ALLAAHU akubaarik Mh Raisi Kiukweli unafanya KAZI kubwa sana na una moyo sana ALLAAHU akupe Kila wepesi Kiukweli wew ni Raisi ambaye hajawahi tokea Zanzibar Kiukweli tunakushukuru sana sana sana
@AbuuJuma-fw3ikКүн бұрын
Mashallh mungu akubarik rais wetu mwinyi mungu akupe umrii mrefu ww ndio rais wakwel mitano tn🎉❤
@NassoroHaji-i8kКүн бұрын
Hongera pia Dk Hussain Ali Mwinyi
@BakariKhamis-l9dКүн бұрын
Hakuna rais ambaye amewahi kutokea akawa anaipambania Pemba isipokuwa wew allah akuhifadhi
@kassim126218 сағат бұрын
Nikweli kabisa manaake hata wliouliwa niwengi ili apate uraisi 😂😂😂ili aipambanie pemba jitahidi tu
@NassoroHaji-i8kКүн бұрын
Na barabara ya Tundauwa chanja mjawiri kiongozi wetu
@JCMaximaКүн бұрын
Njia za wapita kwa miguu zinahitajika pia! 😅
@نوفل-س5رКүн бұрын
Mh tunaomba na sisi barabara kutoka ole kianga kupitia vikunguni mpk chake, mh ni njia ambayo inatumiwa na wengi.
@khamisjuma294719 сағат бұрын
Jenga barabara kuu unajenga barabara pembeni
@SuleimanAli-di3kkКүн бұрын
Duh
@rushydahmed917920 сағат бұрын
Majengo, skuli, hospitali, barabara yote tisa lakini kumi ni suala la uchaguzi utakuwa huru utakuwa wazi wa haki na demokrasia bila dhulma, bila vitusho vya vikosi na mauwaji ya watu na atakayeshinda atatangazwa - hilo ndio swali muhimu kwako Bahussein..
@HvhVvb-k3i19 сағат бұрын
😂😂 eti barabara kiwango Cha lami tuone km itachukuwa miaka miwili hiyo miwili mingi mwezi tu mashimoo tushazoweya hayo kiwango Bora hazina maana mtakosa hela za kuzitia mfukoni
@HarithSalim-l1xКүн бұрын
BARABARA YA MKOANI JAMANI BAHOUSEIN
@isaliisu3408Күн бұрын
Kwa Taarifa yenu wapembs wenzangu watu wakijenga barabara hata niwani haendi kufunguwa
@isaliisu3408Күн бұрын
Barabara ya mkowani vipi haijengeki
@BakariKhamis-l9dКүн бұрын
Itajengwa inshaallah ila kwanza kampuni ipo kasikazini mda ukifika inshaallah wanakuja
@AaAa-vm8bbКүн бұрын
Umeme wa kuwashia taa za nyumbani hautoshi kila mara unazima, jee ikiwa barabarani vipi itakua?