لاحوله ولاقوة الا بالله العلي 😭😭😭 Inaskitisha uharibu watoto subha person Allah Mungu akupe uwezo akufanyie wepesi kwa kila zitoo yaarab 🤲
@farhahumud9473 Жыл бұрын
hongeraa sana bizalkha .....mashallah mashaalah allah akulipee kher ktk iman ykoo....allah akulindeee na nguvu yko unayoitowaa iwee ni ufunguo wa pepo ykoo..ameen
@omarsalimali9212 Жыл бұрын
Ameen
@siriyangu4724 Жыл бұрын
Mashallah Allah awalipe wajitoleya kwa njia ya khery na wacyo towa na wko na moyo Allah awaongoze Allah humma mamiin 🤲
@noffalsalim Жыл бұрын
Mungu akubarik na inshallah mungu awalipe pepo ya juu kabisa.Amiina yarrabal Alamiina
@alhamiraj4570 Жыл бұрын
Hata gomban bizalha hakuna majiii
@salumnassor6555 Жыл бұрын
Jambo jema Mama anguuu Allah Akuongozee
@salumnassor6555 Жыл бұрын
Kaka mohd inasikitisha Sana hilo saula la udhalilishaji la watoto wetu wallah Hilo ndio tatizo Kubwa Tutapata jamii na kizazi kipi Hatua za haraka zichukuliwe Kunusuru kizazi chetu mtihani wallah
@kassimomar7589 Жыл бұрын
Allah atakulipa bizalha
@salumnassor6555 Жыл бұрын
Daaa mtihani Kwa kweli Watoto wetu wanaribiwa 😭😭😭😭 na mke wa makamo anajua Na ana namba ya mtu anaowawaharibu watoto Na anaachiwa jamaani hivi kweli jamaaa tutakuwa na kizazi gani ivi jamiii haionii Huruma huyo mtu Anajulikana Na anatembea kifua mbele ?
@omarathman4765 Жыл бұрын
Amiin
@TheFire_Gamer Жыл бұрын
Na huko boding mukiwaeka muwe na hadhar na walimu wanaume
@salumnassor6555 Жыл бұрын
Halafu Mbunge na muakilishiii Wako wapi ? Na hizo pesa nyingi wanazopewa huko bungeni Vp ? Wako wapi