🅻🅸🆅🅴 : HALI TETE ARUSHA/GODBLESS LEMA ANAKIWASHA MUDA HUU/WATU WAFURIKA...

  Рет қаралды 27,463

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 58
@mnolamanyendi4956
@mnolamanyendi4956 7 ай бұрын
Arusha tunawaomba Sana mtuperekee lema bungeni 2025
@SubiranTimo
@SubiranTimo 7 ай бұрын
Hongera lema mungu akuongoze akusimamie akufunike kwa damu yake amen
@GoodluckTarimo-u3j
@GoodluckTarimo-u3j 7 ай бұрын
Mungu awape ujasiri tunawapenda msichoke tuko pamoja ccm wanatuona malofa sn
@cesidilili6991
@cesidilili6991 7 ай бұрын
Ipo ck mungu atafanya njia pasipo na njia
@SaadIssa-c9o
@SaadIssa-c9o 7 ай бұрын
Safi sana brother Lema, your very honestly inshaAllah tupo na wewe 2025
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 7 ай бұрын
Chadema,you have remarkable agenda for supporting development and growth of quality population in our society of Tanzania.God bless you.
@kaaakwakutuliaa5179
@kaaakwakutuliaa5179 7 ай бұрын
Wazanzibari tunataka wahamishiwee Bagamoyo
@DeusdeditRwiza
@DeusdeditRwiza 6 ай бұрын
Nawakubali sana.
@daudisalum9574
@daudisalum9574 7 ай бұрын
Nakubali sana kamanda
@SaviorAfrica
@SaviorAfrica 7 ай бұрын
SAFI SANA CCM WANAJIFANYA WANA AKILI SANA NILIONA WAMEHARIBU ARUSHA ILI WASIANDAMANE.
@YonahMalaki-xx4pf
@YonahMalaki-xx4pf 6 ай бұрын
Hogera sana kamanda mungu awe pamoja nawe mufka salama 2025
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
@Dismasbccmiraclecenter-rv9qi 7 ай бұрын
People's power 💪💪
@nicholasakeya6790
@nicholasakeya6790 Ай бұрын
From kenya lema namkubali saana
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 7 ай бұрын
👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👊👊👊👊people's power
@KayongoOba-ht2rf
@KayongoOba-ht2rf 7 ай бұрын
Lema nimekubali Leo ww ni nabii
@LoitushulYamat
@LoitushulYamat 7 ай бұрын
Makamanda hawapigi mwingi wanafikisha ujumbe kwa wananchi
@jonathanakhabuhaya1693
@jonathanakhabuhaya1693 7 ай бұрын
Mimi nafikiri Rais Samia na viongozi wengine wa CCM wanaoitakia mema Tz watahakikisha Bunge lijalo wanaingia wapinzani kama Mbowe, Lema, Heche,Halima Mdee na wenzake, Dr. Slaa nk kwa sababu hao ndo wanasema ukweli kuhusu maisha na shida za WaTz. Machawa wanaomzunguka Samia wanashughulikia matumbo yao tu.Hawafai hata kidogo.
@MngwaliAllykizangwa
@MngwaliAllykizangwa 7 ай бұрын
Mmm mnaharibu sasa,haya ya kuitwa shehe achana nalo,
@SaviorAfrica
@SaviorAfrica 7 ай бұрын
ÀMKENI MLIOKO CCM TUIKOMBOE NCHI TOKA MIKONONI MWA WAARABU
@Felix-e6t4m
@Felix-e6t4m 6 ай бұрын
asante ngugu zangu watanganyika hosptali za serekali tunanyanyaswa atutibiwi tengeru patandi wagonjwa wanasngaishwa kama sio kwao
@Ushauri235
@Ushauri235 7 ай бұрын
Lema hakika wewe ni mtumishi sijalia ila hii spichi inaniumiza Sana Niko maskini Sana
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf 7 ай бұрын
HAMNA MPYA NYINYI MANYUMBU, NI UPOTOSHAJI TUUU KWA WA TZ ILA TUMESHA WABUMBURUKIENI MTAYALA WENYEWE MATANGO PORI YENU.
@MURLIJuma
@MURLIJuma 7 ай бұрын
Bunge sasa hv halina raha kabisa
@Felix-e6t4m
@Felix-e6t4m 6 ай бұрын
Tunawataka vijana wapewe mashamba wajiajiri kuliko kuajiriwa na waarabu na wazungu lema mchunge mashamba yetu makubwa ya kahawa Arusha wamenyakua wakagawana wao kwa wao atutakubali Tena
@JmotorsAutogarage
@JmotorsAutogarage 9 күн бұрын
Kamanda lema pambana Jimbo la Arusha y
@SaviorAfrica
@SaviorAfrica 7 ай бұрын
SISI. SIO WATUMWA WA WAAARABU
@SaviorAfrica
@SaviorAfrica 7 ай бұрын
NO TO DPW. CCM MUST. GOOOO
@TradersEasyWay
@TradersEasyWay 7 ай бұрын
wakiendelea kukinikushi hivi plus na matatizo yaliyopo mengi nchini wananchi lazima wataitimua sisimu yani
@Omarimakuka
@Omarimakuka 7 ай бұрын
Huna jipya
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 7 ай бұрын
We nyoka wanaojitokeza kwenye maandamano ni wachache kwa kushindwa kutembea tunaobaki majumbani tunampenda chadema .chama la wana Iko mioyoni kwa watu
@peterjohnson167
@peterjohnson167 7 ай бұрын
Lema kakubali kwamba wanao jitokea kwenye maandamano ni wacahche .... Ni kweli wanao jitokeza kwenye maandamano ya Chadema ni wachache kulingana hali halisi Chadema hawana kipya .....
@eliawonimonyo3974
@eliawonimonyo3974 7 ай бұрын
Kamanda uko vizury wewe ni mwenye kiti WA wap ni kupe kura yaguu
@nemesirabow2340
@nemesirabow2340 7 ай бұрын
Awa watu wa upinzani mbon wanakuaga namaarifa makubwa SANA.
@SaviorAfrica
@SaviorAfrica 7 ай бұрын
TIMU ZOTE WANAMILIKI WAO WANAKULA WAO
@JacobTarimo-v7h
@JacobTarimo-v7h 7 ай бұрын
Biashara ya kuuza magari mtandaoni
@cesidilili6991
@cesidilili6991 7 ай бұрын
Mh lena kuna baadhi ya viongozi wa dini wmesema neno hususani maaskofu wakatholiki
@SaviorAfrica
@SaviorAfrica 7 ай бұрын
TUENDELEE siku MOJA TU tukukomboe HATUWATAKI CCM. Kikundi
@MURLIJuma
@MURLIJuma 7 ай бұрын
Lema tiyari ni mbunge wetu gambo imekula kwake mnaibaga kura sasa hv iben
@safarisalehe7752
@safarisalehe7752 7 ай бұрын
Watz tunataka tuelezwe yap tuelezwe ufke mda tuchukie
@evaemil856
@evaemil856 7 ай бұрын
Samia amesema ng'ombe wa Masai wamekonda hivyo kutoa elimu Ya kufuga ng'ombe wawe na mafuta nono
@JacobTarimo-v7h
@JacobTarimo-v7h 7 ай бұрын
Biashara ya magari
@johnbundala7596
@johnbundala7596 7 ай бұрын
Tanzania ina watu wenye akili sana akikaa mzembe mzembe atapigwa danadana mpaka ashike adabu
@bonifacemphumuhila
@bonifacemphumuhila 7 ай бұрын
Mbona huwa onyeshi watu waliohudhuria?
@SaviorAfrica
@SaviorAfrica 7 ай бұрын
Hata kama ni mmoja ni mtu mtaondoka labda muwangoe wibaka waliojificha ndani ya chama chenu ILI watuibie
@SaviorAfrica
@SaviorAfrica 7 ай бұрын
VISINGIZIO VYA UONGO VYA CCM
@EliaMwankenja
@EliaMwankenja 7 ай бұрын
Nikiki Hanna lolote
@bonifacemphumuhila
@bonifacemphumuhila 7 ай бұрын
Wewe mchukua video unaboa.
@evaemil856
@evaemil856 7 ай бұрын
Mama amesema sukari ni ghali kwa sababu uzalushaji umepungua kutokana na mvua vyingi.
@NixonGerson
@NixonGerson 7 ай бұрын
Sukari mvua nyingi ..umeme mvua hamna
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 7 ай бұрын
😅😅😅
@SaviorAfrica
@SaviorAfrica 7 ай бұрын
SIO kweli kitaalamu Huwa inatakiwa kuwe na AKINA ya CHAKULA. Someni na sikilizeni TAARIFA KUTOKA vyanzo aminifu
@massawemrlowprice3949
@massawemrlowprice3949 7 ай бұрын
😂😂😂😂
@SaviorAfrica
@SaviorAfrica 7 ай бұрын
PAKUENI MADINI WANANCHI WAFUNGUKE TUIKOMBOE NCHI YETU TOKA MIKONONI MWA WAARABU
@EliaMwankenja
@EliaMwankenja 7 ай бұрын
Tumelusu wajinga watufundishie watoro wetu
@JacobTarimo-v7h
@JacobTarimo-v7h 7 ай бұрын
Biashara ya magari
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 124 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 10 МЛН
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 17 МЛН
DP Rigathi Gachagua Addresses the Nation
2:00:02
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 72 М.
MAKONDA AWAFUKUZA KAZI WATUMISHI ARUSHA
1:06:20
JAMBO TV
Рет қаралды 96 М.
Mwanzo Mwisho Jinsi Hotuba ya Lissu Ilivyolitikisa Jiji la Arusha
49:01
GIANT Gummy Worm Pt.6 #shorts
00:46
Mr DegrEE
Рет қаралды 124 МЛН