"HALI NI MBAYA, SPIKA NDUGAI JIUZULU" - MBUNGE GWAJIMA

  Рет қаралды 74,885

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

"HALI NI MBAYA, SPIKA NDUGAI JIUZULU" - MBUNGE GWAJIMA
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 48
@godfreymbwambo4460
@godfreymbwambo4460 2 жыл бұрын
HAWA NDIYO WACHUNGAJI WANAOELEWA MAANA YA KUSAMEHEWA 70 MARA 70 KULINGANA NA MAAGIZO YA YESU????
@dairahally5471
@dairahally5471 2 жыл бұрын
RIP jembe Askar Kamanda mtetez w wanyobge MUNGU akpngzie adhab y uk ulp n awahukum woot mafsad n wasart wak Inshaaalah
@dairahally5471
@dairahally5471 2 жыл бұрын
Inna lilah wa inna lilah rajuun MUNGU iangalie Nchi yet MUNGU iongoze tanzania yet maaan Dunia inaelkea Mwsho ss
@xhekymust7570
@xhekymust7570 2 жыл бұрын
Hii tanzania yakipumbavu sana sijawahi ona unapo ongea ukweli unaonekana mbaya ila watu wa... Wote wanafki jaman ndomaana ha wauana wenyewe mungu anawaona ndugai hana kosaaaa hii inchi inaenda kubayaaaaa
@richardismhoro7890
@richardismhoro7890 2 жыл бұрын
Askofu mungu anapendezwa na toba
@babusadala5732
@babusadala5732 2 жыл бұрын
Alichobugi ni kuomba msamaha ......Bora hasingeomba samahani 😢😢😢😢ila job uliongea ukweli kaka yangu 🙏🙏🙏
@shedrackngaila383
@shedrackngaila383 2 жыл бұрын
Ndugai alikuwa anasema ukweli Kwan wapo wasio jua kwamba Kuna maden kias gan tz
@godlaiz3738
@godlaiz3738 2 жыл бұрын
Sawa kabisa na job ndugai kakuskia
@madsonmmbwanga3037
@madsonmmbwanga3037 2 жыл бұрын
Wewe gwajima nakuheshimu Sana lakini kwani biblia inasemaje kuhusu MTU anaye omba msamaha???
@ayubutwalibu2381
@ayubutwalibu2381 2 жыл бұрын
Gwajima unaakili Sana jaa atoke kwenye uspika aondoke mnafk Sana ndugaii aondoke
@freshitv2304
@freshitv2304 2 жыл бұрын
Tanzania iko nyuma sana kidemocrasia! Mnamkandamiza mwenzenu!!! Nyie wapumbavu sana! Yaani mnachukulia Rais as a goddess!!!
@masanyiwamullagwanyawawa6244
@masanyiwamullagwanyawawa6244 2 жыл бұрын
Gwajima hakika clip hii umejidhalilisha Sana, badala ya kumuunga mkono spika wewe unatetea ujinga wa mikopo inayo liweka taifa letu Rehani. Wasomi mkoje? Mbona hamna akili hivi?
@farajakihame1153
@farajakihame1153 2 жыл бұрын
Anatetea ugali wake mwazo aliaza vema saiv kalewa sifa
@missangatv1368
@missangatv1368 2 жыл бұрын
CHANJO, CHANJO, tumeanza kuona matokeo ya CHANJO! ndondocha watakuwa wengi xnaa!
@veronicaalfred5739
@veronicaalfred5739 2 жыл бұрын
NDUGAI kaomba msamaha; tena kwa unyenyekevu kwa nini asisamehewe; we GWAJIMA unachochea asisamehew, we ni mchungaj gan, au hat uchungaj ulishauacha kisa ubunge, hata hivo sion kosa la NDUGAI mnamwandama bure, MUNGU kashamsamehe nyie mnashindwa kumsamehe!! pole yenu.
@farajamwito7242
@farajamwito7242 2 жыл бұрын
Kuomba msamaha kalazimishwa.
@gastordominic410
@gastordominic410 2 жыл бұрын
Mtumishi ana ulinzi....
@storytownTv
@storytownTv 2 жыл бұрын
Watanzania fumbueni macho bannah mbona Ndugai kasema kitu ambacho ni Cha kweli kabisa MIKOPO SIO MIZURI KABISA HATA KIHUALISIA KABISA tuache kudanganywa
@storytownTv
@storytownTv 2 жыл бұрын
@@salma0000 ngoja hawa achie hao wajiaji na wahun tuone Sasa utopolo utakao fanyika
@prettyh7509
@prettyh7509 2 жыл бұрын
Mpuuzi gwajima unatetea ugali
@angellamunguakubarkikwahad6080
@angellamunguakubarkikwahad6080 2 жыл бұрын
Asingeomba msamaha
@estermachea3373
@estermachea3373 2 жыл бұрын
Wanaume hamwezi kuogoza popote mnyamaze hamna kauli umeshindwa kila sehemu tuacheni wamama msitupeleke peleke tubuni ufalme umewashindwa
@takiageorge3250
@takiageorge3250 2 жыл бұрын
Wewe kweli unaupakooo au
@wilonjabikey8274
@wilonjabikey8274 2 жыл бұрын
Job ndugai hajakosea kusema vile ni huchungu sana nchi za Africa kuishi kwa mikopo tazama kama DRC tunakosa nini Lkn tunaishi kwa mikopo so hapo katikati kuna jambo kubwa linaloendelea kwenye hii awamo ya 06!! Tusubiri tuone
@farajamwito7242
@farajamwito7242 2 жыл бұрын
Kumbuka nguvu yake siyo yako,na pia tambua kuwa amefanya hivyo kwa sababu.
@hanschuma7734
@hanschuma7734 2 жыл бұрын
Kumaninana hao ndio wanasiasa wakibongo hahhahahaa uchafu Mtupu
@amohammed3390
@amohammed3390 2 жыл бұрын
Hii laana. Kama wasingefanya ufukunyuku haya maneno wakasema wapinzani yasingemfika huyu. Wakafanya figisu figisu wakaona kwenyebuchaguzi wanajipendelea kubwa wanajipalilia makaa ya moto.
@kisuchadaktari2807
@kisuchadaktari2807 2 жыл бұрын
Mh. Gwajima aliposema kua. “Huyu ndio Ndugai unaemjua (I know) Ndugai Ana ana anasemaga………….,”. Ulimanisha nini ? Na umesema tusichukue positive sasa tunachukua Negative. Kwa negative unaweza kufafanua kua ulikua unamuonga mkono kwa aliyuyasema, na haswa pale umipomwambia. “ Mtani Huwezi kufa mpaka tumalize safari yaani mpaka 2025”. Na Haya ndio alohutubia Mh. Rais kua kuna watu wanajipanga na nia zao na sio kutusaidia wana nchi 2025. Na Hiki ni kisu cha daktari.
@kibekran10
@kibekran10 2 жыл бұрын
mzee tayari ameshaa achia kiti
@sleymohamed3825
@sleymohamed3825 2 жыл бұрын
ameshaandika barua ya kujiuzulu
@muhammadkipangatv2674
@muhammadkipangatv2674 2 жыл бұрын
Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yang hapo kama hautojali
@burudikanamaruma8950
@burudikanamaruma8950 2 жыл бұрын
Kasikia
@isaacsengunda3099
@isaacsengunda3099 2 жыл бұрын
Yametimia,, Kajiuzulu sasa huyu dwanzi
@houseofjudah7470
@houseofjudah7470 2 жыл бұрын
Akikataa mtafanyaje
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Amebanwa pande zote, hana namna... Amepoteza imani na Wabunge, amepoteza imani na Watanzania, amepoteza imani na Rais... Yampasa kujiuzulu...
@maphandeahmed6827
@maphandeahmed6827 2 жыл бұрын
Job ndugai amekaria ganfa la ndizi amesereteka
@salimliemba3458
@salimliemba3458 2 жыл бұрын
Kazi iyendelee tunaimaniiii na Samia oya oyaaa oya Samia kweli kweli kweli kweli kabisa nchi Ina deni Zaid ya t 70 kakopa mama 1.3 tu watu waropoka je kakopa Bila kupitia bunge? Au ndo kiki za 2025 mama chapa kazi niko pamoja na wewe 100%
@wamburamtatiro1834
@wamburamtatiro1834 2 жыл бұрын
Eeee nyie gawanyika tu muwe hata makundi 100 unaitaka hiyo chansi
@mudolyomanzil6502
@mudolyomanzil6502 2 жыл бұрын
Nosense
@bigirindavyideo8698
@bigirindavyideo8698 2 жыл бұрын
Wewe Rwajima acha ujinga? Hivi kweri ukijiangalia huoni kama uko mapunguvu kichwani? Jilekebishe halafu unavyo towa macho yako sizani kama uko mzima
@omarynsansa6633
@omarynsansa6633 2 жыл бұрын
Anafanya vzr au cyoo????
@xhekymust7570
@xhekymust7570 2 жыл бұрын
Hii nchi niushatan mtupuuuuuu huuu niujingaaaa hakuna kiongozi apa kiongozi nimungu tuuu haya yote nimajambazi bora magufuli wetu mimi bado naamini bado yupo mzee wetu jamni sijawah onaaa haitakaa itokee rais kama magu mpa tufe wote azaliwe na mungu tena watanzania aaaaaaaaaaaaa amkeeniiiii kumekuchaaaaaaaa uuuuuuuuuuuuuwiiiii eeee mungu tusaidiiiieeeeee sisiiii 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😚😚😚😚😚🤐🤐🤐🤐😥😥😥😥😫😫😫😫😫😫😫
@xhekymust7570
@xhekymust7570 2 жыл бұрын
Hii nchi niushatan mtupuuuuuu huuu niujingaaaa hakuna kiongozi apa kiongozi nimungu tuuu haya yote nimajambazi bora magufuli wetu mimi bado naamini bado yupo mzee wetu jamni sijawah onaaa haitakaa itokee rais kama magu mpa tufe wote azaliwe na mungu tena watanzania aaaaaaaaaaaaa amkeeniiiii
@evvyngumba5930
@evvyngumba5930 2 жыл бұрын
Huna lolote ww
@jchriss4269
@jchriss4269 2 жыл бұрын
Nje ya siasa pia kuna ubunifu wa kijana huyu mbeya kzbin.info/www/bejne/mnWlqIqrlKaBmpY
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 62 МЛН
Женская драка в Кызылорде
00:53
AIRAN
Рет қаралды 474 М.
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
00:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 4,8 МЛН
SPIKA NDUGAI ALIVYOMTOA NJE MBUNGE CONDESTER - "NENDA KAVAE VIZURI"..
4:50
NDUGAI VS SUGU BUNGENI: Gumzo la anachoning'iniza Sugu
1:13
Millard Ayo
Рет қаралды 52 М.
SPIKA NDUGAI AMUOMBA MSAMAHA RAIS SAMIA - "NAOMBA RADHI SANA"
2:29
Wasafi Media
Рет қаралды 181 М.
Spika Ndugai amchana Gwajima bungeni
4:55
EastAfricaTV
Рет қаралды 6 М.
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 62 МЛН