LUKAMBA ANAISHI KAMA MFALME GHOROFA LAKE KAMA HEKALU/ANALIPA MILIONI 36 KWA MWAKA -

  Рет қаралды 74,810

ZamaradiTV

ZamaradiTV

10 ай бұрын

Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZbin channel yetu kwa videos nyinginezo
#zamaraditv #mambonimengi #showbizz

Пікірлер: 260
@bintqassimidarous1636
@bintqassimidarous1636 10 ай бұрын
Juice zinaletwa mkononi na si kwa trei? Maisha ya mastaar tuyaone tu kwenye mitandao tukimaliza kuangalia turudini kwenye maisha yetu ya furaha na amani
@Noah-zt5zf
@Noah-zt5zf 10 ай бұрын
Kwan tray inaliwa pia?
@tikaeddie7284
@tikaeddie7284 9 ай бұрын
Wakiumwa wanaanza kuomba michango! Wekezeni mali lukamba ni baba!! Anafikiri hazeeki eh shauriyoooo
@husnaameen9309
@husnaameen9309 10 ай бұрын
Eti jiko na kitchen 😂😂😂 wabongo tunakazi mungu akuongoze uhenge uwache ufahari kimfacho mtu ni chake
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 10 ай бұрын
Lukamba yuwaokota Mapokosh" wakimlea kumueka kisha akisha kosana nao wakae wakimbonga😂😂😂😂😂
@lisauroble31
@lisauroble31 4 ай бұрын
Safii sana nyumba hatariii nzuri mnoo
@cdeleo9336
@cdeleo9336 9 ай бұрын
Hapo ukienda kwenye account yake hana hata million. Hawa watu kwa maisha fake eeh Mungu
@husnaameen9309
@husnaameen9309 10 ай бұрын
Yani hiyo pesa angeichsnga kwa miaka miwili tu angejenga nyumba yake nzuri zaidi ya hii kuliko kulipa million 36 Kwa mwaka kedho na keshokutwa mnaomba msaada kwa sisi masikin
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 10 ай бұрын
milioni 36 mchezoo
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 10 ай бұрын
Akili huwa hawana wanakalia ubishoo tu
@modycombo7421
@modycombo7421 10 ай бұрын
labda kapewa alinde😂😂
@binaljabirmshihirzanzibar8369
@binaljabirmshihirzanzibar8369 10 ай бұрын
Upo sahihi maneno yako na una kili sana2
@stevensimon5642
@stevensimon5642 10 ай бұрын
@@sabihaibrahim143umeona eee wanalopokaga tu, angeipata hiyo wala asikuwa hapo
@wahidaabeid5712
@wahidaabeid5712 10 ай бұрын
Lukamba umechemka wewe mtoto mzuri mashallah Kila mke unaemchukuwa wanashinda kwa ubovu chagua kitu watu wakufahamu sada hapo ukizaa mtoto unategemea nini labda akufate sura Yako na rangi mambo engine tizameni msiingie tu mitaroni
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 10 ай бұрын
Unaambiwa Lilia bahati,Sio uzuri.
@nassercurtis9579
@nassercurtis9579 7 ай бұрын
Hovyoooo, ametembea na ameshakitana na wengi na amepita nao wengi, sasa wewe unataka aoe slay qn baada ya mwezi ameachwa hauoni haji manara ameachwa na wake zake wote wawili na dula makabila ameoa mwanamke alieachwa ndani ya mwezi mmoja na yeye akamuoa akadumu nae mwezi mmoja ameachwa sasa yupo na manara na jamaa amenogewa ametangaza ndoa, sisi tunachoangalia ni utulivu wa mwanamke baasi uzuri kama mtaji basi mkanunue ndege mfanye biashara.
@salmabasil385
@salmabasil385 6 ай бұрын
Lukamba anapenda wanao weza kumlea
@hamisahamisa5896
@hamisahamisa5896 7 ай бұрын
Hii ni nyumba ya huyu dada anaijua vizuri
@NancyBrayan-wi2lr
@NancyBrayan-wi2lr 7 ай бұрын
Kma happy wa sug sema happy sio chiz kma huy
@user-jk3or1xw2d
@user-jk3or1xw2d 7 ай бұрын
Mwana ana mvuto jaman lukamba uwaga ukitongza unavumbga macho au😂😂
@user-ml9yi5sd6o
@user-ml9yi5sd6o 9 ай бұрын
Jaman Zamarad Tv boresheni Camera zenu maana hazina U Quality sana
@givenessdavid3743
@givenessdavid3743 8 ай бұрын
Ni vile tu mambo ya mjini ila dada ana ka u wife Material flani hivi......... amelelewa kiasi
@user-ky7mz7qh1o
@user-ky7mz7qh1o 5 ай бұрын
Acha upuuz umepanga floo ya juu tuu hapo kuna walamgani 4 mboma sifs za kijongaa ww.mm mwenyew .naish hapa hapa
@wahidaabeid5712
@wahidaabeid5712 10 ай бұрын
Nyinyi wasaniii ni walimu wa sanaaa kwa uwongo mtu hutambi kama huna chako Sasa nyie mnakaa nyumba za kukodi maisha feki acheni kutia mambo yenu mitandaoni mtajifedhehesha bure
@Ndiminijunior
@Ndiminijunior 10 ай бұрын
Wewe unaumia na nini Sasa hapo Kuna hela unampatia ya kuongezea Kodi?
@babiddi8620
@babiddi8620 10 ай бұрын
Tatizo wakeshaanza na matatizo wanachangisha
@joycechaz2840
@joycechaz2840 9 ай бұрын
Kumbe nyumba inaweza kua yako afu usijue vyumba viko vingapi mpaka ufikirie🤔
@adamkisheta8439
@adamkisheta8439 7 ай бұрын
Beconi wangap mmesikia kama Mimi gonga like😂
@christinatemba
@christinatemba 10 ай бұрын
Good life❤
@user-qb3hx2ku9v
@user-qb3hx2ku9v 6 ай бұрын
Mazingira tu yanaonyesha bado sana maisha naona kagari moja au mengine yameenda shopping ghorofa la kupanga au
@mypsychology185
@mypsychology185 4 ай бұрын
We una magari mangapi?
@hamisahamisa5896
@hamisahamisa5896 7 ай бұрын
Mwenye nyumba hapo anaitazama 😂😂😂😂😂😂😂😂 anaogea na moyo
@abdillahrashidnassor7973
@abdillahrashidnassor7973 5 ай бұрын
Anawaambia malizeni kisha mnipe kodi yangu 😂😂😂😂
@upendommbaga7070
@upendommbaga7070 6 ай бұрын
Nani kasikia becon😂😂😂 badala ya balcony😂😂😂
@khadijasalum2302
@khadijasalum2302 10 ай бұрын
Wanawake mnaendekeza zinaa hivo astaghfirullah kesho muwe tayari kuulizwa maswali na muumba wetu
@Lululemon55
@Lululemon55 10 ай бұрын
Sio wanawake tu!!! Hata wanaume hawatanusurika siku hiyo
@stevensimon5642
@stevensimon5642 10 ай бұрын
@@Lululemon55hapo umenena kwani mwanamke anajifanya mwenyewe, yaani wanaume wanatuonaga sisi ni malaya sana utafikiri tunajifanyaga wenyewe
@sumecute2513
@sumecute2513 10 ай бұрын
Samahi huyo dada mbn anamuegemea mtangazaji hivyo?kwa mumewe huyo mbn unakua huru kiasi hicho
@hasani565
@hasani565 10 ай бұрын
Hongera lukamba ..ingawa kuna Roho za korosho hawazezi Hata kukupa hongera zako .
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 8 ай бұрын
Roho za korosho wapi wewe!! Yaani roho ya korosho Kisa kuolewa ndio watu wamuonee wivu!!! Tchaaaa
@sarahmcharo1548
@sarahmcharo1548 8 ай бұрын
kwasababu pia ni usanii na uongo mtupu
@rosemarykipesha4242
@rosemarykipesha4242 7 ай бұрын
Kweli bwana hongera zake kwakutokua namahesabu
@bimkubwaali1605
@bimkubwaali1605 10 ай бұрын
ushambaaaaa😢😢hardd 😅😅
@kerryestomic8099
@kerryestomic8099 8 ай бұрын
Mwanamke ndo Ana hela hapo
@msolekaonlinemedia
@msolekaonlinemedia 4 ай бұрын
cha ajabu mama yake anaishi kwenye pagala pale uvinza😂😂😂😂😂😂😂
@everlyne8595
@everlyne8595 8 ай бұрын
Nyumb kubwa haina furniture bora ungepangisha nyumba ya kawaida
@NaseebMgono-wl3bu
@NaseebMgono-wl3bu 10 ай бұрын
Mbona kma sio kwake yn the way anavyomuonyesha kma sehem hazijui vzr
@barakatabdul3212
@barakatabdul3212 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂 kweli
@user-bj8gi2hn4l
@user-bj8gi2hn4l 10 ай бұрын
Watangazaji wanachekaga tuh😅😅😅😅
@FestinaMlelwa
@FestinaMlelwa 10 ай бұрын
Wakiumwa wanataka mchango saizi wanaonekana mastaa chamana mwisho wakiumwa mchango wanataka..
@aishamossile6336
@aishamossile6336 10 ай бұрын
Demu ana kiherehere
@rayahamisi118
@rayahamisi118 7 ай бұрын
Kwaiyo ujaona pakuaa au😊😊😊
@user-vv1te9fu8q
@user-vv1te9fu8q 10 ай бұрын
Halafu huyu lukamba wanawake zake anawatoa kimboka nini mmh😮 mbona hawaeleweki
@bakariomari8758
@bakariomari8758 10 ай бұрын
😂😂😂
@MariamSalim-wd3nz
@MariamSalim-wd3nz 10 ай бұрын
Hehehee kwakweli
@scholamodestus9386
@scholamodestus9386 10 ай бұрын
Hahahah jamni
@pilimwanza8117
@pilimwanza8117 10 ай бұрын
Nimependa kumuona Harmonize kwa TV na miss Bantu😅😅😅😅 mambo ya kodi ya mil 36 kwa mwaka hayanihusu. Uwezo wao wenyewe 😅
@salmanassor8732
@salmanassor8732 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@user-vv1te9fu8q
@user-vv1te9fu8q 10 ай бұрын
Huo muwigi kama jini kash kash fyuuu hovyoooo
@user-jy8hi7lf4m
@user-jy8hi7lf4m 4 ай бұрын
Xaxa mbona kama anajibebisha sana kwa salehe jaman
@zenachuo2963
@zenachuo2963 10 ай бұрын
Alafu huyu dem sindoameshoot nae ile move ya azam tv jeraha au macho yangu
@FaridaNdege-cc4dm
@FaridaNdege-cc4dm 10 ай бұрын
Ndy
@nasraniko-mr2lv
@nasraniko-mr2lv 10 ай бұрын
Ndo yeye huyoooo😅😅😅😅😅
@emeranceekondo3865
@emeranceekondo3865 10 ай бұрын
Jesca wa jaraha
@chany9950
@chany9950 10 ай бұрын
Ona kafriji jmn😂
@aminaomary5567
@aminaomary5567 5 ай бұрын
Kwanini usinjenge gholofa lako,hizo pesa unazolipa nyingi sana mbona unapata nyumba hata 3.Duh.
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu 8 ай бұрын
Mbona wasanii wa b ongo wanaigiza ma isha sana yani
@user-rh2ei5wg8x
@user-rh2ei5wg8x 9 ай бұрын
Haa wasanii asa hawana akili ee asa izo pesa c angejenga yak😅😂
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 3 ай бұрын
Wigi la kijani khaaa😂😂😂
@khamisbk8569
@khamisbk8569 10 ай бұрын
Yaan Wabongo izo ndio pigo zenu kutaka Maisha ya juu yaan unajiumiza ili tyu jamii ikuone Una Maisha flan achen kufake Maisha izo ela unazolipa apo ungejenga kwako au kwenu ingekuaje?? All in all Kila mtu na Maisha yake
@agriparose3942
@agriparose3942 10 ай бұрын
Mwajuma ndala ndefu
@user-qb3hx2ku9v
@user-qb3hx2ku9v 6 ай бұрын
Mke wa mtu ameshika paja la mtangazaji kweli 😅😅😅 alafu million hizo zote bora upange Kanyuma tu pesa ujengee😅😅
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 3 ай бұрын
Dada amekauka km mimi😂😂
@ndrwdotts4347
@ndrwdotts4347 10 ай бұрын
Wasanii bwana😂😂😂😂😂
@5Multpurpose
@5Multpurpose 10 ай бұрын
Hana akiri uyo😅😅😅😂
@faithfaith-zr6gz
@faithfaith-zr6gz 10 ай бұрын
Weee acha kujishaua eti nani anavaa nywele ya millon moja,, weee zipo sana tena OG. zinavaliwa vzr tu.
@hamisahamisa5896
@hamisahamisa5896 7 ай бұрын
Kweli huyu dada mja mzito
@akiraaudreille6043
@akiraaudreille6043 8 ай бұрын
naona Aibu apo mwisho ulivo mshika huyo mkaka duuu😮
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 8 ай бұрын
Maana hamuna hata vitu alafu mnakaa kwenye horofa 🙄😜
@user-bd2hl6yo5j
@user-bd2hl6yo5j 6 ай бұрын
Mbona kama imesimama😂😊
@hashymharun9337
@hashymharun9337 8 ай бұрын
Muongo mamaee🤣🤣
@WlkmkeissBriana
@WlkmkeissBriana 5 ай бұрын
Nimechek na uyo dada
@SUZANSUZAN-fb9bh
@SUZANSUZAN-fb9bh 10 ай бұрын
Yani daaa wanatakaga kutupa Dhabi tu
@angelmaige-yc5gb
@angelmaige-yc5gb 8 ай бұрын
Kwa kifupi jumba wamepanga kubwa lakini halina maajabu kabsa halina vitu hata furniture za ma'an liko tupu
@fawzalbusayid7232
@fawzalbusayid7232 8 ай бұрын
Bongo kwa kujie ekti izo nywele 😂😂
@ShekhaAzizi-yb1ow
@ShekhaAzizi-yb1ow 5 ай бұрын
Umasikini huwa tunautaka yani iyo hela angejenga au kununua nyumba maana uwezo anao dah ujiga mwig
@roqayaro9439
@roqayaro9439 7 ай бұрын
Watu wanapenda kupanga nyumba za galama hawajengi zao wasanii hawana hakiri si ungepanga nyumba ndogo ili mjenge yenu
@zenachuo2963
@zenachuo2963 10 ай бұрын
Najiulizaga lukamba ni mzuri kuliko wanaake zake kwakweli anapendaga kuchukua namba A
@user-vv1te9fu8q
@user-vv1te9fu8q 10 ай бұрын
Duuh na A ndio nini 😂😂😂
@Yunis-hn9hn
@Yunis-hn9hn 10 ай бұрын
Hahaaa😂😂😂
@Yunis-hn9hn
@Yunis-hn9hn 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Wooyii
@user-fz8cq4ff6i
@user-fz8cq4ff6i 10 ай бұрын
Kumbe yale mapenz ya jeraha yamekuwa kweli
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 10 ай бұрын
​@@user-fz8cq4ff6itulijua wanadanganya kumbe kweli
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 7 ай бұрын
Nguo uliovaa sio ya nyumbani. Mshambarera sana. Wigi mmmh halijakuvaa umelivaa tu wewe
@deboramartin8111
@deboramartin8111 10 ай бұрын
Wigi mweeee 😂
@priscajohn6090
@priscajohn6090 10 ай бұрын
Muache ujinga Kodi M3 kwani ukipanga Cha 50 Hadi laki' unapungukiwa nini hizo Hela simkusanye mjengo yenu' kwahiyo kwa Mwaka mnatoa M36*Miaka 3 Jml M78 hutapata nyumba
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 7 ай бұрын
Iyo hela analipa kws mwaka angejenga nyumba yake
@hidayadaymiss4386
@hidayadaymiss4386 10 ай бұрын
Mm nilijua jumbo Lao!!!
@anoldamkumba3208
@anoldamkumba3208 10 ай бұрын
umpongeze kwa nyumba ya kupanga!?? haiwezekani ajenge ya kwake .hivi!!? anajitambua kweli? wazazi wake nao kawapangishia? hebu acha ujinga huo jenga yako wanao wajivunie, faraja kwenye nyumba ya kupanga !!.
@NancyBrayan-wi2lr
@NancyBrayan-wi2lr 7 ай бұрын
Mtafut mtu w decoration dad nyumb imepoa san
@lailalaila8206
@lailalaila8206 10 ай бұрын
Sio yake wamepanga kwaiyo msitufoke ok si ajenge pesa mnatumia nyingi kwa nyumba za watu mngeweka si kwa mwaka unapata yako
@happynelson1136
@happynelson1136 6 ай бұрын
Muongo huyo mwanamke ndiyo kapanga hapo na amesema mwenyewe anataka wanawake wenye pesa tu
@dottomsuya6597
@dottomsuya6597 6 ай бұрын
Hizi wanapewa bure wakae hana pesa hiyo
@zahra5267
@zahra5267 8 ай бұрын
Decoration sifuri kabisa!!
@sarahmcharo1548
@sarahmcharo1548 8 ай бұрын
kama akili zao tu ahhaha
@ikramalmas7039
@ikramalmas7039 10 ай бұрын
Hizo nywele sasa
@zenawahindi2425
@zenawahindi2425 10 ай бұрын
Mhhhhhhhh x hata kama one fling then mkaatemana huyu ni x maana mlikuwa na bond ila not strong bond
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 10 ай бұрын
Mama kijacho Ndio anaitwa nani
@husnazahorohusna3905
@husnazahorohusna3905 9 ай бұрын
Huyu mdada si yule jesca aliigizwa bwana wake lukamba danga lake single mtambalike au?
@AishaFerous-jp8oq
@AishaFerous-jp8oq 7 ай бұрын
Ila uyu dada kachemcha katuvalia nguo ya club home .
@mariammpamka
@mariammpamka 6 ай бұрын
😂yaani nilitaka niseme ivyo ata ajapendeza angevaa dira tu kwani angeonekanaje jamani
@user-lq3bg6lj3h
@user-lq3bg6lj3h 5 ай бұрын
Nyumba ina furniture 10 sijui
@Yunis-hn9hn
@Yunis-hn9hn 10 ай бұрын
Huo mkao waliokaliana jamani😂😂😂
@zenadaudzena2849
@zenadaudzena2849 7 ай бұрын
😂😂😂
@samihamansour1893
@samihamansour1893 3 ай бұрын
Mwanamme huyu ? Siamini kama mwanamme hebu kijana tafuta kiwanja ujenge pili mwanamme wa kweli hashindani na mwanamke public acha usenge unatutia aibu wanaume wenzio
@kudrasslaybeautybar8779
@kudrasslaybeautybar8779 3 ай бұрын
Hii niabu mtuu hujuwi kwako kuna vyumba ngapi
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 10 ай бұрын
😢😢😢😢😢 Hyanihusu lakin yananiuma
@rehemakimambo5363
@rehemakimambo5363 10 ай бұрын
Sifa nyingine bwana. Unapanga halafu unajisifu una akili. Hiyo hela sitayari angekua Na nyumba yake
@modestajamada3496
@modestajamada3496 10 ай бұрын
​@@rehemakimambo5363mm nika juwakwake 😂
@mrsawadh5716
@mrsawadh5716 10 ай бұрын
Wigi la manyasi sijapenda kwa kweli
@sarahedwin9841
@sarahedwin9841 10 ай бұрын
Jmn khaa 🤣🤣🤣
@malak-lz6kx
@malak-lz6kx 10 ай бұрын
😂😂😂
@sarapy3163
@sarapy3163 8 ай бұрын
😂😂
@zahra5267
@zahra5267 8 ай бұрын
Mzee wa kulelewa
@ruu6592
@ruu6592 7 ай бұрын
Kakodisha kwa mda gani😮
@user-ml9yi5sd6o
@user-ml9yi5sd6o 9 ай бұрын
Camera mbovu sana jamani
@AishaFerous-jp8oq
@AishaFerous-jp8oq 6 ай бұрын
Ila uyu dada tapeli wa mapenzi jaaamani.
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 3 ай бұрын
Limwanamke libaya
@zenawahindi2425
@zenawahindi2425 10 ай бұрын
pazuri hongera zenu jamani chumba kama nyumba zima huku kwetu
@user-rv7tl9dc6e
@user-rv7tl9dc6e 6 ай бұрын
Huyu jamaaa muongo haiwezekani nyumba yake alafu hajuw kuna vyumba vingapi
@deborahsamwel-ss2wb
@deborahsamwel-ss2wb 10 ай бұрын
Yani nunueni furniture jmn mnatia aibu
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 8 ай бұрын
Siamin labda kwa ndg yake kaona afanyie interview
@leaherasto929
@leaherasto929 6 ай бұрын
Nimependa mjengo kwandani nafasi kubwa mpaka jikoni
@ummukulthummohd5403
@ummukulthummohd5403 10 ай бұрын
Uyu dada sjui kavaa nn 😢
@salmanassor8732
@salmanassor8732 7 ай бұрын
Kituko 😂😂
@ismailmasoud6001
@ismailmasoud6001 10 ай бұрын
Mkiumwa Muombe MICHANGO
@neemasabarabridalissa8336
@neemasabarabridalissa8336 7 ай бұрын
Hiyo pesa ni bora ajenge
@ngwaleseif8586
@ngwaleseif8586 7 ай бұрын
Huyu demu si uliigiza nae tamthiliya Moja?
@rayaali7551
@rayaali7551 4 ай бұрын
HUYU MKEEE AUU MKEKAA ? MAANA HUVYO ALIVYO JILETA HAPO KULETA HUYO JUICE MHH. YAANA KAMA KAJA HAPO KUJIUZA YAARABY ATUSITIR. NA MIKAHANA HAWA. HIVYO KUJILETA MBELE YA MWANAUME UTUPU NAMNA HIVYO. NA MBELE YA MUMEOO AATI MUME NA MKE 🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 10 ай бұрын
Milion 36 tunajenga nyumba kubwa tu tatzo napenda Kiki na misifa, mkiumwa ananza. Kutaka mchango, 😢nyooooooo kufen tu akuna mchango mpumbavu
@babiddi8620
@babiddi8620 10 ай бұрын
Hahaha
@RacherBakari-qh2gx
@RacherBakari-qh2gx 9 ай бұрын
Kwetu lugoba unapata eneo milioni 4
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 9 ай бұрын
@@RacherBakari-qh2gx haswaaa
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 5 ай бұрын
hahaha wigi la huyo dada kama spika wa bunge la zamani
@abdillahrashidnassor7973
@abdillahrashidnassor7973 5 ай бұрын
😂😂😂😂😂 wewe ni fala
Clowns abuse children#Short #Officer Rabbit #angel
00:51
兔子警官
Рет қаралды 72 МЛН
GETO ANALOISHI HAMIS WA BSS UTALIPENDA/AFUNGUKA KUACHWA NA MZUNGU
30:13
Самый неудачный курьерский заказ
0:38
НАША НЕОБЪЯТНАЯ
Рет қаралды 8 МЛН
39kgのガリガリが踊る絵文字ダンス/39kg boney emoji dance#dance #ダンス #にんげんっていいな
0:16
💀Skeleton Ninja🥷【にんげんっていいなチャンネル】
Рет қаралды 7 МЛН
Зловив цю істоту в себе на городі
0:26
РІКАРДО
Рет қаралды 1,9 МЛН
Зачем он туда залез?
0:25
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 2,8 МЛН