GPS: URAFIKI wa PUTIN na JINPING unavyozipa nguvu URUSI na CHINA na kuwatisha US na Wenzake (Part 1)

  Рет қаралды 18,283

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

2 ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 211
@barakamkumba254
@barakamkumba254 2 ай бұрын
kuna kina sisi kazi yetu ni ku view na like kuandika wazito sanaaaa ila tunafatilia everyday mm naweka bundle kisa sns tu🎉🎉❤
@zuwenarajab6675
@zuwenarajab6675 2 ай бұрын
Nakumbuka zamani nilikuwa napenda sana kusikiliza "amka na BBC" na "dira ya dunia" lakini kwa sasa "amka na sns" Nilikuwa napenda kuwasikiliza Zuhura Yunus, Salim Kikeke, Charles Hilary, Dayo Yusuf, Kassim Kahira, Thuluma Kassim na wengineo. Lakini kwa sasa imepoa sio kama zamani(kwa mtazamo wangu) Kwa hiyo hii ni mbadala msituangushe, tunawapenda sana. Shukran sana.
@user-nd7yd5gd1o
@user-nd7yd5gd1o 2 ай бұрын
Smaa tunakujua mm Nakuhesabu nimmoja wa wanafamilia yangu mungu ibariki sns
@vickyvictoire-kq1qv
@vickyvictoire-kq1qv 2 ай бұрын
Niko nanyi tano jua tano kutoka goma drc❤
@lodricophd728
@lodricophd728 2 ай бұрын
Dj smah 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@ConsciousBNB
@ConsciousBNB 2 ай бұрын
Sky hujawahi niangusha Tangu nipo mdogo nakusikiliza RFA 🙌🙌🙌 Hiyo team uliyoiweka hapo hatuna shaka nayo 💪💪
@zuwenarajab6675
@zuwenarajab6675 2 ай бұрын
Masha Allah tabarakallah! Nimefurahi kumuona dj sma. Vipi hali yako kwa sasa? Allah akukujaalie afya yenye kher na barka tele. Sma unajishusha sana huna ujuaji. Aly mpole na Henrik ni mcheshi. Shukran sana wapendwa. Tunaomba Sma azungumzie afya yake kwa sasa.
@djsma255
@djsma255 2 ай бұрын
Alhamdulilah naendelea vizuri ni Bora kuliko mwanzo, assnte sana zuwena
@zuwenarajab6675
@zuwenarajab6675 2 ай бұрын
Alhamdullillah, shukran sana kwa kutujulisha. Allah awajalie shufaa wagonjwa wote duniani na kila mwenye aina ya maradhi Allah awaondolee na wenye mitihani Allah awafanyie mepesi, Shukran sana.
@Hamisi-ol1nf
@Hamisi-ol1nf 2 ай бұрын
Kwakweli kwa pande wangu namkubali sana smaha 1 love my brother
@kassimbayuu5217
@kassimbayuu5217 2 ай бұрын
Smaa ni mkongwe katika ishu hizo
@nsabimanasuleyman2008
@nsabimanasuleyman2008 2 ай бұрын
Wote wako Sawa
@user-dg7wf6fg2j
@user-dg7wf6fg2j 2 ай бұрын
Hapa umoja huku makundi hamna huku madini yanao tembea kwenye channel SNS ❤ hongereni kwa ubunifu.
@user-cj2kl7cd9k
@user-cj2kl7cd9k 2 ай бұрын
Mmoja peke yake hawezi siku zote umoja ni nguvu wote wapo sawa sema labda smA ni your favourite ila wote wapo vizuri Sana
@PatrickJulius-uy3yb
@PatrickJulius-uy3yb 2 ай бұрын
Asante sana sana sky hakika ume nitendea haki hii ni zaidi ya bbc voA na midia zote zamagaribi hapa napata good news fact zime shiba recpect sns
@gwamakamartin1618
@gwamakamartin1618 2 ай бұрын
😅 daah bro Ally masubi, nikajua, ni kimbau mbau flan, kumbe ni bonge la pande la jitu💪🏿...!!
@user-cj2kl7cd9k
@user-cj2kl7cd9k 2 ай бұрын
Sema mashallah
@Siasia209
@Siasia209 2 ай бұрын
Ma shaa Allah
@costamkyuci7886
@costamkyuci7886 2 ай бұрын
Nimebadili jina kwa sasa nitaitwa ally masubi 🫡🤘
@hamzahuseni2555
@hamzahuseni2555 2 ай бұрын
Dj smaa ingia kwenye siasa wenda ukawa raisi wa tz nakubar sn kazi zako hongera mkuu
@djsma255
@djsma255 2 ай бұрын
🙏
@sleifikhajjir262
@sleifikhajjir262 2 ай бұрын
Dj Sma njoo japo zanzibar uwe raisi🎉
@godfreymwaipungu4932
@godfreymwaipungu4932 2 ай бұрын
Sky Mungu akubariki sana ni mjumuiko wa kibabe 💪 sana ❤❤❤🇹🇿
@yusafbayu7016
@yusafbayu7016 2 ай бұрын
Big up am watching all the way from South Africa original from Burundi 🇧🇮
@mohamedmwenyeinda
@mohamedmwenyeinda 2 ай бұрын
Hongera sana kwa sns,hiki ni kitu bora sana kwetu watazamaji wenu.
@allybaraghashi3570
@allybaraghashi3570 2 ай бұрын
Nilichogundua kwenye hii interview za hawa Mabwana wa kubwa nimegundua Ali ni mzuri sana kuchambua mambo ya silaha na mambo ya Nuclear issues yupo vizur sana
@saidfhamad
@saidfhamad 2 ай бұрын
Hii ni kubwa sana Tanzania na Afrika tuko nyuma sana! Hongera SNS
@nzungushikombesekei
@nzungushikombesekei 2 ай бұрын
Nakubali hadi nakosa hamu ya kula nasikiliza kwa makini. Pambaneni vijana
@princeabuu8297
@princeabuu8297 2 ай бұрын
Kiukweli wadau kuna elimu kubwa sana hapa kwa mtu mwenye akili. Kiukweli tuwaombee dua njema kwa Mwenyezi wazidi kutufundisha hawa wadau
@yahayaannu3663
@yahayaannu3663 Ай бұрын
Naion SNS mbali sana kiukweli
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 2 ай бұрын
Mi nipo apa ulaya aisee ulaya saivi uchumi wao umeanguka sana urusi inaonekana urusi walikuwa wanamtegemea sana
@zuberrymaabaddy5584
@zuberrymaabaddy5584 2 ай бұрын
Brothes mpo smart sana kama SNS nawaelewa sana mnabadili upepo mtafika mbali tupo pamoja
@johanesemmanuel4655
@johanesemmanuel4655 2 ай бұрын
Asante sana sns,nawafatilia sana hususa kaka Sky ulivyo tuwahidi sisi wanasns ujio wa hiki kipindi cha Geopolitics,Asante sana na mungu awatie nguvu
@Djugaripro
@Djugaripro 2 ай бұрын
🔥 Dj 🔥 sma 🔥🔥🔥
@AdamuMikidadi
@AdamuMikidadi 2 ай бұрын
Ongera sana kipindi kizur❤
@chidiomari.65
@chidiomari.65 2 ай бұрын
Aisee tunawafuatilia Kila nukta asanten sana kwa kutuletea kipindi kizur na wachambuzi hodari sana , much love from Helsinki Finland 🇫🇮🤝
@AbdalallaBrahimam
@AbdalallaBrahimam 2 ай бұрын
Finland Kuna ndugu yangu huko mkuu
@mahad9572
@mahad9572 2 ай бұрын
It's highly levels an high respectfully sns mko Poa Sana pigeni kazi tupo uku znz tinawafalitizia mda tu 🙏
@amanimapunda9542
@amanimapunda9542 2 ай бұрын
naitabiria makubwa sana sns keep pushing
@Zillionking627
@Zillionking627 2 ай бұрын
SNS INA WATU BORA SANAA ❤❤❤
@kassimbayuu5217
@kassimbayuu5217 2 ай бұрын
Fantastic job, hongereni snaa hiki kukosi nimeipenda sana
@imanuelnguya9277
@imanuelnguya9277 2 ай бұрын
Asante sana ndg mtangazaji asante sana ndg wachambuzi yangu ni hayo tu
@abdillahchikota4303
@abdillahchikota4303 2 ай бұрын
La Ali masubi yupo,,na fact za kutosha sana
@user-nd5uf6lw4g
@user-nd5uf6lw4g 2 ай бұрын
Hongereni sana Wana SNS Kwa kipindi kizuri mm nawapenda sana woteeeeeeee🎉🎉🎉
@muharramhamisi5140
@muharramhamisi5140 2 ай бұрын
One love mabro mnatufundish vit vya muhim kuliko wananchi laki moja wenye ujinga vichwani mwao❤😂
@omarisombi9284
@omarisombi9284 2 ай бұрын
Shukrani, shukrani sana, mko vizuri ndugu zangu
@user-pg2tw8yt4l
@user-pg2tw8yt4l 2 ай бұрын
mashallah wachambuzi wetu na wote mko vizuri hongera juu yenu hakika nawapenda wote nawatakia kazi njema
@IbrahimAli-yd1ng
@IbrahimAli-yd1ng 2 ай бұрын
Sma 👍
@chachajulius4481
@chachajulius4481 2 ай бұрын
Mko safi Sana sky
@mahreyjohn1174
@mahreyjohn1174 2 ай бұрын
fred bundala sns mimi nipo london lakini sipitwi mungu akubarikini nyote amin🙏
@J4UPro
@J4UPro 2 ай бұрын
Safi sana mzee Ai
@fikirininasoro5272
@fikirininasoro5272 2 ай бұрын
Ebana sky unatisha sana 🔥🔥🔥🔥
@ShabanKarim-tv3vn
@ShabanKarim-tv3vn 2 ай бұрын
Sima tunamfaham sanatu
@gracenizigama695
@gracenizigama695 2 ай бұрын
Congrats for the GPS team 🎉 this is huge ❤ nilikuwa nahitaji kitu kama hichi kwa sikunyingi to know what is really going on in the world especially kutoka kwa media zetu zakibongo, nasiyo maumbea umbea yakijinga a lot of media talk about. And even tho hayamambo yapo mitandaoni natuna yaona but bila uchambuzi kama huu hatuwezi kuyaelewa vizuri kiundani so thanks a lot for the team and I hope tutaendelea kujifunza vitu vingi zaidi kupitia nyinyi as team.
@3erffeoui86
@3erffeoui86 2 ай бұрын
sky that i brilliant idea indelea hivo kaka i like you all guys vile mnachambua haya maswala on clarity way thank for opening us our mind nawashukuruni sana much love from KE MOMBASA
@mohayussuf2057
@mohayussuf2057 2 ай бұрын
Safi Sana Sky ,DJ , Ali Henry
@doubleymkuu4267
@doubleymkuu4267 2 ай бұрын
Chanel yangu pendwa ma knowledge yakutisha kabisa 💪
@allymalisa5431
@allymalisa5431 2 ай бұрын
Habari nilivyokuwa namsikia ally akiongea nilihisi ni mtu mmoja wa mazoezi na kweli ndivyo alivyo yote kwa yote nimefurahi kwa kipindi kimpya cha gps ndani ya sms aprishety kwa bungura wewe ni mtangazi mwenye haiba ya kisukuma upo hamble sana msalumia wajina ally mpe pole sana dj smaa kwa anayopitia tunamuombea kwa alha kuugua ni suna nawapenda sana tim butin tim iran nqsema bila kificho asanteni
@osmanmohammedosman5493
@osmanmohammedosman5493 2 ай бұрын
Nakubari sana SNS
@somoeomar4861
@somoeomar4861 2 ай бұрын
Smaha MashaAllah tabarakaAllah nyc one
@djsma255
@djsma255 2 ай бұрын
🙏
@trendz_2548
@trendz_2548 2 ай бұрын
Sns you are doing the most and am loving it. Vipindi murua sana siku zote. Mnafanya kazi nzuri na ubunifu mkubwa katika habari kupitia online media. Upendo mwingi tokea kenya
@gracenizigama695
@gracenizigama695 2 ай бұрын
But DJ sma usiache kutupa Fuse 😂
@djsma255
@djsma255 2 ай бұрын
Siwezi jamwe nawaoenda sana wana FUSE, na juna vitu viko jikoni
@changasbychibura5398
@changasbychibura5398 2 ай бұрын
Mimi naitwa mzee CHIBURA Niko SGR (ujenzi wa Reli mwendo kasi) Wana SNS kwa jinsi mlivyo Na kuchambuwa wambo ya dunia nakuomba tafuta kitabu kiitwacho LIFT OFF kilicho andikwa na MICHAEL COLLINS mmoja wapo alikuwa kwenye Chombo cha APOLLO11 Nina uhakika utatuhabarisha vya kutosha Thanks
@abrahammndeme5237
@abrahammndeme5237 2 ай бұрын
Nawafuatilia Kwa mda mrefu, Hongereni sana kwa uchambuzi mzuri.
@bonemwaminifu3935
@bonemwaminifu3935 2 ай бұрын
Sns for life
@mohayussuf2057
@mohayussuf2057 2 ай бұрын
Safi sana sns
@billskeez92
@billskeez92 2 ай бұрын
First🙌 combination ya kibabe💪 Show kali🔥🔥🔥
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 2 ай бұрын
HII NZURI SANA TUNASUBILI MUENDELEZO YANI PART 2,3,4,5,6,7 N.K
@mapikomkindu565
@mapikomkindu565 2 ай бұрын
Mungu abariki macho yenu Yazidi kuwa na Nuru
@HamadJuma-kj5td
@HamadJuma-kj5td 2 ай бұрын
Sns mko vzur tumependa umoja wenu
@user-jo6mo6dd8w
@user-jo6mo6dd8w 2 ай бұрын
Ongera sana , namiye nawafatiliya tuka Drcongo , uvira
@africanmandetraveler2847
@africanmandetraveler2847 2 ай бұрын
Mi ni mdau wa SnS na ninaipenda sana Geopolitics ,napenda wanavyo analyse hii issues they are experts.
@KidawaMzee-xr3mv
@KidawaMzee-xr3mv 2 ай бұрын
Oya Sky dah !! Iyo kichwa ulioiongeza apo ni fire 🔥
@yohanadavid6724
@yohanadavid6724 2 ай бұрын
You guys are doing the great job, congratulations.
@salumadam2862
@salumadam2862 2 ай бұрын
Hongereni sana sns mmefanya kitu kikubwa
@ndabalobalost6999
@ndabalobalost6999 2 ай бұрын
Tupe story za new Caledonia kisiw cha ufaransa vurugu zirivyo Kwa raia
@dunstunnchimbi7994
@dunstunnchimbi7994 2 ай бұрын
Kabisa. New caledonia kuna haja ya kuizungumzia
@khamisomar889
@khamisomar889 2 ай бұрын
Hapa sky kaza hizi station kubwa zitakuja kutuibia hivi vichwa, Hiki kipindi uza kwenye makampuni makubwa waweke matangazo ya mkwanja mrefu ilikuwazuia hawa watu wasiondoke
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 2 ай бұрын
Kwakweli
@sautisevarino1656
@sautisevarino1656 2 ай бұрын
SNS keep it up,Kwa Kweli elimu tunayopta hapa ni msingi sana kwa Wafrika.
@mohamedikunchi7165
@mohamedikunchi7165 2 ай бұрын
Hi miamba naielewa sana
@DedeDerrick-qm4lf
@DedeDerrick-qm4lf 2 ай бұрын
Huyu Ali ana talent on this one
@shubackmashinga3535
@shubackmashinga3535 2 ай бұрын
Asante sana bro sky
@benmcdream2268
@benmcdream2268 2 ай бұрын
Timu imekamilika hongera sns
@GoodchanceVioleth
@GoodchanceVioleth 2 ай бұрын
Hongereni kwa kutuelimisha
@bishweko
@bishweko 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤Shukran sana.
@jumaubwa239
@jumaubwa239 2 ай бұрын
Hongerini sana......
@ngendakumanajeanmarrie7490
@ngendakumanajeanmarrie7490 2 ай бұрын
Asante wakuu
@vanny387
@vanny387 2 ай бұрын
Big up snaaa munanifulahisha snaa
@user-me3dy9zk7e
@user-me3dy9zk7e 2 ай бұрын
Hii power ya mmoja kumuwekea vikwazo mwezie na yeye akawa hawekewi vikwazo inakaaje walimu
@ibrahimshabani3544
@ibrahimshabani3544 2 ай бұрын
kipindi chenu Bro Ally Nakifwatilia sana
@ismailjohn6108
@ismailjohn6108 2 ай бұрын
Muda mdogo sanaaa asee wekeni Atleast masaa mawiliiii
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 2 ай бұрын
Ivi wadau mushawahi ona Smaah anafanana sana na VIN DIESEL
@djsma255
@djsma255 2 ай бұрын
😂😂😂
@user-mk7qi6ti3s
@user-mk7qi6ti3s 2 ай бұрын
Asalamaalekum Allah amiongeze uweledi zide y hp.
@ramamabinda5063
@ramamabinda5063 2 ай бұрын
Wanao hoji, kwann sma na wenzake wanajua kila kitu, ni watu wenye akili ndogo, na uwezo mdogo wa kufikiria.
@ishmaeljuma7694
@ishmaeljuma7694 2 ай бұрын
Leo namuona Dj Sma😄😄
@Idoman493
@Idoman493 2 ай бұрын
I Really Like it 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@saidiomar6642
@saidiomar6642 2 ай бұрын
Mwengezeni na alex wido mutatisha zaidi mjengoni hapo
@AljawadyRasheed
@AljawadyRasheed 2 ай бұрын
We enjoyed alot
@barikilangoy4737
@barikilangoy4737 2 ай бұрын
Sns in the world 🌎🌎
@KidawaMzee-xr3mv
@KidawaMzee-xr3mv 2 ай бұрын
Bonge moja shoooo❤❤❤
@PeterKayoka-yd8si
@PeterKayoka-yd8si 2 ай бұрын
Tuna-enjoy kwa kweli....
@BenjaminMetanyau
@BenjaminMetanyau 2 ай бұрын
Ally masub ndo better zaid kwenye hizi chambuzi namuerewa sana achana smaa amekaa kiushabiki sana nilikuwa najiuriza hivi huyu ni amesomea hii KAZI kweri🤔🤔 Leo ndo amenifumbua kumbe ni dj 2 mengine amejiongeza🤣🙏🙏
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 2 ай бұрын
Punguza ushamba
@BenjaminMetanyau
@BenjaminMetanyau 2 ай бұрын
@@peteremmanuelymatwimatwiem3258 punguza shobo utakuja kupumuliwa ww wakiume
@jamalimussa4928
@jamalimussa4928 2 ай бұрын
Sky should be awarded
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 2 ай бұрын
🔥🔥🔥 ..
@AbdulJamal-xp4pn
@AbdulJamal-xp4pn 2 ай бұрын
Nice
@bonifacesauly1909
@bonifacesauly1909 2 ай бұрын
🔥🔥🔥
@mlelwatv5831
@mlelwatv5831 2 ай бұрын
Kinachonifurahisha naona Ally masubi anazidi kubadilika kila kukicha jamaa anamadini sana kadili siku zinavyozidi kwenda anakuwa wamoto 😂😂
@alfredmosha9759
@alfredmosha9759 2 ай бұрын
Brother Skywalker kama unasoma hii comment plz fanya namana umpatie jukwaa thabit mlangi yule jamaa ana madini sana kuhusu geopolitics. Ata add value kwenye hiki kipindi.
@rashidkipande9453
@rashidkipande9453 2 ай бұрын
Kweli kabisa
@yohanadavid6724
@yohanadavid6724 2 ай бұрын
Ibrahim Rahbi, yupo poa pia sanaa
@tidomilinga3750
@tidomilinga3750 15 күн бұрын
Uchambuzi bila shule kipengele
@davidlaiser8174
@davidlaiser8174 2 ай бұрын
Mnatoa taarifa tu kwa vitu vilivyotokea.Nawapongeza kwa hilo lakini mnahitaji majasusi ambao wataelezea uhalisia.
@davidlaiser8174
@davidlaiser8174 2 ай бұрын
Hvi unajua kwamba China wamejiongeza sana kwa teknolojia ya Russia?
@saidiomar6642
@saidiomar6642 2 ай бұрын
Aanteni sana tuko pamoja
@amosstimamaroba1054
@amosstimamaroba1054 2 ай бұрын
Sky keep it up watu wanapambana na michezo ww umekuja na upande mwingine
WATCH: Trump speaks at Turning Point USA event summit | LiveNOW from FOX
58:18
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
마시멜로우로 체감되는 요즘 물가
00:20
진영민yeongmin
Рет қаралды 35 МЛН
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 66 МЛН
Israel Strikes Hezbollah Targets | Daybreak: Europe 07/29/2024
47:19
Bloomberg Television
Рет қаралды 480
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
35:23
Le geste réconfortant d'un motard lui vaut un cadeau inestimable #shorts
0:22
Les meilleures astuces de Fabiosa
Рет қаралды 15 МЛН
@nastya_adaeva_ #рек #automobile #авто #авария #машина #топ #ремонт
0:29
Самая кровавая бандитская тачка
0:39
Леха Беспалый
Рет қаралды 1,7 МЛН
ride like a god... #bike #bikelover #biker #rider #motorcycle #india
0:10