Wakati Wazanzibari wakielekea kwenye uchaguzi wa mwezi Oktoba, miongoni mwa masuala muhimu yanayoulizwa ni nafasi ya Ajenda ya Zanzibar na umuhimu wake.
Пікірлер: 18
@cashmoneyascoss68413 жыл бұрын
Shukran kaka nakukubali sana kwa vision yako kwa zanzibar.....wee ni mzalendo wa kweli ...kwa zanzibar
@allymohammed8313 жыл бұрын
Khabarii ndio hio
@awatifalghanim11063 жыл бұрын
Zanzibar lazima iwe na MAMLAKA YAKE KAMILI BASI HAKUNA CHENGINE.... DILA HILO..............
@binseifalsuleimaniy5033 жыл бұрын
Tujtahidini Allah atatusaidia sote tnahitaji maendeleo
@hilalal-busaidi4007 Жыл бұрын
HUU NI WAKATI MUAFAKA KUZUGUMZIA AGENDA YA ZANZIBAR
@binseifalsuleimaniy5033 жыл бұрын
Sawa
@saidhamad75043 жыл бұрын
Asant sana kaka
@hebronmalatila61863 жыл бұрын
Na Zanzibar haiwezi kuwa na maendeleo ya watu ! Ndani ya Muungano uliyopo hivi sasa , maana Wazanzibari hawana Uhuru , Haki na Amani kamili ndani ya Muungano fake uliyopo hivi sasa.
@ali.o.rashid66883 жыл бұрын
Dhahabu ili kung'aa lazima ipite kwenye miale ya moto.
@Suleimansalum3 жыл бұрын
hapa kwenye kuandiliwa kwa vijana kukamata nafasi za kazi zilizopo nilikuwa nimetega masikio kwa makini bahti mbaya umemkatiza, niwazi wageni wanachukua nafasi nyingi za kazi private hapa kwetu nayote sababu wao ni cheap labour, wenyeji tunajikuta tunataka kubanana serekalini na huko ubaguzi mtupu uliopo