Nani huwa anabarikiwa na masomo ya Joel nanauka hata akiwa na stress like zenu tafadhali 💞
@veronicakivenule1212 Жыл бұрын
Asante mtumishi,kwangu gharama ninayoshindwa kuilipa ni kuacha kazi japo sina furaha na Kazi hiyo
@sikituukololo1161 Жыл бұрын
Nimekuelewa sana kaka Joel kumbe kulingana na aina ya malengo inabidi kulipa gharama. Mungu akubariki kwa kutuelimisha wewe ni zaidi ya zawadi. Mungu akutunze ni tunu ya tulio wengi.
@deusmanyanya5949 Жыл бұрын
Shukrani sana kaka nauka MUNGU aendelee kukuweka MKUU, Umekuwa faraja sana kwenye maisha yetu..!!
@joycemoshi-zc7ie Жыл бұрын
Hakika mtumishi, kumbe nimeshindwa kuacha nlichozoea na kuondoka kwenda pengine
@selemanramadhan3279 Жыл бұрын
Thanks so much, kwa kuwa elimu unayofundisha Ni ya jumla kwa kuwa hamna mtu ambaye haimuhusu!!
@hamisiliulame7032 Жыл бұрын
Mbunge wetu mtwara mjini 2025
@selemanramadhan3279 Жыл бұрын
NiLishawahi kufanya Kama ulivyokuwa unafundisha na nilishaingiza kipato!!
@abdulmahamud4405 Жыл бұрын
Broo asante sana kwa elimu ambayo umejitolea kutupa watanzania kiukweli wewe ndo mtu pekee ambae umenifanya nijijue mm ni nan toka mwakajuz nlibaatika kuazima kwa ndug yang kitab chak cha tabia za mafanikio kiukweli toka nisome umechukua una nafas kubw katka kuniongoza katika harakat za maisha asante sana wewe ni kama zawad kwanu Abdul razack
@bernadetachari7648 Жыл бұрын
Nikweli kabisa
@neemashirima6121 Жыл бұрын
Somo limekuja kwa wakati sahihi nipo katika harakati za kufanya mabadiliko katika maisha yangu
@maboyiamurani331 Жыл бұрын
Asante sana mwalimu nakufatiliya sana tena nafaidika
@mchattachattanoga7795 Жыл бұрын
Nimeanza kukufatilia mwaka jana ila saizi nimebadilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa sana
@evadindi7243 Жыл бұрын
Asanye sana kaka mimi nipo kwenye gharama ya kubadiri kazi
@HappyNtandu-ww1jq Жыл бұрын
Vp kuhusu garama ya kuhama kutoka dhehebu fulan kwenda jingine
@idrissmatco805 Жыл бұрын
Natamani sana kupiga hatua kwenye masomo yangu ikiwezekana natamani niwe mwanafunzi bora wa mwaka huu Kidato cha sita Naomba muongozo wako kaka jeol Kwa maono yangu naona kunasehemu na kwama
@mathiasswai7006 Жыл бұрын
Nice fact kaka, God bless more brother,ni mechukua kitu nice like kwa brother joel
@ilhamb1287 Жыл бұрын
Nimelazimika kuwa bahili mno...nimelazimika kuhama nchi kwa muda...nimelazimika kukaa mbali na familia yangu....nimelazimika kuepukana na ndugu baadhi....nipo kwenye safari ya mabadiliko
@boscobalame8018 Жыл бұрын
Hata Mimi Nipo Darasani kwa Joel Ninaelewa naamini kufaulu no kufeli hapa🙏
@brackskinyozi32806 ай бұрын
Asante coach Joel nimejifunza
@ashaidd2912 Жыл бұрын
Hy kwelii kabisa kama Mimi ni mbali na family nje ya nchi umenigusa kbs maisha haya kwelii kbs mungu akuweke sana
@ramadhanalmashamza3458 Жыл бұрын
Asante kwa somo brother ubarikiwe sana
@elimikatv Жыл бұрын
Coach hili Somo limenibariki sana.. Nilikweli ata mimi sio muda nililazimika kusitisha kitu nilichokuwa nakupenda ili tu nitengeneza njia.. Ahsante sana COACH
@zarnatmohd6635 Жыл бұрын
Yani kaka Joel nanauka WWE mtu wa pekee Mungu akusimamie kwa elimu unayonipatia kiukweli nimebadilisha maisha yangu asante sana
@barakakavishe6760 Жыл бұрын
Kubadilisha ninachokifanya
@jonasmalungu3922 Жыл бұрын
Aseee hapo kwenye kuhama ndo pananipa wakat mgum sana
@zakariaramadhani9829 Жыл бұрын
Nikimsikiliza bro Joel hata siku yangu ikiwa mbaya kivpi-huwa napata faraja kubwa sana.deus n comando
@selemanramadhan3279 Жыл бұрын
Elimu nzuri mwalimu, Kuna vitu tunavifanya hatujui Kama tunalipa gharama!!
@nasibumahinduka4626 Жыл бұрын
Shukrani sana mwalimu kwa kutoa darasa huru maishani mwetu
@gladnesskombe1664 Жыл бұрын
Kweli kabisa mwalimu yaani unafundisha na kuponya maumivu
@JumaKhamis-k7s7 күн бұрын
Mimi nahisi kuacha vitu ninavyovipenda
@mohammedrashid2906 Жыл бұрын
Kila wakati tunakuombea Unatutwa katika kiza. Masomo yako yanatupeleka Mpio mno Wengi yametukuta katika Maisha Yetu.kila kipindi tunahama Bila ya kujuwa. Ahsante brother
@frankmsangi Жыл бұрын
The one and only bro joel Arthur Mungu akubariki sana aisee mafanikio yangu mengi yanatokana sana na elimu yako ambayo umekuwa ukinipa Mungu akubariki sana aisee unafanya Mambo makubwa sana kaka 🔥🔥🔥❤️❤️🙏
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Awesome Ahsante sana
@bushimani1544 Жыл бұрын
Thanks bor mungu akurinde Sana bor
@simonanthony8917 Жыл бұрын
Safi sana
@ramadhanbashir8484 Жыл бұрын
I hope your legendary will never perish , Because The true knowledge Never Perish.
@jumakiginga2750 Жыл бұрын
P
@salehesilayo4356 Жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU akusaidie brother 🙏🙏🙏
@justinebaada9079 Жыл бұрын
nimejifunza kitu hapa. Barikiwa sana
@jamilaabdul5481 Жыл бұрын
Umeongea ukweli mchungu ni jambo ambalo nalipitia kwa sasa kaka nitalifanyia Kaz Hilo.
@djramsoyusuph9661 Жыл бұрын
Kaka mabadiliko yangu ni kuondoka mkoa nimekuwa muoga yaan umenigusa
@AfiSoul103 Жыл бұрын
Napenda sana videos Zako joel nnapokua nasafisha nyumban kwangu..👊 masomo yako yananisaidia sana..
@raymondmwaringa263 Жыл бұрын
Somo ni zuri kaka hongera kwa elimu hii👏👏ombi langu ni kwa mtayarishaji wa video apunguze sauti ya instrumental kuna muda inakua juu sana mpaka sauti yako haiskiki vizuri. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@antonymnapaaaantonymnapaa7939 Жыл бұрын
Shukurani sana 🙏
@happynescostat7420 Жыл бұрын
Wahoo thanks,
@jackshimoka4458 Жыл бұрын
Bro napenda sana elimu unayoitoa Mara zote ninaposikiza video zako huwa naona mwanga mbele. Mungu akutunze bro.
@isackmwansheto2568 Жыл бұрын
Barikiwa sana Kaka Joel
@medlucas5686 Жыл бұрын
Mungu akubariki
@ramadhaniathumani2636 Жыл бұрын
Congrats
@elishaignacy2013 Жыл бұрын
Naam hakika kaka
@yusocomedy367tanzania9 Жыл бұрын
nmeisikiliza hiyo point yako kaka zaidi ya mara 5 ila video zako zote zimejaa maudhui mazuri yenye kujenga akili na mwili kimafanikio
@danielmlwafu4380 Жыл бұрын
Asanteeeee
@reganimushi8062 Жыл бұрын
🙏
@hardgooboy9483 Жыл бұрын
Nakupenda Sana bro
@jemaaloyce8096 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@flavianapendo184 Жыл бұрын
Asante kaka nakufatilia Mara nyingi; nataka kulima na kufuga ni Mwl naishi mondl nimesikia maeneo ya mkata _Tanga ni mazuri ila washirikina nifanyeje???
@pascomanyelezi7706 Жыл бұрын
shukran
@NushaiMtichitila Жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@irenemkombo3195 Жыл бұрын
Be blessed big brother 🙏🙏🙏
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Asante sana
@Harzone_savvy Жыл бұрын
kaka ubalikiwe natamani sn kuachana na mwenzi wangu kwasababu naona nikikwazo kikubwa kaka lakini nashindwa nifanye nn kaka
@alexjacob936 Жыл бұрын
Asante kaka
@saimoncharles7018 Жыл бұрын
Kuanza moja siyo dhambi.kupunga law of diminishing intent