Shukran Ustadh Muhammed kukhusu Gumzo hili. Karume alitubia na mengi aliyasema kwa Uzalendo wa Mamlaka Kamili ya Zanzibar lakini yamepinduliwa. Hon. Abeid Karume was a "notorious drunkard, a bully who was not afraid of being in jail. In 1935, he stopped drinking alcohol." It was TOBA YA KARUME as it was illegal to drink alcohol in Zanzibar during his leadership. Abeid Karume was a boxer like Nelson Mandela. But after Revolution, President Karume banned boxing in Zanzibar.
@ABUUALLY-tv8rl11 ай бұрын
Hakika unyama alioufanya huyu mzee ni mkubwa mno na waliofanyiwa unyama wamekula kiapo hawawezi kumsanehe 😢
@HafidhMwinyi-fp2po2 күн бұрын
MwenyeziMungu husamehe makosa makubwa na madogo kupitia toba ya kweli. InshaAlla MwenyeziMungu amkubalie toba yake pamoja na sisi ukiwemo nawe
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
ALLaa Kariim,inshaalaa ampe maisha mema huko alipo
@hilmialiomar1983 Жыл бұрын
Ameen
@sleymankassim43327 ай бұрын
Ameen
@MdNasr-jm8pj4 ай бұрын
ALLAH KAREEM
@kassimnyuni4340 Жыл бұрын
Mamlaka ya nchi yetu tunayowenyewe tuko juu ya kilima!!!!!🙏 Bravo
@ayshaabrahaman606810 ай бұрын
Mungu amrehemu kwa rehema zake Allah. Kweli alikosea lakini alitambuwa makosa yake na akajutia. Mungu ndo anajuwa zaidi.
@AbubakaryManeno-re1jq15 күн бұрын
Alipokosea mungu amsamehe
@alialamoudi97294 күн бұрын
Damu na roho za watu sio mchezo kuuwa binadamu ni afathali kubomoa kaaba ya makaa kuliko kuwa watu 64 wazanzabari waliuliwa zaidi ya elfu is ishirini wakati ya uvamizi ya tanganiyka na kupindua srekali ya halai ileo chaguliwa na wanzibari wenyewe
@ramadhanhassansuluhu55187 ай бұрын
Mungu anasamehe makosa yoooote kwa anaetubia na hubadilisha yakawa mema .qur.an
@SlemanSule-mn9ln Жыл бұрын
Mtu wa watu. Mola amueke pahali Pema peponi aamin
@adamstour5736-kb6zq Жыл бұрын
ALLAH akusamehe mzee KARUME juu ya dhambi ya kutuunganisha na TANGANIKA na mengineyo inshaallah
@bungamassingisa26437 ай бұрын
Hivi kweli wewe ni midland Kwel?? Hivi ndivyo Allah anayotaka. Leo hii tumekua Ndugu wewe unalaani 😢😢😢 Allahu Akbar ...... Kweli ukafir sio lazima uwe wa dini nyingine, wakati Mimi ninafurahi Nikikutana na watu wa visiwani Tena mmekuja main land na mnaishi kwa amani Tena mpo kwa namba kubwa tu. Tunashilikuana vizur, wewe huoni uzur huo, Allah anawapenda wanaounga ndugu na anawakasilikia wanaovunja
@bungamassingisa26437 ай бұрын
Hivi wewe kweli ni muislam
@adamstour5736-kb6zq7 ай бұрын
Wew furahi sannnnnna ila sisi tulio weng tuna huzuni juu ya ilo
@assadshaaban8163 Жыл бұрын
Nilichojifunza kwanza sheikh Mohammed hii haikuwa toba, kwani amemtaja MWENYEZIMUNGU, Kwa Jina la Mungu mara moja tu, halafu aliyetubia hajisifu kwa maasi aliyotenda na kama hapana budi kuyasema basi machozi lazima yamwagike,pia hakumtaja Mtume MUHAMMAD (S.A.W.)hata mara moja (sijui mbele zaidi ya hotuba)jengine na kubwa zaidi si uhodari wa mtu kuwacha maasia bali ni hidaya ktk kwa ALLAH (S.W)na yeye ndie wa kushukuriwa kwa kila jambo jema ambalo mja akipatiwa,namuomba MWENYEZIMUNGU Awarehemu wazee wetu,masheikh wetu na ndugu zetu walioko mbele ya HAQI,Na sisi atuongoze ktk njia iliyonyooka na atupe nguvu dhidi ya uovu,Amin Allahumma Amin, ALLAH ATUPE UWEZO WA KUINUSURU DINI YAKE NA ZANZIBAR ALIYOTUJAALIYA
@wanimzur5597 Жыл бұрын
hakuwa na lengo la kujisifu bali alitowa mafunzo na mfano halisi kwa wanaomsikiliza kama utakuwa makini
@RuwaidaSaid-un3pc7 ай бұрын
@@wanimzur5597 sahihi sana ndugu yangu
@abdulrahmansalim97737 ай бұрын
AMEEN YA RABI ALLAMEEN IN SHAA ALLAH. HUYU ALIKUWA JAMBAZI 😮😮😮SANA NA UKELU WA UGANDA NA YEYE KAJA MDOGO KUTOKA MALAWI 😮😮😊😊😮
@HashimOmar-r1jАй бұрын
Mhm masjid nyie
@meekman1805 Жыл бұрын
Duh! Kumbeee; 😁☝
@MrKhatibu Жыл бұрын
Nilichojifunza ni kuzidi kuelewa kuwa starehe na ngoma za kihuni Zanzibar zilikuwepo tena mpaka kina mama watuwazima wakihunika (ngoma ya kizaizai). Haya tumesikia ngoma za usiku usiku za "wanaume watupu"(sunsumia)😥. Zanzibar ya miaka hio kumbe yote yakipatikana ,kinachoendelea leo ni urithi tu.
@nailamohd-wn6sb Жыл бұрын
Subhaanallah na huko zamani ndio tunambiwa kulikua na masheikh wakubwa na wenye elmu sasa inakuaje hivo vitu.
@MrKhatibu Жыл бұрын
@@nailamohd-wn6sb Zamani wazee walikuwa na hekima, na ndio maana huwa huwezi sikia maovu, kwani yalikuwa yakisitiriwa. Kumbuka kuwa tumeamriwa kusitiri maavu ya mwenzio. Kwani huku pata kujua kuwa ule wimbo wa "kijiti unaniuwa kwa toti moja ya tende" wa marehemu bi Kidude ni simulizi ya kweli! Tena wahuni wa miaka hio walikuwa organised na wenziwao wa Mrima kama ilivyo karne hii na kwa jamii ijayo. Hakuna jamii duniani isiokuwa na gang la uhuni tokea zama hizo.
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@nailamohd-wn6sb kabla ya mapinduzi kulikuwa na mashekh wa kubwa. Mapinduzi yakabadilisha muelekeo. Na pia haimaanishi kuwa nchi nzima mashekh wa tupu kuwa hakuna wahuni, haijawahi kutokea ata wakati wa Mtume saw. Ngoma za zamani watoto hawaruhusiwi hawaingii. Kwahio kuwepo kwa mashekhe wakubwa katika nchi na hapakuwa na kafiri ata mmoja ila imani sio zote za uchamungu. Hata mtaani kunaweza kuwa na Shekh mkubwa, ila hakushiki mkono usiibe au uwasi. Hata Mwenyezi Mungu sw amesema " hakuna kulaziishana katika dini". Lakini Uislamu ulikuwa mashallah
@nailamohd-wn6sb Жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 sawasawa nakubaliana na ww 👍
@MrKhatibu Жыл бұрын
@@hilalkhalfan1452 Uislam ulikuwepo na upo , pia udhalim wa shirki ndio kukwanga ulikuwa unanguvu angalau sasa maana wazee walitangulia na mamboyao wakijua vijana wanaokuja hawana hekma na subra laa sihivyo visiwa visingekalika zama hizi 😂😂😂😂
@mwinyimwinyimkadam9948 Жыл бұрын
Hayo ni miaka ya wendawazimu wengi tumeyapitia Mtu huwa timamu kuanzia miaka 40 vzr mzee kajitambuwa akiwa na miaka 30
@msabahaali758 Жыл бұрын
"mamlaka yetu yako mikononi mwetu tuko juu ya kilima tunaloamua kufanya kwa umoja wetu ndio tutafanya mwaka 1974 kila mmoja aje zanzibar atuulize tumewezaje "
@masshaka Жыл бұрын
Muuwaji na mbakaji mkubwa huyu. Shenz
@sop408 Жыл бұрын
Assalam alaikum
@muba6699 Жыл бұрын
Wanasema mimi ni Mzuri MZURI EEEEEEE ALLAHUMAA FIRAUH Warhammuh JANNAH skujua kama ni Mcheshi hivo
@hajiameir86885 ай бұрын
Karume alikuwa chenga hamna kitu kazidiwa kete na Nyerere na mwenyewe anathibitisha hayo na zanzibar kaipeleka Tanganyika kwa nyerere kiuzembeuzembe tu mpaka leo tunapata shida
@yusufmohamed88743 күн бұрын
Hivi uovu wake ulifikia wa firiauni wa misri?
@bogalechtafari3782 ай бұрын
Kila anayekiri mabaya yake tena hadharani na akachukua wakati kuyarekebisha Kwa Toba ya maneno na matendo ingawa hukumu ni yake Mungu lakini tunaamini Mungu si Mwanadamu, asingekuwa na damu ile pengine mapinduzi yasingekuwa na hatma ya Zanzibar ingebaki giza, nimemfurahia mzee Karume RIP.
@ds7891 Жыл бұрын
Sio toba hiyo. Comedy hiyo anafurahisha watu. Huyu ni muuwaji, mnyanganyi mali za watu.
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
Wewe sio M,mungu ,kaa pembeni
@RuwaidaSaid-un3pc7 ай бұрын
Ili iwe Toba iwe vipi au aseme vp
@alialamoudi97295 ай бұрын
Roho ya elfu ishirini sio mchezo kuna waaslaam wengi zaidi ya elfu ishirini wazanzibari
@sammarley14135 ай бұрын
@@RuwaidaSaid-un3pc arudishe haki zawatu majumba na mashamba aliopota nakuwaaca watoto maelfu kwenye uyatima naumasikini
@sammarley14135 ай бұрын
@@salumjumaruhaga2513 ok Yan ww ndio mungu umesha pasisha toba yake??? Jambazi hili lilouwa maelfu yawaislam kwa kiburi tu pasina sababu nahadi Leo waislam Zanzibar mateso yaendelea nchi limekabifhi kwa kafiri nyerere kisha waleta masikhara! Sina shaka jambazi hili lapewa vipigo adim huko ktk tumbo la ardhi
@kamrudinelias3922 Жыл бұрын
Nchi ilishapatikana usiku saa sita sasa mauaji katili kwa WANANCHI zilikua za nn, wamekua mafirauni...
@zinjibaryetu8451 Жыл бұрын
Sheikh Mohammed maneno anayoyazungumza mzee Karume hayana ukweli au insaf ndani yake, sisi ni wadogo wa umri na ilikua hatujazaliwa wakati huo lakini according to this speech haya maneno aliyasema kabla 1974, na wakati anayasema haya kuna wazee wetu na ndugu zetu wengi sana aliwaeka jela na kuteswa bila hatia zozote, kuna wengine walipotezwa kabisaa without any trace licha ya umati wa waZanzibari ulioteketezwa bila hatia yoyote katika hayo yanayoitwa mapinduzi matukufu. Nimesema maneno yake hayana ukweli kwa sababu sio katika hii speech wala hotuba zake zote tulomskia mzee Karume akijutia dhulma walofanya au kuomba radhi. Bali pia katika hii hii speech anasema ati Tanzania Visiwani tunaamua na kufanya tulitakalo maskini kajisahau kua nchi yetu alishaiuza kwa Nyerere miezi mitatu tu baada ya hayo wanoyaita mapinduzi kwahio ni uongo kua ati Zanzibar tulikua na hayo mamlaka wakati anazunguza haya kwani mamlaka yetu zamani alishayagawa kwa Tanganyika. Tuwe wakweli let's call maji maji na mkojo mkojo tusichanganye mambo
@muhmahahmshaibrahim31093 ай бұрын
Karume kauliwa 1972 hiyo kabla ya 1974 ndio vp sheikh?
@zinjibaryetu84513 ай бұрын
Hilo ndiio la kustaajabisha sheikh wangu
@eliakazilo6078Ай бұрын
Usiangalie unyama tuu.angalia na mazuri yake..kwenye Biblia takatifu.kuna mtu aliitwa Sauli.alikuwa mnyama mtesaji.lalini siku YESU alimtaka,alimchikua na akampa na kazi.Mungu si. athumani .pale michenzani Hadi Leo wanamkumbuka Mzee Karume
@Marjeby Жыл бұрын
Shekh wangu hapana toba hapo hizo ni kauli za kujingamba na kuwatambia wangu kuwaonyesha yeye alikuwa nani hapo nia ilikuwa kutisha watu tu kuonyesha yeye nani! Kama yeye mbabe na amejirudi ange sema angalau maasi yake mawili matatu aliyofanya kipindi cha mapinduzi na baada ya mapinduzi Mafano! "Jamani mie nimewahi kuua bure bure tu nilimchukua Kassim Hanga nikamtosa bahari,nimesababisha watu wamekimbia Nchi watu kama kina Ally Muhsin Barwan Aman Than" na mengine kisha akaomba radhi kwa wazanzibar wote kwa mapinduzi na akasema japo kidogo ushawishi wa kishetani wa Nyerere kwake juu ya Zanzibar na wazanzibar. Mie sio Mzanzibar na sina nasaba yoyote na Zanzibar but wazanzibar mpaka kesho wanapaswa kumuona Karume na Nyerere kama mashetani na ni watu waliyowafikisha hapo walipo leo. Karume kwa mambo aliyowafanyia wazanzibar na wazee wao na hayo maneno yake aliyosema hapo akitokea mzanzibar akatamka hayo maneno ni toba kwa karume atakuwa kakosea sana. Shida kubwa sana ya wazanzibar wa leo hawataki kusoma kufatilia historia yao lakini pia kutaka kujua sababu za mapinduzi ni zipi hasa. wanacho jua kutamka Mapinduzi Daima! Mapinduzi Daima unayajua Mapinduzi wewe mpaka useme mapinduzi Daima!!? leo Zanzibar inatota maji haijielewi.
@JohnCatherine-f1z Жыл бұрын
Wewe unacho taka kuwaeleza watu na kuwaaminisha ni uarabu si kingine kama wewe si Mzanzibari ya Zanzibar unayajulia wapi historia ipi unayotaka watu wajifunze, Zanzibar haikuanzia waarabu, waarabu walikuja wakawakuta wazanzibari nini kingine unachotaka kukisema? mtu mweusi ni Muafrika bila kufikiri au bila kwenda shule hilo ukilijua tayari wewe ni msomi maana kwa ujinga mlio wawekea baadhi ya watu weusi ni kuuwaminisha wao ni waarabu ili hali ni weusi ili mteke akili na maarifa yao, kinacho baki kuijua misingi ya utu wako binafsi kama Muafrika. kutawaliwa na kudai uhuru bila mafanikio ndio kulileta Mapinduzi unataka watu wajue nini kuhusu mapinduzi nenda kawashawishi waarabu wenzako Zanzibar hutaiwweza wengi kwasasa wanajitambua
@sahimm4767 Жыл бұрын
Ni uongo, huo ni uono wako na usitake kuwaaminisha watu hilo kma unamchukia mtu mchukie ila mtu akitoa history ya aliyoyapitia usiyaone ni maovu jifunze...
@abdulrahmansalim97737 ай бұрын
😊😮😊😮 MWENYEZI MUNGU HAKUGHAFILIKA NA WATU WAOVU MADHALIM WAONGO WANAFIKI WEZI TAMAA HAKI KAILETA NA ATAILETA IN SHAA ALLAH AMEEN YA RABI ALLAMEEN.
@hajjseif57373 ай бұрын
kweli watu hawataki kusoma tena utakuta mijitu mikubwa na madegree wanaongea pumba na kushabikia pumba
@abdulrahmansalim97737 ай бұрын
😂😂😂😅😅😊LAANA HIZO ALIKUWA HAJIJUWI AKILI MBOVU 😮😮😊😊😊
@ABUUALLY-tv8rl11 ай бұрын
Allah s.w anasema ndani ya qur ani : na yeyote atakae muuwa muumini mwenzake kwa makusudi basi malipo yake ni motoni milele 😢
@user-KASSIM2 ай бұрын
Nikuulize tu Kwani allah ukimuomba msamaha hakusamehe
@hassanmfaume452211 күн бұрын
Ukaombe kwanza kwa uliowaulia ndugu yao@@user-KASSIM
@masoudalriyamy62987 ай бұрын
Aliuwa wazee wetu ispoku mungu anahiyari yake pamoja na mashamba yetu aliyataifisha mwaka alf 1968 mpaka leo tumekua masikini
@sheikhasalim11907 ай бұрын
kwa kweli alitubu then akafanya mengine
@abdullasalim9266 Жыл бұрын
Mpaka Leo tunaumia kupitia dhulma tulio fanyiwa ambayo imetuathiri kisaikologia.
@abdulrahmansalim97739 ай бұрын
😊😊Mbabe na kuingia kwenye shughuli za watu 😮😮😮
@user-KASSIM2 ай бұрын
Kweli kunawatu mapumba sana nimeamini doo Yani hii nakala imewekwa kwajili ya kujifunza yanalaumu dooo
@TunauzaSimu-fn2ff2 ай бұрын
Hakuna mkalifu anamakosa yk lkn mh! Karume wengi wetu tunaumia mpaka leo kukosa wema na mema yk. Allah awe ameshamsameh
@gangmore9091 Жыл бұрын
Juu y kilima wakati alikua chini y miguu y Nyerere 😅 malipo dunian amefanya maovu n yeye amefanyiwa
@drhalimalmaskari Жыл бұрын
Alokwambia alikua chini ya miguu ya Nyerere nani.? Nyerere akimuogopa Karume!
@wanimzur5597 Жыл бұрын
bora palipo ya duniani ukenda unakokwenda adhabu ya mungu ngumu zaidi
@sammarley14135 ай бұрын
@@drhalimalmaskari karume laanatullah aleyhi
@omarsaid7153 Жыл бұрын
Hussein Mwinyi huyajui haya yalosemwa.
@ABUUALLY-tv8rl11 ай бұрын
Katubia wapi aliuwaa watu kwa ukatili na yeye kafa kifo cha kikatili hii ndio jazaa ya kufanya maovu na akhera unamsubiri moto wa jahannam kwa unyama alioufanyaa 😢Allah hawezi kumsamehe mtu ambae alieuwaa waislamu wenzake kwa makusudi 😢
@RuwaidaSaid-un3pc7 ай бұрын
Kakwambia nan mungu hasamehe juu ya dhambi za mja wake
@sop408 Жыл бұрын
Na mungu alimfungua upeo mapema kujua baya na nazuri mapema
@AsyaKhalifa-i2p7 ай бұрын
Toba ILO ya kweli ni kuregesha haki za watu amepora ardhi za watu Kwanza muregeshe,na amewadhalilisha wanachuoni,kama abdallah swaleh,mbona hajamregesha na alikua hai akiwa Kenya,toba ya porojoo
@kindysuleiman5935 Жыл бұрын
Hio haikuwa Toba bali kama kawaida ya porojo alikuwa aeleze yake makosa yake makubwa ya kuangamiza nchi anayojisibu nayo mikonoye imejaa damu hayo ya ngoma ni puruzai tuu Wa uasi wake Allah atamhukumu
@khatibabass3106 Жыл бұрын
Tangu lini muarabu ampende MTU mweusi
@ahmedalbalooshi8518 Жыл бұрын
@@khatibabass3106 kwa taarifa yako kuna waarabu kibao ambao ni weusi na wanaishi kama wananchi wengine wasio weusi .Wacha urangi soma geography utaelewa
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
@khatibabass3106 Mtume Muhammad (SAW) alikuwa Mwarabu na alimpenda saana Bilal bin Rabbah (RA), alimchagua Muadhin wake. Pia Mkewe ni Mwarabu alichaguliwa na Mtume kupinga ubaguzi. Bilal Rabbah (RA) aliyekuwa Mweusi Tititi wa Afrika Mashariki na pia Mtumwa wa Umayyah bin Khalaf aliyeuliwa na Bilal bin Rabbah (RA) kwenye Vita Vya Badri. Mtume Muhammad (pbuh) alimchagua Bilal bin Rabbah (RA), Waziri wa Fedha kwenye nchi ya Kiislam ikiongozwa na Mtume Muhammad (SAW) Madina. Mtume Muhammad (SAW) ametuachia Qur'an kuwa Mwongzo wa watu na Bilal (RA) Mweusi wa Mwanzo kuwa Muislam ametuachia Adhan kwa watu Kuswali. QUR'AN (Muhammad) ADHAN (Bilal).
@ALIKHAMIS-un4fv Жыл бұрын
@@khatibal-zinjibari6956 samahani ndugu usipindishe historia Bilal bin rabah radhi za Allah ziwe juu yake hakuwa mtu anaetokea Africa mashariki Sawa ni mtu mweusi alietokea katika nchi ya Ethiopia 🇪🇹 ambayo ni Africa ya kati ambayo imepakana na nchi kama ya jibouti Eritrea somalia na kadhalika ni ivo tu ndugu
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
@ALIKHAMIS-un4fv Swadakta. Bilal bin Rabbah (RA) alizaliwa Mecca. Lakini ana asili ya Habasha (Sasa ni Ethiopia) ya Afrika Mashariki.
@deusdeditkakwesigabo14017 ай бұрын
😊
@madamaisha1641 Жыл бұрын
Hamna kitu hapo
@masoudhamad74872 ай бұрын
Aaa yote bure tu hayo ila dhuluma sio nzuri wazanzibar tumekua kama mayatima katika nchi yetu mloyafanya sio haki
@MohdRashid-qq6js6 ай бұрын
Alikuwa humble, wengi tunakosea tuangalie mwisho wake
@salumunsabimana6502 Жыл бұрын
Usimjaji Alaah ndo anajaji. Pengine yake yananafuu kuliko yako lakini hakuna wa kukujaji .simtetei na juwa alifanya mengima baya sana .hamuwezi juwa pengine alifanya toba ya kweli. Siyo lazina akifanya toba wewe ujuwe .yake yamekwisha .bado wewe yamekwisha yamekwisha yame
@abdulrahmansalim97737 ай бұрын
😊😊😮😊😮😊😮 MALAWI NDIO KWAO ZILE TABIA ZA BARA LAND NDIO ALIVYOKUWA NA UMRI KAZILETA ZILE TABIA MVOVU 😮😊😊😊😮
@aishathabit37327 ай бұрын
Angetubu angejiuzulu uraisi
@sop408 Жыл бұрын
Wito waakili
@hazimboy11410 ай бұрын
Bwana Muhammed, katika dini ya kiislam kuna haki ya Allah na haki ya waja. Jee hiyo toba imepatiakana imepatikana ridhaa ya waja yaani wenye damu waliouliwa watu wao. Kama bado tuombe husnul khatima.
@NuruJuma-zv3yz6 ай бұрын
Hivi uko na mtoto huku Bara? Anayetukana Wana zuoni? Hakika mnafanana naye sana
@salehKoshuma7 ай бұрын
Kuna Tatizo gani mtu kukiri makosa yake kwani ni nani mkamilifu ? Mie naona he was a very right person amekiri makosa yake wangapi humu wanafanya balaa kimya kimya
@salyali7807 Жыл бұрын
Porojo tu.. nchi kaiuza kwa akili zake chege
@azizamri1522 Жыл бұрын
Muongo! Aliyafanya maasi kuliko hayo baada ya kuwa Rais. Kuuwa sio maasi?
@ramadhandiwani34103 ай бұрын
Wewe bwana umeona kumzungumzia yeye kunafaida Wachaa wewr Mtu akifa hazungumzi ubaya wake Tafuta mengine uzungumze
@sop408 Жыл бұрын
Kuacha maovu ni kipimo cha akili pia alikua anapenda mambo mazuri kwa wengine
@user-KASSIM2 ай бұрын
Ili tuepukane na laana za mwezimuungu
@safarinisafari3 ай бұрын
NIMEJIFUNZA KWAMBA WATU WALIKUWA MATAJIRI HATA KBALA YA MAPINDUZI HILO AMEKIRI MZEE KARUME MWENYEWE KWAMBA MAPESA ALIKUWA NAYO NA YEYE AKIWA NA UMRI WA MIAKA 30s
@AbdallaMwagora-sm1rj Жыл бұрын
Maneno ya dhahabu haya
@sahimm4767 Жыл бұрын
Sauti ya majivuno inajulikana na ya kusema ovu inajulikana.tusianze kujifanya wajuaji sana Allah na mja wake ndio wanaojua toba
@thulayali5858 Жыл бұрын
Sababu yake ya kutupa hadithii hii hakuna baya lisilo achika tuache kwa kuwaza maisha yatakuwa hivi mimi ni binaadamu?
NA ALIOKUA MTESAJI WAKE YUKO WAPI AMBAYO ALIOMPA JINA LA BAMKWE AAH ! UNGIJA KUMEPITA MAMBO AMBAYO HAYASEMEKI LAKINI WATU WENGI WAJIZIMA DATA..
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
@salimalharrasi3943 Allah ametuelezea Utawala wa Firaun na Haman kwenye Qur'an, Mwongozo wa Binadam wote. Haman ametamkwa mara Sita. Nne ni pamoja na Firaun na mbili ni peke yake. Utawala wa Karume alikuwepo Ba-Mkwe akisubiri watu Machinjioni. Wote hawapo lakini KAZI INAENDELEA ili kuimarisha Ukoloni kwa jina la Muungano.
@salimabdallah5176 Жыл бұрын
DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI
@user-KASSIM2 ай бұрын
Wewe unaemlaumu karume wakati karume yeye kajisalimisha Kwa muungu jee ww mzinifu mala rushwa mwizi tapeli muongo msengenyaji msrikina Mwenyekulawiti Mwenye kuluzumu mla mali zayatima rushwa ya ngono ktk Haya japo moja unalo jee umetubia au unamlaumu karume tu tuwache unafiki tujifunze mambo Kwa walio pita kabla yetu
@sop408 Жыл бұрын
Mzee abedi amani karume alikua na akili sana mashaallah
@BarakababaRama Жыл бұрын
Mimi namkubali sana karume
@JohnCatherine-f1z Жыл бұрын
Majbu ya damu Zanzibari ni nchi kwa mujibu wa utawala mana hakuna sehem ya bara ambapo walikosa wageni wakuatawala nadhani ukitoa nchi 2 tu Zanzibar ilikua ni moja kati ya hizo sehem na Zanzibar kwa bahati mbaya sana waarabu ndio walishika dola, sasa kwasababu walio tawaliwa ni watu sio miti na walio tawala ni watu sio marobot miyaka ilipo fika kudai uhuru waarabu waligoma kutoka madarakani na kwa heshima na kuwatuza wale mabwana walikataa katakata hapo ndipo walipo jifunza kitu kumbe Muafrika hatawaliki niheri uchukue nguruwe 🐷 uwatawale kuliko Muafrika (mtu mweusi) Mzee wetu mtukufu Mungu ampe pepo huko aliko alikaa na jopo lake nakuona sasa tumechoka kudai uhuru kwenda mikono nyuma tupambane afe kipa afe beki hapa lazima kabumbu lichezwe Damu ilianza hapo kumwagika. SABABU ZA HAYO YOTE Ubaguzi Unyonywaji kwa watu weusi Lakini sababu kuu ni kwanini tutawaliwe na wageni hali yakuwa wenyewe tupo, ukiona mtu amefika hatua yakufikiri hivi hata kwenye maisha yake binafsi ujue ni kiwango kibwa sana cha akili kuwa imekua Itaendelea............
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
Aliyepinduliwa ni Muhammad Shamte na Mzanzibari Kindakindaki lakini Rais Abeid Karume hakuzaliwa Zanzibar.
@JohnCatherine-f1z Жыл бұрын
@@khatibal-zinjibari6956Muhammed Shamte alikuwa kivuli tu na alikua hafai pia kuongoza wazanzibari maana alikua mlengo wa kushoto waarabu walikuwa kama mbwa wao wanamtuma kufanya kile kilicho wapendeza wao na sio yeye na wazanzibari
@sammarley14135 ай бұрын
Unaongea pumba tupu zisizo namashiko huyu karume nimpumbavu tu msafushe ujuavyo hawezi kutakata. Kwani waliokufa Zanzibar niwarabu tu??? Na visa vya ubakaji uporaji nakutaifisha vinakutania wapi na Uhuru? Upo ushahidi mwingi sana wavisa vyaubakaji aliousimamia karume mwenyewe na hata yy mwenyewe kuwanajisi mabinti wakiislam kupora Mali zao mashamba nakadhalika kisha unakuja kuongea sijui Bora nguruwe Bora hivi kweli kabisa watu wengine kama ww niheri nguruwe .
@RuwaidaSaid-un3pc7 ай бұрын
Ukiikama kauli yake moja tuu utajua hii ni Toba aliposema tuache maasia yetu
@sammarley14135 ай бұрын
Navip kuhusu hali zawatu alizopora ?
@AhmedMahoni7 ай бұрын
Acha kuazisha mijadala kama hii ww
@MohamedAbdallaBadbess7 ай бұрын
AZUMGUMZA KWA FAKHATI SI KWA MAJUTO
@gangmore9091 Жыл бұрын
Bora n yeye angekufa pamoja n wezake mana Zanzibar yasingetokea wala isingefikia hapa ilipo na hao mazezeta wanafurahia ujinga maasi walofanya mazito😡😡😡😡
@MrKhatibu Жыл бұрын
Hukuelewa, hapo alikuwa akitoa nasaha kwa jamii kuwa vijana waandaliwe wakishafikia umri wa maji yamoto. Laitani ingefanyika haya basi tungelikuwa angalau na jamii ya kizalendo maana waliokuwa wakilengwa ni miongoni mwa wazee wetu. Sasa angalia hii jamii yetu tuliorithi kwa wazee wetu ni corrupted na imejaa ubinafsi.
@khatibabass3106 Жыл бұрын
Waarabu washenzi wakubwa walitaka waendelee kuwabebesha mawe wazee wetu nyamaza we mshenz.ata makhalifa walikua waasi wauwaji wametubia na wamesamehewa
@gangmore9091 Жыл бұрын
@@khatibabass3106 hebu wacha kuwachizi bro nipe ushahidi hata kwa pictures warabu wametesa waze wako popote pale ikiwa goggle ,Facebook, Instagram , KZbin, popote fanya utafiti soma ujuwe ukweli achana na kasumba history y darasani Dogo ndio wewe munambiwa binadamu wa kwanza alikua Sokwe unamini
@gangmore9091 Жыл бұрын
@@MrKhatibu nimemuelewa vzr t me nimetoka njee ya mada hasira zangu y maovu alofanya yeye n wezake
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@khatibabass3106 nyie vijana mkisha soma history ya kutungwa ya ccm kuficha mauwaji basi mnakuwa kama wehu. Kama sio waarabu kuja basi ungeitwa JONI na ungekuwa ushafungua kanisa lako. Shukuru alau moja tu kuletewa neema ya Uislamu na waarabu. Hivi uliwahi kuwambiwa kuwa waarabu ndio wamekusaidia uwe muislamu?. Na Mtume saw ametulazimisha kuwapenda waarabu. Na waarabu waliuondoa biashara ya utumwa walioikuta kwa mabeberu yaliokutawaleni mwanzo, na mapinduzi haukupinduliwa ufalme wa kiarabu basi ni vita vya vyama vitatu vya siasa vilitokea, asp, znp, zppp. Hapakuwa na ufalme wowote ila sirikali ndio siri, achana nayo hayana faida tusonge mbele tuishi kijana.
@natafutamatatizo4382 Жыл бұрын
Tatizo alikua hana wazee, kutoka Malawi nå kufadhiliwa nå Waarabu. Lakini fadhila zake NI MTIHANI MTUPU!
@SlemanSule-mn9ln Жыл бұрын
Hatutapa mtu kama huyu
@suleimansumar38332 ай бұрын
Wewe sheikh huna elimu Yoyote na wewe humjui Karume umemsikia tu tumuachie mungu ndie hakim na wewe sheikh kaa hivo hivo ukifa na wewe ndio utapata malipo yako