Mkali wa Gospel Goodluck Gozbert alikutana na msala wa mwanadada alietapeliwa kwa kutumia jina lake na kupelekea mwanadada huyo kusafiri kumfuata Dar es Salaam. Hapa anaeleza ilipofikia. #CloudsE
Пікірлер: 49
@sifasanga78663 жыл бұрын
Millard Pekee ndio Huwa haandiki Kichwa Cha habari cha Uongo.
@SUNDAYMRGAMINGTZ3 жыл бұрын
mwalimu ametisha...... sema hata kama ni mimi ningekuwa sina mausiano ningepita naye
@suleshsalim392 жыл бұрын
Nyie wase.. muwe mnaandika kichwa cha habar cha kwel huo uupuuz
@ivonaevarista46543 жыл бұрын
Yesu anakupenda yohana3:16
@leahjohnsimba40882 жыл бұрын
Goodluck una busara sana kama mfalme Sulemani
@evaristirazalo74593 жыл бұрын
Goodluck Ni MTU mzuli sana ninamkubali
@notwelkisava9543 жыл бұрын
Hadi clouds mmeanza kuandika titles za uongo? Impossible..
@allworldstrendshere13783 жыл бұрын
PHOVY MEDIA Is following you!!!
@robyjoachim92652 жыл бұрын
Nidia Kama hii cyo ya kuandika heading iyo
@yohanacharles20422 жыл бұрын
Mungu yup atakupa mme bor vumilia
@idinado45242 жыл бұрын
Nisinge mwacha ningemwambia Nina mausiano Ila ningempa atakacho kama kuagana ili asiondoke na kinjongo
@amosmahona4333 жыл бұрын
Ogopa Sana mwanamke ambaye anapesa na hasuki ni balaaaa
@mayroseclemence993 жыл бұрын
😂😂😂kwa nn
@madeintanzania29953 жыл бұрын
😃😃😃
@jescamwamba91273 жыл бұрын
hahaha
@ngwanafabian96683 жыл бұрын
@@mayroseclemence99 uwezo wake ni mkubwa na ana msimamo thabiti
@elizabethmiho95743 жыл бұрын
Aaaahhh jamani
@malecom3 жыл бұрын
*Goodluck Gozbert Afunguka Sababu ya Kumuweka Mahabusu Mwalimu Aliemtamani Kimahaba* mbona title haiendani na maelezo na ninyi ni media kubwa sana.... mnapoteza credibility acheni izo mambo
@azardboniphace22053 жыл бұрын
Nimeshangaa Sana kuona et amewekwa mahabusu, kumbe ni ujinga wao Tu wapige views
@zakyahya46453 жыл бұрын
Hii Chanel kumbe nayo utopolo
@peterzebedayo3 жыл бұрын
Mwachie Mungu
@sadielgwaje62813 жыл бұрын
Hata mm huyo godruck alishawah niomba namba ya cm lakn sikumfuatilia lakn huyo godruck siamn maneno yake mtandaoni kachangamka sana hasa fb
@gracegrace16853 жыл бұрын
I can't hear anything English please
@allworldstrendshere13783 жыл бұрын
Text me on whatsapp +255744561980 so that I can teach you swahili
@barakakimario89603 жыл бұрын
You cant hear or you cant understand swahilii
@gracegrace16853 жыл бұрын
@@barakakimario8960 you right can't understand Swahili
@devierichard75933 жыл бұрын
kawaida2 lkn..ukwel wa mtu upo moyon kwa mtu,,vngne mbwe mbwe2
@glorykarim15703 жыл бұрын
Goodluck muongo kala hela ya uyu dada na video call zote umeongea nae na sura ni haiki ww au utasema umeeditiwa jaman muogope mungu call za WhatsApp ni sura yakoo na namba ni yakoo unatutania ww nakwambia ungemfanyia ivo dada ungeona mpk urudishe hela zetu
@lovenessibrahimu67303 жыл бұрын
Uko Na Udugu Na Huyoo Madame
@rweyemamrespicious9753 жыл бұрын
Clouds banah.
@teddymwageni17633 жыл бұрын
Lakini kumbuka mlikuwa mkiwasiliana kwa voice call na Whatsapp image.na km kweli na wewe unamjua au kumsikia wa mtandaoni msimchukulie hatua? Mpz hisia
@edwardgistave26442 жыл бұрын
Kazingua huyu gud
@arnoldrwekaza22653 жыл бұрын
Kwa kipindi hiki hakuna mwalimu wa kuchezea pesa ya nauli hivyo haaahaaaa
@jamesmkude28823 жыл бұрын
Sasa apo sababu za kumuweka maabusu ni zipi mbona mnawafanya watu ahache kuwafatilia
@lilianbitutu10723 жыл бұрын
Imagine
@issufo.aliante.99433 жыл бұрын
Dunia ina mengi
@khadijakisingo79203 жыл бұрын
😂😂😂mambo mengine ni aibu tu
@nahyialetomia92843 жыл бұрын
Mwalimu apelekwa kwa mwana saikolojia
@yohanacharles20422 жыл бұрын
Pol San kak
@abasihassani93013 жыл бұрын
Mmm
@raymondramson71183 жыл бұрын
Ivi nyinyi mnaakili kweli? Au mnatuchukuli sisi mazuzu...kwajinsi mlivyo hamuendani kabisa na huo upuuzi sasa mlishindwa nini kuandika caption inayoendana na hiyo content yenu?
@maryammarham28623 жыл бұрын
Aho
@edgarmganyizi77523 жыл бұрын
Clouds nyie ni big brand hamhitaji kupotosha title ili mpate views nyingi nyie mmeshakuwa wakubwa na mnaaminika watu wata view tu ila msidanganye
@dinosTz3 жыл бұрын
media kubwa inaandika utoporo
@papafikiri3 жыл бұрын
I do not understand Swahilu at all wanasemaje kwani
@UzalendoNaUtu3 жыл бұрын
Unsubscribed
@sifasanga78663 жыл бұрын
Millard Pekee ndio Huwa haandiki Kichwa Cha habari cha Uongo.