BOXING NEWS IN TANZANIA, SPORTS , FITNESS PROGRAM & MUSIC
Пікірлер: 23
@abubahammy3710 Жыл бұрын
Mm haidar namkubali Sana Lakin kwa hili pambano kapigwa majaji kuweni makini ktk kutoa maamuz hata asiye jua sheria za ngumi angempa saidi NEVER GIVE UP JESH LANGU SIDE
@saidibakari4581 Жыл бұрын
Side kashinda
@abubahammy3710 Жыл бұрын
Saidi kashinda kwa halali kabisa majaji hii haiko powa kabisa Munakatisha mabondia Tamaa
@twascoakut938 Жыл бұрын
said mshindi
@anoldikabanza8114 Жыл бұрын
mkali saidi
@ogenylaurent7961Ай бұрын
Mchanjo kashinda wazi kabisa Round 1,2,3,4,5,6, Saidi amecheza vizuri round ya 7 na 8 tuu na lakini hizo pia walikuwa wanapigana mnaosema eti Saidi kashinda kashabikieni Bongo movie
@VitarityGang-gr1pr Жыл бұрын
Haidary kashinda
@nuruworldinsight2957 Жыл бұрын
Huyo dogo Bwanga kama akiwa AMATEUR naziona MEDALI 🏅 Za DHAHABU MIKONONI MWAKE (umri unamruhusu)
@ogenylaurent7961Ай бұрын
Bondia wa kawaida sana huyo Bwanga
@nuruworldinsight2957 Жыл бұрын
Kmmmmmmyo zen wallah , mbona hayo matokeo yapo kinyunyume nyume. Dogo throughout tthe fight ana score tofauti na mpinzani wake anapiga vapor
@ogenylaurent7961Ай бұрын
Msenge wewe hujui ngumi wewe
@user-ux8li4ey9v3 ай бұрын
wote wanatalent kubwa jamani
@hassanshareef65727 ай бұрын
Hii haidar kashinda tena waz waz yy said mpaka aidar aingie ndan ndo anarusha ngum
@mwendokasi904 ай бұрын
Haidar kashinda bwanga ngumi zake nyng hewa
@user-cv1yx7ud9f22 күн бұрын
Yaan ww ndio bule kabisaaa
@user-lp1pq7ss6b5 ай бұрын
Hapana majaji wako sahihi bwanga kapigwa
@DagamaMachomezi-zd3bq Жыл бұрын
Saidi bwanga kashinda 💯💯 Side anacheza Kama mwakinyo yani 🥊
@ogenylaurent7961Ай бұрын
Fala wewe hujui ngumi
@godlovakwilia98926 ай бұрын
Dogo bwanga tumpigie Dua hafike mbali kimchezo wa ngumi