😂😂😂😂 Ata mim Jaman ila nmeitafuta mbaka nimeipata 🙄 🙄 🙄🙄 😂😂😂😂
@TumainiSanga-ij4cr3 күн бұрын
Ni heri kumrudia mungu kabla hiyo harusi haijafika
@ndeshukurwakaaya43853 жыл бұрын
Ambweni ubarikiwe sana. Huu wimbo unaakisi maisha kuishi bila uwepo wa mungu ambaye ana makusudi na maisha ya mwanadamu. Hivyo basi kwa kweli mungu hachoki kutusubiri ili tumgeukie na tuone ukuu na nguvu zake. Mungu aweza kupitia kwa kuamini na kukitiri kwa dhati kuwepo kwa YESU KRISTO. Aliishi maisha ya kibinadamu lakini kwa kuishi na mungu baba yetu wote aliyashinda yote kwa neema ya mungu baba yake. Ni neema iliyojaa uhai wa kweli katika kila siku ya maisha na majaribu. UWEPO WA MUNGU UNATOA FURSA YA KUSHINDA MAJARIBU NA KUSHUHUDIA. IS AMAIZING. wimbo wa ushindi. 🙏
@KabonekeFathili9 ай бұрын
Mwenyezi mungu akutunze mtumishi uwe na maisha marefu saana yenye kujawa na amani,,❤❤ ,,,
@rebeccarobert83192 жыл бұрын
Ahsante mtumishi kwa ujumbe mzuri mweye masikio na asikie roho anena
@ndeshukurwakaaya43853 жыл бұрын
ASANTE AMBWENE KWA KUTUMIKA KWA NEEMA YA MUNGU KTUMIKA KUFUNGUA WATU WA M7NGU MACHO YA KITOHO. ASANTE SANA.
@theaidanny7536 ай бұрын
Wimbo wangu Kipenzi..Natamani urudiwe vya Tena Maana Mambo yamekuwa Mengi sana sikuizi
@ndeshukurwakaaya43853 жыл бұрын
Harusi za shetani zitakosa nguvu , MARA YESU AKIALIKWA KWENYE HARUSI HIZO. YESU AMEKWISHA TUSHINDIA LAZIMA TUMWALIKE KWA MOYO WA DHATI NDO TUTAMWONA KWA MATENDO YAKE KATIKA HARUSI ZETU. MUNGU ATUPE NEEMA. IS AMAIZING.
@MoiseSysto7 ай бұрын
Naridhika kila nikisikiliza wimbo huu. Mungu azidi kumubariki muimbaji Mwasongwe
@sinaibillionare3614Күн бұрын
WHO IS HERE 2025 ❤❤❤
@mbohowenayesu22065 ай бұрын
Iyi nyimbo inaedana ushuuda wako jinsi murikua kwenye Gari narafikiyako na mt mwigine akatoka mbila kumfugua murago wagari
@ogugusamwel36632 жыл бұрын
Ndugu ubarikiwe sana na Mungu mpaji wa karama zake kwa waja wake. Kwa hakika Wimbo huu ni wa tajiriba ya juu kisanaa. Niliusikiza zaidi ya mwongo mmoja na bado nitazidi kuusikiza kwa iyo album ya majaribu ni mtaji. Uzidi kutubariki kwa ushairi wenye ustadi . Ktoka Kenya
@nkungujackson70923 жыл бұрын
Ubarikiwe Ambwene imba kwa roho na kweli
@rehemamwashinga5833 жыл бұрын
Mtu wa mungu hii irudiwe kwa msisitizo tena
@issackjohn58053 жыл бұрын
Duu tumtafute Mungu kwa kweli harusi yake nduli shetani siyo kabisa