidi kubarikiwa!!!
@mikidaditwaibu1071
@mikidaditwaibu1071 4 жыл бұрын
jack joseph ww unaonekana unaakili sana uwezo wako wa kufikiria sana kwanza wanadhararishwa sana hawana hata haja et nabiii haibu sanaaaaaaa
@TheSalma1999
@TheSalma1999 4 жыл бұрын
Ameeen
@niyimpayekataze7103
@niyimpayekataze7103 3 жыл бұрын
Huu ni usaniii wa hali ya juu
@penuelfullsalvationchurch3350
@penuelfullsalvationchurch3350 3 жыл бұрын
Mungu wape maarifa watu wako wanaptea ....Ee Mungu okoa kizazi chako et Nabii mkuu jmn
@kingmsukuma7830
@kingmsukuma7830 4 жыл бұрын
Amina
@bahatiemmanuel3963
@bahatiemmanuel3963 4 жыл бұрын
Mnazini na kanisani mnaenda kweli mambo ni motooo
@josephndaki8003
@josephndaki8003 4 жыл бұрын
Unadhani kuna binadamu aliyekamilika? Unajidanganya. Yesu hakuja kwa ajili ya watu wema tu
@bahatiemmanuel3963
@bahatiemmanuel3963 4 жыл бұрын
Kweli ujui maandiko ujui kama dhambi ya uzinzi imesababisha MUNGU kapunguza miaka ya kuishi ? Kwaiyo unatetea dhambi kweli ujielewi
@japhethgeriad4519
@japhethgeriad4519 4 жыл бұрын
@@bahatiemmanuel3963 nieleze kidogo
@anneerumbi8938
@anneerumbi8938 4 жыл бұрын
I really need your prayers....
@fredmlowe1325
@fredmlowe1325 3 жыл бұрын
Nabi ,unajichubua mungu hapendi hivo
@cosmassquintine1320
@cosmassquintine1320 4 жыл бұрын
Hhmm! Mungu tusaidie na hekima za wanadamu.
@robertonyancha9186
@robertonyancha9186 3 жыл бұрын
Have been applying for 21yrs imagine paster plz pray for me to win
@steveswakei9600
@steveswakei9600 4 жыл бұрын
....Na wengi watakuja kwa jina langu na kuwapotosha wengi... sasa hili jamaa lajiinua sana kwa kujiita nabii mkuu. Sasa yule wa kenya aitwae awuor pia hujiita mightiest prophet of God. Kwani mightiest wangapi hawa? Proverbs kwa mambo saba chukizo kwa Mungu la kwanza nikule kujiinua. Prideful spirit. Yesu kasema atakaye jiinua atashushwa na ajishushaye atainuliwa. Huyu jamaa lazima ajishushe kama neno lisemalo ila sivyo hukumu yamngoja.
@remmykubanda3393
@remmykubanda3393 4 жыл бұрын
Jamanii...why are u keeping people kneeling down .wakati wameinua mikono juu...en you continuing to solve the issue...that's not fare man of God...wanachoka
@godfreyluvanga1234
@godfreyluvanga1234 3 жыл бұрын
ndo mana King Solomon hakuomba chochote ila hekima.
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 4 жыл бұрын
We Bless God in Jesus Christ name
@tecnowx3759
@tecnowx3759 3 жыл бұрын
B
@josephkileo1049
@josephkileo1049 3 жыл бұрын
Kanisa liko wapi baba
@ezekiamtwale1987
@ezekiamtwale1987 4 жыл бұрын
Bongo movie bna kunogesha,me naona hawana utofaut na wacheza filamu!
@user-wv2uy6iz5h
@user-wv2uy6iz5h 4 жыл бұрын
Kama waona mambo yatakayokuja mbona hujui utakufa lini
@khadijaomari9344
@khadijaomari9344 4 жыл бұрын
duuh wanakufuru mungu kweli yani anajifanya kama yeye nimungu
@sarahmsangi7243
@sarahmsangi7243 3 жыл бұрын
@@khadijaomari9344 tufanyaje sasa
@ashamwamba9088
@ashamwamba9088 3 жыл бұрын
Mmmtoka.malayaww
@annakattoa7502
@annakattoa7502 4 жыл бұрын
Makosa ya Roho ntakatifu????? Did i hear this loud and clear Jesus is lord
@priscarohohanamakosanabiip7513
@priscarohohanamakosanabiip7513 4 жыл бұрын
Anna kattoa roho hana makosa nabii plz
@deofrancisndengaso5052
@deofrancisndengaso5052 4 жыл бұрын
Eti makosa ya roho mtakatifu. Jesus himself said the highest sin that will never be forgiven is the blasphemy of the holly spirit. Mungu akuhurumiye
@annakattoa7502
@annakattoa7502 4 жыл бұрын
The Devil is Alive 😂😂😂😂😂😂 so he think he is a Big prophet than Holly spirit daimn
@dianamsigo5081
@dianamsigo5081 4 жыл бұрын
Dada ulio schwa furaia sana
@kamariaabduli5623
@kamariaabduli5623 4 жыл бұрын
Diana Msigo why 💟
@gatabazijohn6526
@gatabazijohn6526 2 жыл бұрын
Naomba musada wakua pamoja nanyi kwa maombi
@mwlelishamathayo6528
@mwlelishamathayo6528 4 жыл бұрын
Hawa ni wazinzi tu wanahitaji toba, kwanza, na, kila mtu aendelee na, maisha yake
@hajihaji1000
@hajihaji1000 3 жыл бұрын
Wazinzi wanahitaji adhabu...
@didilove1054
@didilove1054 3 жыл бұрын
Jaman iyikanisa ikosehemu gani Tanzanie
@aranikiss6841
@aranikiss6841 3 жыл бұрын
Alihdullah I'm Muslim💃🏃
@allyabdallah4357
@allyabdallah4357 3 жыл бұрын
Hivi hawa mana bii wana zuka tuu na wakristo wana kubali tuuuu huu ni msiba mkubwa Sana
@hawaadam4802
@hawaadam4802 4 жыл бұрын
Allah aqbar
@johnfellah8485
@johnfellah8485 4 жыл бұрын
Na.mim.nitabili
@Ezekiamwakapugi
@Ezekiamwakapugi 3 жыл бұрын
Nice
@hajihaji1000
@hajihaji1000 3 жыл бұрын
ELIMU ni muhimu!
@nchambinzugwa3985
@nchambinzugwa3985 4 жыл бұрын
Ee Mwenyezi Mungu utuhurumie hizi ni siku za mwisho
@wilambafadhili6778
@wilambafadhili6778 4 жыл бұрын
Hahahaha
@mgedzirpm1541
@mgedzirpm1541 3 жыл бұрын
Nabii umenogeshaa! Move
@TheSalma1999
@TheSalma1999 4 жыл бұрын
Wow
@benadetamwashala62
@benadetamwashala62 4 жыл бұрын
Tamko lakinabiii gumu ilo hahaha pole kaka
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН
Jumping off balcony pulls her tooth! 🫣🦷
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 24 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН
Mch.DKT WILLIAM KOPWE-SEMINA YA NENO LA MUNGU-KKKT LONGUO  DAY 1.
1:27:59
LONGUO LUTHERAN PARISH
Рет қаралды 410
JE YESU NI MUNGU?  | MAZINGE VS NDACHA +254705602959
1:47:13
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 493 М.
SOMO - AGANO LA MAUTI | FULL VIDEO  | 14-04-2019
2:11:31
Bishop Elibariki Sumbe
Рет қаралды 73 М.
SEHEMU YA (2) KIJANA ASHUTUMIWAE KUIBA MILIONI SABA (7) NABII KIBOKO YA WACHAWI AFICHUWA UKWELI
11:29
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 7 МЛН