Mungu ni ameinua watumishi kuinua watu katika kipindi hiki Cha mwisho... Mchungaji Mbaga,Mungu akuzidishie zaidi na zaidi baraka zake,ninafatilia sana mafundisho yako na ninaendelea kujifunza katika chuo hiki Cha Mungu.
@SimãoDinisCiprianoCipriano29 күн бұрын
Mungu na akubariki ntumishi wa mungu. Maubili yako yananibariki Sana.
@schuby2749 Жыл бұрын
Ubarikiwe Sana Pastor , kila mwaka nikisikiliza hii,, kila siku napata kitu... Uwiii sijui nisemeje.. Mungu azidi kukutunza. Yesu naomba unioshe.. Jina langu liandikwe kwenye Kitabu cha Uzima🙏
@MahubiriPrMmbaga Жыл бұрын
Amen
@esterkaogo2390 Жыл бұрын
Barikiwa sana pastor mbaga BWANA aendelee kukutumia
@Dative1093 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mutumishi wamungu asante
@nigangwarobert61382 жыл бұрын
Nabarikiwa na mahubiri yako Mungu akuongezee ufahamu zaidi
@eliabamayi43445 жыл бұрын
I really like this preaching of your mtumishi yaani hakuna mahali unakosea Ata moja yaani yote ni ukweli mtupu!!!.. Mungu akubariki sana mahali ulipo aki
@MahubiriPrMmbaga5 жыл бұрын
AMEN!! MUNGU ATUKUZWE
@paschalrnrichard97175 жыл бұрын
Tumekombolewa kwani Mungu kaleta mtetezi wetu,, barikiwa,, sanaa, pastor Mungu ndiye njia Bora kuliko zotee
@MahubiriPrMmbaga5 жыл бұрын
Amen
@Martin-uq2kv3 жыл бұрын
Amina Mungu azidi kukutumia kwa kuendeleza ujumbe ambao haupatikani kwa baadhi ya wahubri
@jescaabraham13145 жыл бұрын
Dah👐 barikiwa mtumishi wa MUNGU
@mariengatia5 жыл бұрын
Naitoa maisha yangu kwa Yesu,hivi nilivyo siwezi peke yangu. I need you Lord! Asante chungaji,Mungu azidi kua nawe unapofanya kazi yake.
@thegospel175 жыл бұрын
Mary Ngatia Amen
@jacobkidoto61195 жыл бұрын
Amen
@thegospel175 жыл бұрын
Follow instagram @pastor david mmbaga
@stanleizawadi57454 жыл бұрын
Mchungaj samahan ninashid ya no zk ninamatatizo
@dorcasfelix86883 жыл бұрын
Namshukuru Mungu alieniruhusu kusikiliza juu ujumbe leo
@dottocharles78094 жыл бұрын
Amina Pr Mwenyezi Mungu akubariki sana kwa somo zuri
@josephbunzali6111 Жыл бұрын
Nimebarikiwa mchungaji Mungu akubariki pia
@bahatindahani44105 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi ninajifunza na kubarikiwa Mungu akuweke katika viwango vya juu zaidi
@danielmastaki85693 жыл бұрын
Nabarikiwa Sana pasta ubarikiwe
@yazanalanzi24113 жыл бұрын
Asante posta Mungu akumbariki sana kwa maubili mazuri nimekoka
@eunicekhamali72685 жыл бұрын
Siku tatu sasa tangu nigundue sermon zako , haki si mi hubarikiwa...Bwana akubariki sana mchungaji...
@virginiamusila7972 жыл бұрын
nibarikiwa sana mtumishi wamungu mungu akubariki kwauduma yako.
@joyestherbagarura9544 жыл бұрын
Imagine leo i was a bit weary....just went to U tube en landed on this pastor's preaching abt "dhambi isiosamehewa"....am telling you i must listen to all his preachings....en this is the third one!!! I think he is now my fovourite pastor!!!! God bless!!!!!!!! We meet in heaven pastor!!! Lots of love from Uganda!!!!!
@myself41283 жыл бұрын
Sasa nani anaelewa Kiswsnglish? Ongea lugha moja basi na sisi tuelewe
@zakaliantambi80753 жыл бұрын
Mungu akubarik mtumish
@hassanhussein6161 Жыл бұрын
ameni mungu akubariki mchungaji
@Samir200054 жыл бұрын
Somo hili lime ni bariki sana pastor ubarikiwe sana na mungu awe nawe katika huduma yako
@eunicebukokhe68053 жыл бұрын
Asante sana Ndugu,, ubarikiwe nawe katika mafundisho haya
@MaombiJofre-k8m11 ай бұрын
Amen 🙏 ubarikiwe sana
@joyceobiyanyaundi19774 жыл бұрын
I have listened to the preaching, am really blessed. I know God is a living God. He makes a way where there seems to be no way.
@Enockbeckbrown-hf6xx10 ай бұрын
THE “REMNANT” OF SPIRITUAL ISRAEL- WHO ARE THEY TODAY? In 31 C.E., God found his church by pouring the Holy Spirit on His true followers. They spread the good news throughout the then known world. God had foretold this, He was reclaiming His spiritual “wife” and her “seed”(Isaiah 54:1-8; Gal. 4:26, 27). However, John was shown that this woman and her seed would be the object of fierce attacks by Satan and his demons especially after the death of the apostles (Acts 20:29, 30; Revelation 12:1-17). By then, the "mystery of iniquity" was already working imperceptibly (2Thes. 2:7). How so? Some false teachers had started spreading lies such as, the secret rapture (2Thes 2:1-2), the spiritual resurrection (2Timothy 2:16-18; 1Corinthians 15:12), some were starting their own splinter groups (1John 2:18-19; Jude 1:4-16), false teachers and false prophets were increasing (John 4:1; Revel. 2:2, 6; 2:9; 3:9) etc. But, there still existed a restraining force to that apostasy-the apostles (2Thes 2:7; 2Peter 3:1-3; 2John 1:9-11; Romans 16:17-19). Some time after the death of all the apostles, the GREAT APOSTASY set in: false teachings flourished, false prophets and false teachers (2Revelation 2:9; 3:9; Jude 1:4; 1John 2:18-19; 4:1; 2Peter 2:1; 3:15, 16). Daniel had been shown that counterfeit christians would atrack this SPIRITUAL “Israel of God” and throw down the truth (Daniel 8:9-13; Galat. 6:16; 1Peter 2:9-11) What was attacked? According to Daniel 8:9-13 and Daniel 7:25: * The truth was attacked * The seed of the woman was attacked * The sanctuary or temple * The law of God was attacked, etc What is this temple or salnctuary? The heavenly temple and those who worship in it (Hebrews 8:1, 2, 5; Ephesians 2:6; Colos. 1:13; 1 Corinthians 3:16). But, Daniel was ALSO shown that in the “TIME OF THE END”, after 2300 prophetic days, that is, in 1844, the “SANCTUARY” or “TEMPLE” would be restored (Daniel 8:13, 14). Malachi was also shown this great event (Malachi 3:1-5). So, did that happen in 1844? True to that prophecy, in 1844 the “SANCTUARY” or “TEMPLE” and those who worship in it were RESTORED. How so? As foretold, in the TIME OF THE END, Bible students got together and started studying the Bible in deadly earnest. God led them to the Bible truth and they begun proclaiming the first angel's message (Rev. 14:6). Like the early disciples of Jesus and John the Baptist, at first, they thought the “KINGDOM OF GOD” would start during their day (Matt. 3:1-2; 11:1-6; 10:7, 23; 16:28; Luke 9:27; 19:11; 24:21; Acts 1:6; Ecclesiastes 3:15). Nevertheless, they were told to “PROPHESY AGAIN” to every nation, tongue and people. That is, to REPEAT the first angel's message till the end of the world (Revelation 10:8-11; 14:6). From then, the worldwide work of the SEVENTH-DAY ADVENTIST CHURCH had already commenced! (Revelation 14:6-12). How wonderful is the outworking of God's invisible hand! Satan is not ignorant of this fact. He is making everything he can to misrepresent the truth by propagating his propaganda through human puppets! The arrogant and proud apostates are being used by Satan the Devil and his demons to misrepresent that truth and to propagate God-dishonoring, malicious, and blasphemous lies against that REMNANT CHURCH. These apostates include the poor arrogant DIGRUNTLED ONES and THEIR poor Devil-duped followers! We ought to pray for them
@eliudbeyanga8575 Жыл бұрын
I feel blessing since I knew you .may God bless you Amen
@rosepeter89963 жыл бұрын
Barikiwa sana mchingaji.
@joemose19905 жыл бұрын
Hakika pastor unafundisha vizuri ninabarikiwa na injili pamoja na mahubiri yako shikilia papo hapo jina la yesu liinuliwe zaidi
@rahabusanga155911 ай бұрын
haleluyaa Mafundisho yananibariki
@salehlubunga18922 жыл бұрын
Amina sana Mchungaji wangu
@eustina0 Жыл бұрын
Mungu atukuzwe siku zote hakika mokono wabwana uko nami aminaa🙏🙏🙏
@kasembojackson6850 Жыл бұрын
GOD may bless you pastar mbaga
@emmanuellojere Жыл бұрын
mungu akubariki paster
@claudinekigwasa48232 жыл бұрын
Baba Mungu akuzindishi neno lako huwa linanibariki sana
@fredkonk82395 жыл бұрын
Aiseee kwa kweli huyu ni Mungu anayetamka kaliweka neno Lake ndani ya mbaga
@MahubiriPrMmbaga5 жыл бұрын
Amen
@GoldenBoy-kq1wc4 жыл бұрын
Amen
@benardchacha5590 Жыл бұрын
Pr. Barikiwa sana
@alexkiwale89495 жыл бұрын
Mungu akulinde na kukutunza Mchungaji mbaga akupe afya njema uihubiri injiri hii ya Ufalme wa Mungu mpaka mwisho wa Dunia kwakweli tunapona Amina.
@gabrielzakaria28103 жыл бұрын
Ubarikiwe pr
@MnazaretiMathias-ld6um Жыл бұрын
Bwana asaidie kazi ya mungu izidi kusonga
@shimwekagwiza23005 жыл бұрын
Pastor nakuelewa sana, unanibariki nakunitia nguvu zaidi
@jacquesnkondogoro2703 жыл бұрын
Barikiwa pasta mimi Jacques Nzomararumwe Nkondogoro Namihitaji maombi
@watwegopnina64804 жыл бұрын
Amen mchungaji wangu, hilo somo zuri sana. MUNGU na azidi kutusamehe. Mungu akubariki sana sana.
@mmungamleci48762 жыл бұрын
Nime barikiwa sana
@natihaikamjema61304 жыл бұрын
Asante Mchungaji nimebarikiwe
@erastomitanda92293 жыл бұрын
Nimebarikiwa sana Pr.
@zahaljamal45204 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi wa mungu
@harrietmmoji84044 жыл бұрын
Hakika mchungaji ninajutia maisha yangu, kwani kila so no unalofundisha linaniguza mimi, bado niko mbali na dunia naomba Mungu anirehemu na ninamwomba azidi kukujaza na ujasiri wake Liu ukatufungue sisi tulio usingizini tukaamke Armani ya Mwenyezi Mungu owe nawe milele .
@bonyemuelelwa34403 жыл бұрын
Amen amen mungu akubari mchungaji
@edouardwalofils41355 жыл бұрын
kwa kweli Mungu akubariki hapo palipotoka maneno hayo apajaze mengine ili watu wake wa mrudishiye sifa na utukufu na hata ujenzi wenu ukamilike kama ilivio kusudi la Mungu amen.
@GoldenBoy-kq1wc4 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@franktimothkisimbo53544 жыл бұрын
Ubarikiwe saan Mchungaji Mbaga... 🙏✋
@maureenjovial60834 жыл бұрын
Amina asante Yesu kwa neno lako hakika nemeona BWANA akinitendea
@janewaititu80515 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni atukuzwe...kwa kunijalia niyapate haya.Mtumishi...Mungu azidi kukuneemesha sana.
@faustinemasumbuko39225 жыл бұрын
Nimebarikiwa kwa hili somo Mungu akubariki pastor.
Nabalikiwa sana na mahubiri yako mungu azidi kukutumia
@shirorose30873 жыл бұрын
Nabarikiwa nikiwa hapa Kenya
@immanuelcosta37245 жыл бұрын
Pastor nilipona mafua baada yakusikiliza ombi la mwisho la somo hili Mungu atukuzwe
@thegospel175 жыл бұрын
Immanuel Costa Amen
@nurugasaya60013 жыл бұрын
Ubarikiwe 🙏 Mtumishi wa Baba kwa kututoa gizani🙏
@rachelmanema90444 жыл бұрын
Pastor Mungu akubariki sana unazidi kunifungua sana natamani tuonane mbinguni
@edinapaul90445 жыл бұрын
Pastor libarikiwe tumbo lililokuzaa, natamani Mungu akinijalia uzazi mtoto wangu aje kuwa mchungaji kama wewe
@eddahnyongesa98195 жыл бұрын
Tumekukaribisha saaaaana pastor
@donaldmwahalende48415 жыл бұрын
VP Edina
@mwavitafuraha72443 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mchungaji
@makoyenkumbi96704 жыл бұрын
Mbaga a stronger one
@renjeremiah71173 жыл бұрын
Amen pastor
@FelixKinyunyi-wt3tp Жыл бұрын
MUNGU akupe maisha marefu yenye baraka tele.pastor mbaga wewe pamoja na uzao wako
@ndeshukurwakaaya43852 жыл бұрын
Mungu libariiki taifa teule la Tanzania 🇹🇿 . kwani kwa kukubali kumpokea YESU hakika ukombozi na makusudi mema ya Taifa lililojengwa na misingi ya haki, wakati umetimia wa kuweka yote kivitendo kwa kukiri nguvu na damu iwezayo yaliyoshindikana.. DAMU YA YESU. 🙏
@leahkuya85053 жыл бұрын
Thanks for the this message pastor may God uplift you n continue blessing soul like us
@Enockbeckbrown-hf6xx10 ай бұрын
THE “REMNANT” OF SPIRITUAL ISRAEL- WHO ARE THEY TODAY? In 31 C.E., God found his church by pouring the Holy Spirit on His true followers. They spread the good news throughout the then known world. God had foretold this, He was reclaiming His spiritual “wife” and her “seed”(Isaiah 54:1-8; Gal. 4:26, 27). However, John was shown that this woman and her seed would be the object of fierce attacks by Satan and his demons especially after the death of the apostles (Acts 20:29, 30; Revelation 12:1-17). By then, the "mystery of iniquity" was already working imperceptibly (2Thes. 2:7). How so? Some false teachers had started spreading lies such as, the secret rapture (2Thes 2:1-2), the spiritual resurrection (2Timothy 2:16-18; 1Corinthians 15:12), some were starting their own splinter groups (1John 2:18-19; Jude 1:4-16), false teachers and false prophets were increasing (John 4:1; Revel. 2:2, 6; 2:9; 3:9) etc. But, there still existed a restraining force to that apostasy-the apostles (2Thes 2:7; 2Peter 3:1-3; 2John 1:9-11; Romans 16:17-19). Some time after the death of all the apostles, the GREAT APOSTASY set in: false teachings flourished, false prophets and false teachers (2Revelation 2:9; 3:9; Jude 1:4; 1John 2:18-19; 4:1; 2Peter 2:1; 3:15, 16). Daniel had been shown that counterfeit christians would atrack this SPIRITUAL “Israel of God” and throw down the truth (Daniel 8:9-13; Galat. 6:16; 1Peter 2:9-11) What was attacked? According to Daniel 8:9-13 and Daniel 7:25: * The truth was attacked * The seed of the woman was attacked * The sanctuary or temple * The law of God was attacked, etc What is this temple or salnctuary? The heavenly temple and those who worship in it (Hebrews 8:1, 2, 5; Ephesians 2:6; Colos. 1:13; 1 Corinthians 3:16). But, Daniel was ALSO shown that in the “TIME OF THE END”, after 2300 prophetic days, that is, in 1844, the “SANCTUARY” or “TEMPLE” would be restored (Daniel 8:13, 14). Malachi was also shown this great event (Malachi 3:1-5). So, did that happen in 1844? True to that prophecy, in 1844 the “SANCTUARY” or “TEMPLE” and those who worship in it were RESTORED. How so? As foretold, in the TIME OF THE END, Bible students got together and started studying the Bible in deadly earnest. God led them to the Bible truth and they begun proclaiming the first angel's message (Rev. 14:6). Like the early disciples of Jesus and John the Baptist, at first, they thought the “KINGDOM OF GOD” would start during their day (Matt. 3:1-2; 11:1-6; 10:7, 23; 16:28; Luke 9:27; 19:11; 24:21; Acts 1:6; Ecclesiastes 3:15). Nevertheless, they were told to “PROPHESY AGAIN” to every nation, tongue and people. That is, to REPEAT the first angel's message till the end of the world (Revelation 10:8-11; 14:6). From then, the worldwide work of the SEVENTH-DAY ADVENTIST CHURCH had already commenced! (Revelation 14:6-12). How wonderful is the outworking of God's invisible hand! Satan is not ignorant of this fact. He is making everything he can to misrepresent the truth by propagating his propaganda through human puppets! The arrogant and proud apostates are being used by Satan the Devil and his demons to misrepresent that truth and to propagate God-dishonoring, malicious, and blasphemous lies against that REMNANT CHURCH. These apostates include the poor arrogant DIGRUNTLED ONES and THEIR poor Devil-duped followers! We ought to pray for them
@leawamukota92173 жыл бұрын
AMEN
@leahmagaiwa90995 жыл бұрын
BWANA ATUKUZWE KWA KUKULETA DUNIANI. He saves me through you.
@thegospel175 жыл бұрын
leah magaiwa Amen
@everlynemudeisti17013 жыл бұрын
I get blessed everyday with the word
@happymbilinyi79065 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi sema tupone
@amangulunduelo87503 жыл бұрын
Asante kwa neno
@edwinlawi7105 жыл бұрын
Ubarikiwe Sana mtumishi
@thobiasmwalimo775 Жыл бұрын
Tunahukuru kwa kutufunulia haya
@mwendahussein2172 жыл бұрын
Mtumish niko mafinga uduma napataje nimependa sana mafundisho yako nataka nimuabudu mungu wakweli
@winifridamushi13414 жыл бұрын
Umeongea kitu nyeti Sanaaa watu hawaelewi kama watoto wanaharibiwa na watu wanaowaaminii.... Wamama tunzeni watoto vizuri msitegemee ma house girl na ndugu wawalele watoto MTOTO HANUNULIWI!!
@happylindambwana71345 жыл бұрын
Ulie funga hii sermon tusiinyonye Mungu anakuona...
@thegospel175 жыл бұрын
Happy LindaMbwana nilidhani mnaweza ku download!!!
@happylindambwana71345 жыл бұрын
@@thegospel17 shukrani
@joycejoseph86325 жыл бұрын
Amina pastor
@suleimanstephano60223 жыл бұрын
Kweli mungu ananena
@rhinakiza4 жыл бұрын
Amina roho mtakatifu anaenda kazi
@rehemacharles61594 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@dianamhanila51874 жыл бұрын
Amen Amen Asante sana kwa huduma hii
@jamesmedard55384 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka Pr.Mmbaga
@deboramwakalebela78455 жыл бұрын
mungu akubariki saana pastor mbaga
@luciatoto21165 жыл бұрын
Pr nimebarikiwa sana,,,,,,ukweli kwa watoto wangu pia hua sitaki mazingira hatarishi ni bora hata nifukuzwe kazi lkn sichezi na maisha ambayo Yesu amewapa watoto wangu