Ncha 7 za hadithi ya maji ya Msuka

  Рет қаралды 3,244

Gumzo la Ghassani

Gumzo la Ghassani

Жыл бұрын

Пікірлер: 19
@ALKHIBRATISLAMICSCHOOLTV
@ALKHIBRATISLAMICSCHOOLTV Жыл бұрын
BADO MTAHANGAIKA TURUDINI KWA ALLAH TUSUBIRI NA MMOJA AJE ASEME KANYWA MAJI YA CHOONI KAPOA PIA TUKAZONGANIANENI HIVYO HIVYO NA VIKOMBE VYA KUSHOTEA MAJI HAYO YA TIBA MIMI USHAURI WANGU MAASI YASHA ZIDI TURUDINI KWA MUNGU ATATUONDOSHE SHIDA ZOTE . HIYO NENDENI KATIKA SURATU NUH . NABII NUHU ALIWAAMBIA WATU WAKE MTAKENI MSMAHA MOLA WENU ATAWAONDOSHEA YOTE HAYA QUR-AN IKAZUNGUMZIA KHERI NYINGI . NAWAPENDA NYOTE KWA AJILI YA ALLAH EWE MOLA WETU TUSAMEHE MADHAMBI YETU AAAAAAMIN🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@khalidibrahim4579
@khalidibrahim4579 Жыл бұрын
Ahsante Sheikh Mohd kweli kabisa Hapa UAE Dubai milion ya watu na mji unakuwa kila siku 247 maji wanapata Ardhi haina maji Maji ya bahari yanashfiswa na machine Inatakiwa maarifa MAJI / Umeme / Barabara safi kabisa Ndio maendeleo
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Жыл бұрын
Hakuna sababu hata moja ya kuwepo shida ya maji safi kwa wananchi wa ZANZIBAR,ila ni uzembe na roho dhaifu za watawala.
@salma0000
@salma0000 Жыл бұрын
Si uzembe ni makusudi ili waendelee kututesa tuhame walete wageni wahamie
@abdallahnassoro2460
@abdallahnassoro2460 Жыл бұрын
Mm nakumbuka Kuna sehemu Moja inaitwa kukunguni msukua gombani pemba shehia ya magharibi walikuja watalamu wakachimbua yakatoka maji mingi sana ikabid watalamu waseme huku nimbali ndio walipo kwenda kuchimbua jumba la maji kiuyu Cha Manda kule kumeishia makalb tu na maji yanatemkia mto ambao imeingia ndani kijuton maji hayo kuwe najoto vip nibarid balaa Yan SS tupo nyuma sana
@muhammadsimba8078
@muhammadsimba8078 Жыл бұрын
Mm nakataa kua na Iman tu kitu basi yatakutib mm ni matatizo ya miaka natumia dawa kila aina na nina imani ila sijapoa hadi leo ila naweza pata dawa nyengine nikawa sina imani nayo na nikatubika kwa maradhi mengine ambayo nilikuwa sina imani niwe nimekula kwa kujaribu au kutengwa nguvu sasa apo utasema ni iman
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 Жыл бұрын
Yo maji yao za Zawa pia ni machafu, mimi siwezi kuyanya, mabomba yao ni machafu
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 Жыл бұрын
Hapo unatoa ushauri kwambuz sijuw kama mutafahamiana..nahiyo kufukia hicho kisima ni ishara ya muendelezo wa chuki dhid ya wapemba pili nidalili pia kuwa hayo maji ni dawa..
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 Жыл бұрын
Yale maji yalikuwa tiba shehe ..maana hao walio kuwa wakitumia pia niwatu na akili zao..sio vinyago
@muhammedbakari2867
@muhammedbakari2867 Жыл бұрын
Ubish wetu wakutokukubaliana na mila za kizungu ndizo zinazotuponza tuchukiwe na hawa jamaa lakn msimamo wetu uko pale pale..hizo chuki zao wanajisumbua maana hii dunia si yamilele itakwisha halafu tutayaona vizur huko twendako..
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Жыл бұрын
Sawasawa brother Moh'd nimekuelewa vizur kwetu mjini mpk leo tunakunywa ya chumvi ghafla yamekua hayo vitu vyote vimeharibika kwa chumvi
@msabahaali758
@msabahaali758 Жыл бұрын
mtihani watu wamevurugwa na maradhi na ujinga mfumo wa afya umefeli na watu hawana imani na spitali zetu ila jamii inapaswa iangalie namna ya kuwasaidia wananchi na kuwasaidia wananchi
@nailamohd7693
@nailamohd7693 Жыл бұрын
Khatari wamevurugwa voo
@TheFire_Gamer
@TheFire_Gamer Жыл бұрын
Hapo zamani watu wakitumia maji kama hayo wala siajabu kutumia maji kama hayo visima kama hivoevilikueko vingi pemba na ndio yalio kua yanatumika
@khamiskhamis5098
@khamiskhamis5098 Жыл бұрын
​@@TheFire_Gamer 😅o
@salimalharrasi3943
@salimalharrasi3943 Жыл бұрын
MBONA MAVI WALIO KWENDA KUYANYA KWEYE JAHAZI YA NUHU YALIKWENDA KUWAGEUKIA WEYEWE NA KUA DAWA PALE ALIPO JARIBU MMOJA WAO WAKAONA NI DAWA KWA WANAYAGOMBANIA KWA MARADHI YAO KWA KUJIPAKA KWA NIA MENGINE NA MENGINE WAKAWA WANACHUKUA WATAALAMU HWAKUISEMA HAYAFAI ENYIE WATAALAMU WENYE KIBURI NA ZARAU WACHENI KUSIHINDANA NA MUNGU KWA KUFUKIA NEEMA ZAKE..
@ALKHIBRATISLAMICSCHOOLTV
@ALKHIBRATISLAMICSCHOOLTV Жыл бұрын
WEWEEE KUMBUKA KUMBUKA MWALIM WANGU ILE NI MIONGO NI MWA MAANDALIZI YA KUIKARIBIA ADHABU YA ALLAH KWA SABABU WALE WASINGE KOGA JAHAZI LISINGE ONDOKA NA ADHABU INGECHELEWA SAMAHANI MWALIM WANGU KAIDURUSU TENA DARSA HII
@ALKHIBRATISLAMICSCHOOLTV
@ALKHIBRATISLAMICSCHOOLTV Жыл бұрын
BADO MTAHANGAIKA TURUDINI KWA ALLAH TUSUBIRI NA MMOJA AJE ASEME KANYWA MAJI YA CHOONI KAPOA PIA TUKAZONGANIANENI HIVYO HIVYO NA VIKOMBE VYA KUSHOTEA MAJI HAYO YA TIBA MIMI USHAURI WANGU MAASI YASHA ZIDI TURUDINI KWA MUNGU ATATUONDOSHE SHIDA ZOTE . HIYO NENDENI KATIKA SURATU NUH . NABII NUHU ALIWAAMBIA WATU WAKE MTAKENI MSMAHA MOLA WENU ATAWAONDOSHEA YOTE HAYA QUR-AN IKAZUNGUMZIA KHERI NYINGI . NAWAPENDA NYOTE KWA AJILI YA ALLAH EWE MOLA WETU TUSAMEHE MADHAMBI YETU AAAAAAMIN🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
아이스크림으로 체감되는 요즘 물가
00:16
진영민yeongmin
Рет қаралды 62 МЛН
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 15 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Fast and Furious: New Zealand 🚗
00:29
How Ridiculous
Рет қаралды 12 МЛН
Ali Karume Ccm Wamesahau Mema Yangu
7:56
Anania Junior
Рет қаралды 6 М.
Bi Mariam Hamdani, kichwa kilichojaaliwa mengi | GUMZO NA WALIMU
1:13:35
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 4,3 М.
MIAKA 60 YA MAPINDUZI ZANZIBAR NBS & OCGS
3:35
Nbs Tanzania
Рет қаралды 4,1 М.
Historia ya  Kumbukumbu za  Mapinduzi ya Zanzibar
10:24
Iddi Mtumweni
Рет қаралды 300
Ida Hadjiyavanis adhamiria kuzirejesha kazi za Gurnah  nyumbani
15:32
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 972
Kujikolonisha na Hatari za Wakati Tuliomo
21:57
Gumzo la Ghassani
Рет қаралды 315
Во сколько смотришь? Заливаю в 10-22😉
0:36
Юлия Смирнова
Рет қаралды 1,6 МЛН
настоящий чемпион
0:59
QorabogTV
Рет қаралды 8 МЛН
GiGaMoN! 5 🗿 #gigachad #sigma
0:53
The Logan Chitwood
Рет қаралды 5 МЛН