Nikweli ndokta ulichokisem kun Mahali nilikuwa nafanya kz Nikuona km hawafurahi upo Wang BC ikafik mda wakaniachish kz lkn sahii nilipo wanafurahia uwepo WG Mungu Ni mwema, asant Joel kwakusa hapo❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@AhmedyNassoro25 күн бұрын
Mola atubariki na tuweze fika wakati ulisahihi kwetu🙏
@shukranjulius95267 ай бұрын
Niliwahi teseka kwenye ndoa miaka 8 ila nilikua naogopa kutoka pale nikihisi siwezi ishi bila yeye niliamua kuondoka nina miaka 14 nanina mtukuza Mungu maisha yanaendelea
@hildamushashu50563 ай бұрын
Yaani kupewa tuzo kweli unastaili make uko kwenye ukweli ktk maisha yanatikea good .
@polycarpmfoy65946 ай бұрын
Joel ur the best man in this generation 🙏🏼
@pialafrance79227 ай бұрын
Hapa kaka umenigusa moja kwa moja yan daaah😢😢😢 Mungu akubariki sana nafanya mabadiliko now
@ShubiraCostac7 ай бұрын
Asante joel,clip hii imenifungua macho! Niliumia sana baada ya mme wangu kufanya mabadiliko ya kuniacha na kutafuta mwanamk mwingine,namshukur sana leo,nimeweza kujua uwezo wangu kuwa bila yeye maisha yanaendelea! Kweli mabadiliko yana gharama! Lakini yana fursa mzuri kwangu na kwake,niligundua akuwai kuona dhamani yangu,mabadiliko haya yametoa nafasi kwetu kila mtu kujua dhamani yake, nimepat nguvu mpya nipo sawa na maisha yanaendelea,Namshukur sana kwa mabadiliko aliyoyafanya❤❤
@HanifaChalresy7 ай бұрын
Baada ya kudumu ktk ndoa miaka 16 mumewangu alinisaliti nilipitia maumivu makali sana nilijiona sina thamani kabisa,mungu wa ajabu nikapata connection ya kazi dubai niliacha vyote na kundoka,maisha yangu amebadilika sana mara kumi ya vile nilivyokuwa na mume,wito wangu tusiogope kubadilisha maisha yetu
@edithavalelian2567 ай бұрын
Hongera sana dear
@LeilaMjaka7 ай бұрын
Hongera...Asant
@godblessappiah94287 ай бұрын
I need your connection niondoke kwenye hii kadhia hapa nchini
@hamprehymuniss7458Ай бұрын
Ubarikiwe sana kaka masomo yako yananijenga sana kak
@franciscamoshi76717 ай бұрын
Inabidi watu walitambua na kuacha kujichelewesha wawe jasiri na kufanya mabadiliko.Acha kujichelewesha.Fanya maamuzi magumu.Jiamini!!!!!
@JamalPaulo-jt1ju7 ай бұрын
Joel kwa kweli nimekua nikuota mara kwa mara kabla sijakufahamu . Aise unanifundisha vizuli , pya nakuelewa sana . Mungu akuongezee furaha
@MagrethMhoja3 ай бұрын
Point ya maana sana asante kaka joel mungu akulinde 🙏
@DioniziaPotiano7 ай бұрын
Asantee kaka Kwa kazi nzuri na iliyobeba utukufu wa mungu, maana watu wengi tunaangamia Kwa kukosa maarifa, tunamshukuru mungu Kwa ajiri Yako🙏🙏
@FarajaMkumbo-pc3ft6 ай бұрын
Hakika nimejifunza kitu kikubwa sana kaka joel mungu akubariki zaid ❤❤
@neemalyimo92447 ай бұрын
Ahsante sana kaka yangu kwa kunitia moyo nafanya kazi za ndani nadharaulika na kunyanyasika sana naishi maisha ambayo hayana uhuru naogopa kufanya maamuzi nahofia familia yangu najihofia mimi menyewe, ahsante kaka Joel maneno yananipa nguvu na ujasiri
@emmycharz4047 ай бұрын
Mimi pia mungu atusaidie
@bukuruphilibert29687 ай бұрын
Ondoma
@EliasGwaya2 ай бұрын
Mungu azidi kukutumia bro
@neemalyimo92447 ай бұрын
Somotime nyumba tunazoishi au sehemu tunazofanyia kazi zinakuwa zimeziba riziki zetu mfano mimi nafanya kazi huu mwaka wa sita hakuna chochote nilichokifanya kila ninachokifanya hakifanikiwa na hata pesa ninayoipata inaisha pasipo kuiona nilichoifanyia katika hili kaka Joel naomba unisaidie
@samwelemmanuel6947 ай бұрын
Pole sana mwana wa Mungu! Lakn nikuombe tu ukumbuke kutoa fungu la kumi Kwa Mungu aliye hai, kama hufanyag hivyo
@samwelemmanuel6947 ай бұрын
Nondo tupu kaka!! Yaan yote uliyoyaongea ni kweli tupu
@ShaniaDanny7 ай бұрын
Ni kweli na Mimi pia napata changamoto iyo
@jn_mustonez78427 ай бұрын
Kwenye hili moja Toa zaka, then chukua kitabu cha Joel nanauka kinaitwa money formula kitakusaidia Sana, I mean utabadirika na utashangaa imekuwaje
@NeemakoteiКүн бұрын
Toa fung la10😊
@MalumeDiofu3 ай бұрын
asee kaka nakushukulu sana umeniludsha kwenye msital mungu akusimamie natuzo zakutosha uchukuwe
@mwanaidihassan58687 ай бұрын
Nashkuru Mungu nilikuwa nafanya kazi baada ya kuingia mgogoro na boss wangu kwa muda mrefu niliamua kuacha kazi na nikapata ujasiri wa kuanzisha biashara yangu ya bakery. Kweli kumbe majaribu ni mtaji, Ile kazi ilikuwa inasababisha nighairishe Kila siku swala la kujiajiri binafsi baada ya ugomvi ule nilijikuta sina option lazima niondoke.
@LeilaMjaka7 ай бұрын
Hongera dada mwanahid..
@stumaiayubu97477 ай бұрын
Hongera sana
@mwanaidihassan58687 ай бұрын
@@LeilaMjaka Shukran
@mwanaidihassan58687 ай бұрын
@@stumaiayubu9747 shukran
@shukranjulius95267 ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka kiukweli unanibariki kila siku ❤❤
@nestorymapunda64417 ай бұрын
Hii inanihusu nahitaji kuondoka maeneo ninayofanyia kazi Mungu akubariki Mungu anibariki
Kaka joel wewe ni mentor dahh yani unaniguasa mulemule kila nikiangalia video zako yan unazid kunipa hamsa na elimu zaidii
@brackskinyozi32806 ай бұрын
Asante xana coach wngu nimejifunza kitu
@EuniaRyaga-zd3zx7 ай бұрын
Barikiwa sana kwa Elimu bora inayoitoa. Mungu aendelee kukutumia
@neemalyimo92447 ай бұрын
Ahsante sana kaka Joel barikiwa sana ❤
@mishaelmsongole40697 ай бұрын
Shukran sana mkufunzi kwa hakika napata vingi Mungu azidi kukubaliki na kukupa kibali zaidi
@godfreygerase87137 ай бұрын
Maam kaka wengi wetu tunateseka na tabia kuna tabia tunashindwa kuibadilisha ili tubadilike kimaisha lakini tunashindwa mm nimebadilika nimeanza na mpemzi mwaka uu nimeona mapenzi yananipotezea mda kwa wakati uumda ukifika nitaendelea kwaio tujifunze kubadilikia aisee!! ❤mungu akusaidie kaka🙏
@LilianShenyagwa7 ай бұрын
Mungu atusaidiee🙏🏻🙏🏻
@gloryotaru39217 ай бұрын
Well said,this is so powerful.
@ZainabuEmmanuel-vs2mo7 ай бұрын
Hili somo linanihusu mimi nahitaji kubadilika natakiwa kuchukua hatua sana🙏🙏😢
@TheresiaShao-m9s7 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@AbubakariLigi7 ай бұрын
Nikweli Mr joel mm nilikua sithaminiwi kabisa njumbani lakini nilipo amua kubadilika nakwenda sehemu nyingine thamani yangu ikapatikana nashkulu sana🎉 mungu akubaliki
@franciscamoshi76717 ай бұрын
Mume /mke wanauawa sana maono ya wenzao.Inabidi kufanya maamuzi magumu.
@julianalaly20957 ай бұрын
Asante sana
@RosemaryMusa-eb2gp7 ай бұрын
Ubarikiwe Sana
@MarryJulius-wq3eg7 ай бұрын
Asante Sana nabalikiwa
@FredyCharles-pd8ur7 ай бұрын
Blessed
@JamaryPata7 ай бұрын
Nakufatilia live kaka joel
@Sanga_jr_247 ай бұрын
Napokea hii ❤ kwa ajili ya kaka @joel😅
@KalabaKlb7 ай бұрын
Nipo tayari kujiunga na MENTROSHIP kaka Joël Nanauka
@OmanOman-c9d7 ай бұрын
Nice joel❤❤❤❤
@idrisanassor77447 ай бұрын
Hongeraa
@Jrmontaiza5 ай бұрын
❤
@avitus-thobias7 ай бұрын
Ahsante sana
@pilichuli44497 ай бұрын
Asante Sana kaka
@yasirwabosi74817 ай бұрын
Unawezaje kujisajili
@RosecharlesMollel7 ай бұрын
Asante sana kaka joel but sauti ipoo chini
@hadidjaissa91547 ай бұрын
🙏❤️
@evaristfabian61257 ай бұрын
Joel, hv anayezipandisha hz video anasikiliza kweli usikivu wa sauti yako na ya bg?
@NathanCosmas7 ай бұрын
Kaka Ubalikiwe umenifungua macho naujasili hii coment na video itakua ushuhuda
@JamaryPata7 ай бұрын
Kaka joel nataman mabadiliko
@mariammujule2262Ай бұрын
Nina mpenzi anaependa kuwasiliana na wanawake wake waliopita na inaniumiza anajua sipendi lakini anafanya hivyo na mbaya zaidi sms zao ni za mapenzi zaidi uku akidai ananipenda na hao wengine niwakupita tuu , nifanyaje?