She is so far one of my favorites KZbin cooks. Nicely explained
@housewifehomestead4 жыл бұрын
Perfect explanation. Nilikuwa nashindwa vipi zangu zinanyonya mafuta. Sasa nitapika tena. Asante sana
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
Karibu sana dear,nafurahi sana kama umeelewa vidokezo muhimu
@marthabyabato8104 жыл бұрын
Mafuta unaweka ya moto au
@rehemayohana53013 жыл бұрын
Kwa kweli nimefurahia Chanel yako,ubarikiwe.
@hamidahhamidah21132 жыл бұрын
asanteee kunijuza me nimewai jaribu nimekosea kwa moto nimeweka moto mwingi afu nikaweka mamfuta yamoto sana ndoman aijawiva kwandani
@HalimaYusuf-g6y6 ай бұрын
Asante mm nilitumia hamira Yan zimepasuka. Vizur na nitam Yan nimefurai nimejua ila kwa mara ya kwanza niliharib ila kwa Sasa fund Allah akupe afya njema ili uzid kutufundisha
@lucycharles10434 жыл бұрын
Asante sana ubarikiwe unaelezea vizuri had raha unataman kila mmoja aelewe hongera sana hunaga uchoyo kwenye recipe zako unafundisha vizuri mno nakupenda
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
Ooooh jamani wooow..asante sana dear,nafarijika sana kusoma comment kama yako@lucy charles Nakupenda sana pia,tuendelee kuwa pamoja.🙏🙏🙏🙏🙏
@estermduma40644 жыл бұрын
Ahsante nimependa, ila uwe unajib maswali.
@mariamripiti21374 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly Naomba unijibu mpenz je mafuta ya moto au ya baridi?
@childrenamusementworldkisu1372 жыл бұрын
Half keki ya tui la nazi inatake how long ndio iharibike kwA mfano ukitaka kuuza dukani
Habari dada hongera kwa mapishi mazuri swali langu baking powder na baking soda ikikaa muda mrefu je ukichanganya kwenye unga inabadilisha halfcake zako haziwi vizuri au inakuaje
@valentinanduku8718 Жыл бұрын
Yaani mm nimependa sana mapishi ya half cake
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Asante na karibu dear
@mwamvitaadam72192 жыл бұрын
Asante sana mungu akuzidishie
@magrethathumani20943 жыл бұрын
Ahsante kwa somo zuri my dear
@liliaelymacha43422 жыл бұрын
Halfu keki zako zimekuwa nzuri tena za kutamanisha my dear,
@sumamwampulo1463 жыл бұрын
Hongera mummy nimekuelewa sana
@salmaseif87554 жыл бұрын
Shukrani nitajaribu mpendwa 😍
@emmambuya92133 жыл бұрын
Yaani wewe dada ubarikiwe mpaka ushangae, Kwa mara ya kwanza nimepika halfcake kwa kufuatilia video yako mwanzo mwisho, yaani ukiziona utafikiri mimi ni mzoefu😘😘😘😘
@ziadaabdoul19384 жыл бұрын
Asante saana mamy Allah akujaze heri inshaallah
@adelaidemuliro46514 жыл бұрын
Wow I love that I will try to cook for my hubby on Saturday thnx soo much I like them. Congratulation
@nurafedrick3783 жыл бұрын
Mashallah Twazidi kupata ujuzi
@janetwanja95013 жыл бұрын
I love them mimi huzinunua daily, after watching this video sinunui tena
@joharishabani28933 жыл бұрын
Mm nilijua wanaweka amila uwiii
@agnesslaurian32983 жыл бұрын
Asante sana kwasomo zuri nimejaribu kufanya kama ulivoelekeza zimependeza kama zako ivo ila sasa nimeweka maji vuguvugu lkn kuna kauchungu kwa mbali sjajua tatizo nn
@pamelacorne42763 жыл бұрын
Umezidisha baking powder
@twainakimaro84752 жыл бұрын
Hongera sana zinavutia mno tuelekeze kwa kuonesha wipimo,darasa zuri
@dieterfenn67733 жыл бұрын
Wow perfect thank you be blessed
@JoyceMinja Жыл бұрын
Asant nimejifunza
@amadirispa83824 жыл бұрын
Asante sana nimependa have cake nipoa sana lakini naomba yakwamba kama huna Nazi unaeza tumia maji ama vipi. Naomba unieleze
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
Ndiyo tumia maji ,nazi ni ladha tu dear,tunabadili mapishi si unajua tena..
@amadirispa83824 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly OK nime sukuru sana
@ayshersuleyman22544 жыл бұрын
Waweza tumia maji maziwa Nazi pia ndio naipenda saana asante
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
Ndiyo,waweza tumia chchote
@amadirispa83824 жыл бұрын
Naomba mafuzo ya kdf pia inakaa kama hii have cake tafadhali nivizuri kujifuza kila upisi
@araphamohamedi29712 жыл бұрын
Ubarikiwe
@kulthumsalim70704 жыл бұрын
Ma shaa Allah,Allah akubariki dear
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
Akubariki na wewe dear
@kulthumsalim70704 жыл бұрын
@@kekiplus1andonly Amiin yaa rabbi
@monicahanyango95853 жыл бұрын
Asante Dada kwa upishi bora, chakula zako zavutia kweli keep it up ,nauliza ni baking soda ama baking powder ,Asante
@nashifatymzara18593 жыл бұрын
baking soda dear
@helennaisanga12392 жыл бұрын
Asante dada, baking powder uweke na hamira au
@helennaisanga12392 жыл бұрын
Mimi naweka yai na blueband na hamira pamoja na iliki pia baking soda na powder , Jamani najaribu kupika Lkn zinatoka kama mandazi soft / hard. Nifanyaje asante
@mathildemwangaza1094 жыл бұрын
Mimi nilijaribu zikatoka vizuri sana
@naimamunishi12413 жыл бұрын
hueki amira...?
@winniestella88993 жыл бұрын
I tried following the actions but I got totally lost with the language. Thanks for the recipe
@ChitranjalisvlogsRecipes4 жыл бұрын
Wow looking amazing 👌
@benadatteonditj58684 жыл бұрын
Hey siku hizi nimekuwa mpishi pola kupitia you classes
@juliebakombe58413 жыл бұрын
Aset sana mumuke nice 😁😁😁
@iddahtilya15323 жыл бұрын
Dada kwa half cake size kama hiyo unaweza kuuza bei gani kwa kila moja
@alhamdulillahshukraaanyaaa84332 жыл бұрын
Mashaa Allah shukraaan saaana nimejifunza kupitia kwako. Keki nzuri hongera saaana
@hamidaiddy2278 Жыл бұрын
Maashalaah 🙏
@LeahElius Жыл бұрын
Asante San dada angu nmekupata vizuri
@methlaskitchen2923 жыл бұрын
Wow mashaalah
@johaakida7434 жыл бұрын
Mashallah unaju una madarasa tunaomba no dear
@khadijakiddy44684 жыл бұрын
hautumii amira
@mackynicky9474 жыл бұрын
Hautumii Ni baking soda na ukipenda ongeza baking powder kidogo
@albertmushabe8435 Жыл бұрын
Asante Sana kwa kutufundisha. Lakini, ukiwa ukitumiya makaa, je, unaweza ku control vipi iyo moto kukusaidiya kupata ili half cake nzuri kabisa?
@@staicyrose4895 video zangu za half keki zipo nyingi sana,angalia zote
@staicyrose48954 жыл бұрын
Nataka kujaribu kupika io Helf keki but nina baking powder naweza 2mia badala ya baking soda..? Cwajua kuna difference btn soda n baking powder
@salmaalkyumi60303 жыл бұрын
Usipozitia b. Soda unakosa test ya halfcake
@judithmisana90772 жыл бұрын
Dad naitaji kuuliz haziitaji hamila
@freedaan60613 жыл бұрын
Thanks dia
@rashidahmed75044 жыл бұрын
masha allah mzuri sana
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@anethwilliam15262 жыл бұрын
Asante sana
@lulufnns54683 жыл бұрын
Safi sana
@juliebakombe58413 жыл бұрын
Pesa ngapi moja mojja and were are you xxx
@scolasticapaul63603 жыл бұрын
VP Kama nikitumia maziwa yawe ya moto au
@nickyqamunga3 жыл бұрын
Nice i like your recipe
@gracekilambo53304 жыл бұрын
Hongera dada
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@sherehemohamed14433 жыл бұрын
Mimi hua zinanishida hiz
@EstarJanuary-ym7dp Жыл бұрын
Unapatikanaje kwa mamba za simu
@asenathnyanchera35453 жыл бұрын
Je ukitumia maziwa itakuwa poa
@fatumahaji47562 жыл бұрын
Ila mm nikipika zabiashara sipati faida
@spencermassawe97604 жыл бұрын
Yani nimefuata maelekezo yako dada zimetoka vizuri atari nmekandia maji baridi mana nmeamka2 sina kitafunwa ndan nikasema niangalie video yako yani naanza bishara asante sana
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂piga kelele kwa subscriber ake weueweeee😂😂hongera sana dear,umenifurahisha sana,eti naanza biashara😂😂😂😂😂 Kila la heri subscriber ake mie😍😍😍😍
@spencermassawe97604 жыл бұрын
Weuweeeeee sasa kila nikifata maelekezo mengine zinakua Chungu hazpasuki nakazi kutupa2 maelekezo yako ndio yamenipata asante shosti ake
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
😍😍😍😍😍oooh jamani Alhamdullillah dear,ni Mungu tu kakufanyia wepesi,kaona ushakula hasara sana. 👏👏👏👏👏hongera.
@aikashayo71664 жыл бұрын
Sorry unakandia maji baridi au moto
@spencermassawe97604 жыл бұрын
@@aikashayo7166 nlikanda na yabaridi
@safiyatheonlything78484 жыл бұрын
Kama au bank soda bank powerd inafaa
@maryamharon14844 жыл бұрын
Nitajarib kesho tena maan kila siku nkipika nafanya maajabu tu jmn
@kekiplus1andonly4 жыл бұрын
😂😂😂InshaAllah dear,Allah Akbar
@RehemaKihwil7 ай бұрын
Nimeipenda
@edinaamvungii9103 жыл бұрын
Mashalalah
@mombiacompanyltd-rq1zg Жыл бұрын
Hello dear! Je, waweza kutumia Nazi za pakiti (za Azam and whatever?)
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
Yes..anything works..ata ukiamua hutaki eka ni sawa tu..Tia maji..lol
Asnte kwa somo zur ,sorry kwenye kipimo Cha unga kilo 4 bicarbonate Kia's gan nisaidie please
@sarahgihoshwa77153 жыл бұрын
Tunakuomba uwe unajibu maswali yet ili tufarijike mpedwa
@sefumohd44853 жыл бұрын
Unatakiwa ujiongeze na ww, yy kwenye kilo 1 katumia kijiko kimoja carbonated soda, sasa ww kilo zako ni 4 kwaiyo ni vijiko vinne, ni hesabu ya darasa la kwanza tu.
@dechaggagirl16144 жыл бұрын
Kumbe hauitaji hamira na je huuwachi unga kidg??
@marychanya36914 ай бұрын
Naweza kuweka iliki ndio nipate harufu nzuri kwa half keki zangu?