No video

HAYA NDIO UTAYOYAPATA | UKIOTA UNASOMA SEHEMU YEYOTE |KITABU, UBAONI, GAZETI | SHEIKH KHAMIS SULEYMA

  Рет қаралды 20,085

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

Ulimwengu wa Ndoto Ukiota Unasoma Gazeti, Kitabu, Au Ubaoni.
#MasjidMtoroTv #Tafsiri #Ndoto #Njozi

Пікірлер: 25
@mzeemwamguno9367
@mzeemwamguno9367 4 жыл бұрын
شكرا جزيلا
@muhammadahmedaliyyu3854
@muhammadahmedaliyyu3854 4 жыл бұрын
WA alaykum salam warahmaturah wabarakatuh
@pilihassani6111
@pilihassani6111 2 жыл бұрын
Maashallah, Jazaak Allah Kheri Shekhe wetu Allah akupe umri mrefu wenye manufaa
@muhinajuma7113
@muhinajuma7113 4 жыл бұрын
Shukran
@eshamohamed9833
@eshamohamed9833 4 жыл бұрын
Mashallah
@ishabbe4489
@ishabbe4489 4 жыл бұрын
Jazakallah khair sheikh
@alishasaid6931
@alishasaid6931 2 жыл бұрын
Allah.akulinde.shehe.wangu.
@jasminjuma6390
@jasminjuma6390 3 жыл бұрын
Mashaa allah
@hadijangina7025
@hadijangina7025 3 жыл бұрын
masha Allah
@aishajuma468
@aishajuma468 Жыл бұрын
Asante kaka
@swabriissa2034
@swabriissa2034 4 жыл бұрын
Asalaamg'alayk Napenda kutoa maoni masheikh mkiulizwa maswali bas muwe mnajibu pia mjithid kwenda kweny point ya mada mliyo andika kichwa cha habar tafadhal
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q 2 жыл бұрын
Kwenye masuali ya ndoto ambayo si ya point ya siku hiyo nadhani ni mpaka uyalipie. Ila, kwa yeye kuenda moja kwa moja kwenye point ni kwamba, yeye anacho fanya ni kutoa ilmu na dalili sahihi za ilmu hiyo. Sasa, kama mtiririko huo unakusumbua, labda unge forward tu kwenye simu yako ili ufikie point uitakayo.
@judithjeffry6391
@judithjeffry6391 4 жыл бұрын
Mimi mcristo nikilala naota nasoma Dua za kislam.jana nimeota Tena naenda shule kuchukua uamisho wa mtoto.kufika shule nikakuta walimu wakasema shule zimefugwa ivyo atuwezi kukusaidia.nikasema ngoja nikaonane na mwalimu mkuu.kufika kwa mwalimu mkuu akaanza kuniambia kua ndugu zako wanakufanyia ubaya ivyo jiunge namimi ninauwezo mkubwa watakua awakufanyii ubaya.mimi nikamjibu hapana mie namwamini mungu .Basi akakasilika akaanza kunionyesha vitisho Mimi nikaanza kusoma dua.nikawa naondoka nje mala nikaona Kama makabuli watu wanaingia yanajifunika nikawa nazidi kusoma.watu wanaingia yanajifunika.nikastuka ndoto sijui inamana gani
@Ahmed-yp2si
@Ahmed-yp2si 2 жыл бұрын
Allah akipenda utasilimu na atakuongoza ,kwa hivyo ukishakua muislam jitahidi kuwa na subira,katika yale yote ya mitihani kwa sababu watu wako wakaribu hawatakua tayari kabisa na tena kutakuwepo na uadui baina yako na wao kwa maelezo zaidi tafadhali rejea qur'an 4:54,55 usidharau hiyo ndoto ndugu ina maana kubwa kabisa...
@mobellamobenimpenda7055
@mobellamobenimpenda7055 3 жыл бұрын
MashaAllah
@awaahassan936
@awaahassan936 3 жыл бұрын
Mimi upenda kuota suratul qursiyu na suratul nas
@estamelejomah572
@estamelejomah572 4 жыл бұрын
Mashaallah
@Ahmed-yp2si
@Ahmed-yp2si 2 жыл бұрын
@@saidali4121 soma kwa ajili ya Allah Muumba rejea qur'an suurat Alaq
@mwajumamwishehe2743
@mwajumamwishehe2743 4 жыл бұрын
Shuklani ostazi
@simonseth8816
@simonseth8816 2 жыл бұрын
Naomba kujua eti ukiota unacheza mpira alafu ndoto hiyo inajirudia rudia itakuwa inamaana gani
@ommarymgazah6094
@ommarymgazah6094 3 жыл бұрын
Asalam alayk shekhe
@Salma-qo1xs
@Salma-qo1xs Жыл бұрын
Asalam alaykum shekhe, mimi nimeota naandika ubaoni mstari wa kwanza nimeandika namba 12 na mstari wa pili niliandika maandishi lakini sikumbuki ni maanenogani niliandika ,lakini nikiandika na kumuelekeza mtu nayeye akiandika. Jee ? Nini maana yakee ?
@bintmadenge8019
@bintmadenge8019 3 жыл бұрын
Mimi nimeota tumenunua gorofa mimi na mumewangu baada yakuamia ndotukakuta kuna mambo ya kichawi mule ndani ndo nikaanza kuomba dua maana yake nn
@abdulahmanhashim2744
@abdulahmanhashim2744 3 жыл бұрын
Assalam aleykumu napenda kufahamu maana ya kuota unasoma Qur'an tena Surat fat_ha maana yake nini msaada she
@Ahmed-yp2si
@Ahmed-yp2si 2 жыл бұрын
Hiyo inategemea wew ni mtu wa aina gani je huwa unaswali yaani ibada ya swalaa unatekeleza kama hutekelezi bac jilazimishe utekelez na kama unatekeleza basi hiyo surah ndio ummul qur'an kwa maana mama wa qur'an,imebeba maudhui yote ya quran nzima kwa hivyo ni dalili tosha na ni ujumbe utokao kwake ALLAH soma kwa ajili yake yeye Allah muumba, na muabudu ,na umtegemee ,rejea surat Alaq
KUPIGANA NA MTU KWA NDOTO INA MANISHA NINI? - +254706945821
1:13:31
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 13 М.
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 11 МЛН
白天使选错惹黑天使生气。#天使 #小丑女
00:31
天使夫妇
Рет қаралды 15 МЛН
The Sound Narrative: The Preservation of the Qur'an in Sunni Islam | Dr. Ali Ataie
3:02:21
Muslim Community Center - MCC East Bay
Рет қаралды 165 М.
Kuota Uko Kwa Matope Ina Manisha Nini?
1:32:56
REV PETER NJIHIA
Рет қаралды 7 М.
Aliyeona nguo /mavazi Ndotoni Skh :Jafari Mtavassy
30:17
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 42 М.
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 11 МЛН