KISA CHA DEREVA LORY,ALIVYOKUTANA NA FREE MASON USIKU WA MANANE SAFARI ZA KONGO

  Рет қаралды 411,516

HABARI JAMII DIGITAL

HABARI JAMII DIGITAL

8 ай бұрын

#mtanga #simbasc #yangyang

Пікірлер: 531
@hassanabdulrahim5912
@hassanabdulrahim5912 6 ай бұрын
Huyu Mzee jameni dah😂😂😂😂😂😂😂.....Allah akulinde siku zote....wapi like za mzee
@alphamania65
@alphamania65 Ай бұрын
duuuuhh huyu mwamba namkubali sana mwenyezi mungu amjalie
@Satier47
@Satier47 8 ай бұрын
Daaah nimejifunza mengi sana. kwa maelezo yote ambayo umeyazungumuza ❤️🙏🙏🙏🤝💪💪💪💪💪💪
@user-nd3mx7pz6k
@user-nd3mx7pz6k 5 ай бұрын
Respect muzee uko mukongwe kazi kweli muchugajyi wabalabala kazini uliweza tuma kukumbuka wadereva Hawa hamsi Mubarak anaendesha GSM kampuni na John ortravote wa kampuni trans Africa rwanda.akubalikiwee milele baba
@placidelwabagumaheri6388
@placidelwabagumaheri6388 5 ай бұрын
Huyu mzee ni mteja wangu ambae nauziaka TV. Hongera Sana baba.
@user-jt1qf9mg1o
@user-jt1qf9mg1o 5 ай бұрын
huyu mkongwe ni vyema afanye interview na interviewer anayesample naye, kusema kweli hapa key hazi match, dogo yuko serious mno hachangamki! Mkongwe nakuelewa sana Brother, Big up tuko pamoja nawe.
@user-yq8se2vs4s
@user-yq8se2vs4s 5 ай бұрын
Mtangazaji hafai amepoonza sana anaharibu story mzuri
@vero57
@vero57 7 ай бұрын
Tafuta viza uende USA, wanalipa pesa nyingi sana ukiwa deleva wa Lori mjomba , big up mjomba 💪💪👌🇹🇿
@abelmirwatu544
@abelmirwatu544 7 ай бұрын
USA 🇺🇸 unatakiwa uwe na diploma na unatakiwa usome miezi 6 kwa mtu mwenye uzoefu.
@husseinallysuleiman4657
@husseinallysuleiman4657 5 ай бұрын
Dagaa aisee Kali sana nimecheka bila kutegemea
@hassanathman9573
@hassanathman9573 5 ай бұрын
Hapa nimepata elimu,sikujua dagaa ukila kwa wingi unapoteza memory
@user-cg1hc7yt3v
@user-cg1hc7yt3v 8 ай бұрын
Nakuelewa sana dereva mkongwe mungu akuweke
@naimarishedy1523
@naimarishedy1523 8 ай бұрын
Baba umetisha Sana upewe maua🌹🌹🤲
@EliasLuvisia-mt9kr
@EliasLuvisia-mt9kr 8 ай бұрын
Nakuelewa sana uboya ulione lakini
@saidmasoud9004
@saidmasoud9004 8 ай бұрын
Mtangazaji jifunze kwenda na flow
@farhasalim282
@farhasalim282 5 ай бұрын
Yan lipo tu
@jumaomari6893
@jumaomari6893 8 ай бұрын
Dereva mkongwe big up sana Allah akulinde zaidi InshaAllah
@Sperish
@Sperish 18 күн бұрын
💪🫡🫡l really respect you baa mkongwe the love from Kenya ❤️🫡🫡
@stocks2545
@stocks2545 Ай бұрын
This man is well knowledgeable
@PENDOMASAWE-kf4sw
@PENDOMASAWE-kf4sw 3 ай бұрын
Nimempenda Mzee bure ❤
@mr.africanatural-super_sta1130
@mr.africanatural-super_sta1130 8 ай бұрын
Alafu mtangazaji anahoji serious wakati mzee anachekesha kweli😂😂😂
@halimasalim3985
@halimasalim3985 7 ай бұрын
😂😂😂
@rahmasuleiman9334
@rahmasuleiman9334 7 ай бұрын
Nimependa hapo kwa masheikh kusomea dua kwa kweli kwa Allah kila jambo lawezekana
@ReganJoseph-pc5qv
@ReganJoseph-pc5qv 3 ай бұрын
Upó vizur mkoñgwe
@fatmaali6780
@fatmaali6780 7 ай бұрын
MashaAllah u still look young and experienced my Allah protect you from any harm
@sadickymwindadi
@sadickymwindadi 8 ай бұрын
Mbondei huyo ameaga kwao mungu anamlinda sana.
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 8 ай бұрын
Interview nzuri sana!!
@anoldshirima3291
@anoldshirima3291 8 ай бұрын
Huyu mzee akiigiza anafaa tena na stivu
@nussah3158
@nussah3158 8 ай бұрын
Huyu mzee angefaa kuwa mtetezi wa haki za madereva. Yupo smart sana na atasaidia kutoa ushauri kwa serikali kuhusu haki za madereva
@ElishaJoakim-ir2qf
@ElishaJoakim-ir2qf 8 ай бұрын
Kweliii kbx mzee yuko saw
@frankedwalid842
@frankedwalid842 8 ай бұрын
Kabisa
@adronicoreveliano7151
@adronicoreveliano7151 8 ай бұрын
Mzee wa Bonde Muheza, ana mambo makubwa!
@zantadegaste3757
@zantadegaste3757 8 ай бұрын
😊
@zantadegaste3757
@zantadegaste3757 8 ай бұрын
😊
@emmaculatebarasa4609
@emmaculatebarasa4609 8 ай бұрын
Wakenya tuko wapiiii😅😅😅😅😅🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@lilianpekeshe8661
@lilianpekeshe8661 8 ай бұрын
Tupo..
@CsSalesJumia
@CsSalesJumia 7 ай бұрын
Nimeskiza huyu mzae hata siamini. Very interesting guy
@badifundi6089
@badifundi6089 6 ай бұрын
Alipigwa na wameru😂
@kybtzearthmoney9984
@kybtzearthmoney9984 6 ай бұрын
This mzee is so interesting but interviewer is boring
@jcr_254
@jcr_254 6 ай бұрын
Wakenya sisi wajinga kweli.....sana sana wajaluo wang'oa reli....
@LionelRichard-wj6zi
@LionelRichard-wj6zi 8 ай бұрын
Mtangazaji Ndo Kaiharbu Hii Interview Hana Vibe Kama Dereva Mkongwe
@kybtzearthmoney9984
@kybtzearthmoney9984 6 ай бұрын
Kabsaa anabore
@sophiambilla2867
@sophiambilla2867 8 ай бұрын
Mtangazaji ata kucheka rohoo atainogi
@Johwilly
@Johwilly 8 ай бұрын
Nilicheka baada ya interview 😂😂
@graceshayo5763
@graceshayo5763 8 ай бұрын
Mbn Mtangazaji yupo vzr san jmn kwanza anauliz maswali kwa akili san lkn pia anamwachia msimuliaji mdaa jmn kwan mnatakaje
@issahginga9071
@issahginga9071 6 ай бұрын
Watu sijui wanatakaje
@saddamhussein9054
@saddamhussein9054 8 ай бұрын
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh mzee namkubali sana Allah akuhifadhi mzee wetu sisi sote driver's ALLAH atusaidie Long distance truck driver's wanapata changa moto mingi sana kila hatua dua popote kambi 🤲
@sumeiyahlenjo7754
@sumeiyahlenjo7754 6 ай бұрын
This is the funniest interview have ever watched
@Osamaally
@Osamaally 6 ай бұрын
Allah akubless dereva mkongwe
@user-fu2se8hd5i
@user-fu2se8hd5i 5 ай бұрын
Story nzuri mwandishi anauliza vizuri nyie mnaotaka abwabwaje story itanogaje
@kondemoses7932
@kondemoses7932 6 ай бұрын
May Allah always protect and give you long life 🙏...nakukumbuka dereva Mkongwe very fun
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
Dereva kama dereva:eti akiba yangu kaanayo😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@judessunna
@judessunna 8 ай бұрын
This gentleman reminds me of BBT legend radio presenter on East Africa radio station, lover's rock
@benshark3212
@benshark3212 8 ай бұрын
Huyu jamaa ni kama mchungaji Hananja
@aggreyenock1221
@aggreyenock1221 8 ай бұрын
😂
@BeatriceMunuo-ti7pv
@BeatriceMunuo-ti7pv 8 ай бұрын
Kabisaaaa😂😂😂
@florahmushi748
@florahmushi748 5 ай бұрын
Kabisaa
@kelvinjoseph4545
@kelvinjoseph4545 3 ай бұрын
Wamefanana na sauti 😅
@user-bf2bx3vh1h
@user-bf2bx3vh1h 8 ай бұрын
Aaah jaman hyu Mzee ni mwisho😂😂😂 eti ungetobolewa jicho ingebidi ukpige Gita kanisan
@godshanthomas3297
@godshanthomas3297 8 ай бұрын
Mi pia dereva lakin mi kilicho nitoa mpaka sasa hivi nipo nyumbani najua mwenyewe huko Congo 🇨🇩 na Khartoum Sudan 🇸🇩 hatari sana
@Abuu2645
@Abuu2645 8 ай бұрын
Ulipatwa nn mzee😮😢
@onetalent8402
@onetalent8402 8 ай бұрын
Walikufanyia nn tena?
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 7 ай бұрын
Ulikutan na nin
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 7 ай бұрын
Wengine walimkamata mwizi wakambuluza wakamfunga nyuma Hari lao wakambuluza mpaka akafa nyama zote unaambiwa zimenyofokea barabarani walivyorudi wakaacha Kazi we acha
@user-kq1pn6wd7n
@user-kq1pn6wd7n 8 ай бұрын
Duuuuuuh 😁 wee mzee Upo,niliiwahi ,kukuescort, Tunduma to dar
@football964
@football964 7 ай бұрын
If you do good no need to be scared ALLAAH is with you
@user-co6lt8fq7t
@user-co6lt8fq7t 2 ай бұрын
Mungu akulinde kwa kila safari zako
@abdallahjumbe7864
@abdallahjumbe7864 7 ай бұрын
Una hirizi yako ya elfu kumi unataka kushindana na dua na kadari za mwenyezi mungu
@user-qk4lx4hg7g
@user-qk4lx4hg7g 8 ай бұрын
Kweli mtangazaji umepoooza mno Hadi story inakuwa mbaya maana msimuliaji yuko powa kwel😅
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 7 ай бұрын
Mungu akupe maisha maref zaid dereva mkongwe vijan wana kitu cha kujifunza kutok kwako
@bashirseif6972
@bashirseif6972 7 ай бұрын
Huyu jamaa ni balaa alikua Msaidizi wangu
@evalyneayo-xo3lp
@evalyneayo-xo3lp 2 ай бұрын
Uyole big up
@umfahad2609
@umfahad2609 8 ай бұрын
Pole sana ndugu yng, na mengi ulio yapitia. Hakuna watu wavumilivu km ma driver wa magari makubwa.
@placidelwabagumaheri6388
@placidelwabagumaheri6388 5 ай бұрын
Placide toka Lubumbashi kasumbalesa
@shabanipande5379
@shabanipande5379 8 ай бұрын
Guud interview
@ezronwilson9965
@ezronwilson9965 8 ай бұрын
Mtangazaji umeharibu interview
@user-co6lt8fq7t
@user-co6lt8fq7t 2 ай бұрын
Mungu akulinde sana brother
@fadhiryfadha3798
@fadhiryfadha3798 8 ай бұрын
Nakubary dereva mkongwe
@user-oj7sg5yt2u
@user-oj7sg5yt2u 7 ай бұрын
God bless you big brother
@aloycesimon1371
@aloycesimon1371 6 ай бұрын
Hivi nyie freemason mnawachukuliaje mnadhani freemason ni watu wa kuzurula tu barabarani
@EmmaPallanjo
@EmmaPallanjo 8 ай бұрын
Umempa mchaga kazi ya kuimba taarabu nimeipenda hiyo
@sulaymanwaziri4455
@sulaymanwaziri4455 26 күн бұрын
Tumekosa mtangazaji tu lakini tungekula stori saafi za kucheka hasa😂😂😂😂😂😂
@joshuaogot1326
@joshuaogot1326 8 ай бұрын
Very intriguing,very interesting
@YuhanAbas
@YuhanAbas 8 ай бұрын
Master Master Pamoja sanaaaaa dereva mkongwe
@YuhanAbas
@YuhanAbas 8 ай бұрын
Allah akuongezee umr
@Siaralose2024
@Siaralose2024 4 ай бұрын
Nilikua na stress nimejikuta na cheka tu ila kicheko chenye mafunzo.
@user-wi7ql1kh6i
@user-wi7ql1kh6i 5 ай бұрын
Mungu akutunze sana hata mm mume wangu aliugua njiani kafa kwer kazi zen zinachangamota sana
@Saki930
@Saki930 8 ай бұрын
Hahahahaa dah mzee noma sema Host hana bandama hajui kucheka
@seifmiraji43
@seifmiraji43 8 ай бұрын
Yani nimeshangaa sana mtangazaji yuko serious km kalazimishwa
@user-kl8py3hv9q
@user-kl8py3hv9q 5 ай бұрын
Huyu dereva ni noma sana sem amekutana na mtangazaji sio mchangamfuu
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 8 ай бұрын
Huyu mtangazaji anaboa cn hajachangamka ila mzee yupo vizuri sana
@shaloboy3861
@shaloboy3861 8 ай бұрын
Huyu anaitaji aojiwe na mtangazaji mchangamfu angetoa stori nyingi sio huyu kama doctor 😂
@Johwilly
@Johwilly 8 ай бұрын
Daah, kwahyo niwe doctor tu shekhe wangu😅😅
@ngoshakulwa8348
@ngoshakulwa8348 8 ай бұрын
Mtangazaji kaharibu interview
@shaloboy3861
@shaloboy3861 8 ай бұрын
@@Johwilly kabisa mana uwezi kuflow na moode za unaemuoji yy amechangamka ww uko serious kama doctor anaechukua maelezo kwa mgonjwa
@fredkangethe7497
@fredkangethe7497 8 ай бұрын
You are more of a story teller than a driver wewe dereva Mkongwe kweli. 15/12/2023
@user-op9fx3by1k
@user-op9fx3by1k 8 ай бұрын
❤mandawa kwa mzee abarisina namjua huyo nyumbani kabisa huko
@kenevaafricanjogu4786
@kenevaafricanjogu4786 Ай бұрын
Kenya usiambie mtu pole...ata ukikosea mtu mtusi ukiendanga...
@AlekoMangwai
@AlekoMangwai Ай бұрын
Mziki hauendan na stor fala wew
@user-io6qv1rf6o
@user-io6qv1rf6o 8 ай бұрын
Allah akuhifadhi Mzee wetu
@user-vk5nu6rn4z
@user-vk5nu6rn4z 8 ай бұрын
Upo vizuri sana
@SadickSimon-g9b
@SadickSimon-g9b 28 күн бұрын
k9 inajulikana kweli kweli
@user-fn3gf1fb3d
@user-fn3gf1fb3d 8 ай бұрын
😂😂😂😂mlango wa bandari,pengo ilo😅😂😅😂
@farhannahkulishwaburekunam5360
@farhannahkulishwaburekunam5360 8 ай бұрын
Mjomba ungeenda kufanya comed utapata pesa za uzeen usiendeshe lory tena utaumia mgongo
@user-jw3tx6jo3q
@user-jw3tx6jo3q 6 ай бұрын
Dereva mkongwe namkubari sana aisee mungu akuweke
@mabulakaniga8965
@mabulakaniga8965 5 ай бұрын
tatizo ni mtangazaji hajui anahoji mtu wa aina gani yeye anafanya alivyoelekezwa chuo,. kapoa kama anamuoji mbunge
@user-ek5ts2vx3d
@user-ek5ts2vx3d 5 ай бұрын
Muongo sana huyo Jamaa hajatembea sana sisi tunamjua ameshaugonga utaniboi kwa sebugile alafu anaongea kuhuusu ukongwe na haja hajatembea muulize Sudan aliyoenda ni ipi ujue akili hana fuck njoo twende kisangani tujue ww ni kidume
@NassorTwahiru-kf8fo
@NassorTwahiru-kf8fo 6 ай бұрын
Mtangazaji km kala ndimu, sura kaikaza hana hata smile
@abdallahzuberi3751
@abdallahzuberi3751 8 ай бұрын
mkongwe kazini ,hana baya mzee wa kazi
@user-nl1wn6ip1h
@user-nl1wn6ip1h 8 ай бұрын
umetishaa daddy
@user-yw6cv6rt8d
@user-yw6cv6rt8d 6 ай бұрын
Muandishi wa habari jifunze kushare impath
@user-fl8sf7mf7j
@user-fl8sf7mf7j 6 ай бұрын
Mungu akulinde
@user-hq9le5wd9g
@user-hq9le5wd9g 8 ай бұрын
Mzee uliwaramba sana maana pamoja na umri wako bado umetupiga chini vijana
@abduljabbarmohammed4188
@abduljabbarmohammed4188 8 ай бұрын
Si Mzee vile. Muangalie uso vizuri.
@valentineshembilu1256
@valentineshembilu1256 8 ай бұрын
​@@abduljabbarmohammed4188hahaaa anavyojiweka na zile ndevu watu wanajua mzee
@RasheedyKingsley
@RasheedyKingsley 8 ай бұрын
very comed sana huyu mzee elimu anatoa huku mm naumia mbavu zangu jaman
@user-hz5dv2el4m
@user-hz5dv2el4m 8 ай бұрын
Dooh. Asante Sana 🙏 kuna mambo nimejifunza kupitia kwako
@SaidyMnyimbegu-tr2ht
@SaidyMnyimbegu-tr2ht 5 ай бұрын
Mtangazaji ufunanii unabore yaan Mzee mchangamfu ww km km umefosiwa jifunze Kwa wenzio😂
@KUYALAI
@KUYALAI 8 ай бұрын
Mtangazaji ana roho ngumu hacheki 😂
@SwaumuAbdallah-fu1bx
@SwaumuAbdallah-fu1bx 8 ай бұрын
Mtangazaji sijakupenda hata kidogo😏😏
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du 6 ай бұрын
Mkongwe natural talent, unafaa kuwa actor
@JamaicahPiusNthongoni
@JamaicahPiusNthongoni 4 ай бұрын
Jitume tu mzee nimepeda vile unajikaza 💪 siku yenye utafika kitengela kenya nistue tugoteane baba👊👊
@BENZ001.
@BENZ001. 6 ай бұрын
Noma sana ....
@user-ez4gn4nn7p
@user-ez4gn4nn7p 5 ай бұрын
Duuuh Atari Sana dereva mwenzangu
@LionelRichard-wj6zi
@LionelRichard-wj6zi 8 ай бұрын
Huyu Mzee inabidi aonwe na Millard ayo aende mjini Yuko vzur sana fun guy
@loner_wolf
@loner_wolf 8 ай бұрын
Salim naomba huyo Dada msilimishe alafu nipostie kwa bus LA Tawaqal nitampokea hapa Bongo Dar es salaam.
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 8 ай бұрын
Mafinga kuna Calabash siku hizi😂😂😂 over the top ishachoka sana
@aminaomary5567
@aminaomary5567 8 ай бұрын
Jot uko wapi ebu mchukue mzee huyu,yaan anachekesha sana😁😁❤❤❤
@ngayaimkwe5175
@ngayaimkwe5175 8 ай бұрын
Huyu mzee ni mzuri apewe nafasi
@bernadethamlolere8891
@bernadethamlolere8891 8 ай бұрын
Wala sio mzee dogo tu
@valentineshembilu1256
@valentineshembilu1256 8 ай бұрын
​@@bernadethamlolere8891nilitaka kusema hivyo
@orifein-im4so
@orifein-im4so 6 ай бұрын
Huyu dereva mkongwe ni mcheshi kweli😂
@AbdullahsalehAbdallahsalleh
@AbdullahsalehAbdallahsalleh 2 ай бұрын
Derere mkongwe watisha sana
@Deonfnyoni
@Deonfnyoni 8 ай бұрын
Dereva mkongwe namkubali sana 👊🔥🔥🔥
@daimavlog
@daimavlog 8 ай бұрын
Mzee umetisha tangu miaka ya 80 na bado hujafa na ngoma maana madreva wengi walikuwa wanakufa na virusi. Ila mzee baba dagaa haziwezi kukufanya upoteze kumbukumbu ni nzuri kuliko nyama kiafya, Dagaa wana omega3 ambayo ni nzuri sana kwa ubongo😂
@ladytreccy
@ladytreccy 8 ай бұрын
alimaanisha kawaida binadamu akishiba analegea kiakili,yani unakua fala kiasi.
@Angle-bw4jr
@Angle-bw4jr 8 ай бұрын
Hii nimeipenda
ROLLING DOWN
00:20
Natan por Aí
Рет қаралды 8 МЛН
KISA CHA DEREVA MKONGWE KUKUTANA NA VIBWENGO USIKU WA MANANE MLIMA KITONGA
24:07
MCHUNGAJI HANANJA AFICHUA SIRI ZA FREEMASON MIEZI YA KAFARA AJALI NYINGI.
42:17
Mpaka Home MAISHA HALISI YA AFANDE SELE NA UTAJIRI WAKE
22:55
Mbengo Tv
Рет қаралды 128 М.
MKASA MZITO DEREVA BOLT ALIVYOMALIZA FAMILIA BAADA YA KUJIUNGA NA MASONIC
31:27
HABARI JAMII DIGITAL
Рет қаралды 119 М.