KIBIBLIA AFRIKA NI UKOO ULIOLAANIWA| WAPO TAYARI WANAUME WAOANE LAKINI SIYO KUWA NA MKE WA PILI.

  Рет қаралды 33,639

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 146
@SebastianRahhi-sy6cz
@SebastianRahhi-sy6cz 4 ай бұрын
Jamani Kila mmoja amwombe Mungu wake kwa Imani yake
@Brandpeople
@Brandpeople 4 ай бұрын
Kweli kabisa. Suala la kufikirisha hili🤨🤔 inakuwaje ndoa za jinsia moja zinaingia kanisani, lakini kuoa Mke zaidi ya mmoja inaonekana dhambi kubwa katika ukristo??
@ezrakiduko6135
@ezrakiduko6135 3 ай бұрын
We ndio mchungaji unae SEMA ukweli kabisa
@Gavi_255
@Gavi_255 5 күн бұрын
Tatizo lenu mnadhani jinsi mlivyo ndivyo wenzenu walivyo. Waafrika wengi bado tunadumisha Asili yetu.
@ShannyBrowntz
@ShannyBrowntz 4 ай бұрын
Uyu Mzee Wamatango mwituu,,, anaufahm mkubwa Sanaa na hta Ukweliii anaomwingii Sanaa kuliko uwongoo tunaomwelewa nisisi tuliosomea CUBA,
@mndambokilavo2502
@mndambokilavo2502 4 ай бұрын
Jamani someni bibilia na mtaijua hiyo kweli watoto wa hamu ni kush(waafrika), Puti, Misri na Kaanani(aliyelaaniwa), halafu kushi ni baba wa nimrodi soma mwanzo 10:6-12
@c-4839
@c-4839 4 ай бұрын
Kaanani ndo aliyelaaniwa.
@danielkembo2177
@danielkembo2177 4 ай бұрын
@@c-4839mchungaji amezingua hajasoma vzr
@hoseastephen4508
@hoseastephen4508 4 ай бұрын
@@c-4839 Sasa Kanani si ndio Wayahudi tunaowaabudu kila kukicha au sio
@c-4839
@c-4839 4 ай бұрын
@@hoseastephen4508 #1)Wayahudi hawaabudiwi. Anayeabudiwa ni Mungu tu. #2) Kaanani sio wayahudi
@MsAggie5
@MsAggie5 4 ай бұрын
​@@hoseastephen4508wakaanani sio wayahudi ni wale waliokuwa wanaishi Kanaani kabla wayahudi hawajaenda Kanaani
@AmirJuma-p5j
@AmirJuma-p5j 3 ай бұрын
Mwanangu mzee wa upako chukua nyagi nalipia una stori tamu kinyama
@castojanuary
@castojanuary 4 ай бұрын
Ukisoma biblia vizuri utagundua kuwa kizazi cha hamu chote kwakua kililaaniwa kilishaangamizwa chote
@erickassenga2991
@erickassenga2991 4 ай бұрын
Pili kuhusu laana siyo waafrika tu walio laaniwa bali ni ulimwengu mzima wakiwemo na wayahudi kwa kuto kuishika torati na kuitenda lakini ujio wa Yesu ulkua ni kuiondoa laana kwa ulimwwngu mzima wakiwemo na Waisraeli.
@loner_wolf
@loner_wolf 3 ай бұрын
Soma wewe acha mambo ya kichwa .😅😅😅
@loner_wolf
@loner_wolf 3 ай бұрын
MAMBO YA WALAWI 18:7-8 SAMWELI II 12:7-8 HUMU UTAONA MWANAUME ANARUHUSIWA AWE NA WAKE WAWILI KWENDA MBELE LAKINI PIA MUSA IBRAHIM DAUD SULEIMAN MUHAMMAD NA WENGINE WENGI WALIOA WANAWAKE WENGI NA HAKUNA PANAPOONYESHA MUNGU ALIWACHUKIA . QURAAN INASEMA WAKE 4, 3 AU 2 , NA KAMA HUNA UWEZO BASI 1 TU.
@MabulaDoto-xb6xr
@MabulaDoto-xb6xr 4 ай бұрын
Hapo mzee wangu nimekuelewa sana ww mkweli sana
@venancevicent5113
@venancevicent5113 4 ай бұрын
Colombia
@DottoKagoro
@DottoKagoro 4 ай бұрын
Nishirikishe umeelewa wapi na Mimi nielewe mzee
@DELAVEGA-c5x
@DELAVEGA-c5x 4 ай бұрын
​@@DottoKagorohata ukioa wake 1000 siyo dhambi yan Cha msingi uweze kuwatindua tu na mitoto izaliwe sasa unaoa mke mmoja mara kizaz kimekaa upande cjui na mimba hashiki af iweje yan
@ELIFASMADEBHO
@ELIFASMADEBHO 3 ай бұрын
MZEE UNAKI2 KICHWANI 2LIOSOMEA CUBA 2NAKUPATA
@erickassenga2991
@erickassenga2991 4 ай бұрын
Wanaodanganywa wengi hawaijui Biblia hao wakina baba levo na watu wengine wanao kubaliana na mzee wa upako hawaijui Biblia hata historia ya Biblia ndo mana wanakubaliana naye, “Yesu akajibu, akawaambia, Je! Hampotei kwa sababu hii, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu? ” - Marko 12:24 (Biblia Takatifu)
@shabanihugo8332
@shabanihugo8332 17 күн бұрын
Mzee wa upako pga kazi
@mazaramatucha
@mazaramatucha 4 ай бұрын
Theology za kuungauunga
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 4 ай бұрын
Waafrika amka jitambue usidharauliwe na huu ukoloni mambo leo
@superbillionairea5987
@superbillionairea5987 3 ай бұрын
Wazungu wameandika biblia kwahiyo sio ya kuiamini saaaaaana
@humphreymwankemwa
@humphreymwankemwa 2 ай бұрын
Hapo hata milembe wapime vipi hawata upata UGONJWA
@khalfanmlala5093
@khalfanmlala5093 4 ай бұрын
Nakuelewa sana mchugaji
@Dareaziz
@Dareaziz 4 ай бұрын
Upo sahihi baba
@legendsof_the_Game
@legendsof_the_Game 4 ай бұрын
Mbona hataji vifungio tuvisome kabisa....
@gabrielmchau8764
@gabrielmchau8764 3 ай бұрын
Uyu mzee msameheni maana hajui alisemalo
@OchuTz-xu7uu
@OchuTz-xu7uu 3 ай бұрын
Mmmmmmh kwahyo Africans ni..........😢
@faza4023
@faza4023 3 ай бұрын
Muongo huyo hajui kitu mtu wa kwanza kuwepo duniani ni muafrika
@meshackmtovisala3949
@meshackmtovisala3949 4 ай бұрын
Namuelewa mzee
@stateofart1089
@stateofart1089 4 ай бұрын
Papa wa Waromani Ameruhusu Romani kuoana MASHOGA ni kweli!! Kanisa katoliki limekaribisha Ushoga!!
@charlesmwasi7646
@charlesmwasi7646 4 ай бұрын
Uongo mkuu
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 4 ай бұрын
Walianza na Allah kama sample
@stateofart1089
@stateofart1089 4 ай бұрын
@@charlesmwasi7646 Ni ukweli!!
@timetravellor5367
@timetravellor5367 4 ай бұрын
Uislam ndio dini pekee ya haki
@inocentlema5574
@inocentlema5574 4 ай бұрын
Tutajie mstari unaosema Africa tumelaniwa
@tiktokerslegacy628
@tiktokerslegacy628 3 ай бұрын
Dogo we ni kondoo wa sufi 😂
@silassaitoti7689
@silassaitoti7689 4 ай бұрын
Watakuita ibilisi
@j4cinyo
@j4cinyo 4 ай бұрын
Mpotosha Biblia Kama Hajui Alifanyalo Mungu Amsaidie #Kama Analijua Hili Mungu Amuokoee
@DELAVEGA-c5x
@DELAVEGA-c5x 4 ай бұрын
Mungu unamjua ww
@DanielKitinje
@DanielKitinje 4 ай бұрын
Kaanani ndiye aliyelaaniwa. Na hicho kizazi kilifutika kwenye uso wa Dunia. Sisi ni kizazi cha kushi hatuna laana
@emmanuelthomas1078
@emmanuelthomas1078 4 ай бұрын
😅Hapo wamekutana sunche na Kapeto! Iltakiwa kipimo cha Kilevi wote wapimwe kabla ya interview 2:47
@star_wizard2792
@star_wizard2792 4 ай бұрын
Nafikir wote na Mzee wao walikuwa walejitwika kisungura au smart Gin 😂😂😂 kweli sungura hapingwi😂😂😂 nimeamini!
@AmirJuma-p5j
@AmirJuma-p5j 3 ай бұрын
Kvant kwa wingi mzee....Ile kubwa ngumu kumeza
@Brianlitisiia
@Brianlitisiia 4 ай бұрын
Hakuna ndoa imewai fanyika ya mmbwa abroad
@malcomx4067
@malcomx4067 4 ай бұрын
Huyu mzee hajui Biblia hata kidogo! Soma Mwanzo 19:6-12, Wa Afrika ni wakush, na hawakulaaniwa bali ni watu Hodari walioishi kwa kuwinda.
@AlbertLema
@AlbertLema 4 ай бұрын
Mkuu umekosea huo mlango unazungumzia kitu tofauti kabisa
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 4 ай бұрын
Mimi sio mkristo ila mzee wa upako namuhusudu sanna
@hassankongolilo8408
@hassankongolilo8408 4 ай бұрын
we mzee mjinga tu. ukristo umetengenezwa kumkoloni afrika. sio dini ya kweli kabisa
@tinejuxfrancis729
@tinejuxfrancis729 4 ай бұрын
Ko uislam ndo dini ya kweli? Izi dini tuziache mwamini Mungu tu inatosha
@DeborahSichone-b9c
@DeborahSichone-b9c 4 ай бұрын
Hivi hamwajui watumishi wa kweli sio kweli hatujalaaniwa sisi mwongo huyu
@MYME-u5d
@MYME-u5d 4 ай бұрын
Hapo ndio mtakapoamin kwamb din ya haki ni uislam leo wakristo wanapinga ndoa za wake wawili lakn mapadri wanafungisha ndoa za jinsia moja huu ni msiba wallah
@charlesmwasi7646
@charlesmwasi7646 4 ай бұрын
Mapadre wa dhehebu gani??? Kama hujui kaa kimya. Kitabu chenu kinatambua wakristo ni Wacha Mungu kweli. Tunapenda kristo ambaye atakuja kutuhukum na ameenda kutuandalia makao mbinguni siyo huyo ambaye yy hajui atafanywa nini
@MYME-u5d
@MYME-u5d 4 ай бұрын
😄😄😄😄😄Enheee nicheke mie kweli nimeamin asojua maana usimpe maan labda nikwambie ulitakiwa mnyamazishe yule papa wenu ambae mnamuheshimu na kumuhusud kwa kumuona ni kiongoz safi kumbe ni lbiris aloidhinisha ndoa za jinsia moja. Sas kama ni mkristo saf na anamuogopa muumba wake vp ahalalishe ndoa za jinsia moja? Si mkristo yule au ni muislam broo acha kuwanyamazisha watu wanaposema ukweli leo tz imekuwa na vijana wa hovyo kwa sbb ya hao wazungu wale wakristo waloandaman kipind kile kwa nn waliandamana? Ni kwa sbb ya kupinga kauli ya huyo anaejiita papa wakt si papa ila ni nyangumi broo chin ya jua kuna meng machaf yanafanyika ambayo mengn ukiyasikia au kuyaona ht ww nafs itakuuma hao wanaofunga ndoa za jinsia moja huko makanisan wanafungishwa na nan? Na papa au mapadri? Hv kam una mtoto wako wa kiume na ukasikia anafanya mambo kam hayo ww ikiwa ni mzaz utajisikiaje? Usimwamin binadam maan anaweza kuwa chochote na wakat wowote.Kikubwa ni kupaza saut ili kupinga hili jambo la ushoga na usagaji palipo na ukweli bas hutakiw kupinga au kudhihaki siku zote ukweli utabak kuwa ukweli tu
@jumayusuf1694
@jumayusuf1694 4 ай бұрын
@@charlesmwasi7646sehemu gan?
@frankdanford8245
@frankdanford8245 4 ай бұрын
Hakuna dini ya haki wewe Mungu hana dini waislamu elimu inawasumbua
@HAPPYSULE
@HAPPYSULE 4 ай бұрын
Wajitazame wao haki imo mioyoni mwao waisilam.
@EmmanuelMwambaji-g9s
@EmmanuelMwambaji-g9s 4 ай бұрын
Sio kweli
@edgarbebwa6112
@edgarbebwa6112 4 ай бұрын
Hiiii huyu jamaa shoga nini
@JohnPM-235
@JohnPM-235 4 ай бұрын
Mmezizika dini zamababuzenu nakusujudu dini zamababu wawenzeni Yeah hio ndofaida kufuata nakuamini dini zakigeni
@musakihama7205
@musakihama7205 4 ай бұрын
Fact
@loner_wolf
@loner_wolf 3 ай бұрын
BIBLIA WAMETENGENEZA WAZUNGU , KANISA MALI YA MZUNGU . HUWEZI PINGA .....LUKE 1:1 BIBLIA IMEANDIKWA KWA KUTUNGA STORI KUPITIA KUULIZIA ULIZIA HABARI ZILIZOPITA .
@SalminiAuni-n6l
@SalminiAuni-n6l 4 ай бұрын
Mazungumzo haya mantiki
@erickassenga2991
@erickassenga2991 4 ай бұрын
Mzee wa upako ni mpotoshaji mkubwa, yote anayosema hayapo kwenye biblia lakini pia yeye mwenyewe ni mtu wa dhambi kwahiyo anajitajidi kuhalalisha maovu yake ambayo alishindwa kuyaacha kwa kulazimisha Biblia imkubali lakini haiwezi kumkubali
@HAPPYSULE
@HAPPYSULE 4 ай бұрын
Kweli muasi huyo
@rashowshine7849
@rashowshine7849 4 ай бұрын
Hii siyo dini mamaee😂😂😂😂
@goldmansun5859
@goldmansun5859 4 ай бұрын
Mbona hajazungumzia dini hapo, hata hivyo dini uongo, mwamin yesu uokolew achana na dini, ijue dini yako na vituko vya so called nabii wako, kwa akil huru, hyo ni saikopathi siyo nabii
@khloevibe7569
@khloevibe7569 3 ай бұрын
ni kweli kabisa hata upande wa wenzetu nasikia mtume wao alibaka kitoto cha miaka 9
@giddie_barnabas
@giddie_barnabas 4 ай бұрын
Huyu mzee anatafsir za kipekeake kwenye Bible yan kwenye kulichambua neno ndipo anapotupotosha
@HAPPYSULE
@HAPPYSULE 4 ай бұрын
Wazungu na habari za MUNGU zinatokaga wapi, jambo lolote ukitaka kulijua funga omba naroho wa Bwana atakujibu, kujiita tu mzee wa upako nidhambi nayesu ajiiteje? ujue unawatesa Sana walio pokea wokovu jana kwa mafundisho yako ya sio na msingi wakuanzia, utajuana na MUNGU du.
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 4 ай бұрын
mhhh sisi tumelaaniwa kivipi yaani
@JohnPM-235
@JohnPM-235 4 ай бұрын
Mungu hawezi kukilaani kiumbe alichokiumba kwajasho lake hata shetani mwenyewe hakulaaniwe ila alijitenga mwenyewe namuumba wake hivo huishi katika sehemu yenye volcano nyingi sikwasababu yalaana hapana ila volcano humpa nguvu naafya zaidi hivo ukimpenda shetani inakubidi siku ikifika uende kuishi nae kitu ambacho kiumbe kama binadamu nivigumu saana kuishi kwenye moto
@hamishassan6784
@hamishassan6784 4 ай бұрын
ni kweli kaka John hawezi kukilaani kiumbe chake lakini alishindwa kukiongowa mpaka akafanya Yesu afe msalabani ili atuokoe wakati kumbe hawezi kulaani, yaani huwa najiuliza atuokoe na nini sasa, halafu yaani hakuna uokozi mpaka afe mtu tena mtu mwenyewe mtoto wake , yaaan we acha tu na mapokeo yetu akili kweli kumkichwa
@omarymwaluko9765
@omarymwaluko9765 4 ай бұрын
Nyiny wakristo kweli wapumbavu
@healinggospeltz4762
@healinggospeltz4762 4 ай бұрын
Mpumbavu wew
@ElihurumaElimwokozi-tx8mh
@ElihurumaElimwokozi-tx8mh 4 ай бұрын
Sasa mzee wa upako nilkua naomba utufafanulie nini maana ya Agano jipya maana imeandikwa Yesu aliyamaliza yote pale kalvari,nautufafanulie haya maandiko matakatifu, aliwambwa msalabani kwa sababu ya dhambi zetu Sasa unavyotuambia eti Afrika imelaaniwa kupitia mtoto wa Nuhu Sasa nashindwa kukuelewa kwa maana Sasa naona hujui kazi ya damu ya Yesu, kikubwa mzee wewe waelimishe watu kuhusu Nguvu ya Damu ya Yesu ili watu waache dhambi,wamwamini Yesu na kumkiri Moyoni mwao wakiamini alikufa kwa ajili ya dhambi ya ulimwengu huu na watu wote duniani
@rappermonster361
@rappermonster361 4 ай бұрын
Tupe uthibitisho kuwa yule mtoto wa nuhu aliyelaaniwa alikuwa mweusi
@Fgldesigns
@Fgldesigns 4 ай бұрын
Kwamba huoni kati ya mabara mengine na Afrika ipi watu wake wanatumikishwa kama sio Waafrika?
@Sheba4651
@Sheba4651 3 ай бұрын
​@@FgldesignsHata wana Israel nao wametumikishwa sana.
@josephkiwale374
@josephkiwale374 3 ай бұрын
​@@Fgldesignsfuatilia vizur historia hata wazungu waliwahi kuwa watumwa
@gagiriwankyo5958
@gagiriwankyo5958 4 ай бұрын
Huyu jamaa hana akili
@bigjizee4130
@bigjizee4130 4 ай бұрын
Huyu mzee mwongo sana
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 4 ай бұрын
Kitabu cha biblia kimendikwa na waisrael wazungu ni historia ya waisrael na dini hii ni mpango wa kutawala waafrika ndio maana hata ulaya dini haina tija imekumbatiwa afrika ni jambo la kufikiria kiundani
@DELAVEGA-c5x
@DELAVEGA-c5x 4 ай бұрын
Upo sahihi sana waafrica tunahitaj sana ukomboz wa fikra yan
@sebastianbwile6659
@sebastianbwile6659 4 ай бұрын
Atakuwa anasoma biblia ya makabayo huyo siyo bure
@leonardmalley2599
@leonardmalley2599 4 ай бұрын
Ba levo uchawa had kanisan😂
@alawisaid280
@alawisaid280 4 ай бұрын
hapo ndio utajua biblia imetungwa na wazungu
@manofpeople4951
@manofpeople4951 4 ай бұрын
🙆
@lusanikaseke3065
@lusanikaseke3065 4 ай бұрын
Huyu sio mchungaji ni mpotoshaji
@bizzyjunior_tz
@bizzyjunior_tz 4 ай бұрын
Siyo kwelu huyu Mzee ni muongi ...mi nachojua Africa is a blessed continent from God ,thus why high of human needs are many in Africa like diamond, gold, fuel,
@charlietz7125
@charlietz7125 4 ай бұрын
sa mbn africa hatu endelei?
@mohamedally121
@mohamedally121 4 ай бұрын
Kwahyo ukristo unasema watu weusi wamelaaniwa?? Duuuuh
@Sheba4651
@Sheba4651 3 ай бұрын
Wapuuzi tu hao, hata Yesu wanasema amefanywa laana.
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 4 ай бұрын
Business
@thejoeclassicsoldier
@thejoeclassicsoldier 4 ай бұрын
Acha uongo Mzee wa Upako,.... Hakuna kifungu kinachoeleza lahana kwa Africa. Ni vema uulize tukufundishe we mzee
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 4 ай бұрын
Wew unasoma Biblia tu eti utajua nini?
@thejoeclassicsoldier
@thejoeclassicsoldier 4 ай бұрын
@@MrTop-wj7no Vipi kwani, ulitaka tusome magazeti au vibao vya shule?
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 4 ай бұрын
Wewe umfundishe mzee wa upako!??unadha uyu mzee anatunga
@leonardalphonce8924
@leonardalphonce8924 3 ай бұрын
Huyu mzee waupako hua nalipenda kweli kwasababu anaongea ukweli sio mnafki
@omarsadiki-vi1tl
@omarsadiki-vi1tl 4 ай бұрын
Mbona wasaf hampatikani Moro?
@hajisimaikhatib9002
@hajisimaikhatib9002 4 ай бұрын
Jamaa muongo kweli
@giftkalenge418
@giftkalenge418 4 ай бұрын
tuambie taifa la wazungu wenye wake wengi Kwa sasa
@EmmanuelKagoma-t2g
@EmmanuelKagoma-t2g 4 ай бұрын
Mimi binafsi namwelewa
@DennisAnthony-j5y
@DennisAnthony-j5y 4 ай бұрын
Afrika haijalaniwa acha uoongooo banaa
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 4 ай бұрын
Kama hujalaaniwa twambia kwa nini una madini ila huwezi kutengeneza chohote kitu hadi uwe na mzungu😂😂😂😂
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 4 ай бұрын
​@@MrTop-wj7no Biblia hawasomi na wakiambiwa wanaaanza kubisha na kutukana K
@IbrahimWilson-wh7rw
@IbrahimWilson-wh7rw 4 ай бұрын
Anachokisema kimeandikwa kwenye bibilia gani?
@barakavalencendola1117
@barakavalencendola1117 4 ай бұрын
Daa huyu jamaa hamna kitu,anaitukanisha tu dini yetu
@djoe8266
@djoe8266 4 ай бұрын
Jamaa anapngea ukweli sema nimchungu
@joshuabartonpolelaab4985
@joshuabartonpolelaab4985 4 ай бұрын
False doctrine
@DaudFataki
@DaudFataki 4 ай бұрын
Tusimlaumu huyumzee tuwewawazi katikahili biria anaeifanyia marekebisho nana! Na kwanini waisrael wanadiniyao ilakitabu mnachotumianyinyi wanakitengenezawao alafu hawakitumii sana mkigombana ndio wanawasomea mistari wao wenyewe wanaongozwa nataurati
@JumaMaulidi
@JumaMaulidi 4 ай бұрын
Babalevo muambie akuombee uache kamari
@mhogomchungu7882
@mhogomchungu7882 4 ай бұрын
Acha ujinga mzee wa upako..
@evaristmbuya6220
@evaristmbuya6220 4 ай бұрын
Hii takataka inapewa airtime bila sababu
@emmanuelmlekwangano9991
@emmanuelmlekwangano9991 4 ай бұрын
Mpumbafu tu huyo haielewi bible
@nnkoarnold9955
@nnkoarnold9955 3 ай бұрын
Mzee wa upako hakuna mahali Biblia inasema mwafrika amelaaniwa aliyelaaniwa ni kanaani kwani wakanaani ni wafrika? Kwani wewe huwajui wakaani huoni taabu wanayopitia mpaka leo?hakuna mwafrika anayeitwa mkanaani wala hakuna eneo linaloitwa kanaani afrika
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 4 ай бұрын
We mzee wa upako ni mkundu
@criminalminds7723
@criminalminds7723 4 ай бұрын
That's the racist ambayo west wamewaekea Kwa bibilia and yet bado munaiamini Sana,yesu kaletwa mweupe na munajua wazi kama yesu alikua anazungumza Amharic lugha ya Ethiopia halafu munaamini
@barakasenyagwa30
@barakasenyagwa30 3 ай бұрын
Ndomana unakunywa pombe
@Brianlitisiia
@Brianlitisiia 4 ай бұрын
I really beg you mr upako to repent and refute what ever you've spoken in this interview because you are lying to people. I wonder those people who followed you
@IbrahimWilson-wh7rw
@IbrahimWilson-wh7rw 4 ай бұрын
Huyo muhuni hajui chochote nasio mchungaji
@faza4023
@faza4023 3 ай бұрын
We mzee mpumbavu kweli ! Aliyelaaniwa kwny biblia sio chimbuko la muafrika, muafrika ndio mtu wa kwanza kuwepo duniani. Acha propaganda za wazungu soma biblia uielewe mjinga kweli unapotosha
@chancelebishopofficial2785
@chancelebishopofficial2785 4 ай бұрын
Kwani iyo biblia si ili andikwa na Wazungu,yahani awa ndo Wazee wa ovyo wanao tutia Aibu,shame on you mukinza
@engineerjuma9876
@engineerjuma9876 4 ай бұрын
Ukilisto hauongozwi na bibilia ukilisto unaongozwa na SHERIA ZA KANISA umeelewa hizo sheria ndo zimetungwa na watu (WAZUNGU) hao walioanzisha ukilisto wameona wakitumia sheria za kwenye bibili dini yao ingefanana na dini za MANABII na wao walikua na kupingana na manabii
@bilid4128
@bilid4128 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@lusanikaseke3065
@lusanikaseke3065 4 ай бұрын
Anawaeleza wajinga wenzake
@HappyNgwanda
@HappyNgwanda 4 ай бұрын
mihunikamamuhunimwinginesemakafanikiwa
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН
МЕНЯ УКУСИЛ ПАУК #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
#zandaani MOMO ATUMIWA UJUMBE MZITO SAKATA LA DUBE / APEWA ONYO
9:35