Amina, Bwana ni mwema,asante mchungaji kwa fundisho nzuri,jina la Bwana litukuzwe
@namsamson34432 ай бұрын
Some zuri sana Pastor. Asante kutufundisha na kutubariki
@KubojaMtesigwa-x5iАй бұрын
Pastor Mungu akubariki Sana Masomo yako yamenibadilisha Sana Kwa Neema ya Mungu ninakuombea Mungu akutunze Sana na ili nuru yake iwafikie wengi kupitia wewe Amina
@FloraJosephat-l3tАй бұрын
Ameen pastor Maombi yangu Mungu akuweke kwaajili yetu
@StellaKemunto-el8um2 ай бұрын
Asante kwa mafundisho.pastor niombee familia yangu mume wangu kanitishia kuniua nikatoroka na watoto wangu wawili sasa ameoa mke wa pili.
@VirginiaKagendo-g1w2 ай бұрын
Amen , pastor naomba kusaindiwa na maombi mtoto wangu ana tabia ya kuchukua pesa sana naomba mungu hamubandilishe 🙏🙏🙏
@EnesfaNchimbi2 ай бұрын
Asante Kwa kunifundisha Sasa nimeelewa
@susanomwenga88822 ай бұрын
Oh yes hallelujah amen God's promises are yes and AMEN pastor mmbaga watching live from USA Minnesota
@benaharuna-bo1sf2 ай бұрын
Asante mung unajifinua kwang Kila cku amen
@AnnahmatindeAnnahmatinde2 ай бұрын
Amen pastor,naomba uniombee kwa Mungu anisaidie nimjengee kanisa tunanyeshewa sana yaani jambo Hilo limeninyima amani pastor
@AnnaMaregesi-t4q2 ай бұрын
Namshukuru Mungu kwa uponyaji ahsante Sana Mungu
@Kerubo2622 ай бұрын
Thank you for the message Pr,may God bless you abundantly. Have learned alot in your teachings. Amen Amen.
@brendah-qc8gw2 ай бұрын
Amen amen pastor,, nimebarikiwa sanaa
@bahaticosmas2 ай бұрын
MUNGU akubaliki sana much., na akuongezee hekima na maharifa unapo andaa masomo mengine
@leilahl70242 ай бұрын
Amen and Amen
@irineDancan2 ай бұрын
Asante sana mchungaji ,naomba uniombe Mungu aniinue kirooh niweze kumsikia sauti yake sabubu ananisemesa kwa ndoto na zingine sijui kutafsiri
@NyamariFaith-qu1jm2 ай бұрын
Am so blessed pastor u are my motivator b blessed much
@waijuwandu56522 ай бұрын
Amina
@robardmutisarobard46052 ай бұрын
Pastor barikiwa Sana kwa neno la Mungu.
@Promise-j7m2 ай бұрын
Maombi yangu pastor niombee niweze kufanikiwa kibiashara nikabidhi kwa mwenyezi mungu anibarikie hayo 🙏
@kissanselu85692 ай бұрын
Amen balikiwa pr David Mmbaga
@joyceyohane1312 ай бұрын
kiukweli mafundisho yako yananibariki sana pastor, MUNGU akutunze tu,
@DanielLuhunga-iy4hl2 ай бұрын
Barikiwa Sana pr
@ChristinaJonas-n4o2 ай бұрын
Ameen
@SamuelKambale-l6f2 ай бұрын
Amina pasta ubarikiwe
@MaryMmbone-pz3psАй бұрын
Niombee watoto wangu wapate kazi
@janetndege77642 ай бұрын
Pastor pray for me and my family
@MasikaSashaSharline2 ай бұрын
Muchungaji naomba muiombee familia yangu Baba ametuacha na mama hii nimiaka tanu kwasasa hatunuwi alipo
@janethkambuga62462 ай бұрын
Amen
@NancyAtandi-p7i2 ай бұрын
Mtumishi naomba Mungu asimame na ndoa na familia yangu.
@JaredMayaka-z8t2 ай бұрын
Amen pastor naomba maombi kwa family yangu pastor magojwa pressure na kisukari
@namsamson34432 ай бұрын
@@JaredMayaka-z8t fuatilia diet ya kula kama alivyosema hapo utakuwa vizuri.
@Kenyanmama2 ай бұрын
Maombi mbila Chunguza kile unachokiweka mdomoni ni bure.
@adorymongish29722 ай бұрын
Naomba maombi ya dadangu ameingia katika ulevi na tabia za kidunia Hadi ndoa yake inaelekea kupotea
@SalmaSalma-f6u2 ай бұрын
Mtumishi.muombee kijana wangu maana kira ukimpa mtaji anaumariza.tu.kwa uzinzi
@happinesslugiko21502 ай бұрын
Bwana okoa familia yetu. Na tuongezee imani, utupe hekoma na upendo
@JamesSabo-i8nАй бұрын
MUNGU nakushukuru kwa ulinzi wa kimungu kwa mambo yote toka January
@lusajokamundu14592 ай бұрын
Baba mchungaji naomba uniombee nifanikiwe kuuza nyumba ili ipatikane hela ya kujikimu na familia
@SalmaSalma-f6u2 ай бұрын
Mtumishi muombee mwanangu akienda shure anaishia njian na nakienda mara nyingi anarudi bira mfuko.wa madafutari.kwa ujumra hapendi shure
@EsperenceGilbert-w4yАй бұрын
Naitaji mombi naumwa napia naitaji kukuwa kiroho
@rosemshana78852 ай бұрын
Niombee niwe na subira ya kusubiri
@SalmaSalma-f6u2 ай бұрын
Mchungaji muombee.mwanangu.anatabia ya kudokoa pesa. Za watu